Тёмный

MAZITO! NYUMBANI kwa MWALIMU wa WARDA, JIRANI AIBUA MAPYA - "ALIKUWA AKILIMISHWA USIKU wa MANANE"... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

MAZITO! NYUMBANI kwa MWALIMU wa WARDA, JIRANI AIBUA MAPYA - "ALIKUWA AKILIMISHWA USIKU wa MANANE"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 365   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@YahayaKheri
@YahayaKheri Год назад
😊
@YahayaKheri
@YahayaKheri Год назад
😊
@YahayaKheri
@YahayaKheri Год назад
😊
@YahayaKheri
@YahayaKheri Год назад
😊😊
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Год назад
like yako kwa grobal-Hongereni sana grobal Kwa ufatiliaji Mungu awabarki sana kwa kazi hiyo nzuri
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Inauma sana kwakweri. Miezi yotehiyo kweri mtoto yupo Hai kweri😭😭Mungu tuonyeshe ukweri tegemeo letu ni kwako yarabii😭😭😭😭
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Год назад
Mungu awalipe malipo mema globol kwa kazi nzuri
@florencemseja530
@florencemseja530 Год назад
Mungu nipe uhai niweze kulea wanangu mwenyewe
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Global TV hongera kwenu msichoke mpka tujue ukweli
@KhadijaAli-ow5hi
@KhadijaAli-ow5hi Год назад
Nikweli kabisa😢😮
@KhadijaAli-ow5hi
@KhadijaAli-ow5hi Год назад
Nikweli kabisa 😮😮
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 Год назад
Inauma sana
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Kumbe Warda alikuwa akiteswa maskini 😭 Mungu atamlipia
@salhaayub1338
@salhaayub1338 Год назад
Jaman mpk tumbo la uzazi limekata upya kama naenda kuzaa tena sisi wengine tuko mbali na watoto wetu ya Allah tulindie family zetu na utuletee wepes kwa mtoto warda😢😢😢
@mariamkiingu-hg9li
@mariamkiingu-hg9li Год назад
Huyu mtoto hawez kuwa amepotea walimuuwa usiku walio mpiga dada wa kazi akishikwa atasema au wachunguze nyumba walio Hama vizur hii taarifa imefika mbali kama angekuwa hai basi angepatikana.
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Год назад
Mungu Yani kiatu Cha huyu mama ni kikubwaa mungu msaidie mama huyu ampate mtoto wake mbona huyo mwalimu akamatwi jamani
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Год назад
Vyombo husika hamlioni hilo jamani pozeni maumivu na uchungu wa watu, mtu mpaka leo yuko mitaani anadunda tu wakati taarifa za mtoto kupotea zina utata, watu wakijichukulia sheria mkononi ndo muwakamate hao au ninyi siyo wazazi. Inauma sana tena sana mtoto wako hujui yuko hai ama kafa is too pain.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Ahsante global TV......tuko nanyi tunafatilia mngu atatenda ktk hili 🙏
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Dah 😢😢 jamani uwiiiiii mtoto anateswa huku mzazi akidanganywa kama mtoto anaishi vema 😢😢tuweni karibu saana na watoto wetu 😢😢
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 Год назад
Ndo ujinga wawazazi kuamini kila kitu
@BinzuaMfinanga
@BinzuaMfinanga Год назад
Mungu ni mwema na asanteeee global Kwa kuwa pamoja na hawa watu kuwapa moyo
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Год назад
Inasikitisha Saana 😪 🇹🇿 🤷🏽 🙆 😔 😢Global Tv, mwenyezi Mungu awaongoze 🙏🏾🙏🏾
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Hongereni globo
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk Год назад
Hakuna kumchekea huyo mwalimu mpaka kieleweke tunaombà uongozi wa elimu ufatilie sana.
@edinachami4318
@edinachami4318 Год назад
Asante global tuko nanyie mpaka tamat
@umranim5854
@umranim5854 Год назад
Huyu mtoto kwa maelezo ya jirani alivyo sema alikuwa ana pigwa sana basi wamemuuwa huyo mtoto wachunguze sana
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 Год назад
Wameuwa huyo mtoto jamani kama walimchangia jamani pole sana kwa wazazi wake 😢😢😢😢
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 Год назад
Mungu awabariki global tv endeleeni hivyo hivyo hadi mtoto apatikane.
@MwanaishaKambwili
@MwanaishaKambwili Год назад
Pole sana mwanaume mwezangu
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Год назад
Hawa wanajua kilichotokea maana maelezo yao sio kabisa mungu muumbue kwanza huyu mwalimu 😢😢😢😢
@MwanahawaBakari-oh3js
@MwanahawaBakari-oh3js Год назад
Serikali tumieni Mbwa anaenusa arufu mpelekeni kule alikohama mwalimu Wema
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh Год назад
Nimelia kwa uchungu wallahi hata mimi mwanangu analelewa na mdogo wangu lakin hii imenivunja moyo wacha nimwendee mwanangu nikae na yeyr😢😢😢😢😢😢
@mwajumampokileomckapela7541
Chukuwa mwanao leo mwenyewe
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Год назад
Ndugu yangu mfuate haraka MNOO, hii Dunia tubaki na undugu tu,WATOTO Kila MTU alee wake.
