Тёмный

HAJALIONA JUA TANGU 2015 YUPO KITANDANI HOI - "MKE KAONDOKA KAENDA KUOLEWA KWINGINE".. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

HAJALIONA JUA TANGU 2015 YUPO KITANDANI HOI - "MKE KAONDOKA KAENDA KUOLEWA KWINGINE".. (Kwa Msaada wowote 0715650145 Fatma Mndolwa / 0789783082 Salim Semkwa) waweza mpigia simu zaidi na kwenda kumtembelea
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@babalao910
@babalao910 Год назад
Wehu tu
@MonicaRaila-tn5rb
@MonicaRaila-tn5rb 5 дней назад
Mungu nimwema hauta kufa Utapona endlea kumwamini Mungu Nina hakika Rais wetu Ni mama mwenye Huma Sana Ninahamini atakusadia pia ndugu yangu watume hao Ndugu mwapoza utapona hii Ndio dunia😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
SubhnaAllah ,Ya Allah tujaalie tuwe na mwisho mwema ...Pole sana mzee Allah atakuponyesha InshaAllah
@princesslatifah3033
@princesslatifah3033 Год назад
Watanzania wenzangu,wake Kwa waume tumshike mkono mwenzetu,apate matibabu sahihi na Kwa uwezo wa Allah atapona.chochote jamani,Tupo wengi sana.Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Год назад
Mheshimiwa Rais msaada tunakutazama kwa ajili ya huyu baba🙏
@PeterNdembo
@PeterNdembo Год назад
Pole Sana fadher Mungu akusaidie
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Год назад
Dah subhana llah Allah Ana hikma sana kwayale anayoyafanya kwa waja wake Ewe allah tunakuomba huruma zako kwandugu yetu ya rabb
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
Pole sana kaka kwa iwezo wake Allah utapona 😢😢😢
@tereciahm8741
@tereciahm8741 Год назад
Mwana habari nakuomba, usiyaachie hapa .hakikisha huyu mtu amesaidika na mungu atakubariki...mm nko kenya
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 Год назад
Pole kaka mwenyez MUNGU atakuponya vumilia kila jaribu lina mlango wakutokea🙏
@reginakatele8829
@reginakatele8829 Год назад
Pole. Utapona kaka mungu yupo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
@@jaklinifaustini4259 Ameen
@alsia_1
@alsia_1 Год назад
Baba play Sasa ana
@TumainLema-t3d
@TumainLema-t3d Год назад
Mwenyenzi mungu tunakuomba pitisha upon yagi kwa huyu ndungu yetu ,watanzania wenzangu tuungane kumsaidia mwenzetu huyu
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Subhanallah pole sana Allah akupe shifaa
@habibaa9503
@habibaa9503 Год назад
Allah akuponye in shaa Allah
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Год назад
Pole sana kaka yangu itapona tu mungu yupo
@roseurio503
@roseurio503 Год назад
Woyeeee yule mwanamke kaondoka masiki ila kuna Mungu asiyeshindwa pokea uponyaji kwa jina la Yesu
@timopanga5286
@timopanga5286 Год назад
Mungu akuponye 🙏🙏
@mwalimuteacher
@mwalimuteacher Год назад
inna maal ghusri yusra, Allah ghafuru rahim utapona kaka kwa uwezo wake allah na utasaidilika kwa rehema zake.
@christinelokaji664
@christinelokaji664 Год назад
Pole sana Mungu atakutetea kwa jinsi ajuavyo Yeye. Watanzania tuweni malaika wa huyu mgonjwa. Tushikane milioni 5 hadi 10 zipatikane. Shida za mgonjwa ni nyingi sana sio matibabu peke yake. Mungu atubariki sote tunapowaza na kuanza kutuma msaada huo.
@Zinab-g1i
@Zinab-g1i Год назад
Pole sana kaka angu tangu nianze kufuatilia vipindi vyote vya huyu baba anachangamoto kwakweli.yule mkewe aliapa na machozi kuwa hatomuacha mumewe hadi kifo kiwatenganixhe kumbe alikuwa anatulixha matango pori 😢😢
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Год назад
Pole sana Allah akupe subra na akuponye kwa haraka yarabiy
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu Год назад
Pole kaka Mungu atakusaidia utapona Inshallah 🙏🙏 hakuna linalo shindikana kwa Mungu
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 Год назад
Pole sana ndugu. Mungu akupe wepesi katika changamoto hii. Mwenyezi Mungu akuponye uendelee kumtumikia kwa furaha. 😱😱
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
😭😭😭🙏 Ipo siku utaamk kaka angu Mungu yupo nawew Aamina.! Serikal pia imsaidie na sio mnaon wasann tuu
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Год назад
Wanaonekana wasanii na mipira golf 1 million 1 SUBHANALLAH
@rudiaeliakim2172
@rudiaeliakim2172 Год назад
pole kaka
@doiabel3793
@doiabel3793 Год назад
Hivi nyie wakina Godlove mnao jitangaza kuwa ni watoto wadogo wenye pesa nyingi hizo pesa zenu si mzilete tumtibu huyu mzee?? 😢😢
@MariaKomba-ml6rw
@MariaKomba-ml6rw Год назад
Jamani uyodada hajamuonea mwenzio huluma kweli jamani watanzania wenyenafas msaidien uyu baba anateseka sana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Inauma sana
@ranayuhase1405
@ranayuhase1405 Год назад
Poleee mwaya hakufanya hakiii ila sawa kila jambo lina wakati wake
@Haleema-xz7oz
@Haleema-xz7oz Год назад
Allah yupo pamoja nawe ipo siku utapona
@chachamakenge8367
@chachamakenge8367 Год назад
Pole saana broo
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 Год назад
Subhanaaallah
@LatifaMihambo-op5yv
@LatifaMihambo-op5yv Год назад
Allah mpe shifaa mgojwa huyu
@ranayuhase1405
@ranayuhase1405 Год назад
Utapona ipo cku baba poleee
@hawa6052
@hawa6052 Год назад
Asalam Aleykum Allah akufanyie wepesi upone umlee mwanao ila ombi kwa Rais wetu MaMa yetu kipenzi nimsikivu natunamuamini akiona hiyo ataifanyia kazi inshaa Allah
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Год назад
Aamina Inshaallah
@joasitz9559
@joasitz9559 Год назад
Very sad, Mungu akuponye na akutie nguvu.
@roselambert6700
@roselambert6700 Год назад
Pole sana Mungu akupe uponyaji
@swabrashady4822
@swabrashady4822 Год назад
Alkhamdullah Allahu Apbar walilahi Akhmdu namwombea kakangu mungu amkalie subra na moyo mkubwa wa kuamini iko siku na hili litapita na atakua sawa kwa uwezo wa mungu Aameen
@halimaisaidi4105
@halimaisaidi4105 Год назад
Mpelekeni kawe kwa mwamposa atapata uponyaji na atatembea kwa iman
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 11 месяцев назад
Halima una matatizo wewe
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
Mungu wangu duniani kuna mambo Ee Mungu mkumbuke huyu baba jamani pengine nguvu za Giza sio kawaida jamani uwiii
@RachelPeter-ik8sb
@RachelPeter-ik8sb Год назад
So sad pole kakaa pole sana mpaka roho inauma
@africandarling6925
@africandarling6925 Год назад
Pole sana kaka yangu kwa kumwa😢😢😢😢😢😢😢
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Год назад
Bas wamtibu baadaye zitatafutwa kidogo kidogo kuliko kumuacha hivyo kwani anazidi Marathi mungu atamkuza ishaallah mungu akipenda utapona wasanii mnasema mnapesa muwoneni huyo kaka
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Год назад
😭😭😭😭😭Mtihani sana. Jamanii Mungu aniwezeshe kakitu nimsaidie hyu kaka jamanii
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
😭😭😭😭😭
@maryamobady1853
@maryamobady1853 Год назад
Subhanallah llah mungu atakuponya jamani 😢😢😢
@ibvisions4321
@ibvisions4321 Год назад
Aisee guys tumsaidieni huyu brother tunaweza kabisa.
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 Год назад
Ni kweli kabisa inaumiza😭😭😭😭
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Kabisa anatuhitaj sis
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
0715650145 Fatma Mndolwa / 0789783082 Salim Semkwa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Год назад
Hv kweli unamtukikisha mtoto.wa.mtunalafunhumpi.ajira. jeshini Mungu.anawaona.