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Год назад
Kamfate😢
@rahemma3166
@rahemma3166 Год назад
Yaani mtihani mm mwanangu alikuwa akilelewa na mtoto wa dada angu alikuwa akimchapa atari mpk majirani walinipa taharif nikamfuata
@rehemamasala6857
@rehemamasala6857 Год назад
Kamchukue lea mwenyewe
@fridaminja7191
@fridaminja7191 Год назад
Mungu awabariki sana global nawapenda sana
@daraeiali9449
@daraeiali9449 Год назад
Nakupongezeni sana global
@mwajumampokileomckapela7541
Hongera sana global kwa kufatilia
@hollymore4904
@hollymore4904 Год назад
MUNGU mlinde mtoto huyu popote alipo🙏🏼 AMEN
@iddymtitiko
@iddymtitiko Год назад
Sina iman kama yupo hai huyu mtoto 😢😢
@oman7710
@oman7710 Год назад
Subhanallah hakika dhulma haidumu
@mariamzubeiri1723
@mariamzubeiri1723 Год назад
Jamni huyo mwalim akamatweeeeeeeeeeee🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Год назад
Hii scandal inanikumbusha mtoto alieuwawa na mama yake mdogo halafu mama huyo akamuweka kwenye ndoo na kwenda kumfukia. Kama. Nasikitika majirani walikaa kimya badala ya kumreport mama huyo kwa police muda wote huo mpaka mtoto akapotea. Na wazazi kuweni karibu na watoto wenu. Matukio kama haya yanazidi kuongezeka katika society hii. Ni very sad.😢
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
😢
@fatumahapesamohamedfatumah4633
Global tv hongera xana.Mungu awabariki. Tafadhali msimuache mkono huyo mama warda.Mseidiane plzz mpaka mjue mwisho wake.Akk inahuzunisha.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Год назад
Pia mimi namkumbuka jamani.
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
😢😢😢
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Год назад
Watu makatili kamtia kwenyendoo alafu ukamfukie maana wanaroho mbaya zaidi ya wachawi watu
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk Год назад
Tunazidi kumwomba mungu sana maana hii inauma kwetu wazazi tunaosomesha watoto wetu mbali,
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Год назад
Maelezo ya Jirani yana UKAKASI MKUBWA... Kuishi na watoto wa watu inaweza kuwa mtihani inapotokea tofauti.!
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Год назад
Mungu ampe huhai apatikane salama😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@hanifa9153
@hanifa9153 Год назад
Yarrab fanya wepes katika hili hakika huu ni unyama wa hali ya juu nmeumia sana nmelia sana haswa kumckia mama warda akilia nashindwa kujizuia wallah nalia kulia ni uchungu cjapenda kabisa mwenyez mungu atatulipia machozi yetu hayawez kwenda bure ahsanteee sana kwa Global TV Allah awalipeni kheri nyingi❤🙏
@ruwuianjojorachide189
@ruwuianjojorachide189 Год назад
Allahumma amin
@teedullah5708
@teedullah5708 Год назад
Safi sana
@NadyaOmar-du6be
@NadyaOmar-du6be Год назад
Maskini alikua anapitia mazito warda aliteseka Sana huyu mtoto hatujui yuhai ama amefariki Ila mungu atamlipa huyu mwalimu atamlipa hapa dunian na akhera kwenda hukumiwa Amin
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh Год назад
Halafu bint mzur jaman hata sura yake inaonyesha huyu bint alikuwa ni mtiii sana😊
@hadijarajabu7198
@hadijarajabu7198 Год назад
It's too pain jaman, poleni sana wazazi wa binti Warda
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Huyo mwalimu alikuwa mchawi kabisa ,Duh! Usiku wa manane unamlimisha mtu!!.
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Год назад
Huyo mwalimu siashikwe na hao mabinti roho mbaya uzazi ni moja kwa nn wafanye hivo mama samia ingilia hili wa mama tunaumia
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
Uyo mwalimu nikatili sana achukuliwe hatuwa yaharaka sana ili iwefundisho nakuwengine polenisana familia ya Warda Allah atatenda miujiza atapatikana inshallah
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Год назад
Kwanini sasa alikua akiishi kwa mwalimu na wazaxi wake wapo???