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Год назад
Wanawake tuwache ukatili
@lombardocrich6177
@lombardocrich6177 Год назад
Ya salam mungu atakusaidia insha Allah
@sanurandune8066
@sanurandune8066 Год назад
Na huyu kaka bado Ana nguvu Ata kuongea aongea vizuri Sana akishuhulikiwa kwa haraka ataenuka tena inshaallah
@AminaNtolee
@AminaNtolee Год назад
Basi sai amebadilika zaidi mwakajana alikuwa afadhali bibiyake akimuhudumia mungu atampashifaa
@JanethLazaro-dj3bs
@JanethLazaro-dj3bs Год назад
MUNGu akuponye baba yangu haya malazi yame wakumba wengi , hata baba yangu ana shida kama yakwako nilijua ni baba yangutu , huu ni mwaka wa tatu nayeye hawezi hatakugeuka Wala ku fanya Chochote ,Mimi ni mwanaye nimekuwa nikifanya kazi zandani ili kumutibia baba yangu. Sina musaada natamani neema kama hii nikutane nayo huenda nikapaza sauti jamii ikanisikia nikapata musaada
@JanethLazaro-dj3bs
@JanethLazaro-dj3bs Год назад
Dada mwandishi natamani kukutana na wewe huenda mungu akakutumia kwaajili baba yangu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
Kafanya vibsya🤔😢😢😢😢 Angemuuguzajaman😢
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Год назад
Muombe msamaha mke wa kwanza muombe msamaha ili akuudumie
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Год назад
Kwanini,huyo mama asiondoke na huyo mtt
@florianhenry7198
@florianhenry7198 Год назад
Mimi Sina kitu jamen ila serikali yetu imsaport kiukweli ,,tusiwe tunasaport mambo ya burudan tu tukashindwa kujali utu
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Год назад
Huyu alimtangaza na zahir kumbe kamuacha njiani
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
MAMA SAMIA MTETEZI WA WANYONGE TUNAOMBA LIANGALIE NA HILI HAKUNA WAKUMLILIA ASANTE MAMA YETU
@jimmystrawberrytv3294
@jimmystrawberrytv3294 Год назад
Duuh , Pole Sana Mungu mkubwa atakuponya. Ila mke wa kukutunza alikuwa ni yule uliyemuacha uliporudi Toka Afrika Kusini. Kwa ata wewe kule ulikuwa mwaminifu Sana ilitosha kumsamehe mkeo na ndio lilikuwa chaguo la moyo
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Tusiwalaumu wanawake inawezekana huyu mwanaume hakuwa anakaa nao vizuri kiasi waondoke!😊
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Год назад
Una kipindi alikuwa nae mkewe kamkimbia
@doiabel3793
@doiabel3793 Год назад
Jamaani ni kumchangia huyu baba
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
0715650145 Fatma Mndolwa / 0789783082 Salim Semkwa
@maryammohmmed6526
@maryammohmmed6526 Год назад
Jina nani la tigo pesa
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
0715650145 Fatma Mndolwa / 0789783082 Salim Semkwa
@SalomeKilembe
@SalomeKilembe Год назад
Msamehe huyo dada Mungu atakuponya kaka usikate tamaa
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Год назад
Ukimuona huamin kama atamkimbia alioneshwa sad moment ya maximum tv
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
Hii dunia ngumu
@doiabel3793
@doiabel3793 Год назад
Mzee huyu ni wa kumsaidia aisee
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Yaan kukaa kote jeshin na bado hamn ajira. Laan iwafikie na nanyiye
@habibamura5255
@habibamura5255 11 месяцев назад
😪😪😪🤲🤲
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 Год назад
Uwiiii jamani tumsaidie
@neemakiyumbile6933
@neemakiyumbile6933 Год назад
Pole baba yangu mungu yuu pamoja nawe atakuponya na ipo siku utasimama Tena sina kitu Ila naamini mungu atakusaidia
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Год назад
😂😂😂😂😂😂😢😢😢
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
I'm 31 and single - am I leaving having kids too late?
15:01
MAMA YANGU CHIZI
23:37
Просмотров 620 тыс.