@josephmfune9897
@josephmfune9897 Год назад
Hii ni dam haiwezi kupotea bure ipo siku itajulikana tu mwalim wema wewe jua ni moja tu linlotuwakia wote jua lako lipo lipo mama lipo
@khadijamasoud3936
@khadijamasoud3936 Год назад
Yaan hapa wakishikwa family nzima kila mtu awekwe selo yake watasema hawa yaan hata masaa 2 hayatoisha lakini hivi wanatufanya sie kama watoto mjuwe
@rosemndolwa6622
@rosemndolwa6622 Год назад
Huyu binti atakuwa yuko mahali kwa mtu anafanya kazi maana aliona hana pa kukimbilia wazazi wake wameshamtoa kwa mwalimu lbd alishawahi kulalamika maisha magumu wazazi hawakujali kwa kuangalia shida zao, iko siku atarudi muhimu ni kumuombea Mungu amguse atoke huko
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Hiyo kazi ilitakiwa polisi ndiyo ifanye kwa haraka sasa nashangaa polisi iko kimya
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 11 месяцев назад
Polisi Wanakula rushwa hawajisumbui Wala kuwajibika
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Год назад
Ningekuwa mmi mzazi namwagia petrol nyumba yote kisha nachoma moto
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Maana anaonekana ana roho mbaya sana inaumiza km mzaz duh
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Nyumba ya kupanga dada utapata kesi ya kulipa
@ElhemElhem-n7e
@ElhemElhem-n7e Год назад
Ama kweli mtoto anaumaa😢😢 huwa naombabmungu aniepusha na mikasa hii maana mie kwa wanangu naonaga nitauwana na watu asee cheza na vibgine ila kizazi cha mtu kiheshimiwe😢😢
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Duuh huyu mtoto kaniuma Mimi😔 ee Mungu kama amekufa bas ijulikane tu daaaa😭😭
@ZaynabMshihir-zp9hv
@ZaynabMshihir-zp9hv Год назад
Masikin warda kama mzazi wake angelijua kama anateswa asingekubali kama mzazi ,jmn roho yaniuma Mimi warda kama mdogo angu daah ,Allah akulinde warda huko uliko kusikojulikana kwa sasa😥🥺
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Hongeren team mzm ya global
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Dah😢Huyo mwalimu akamatwe jeshi la police kwanini hawamchukulii hatua au mabwana zake
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Год назад
Bwana wake mwalimu n mtu mkubwa
@iddymtitiko
@iddymtitiko Год назад
​@@zaytunhijja6771😢ndo mana anajiamin sana kuwa bwana wake ni mkubwa serikalin ndo mana wanatesa family ya warda maskini hana haki,
@TumainKilongo-pc6lw
@TumainKilongo-pc6lw Год назад
Ee Mungu nipe umri mrefu niwalee wanangu Mimi, Mungu mlinde carthy wangu huko aliko
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Subhannallah mtihani kwakweli
@FekiHappy
@FekiHappy Год назад
Jaman.mbona kama viongozi wote wamekaa pembeni Kuna nini hapa ???????????????????????????
@ashasaid9056
@ashasaid9056 11 месяцев назад
Mtoto sidhani kama yupo hai maskini mungu atuweke Kwa ajili ya watoto wetu mpaka wawe watu wazima tupambane nao wenyewe
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp Год назад
Naumia jamani tz haina vyombo vya usalama
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Viko sema janja janja
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Год назад
Vipo lk' Uzembe unafanyika mpk hathari itokee kama hivi
@praisesteven7742
@praisesteven7742 Год назад
wenda kampiga ad kumuua ✋✋✋
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 Год назад
Nilijua tu huyu mwl ni mchawi .Yuko shambani kwake..apigwe huyo mwl...kamchukua msukule ndiyo maana anajigamba..Sasa ajue Mungu ni MKUU WA wachawi. Mungu atamuaibisha..
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Год назад
Ni tukio la kutisha na kusikitisha. Kwani vyombo vya Dola viko wapi? Na nyie majirani kwa nini hamkujaribu kuwatafuta wazazi wa Huyo mtoto ili waje wamchukue? Na siku aliyopigwa sana mtoto kwa nini kama majirani hamkwenda kumuita mwenyekiti wa mtaa ili aje aingilie kati? Wazazi pia ninawalaumu. Muda wote huo wazazi walikuwa hawambelei mtoto wao ni kama walimtelekeza
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Год назад
Majirani tukiona haya mambo tuwe tunatoa taarifa tusiogope kua tuta onekana wa mbeya hapana tusaidie watu bila kujal watu wata tuonaje....mie niliwai pigwa barabaran aisee watu wanapita, boda na magar no msaada
@FatmaZena
@FatmaZena Год назад
Daa pole sana,ndio huwa nasema imani imeisha kabisa
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 Год назад
Wazazi wa warda ombeni dua sana kwani dua ya mtu aliezulumiwa mungu huipokea mara moja hebu oneni tokea mwezi wa nne wazungusha famili ya kina warda kwakujiona mwalimu at bwana wake polis sasa mbona hajaisha wafanya mchezo na kudhulumu damu ya mtu we ombeni dua mungu atadhihirisha ubaya wote walioufanya
@زيتون-ض9خ
@زيتون-ض9خ Год назад
Mungu akuripe muandishi mpenwa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Waonyeshe tu walipomzika hakuna mtt aliyepotea hapo wanatuchezea akili wakamatwe wote wakifinywa vizuri watataja kila kitu 😭😭
@ElhemElhem-n7e
@ElhemElhem-n7e Год назад
Naumia jamani nikisikia comments kama hizii 😢😢 eeh mungu endelea kumtunza mwanetu popote alipo
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Nakubaliana na wewe wakamatwe wafinywe
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Год назад
Kwan serikali iko wap mbona viongoz awasimamii ili jambo inaumiza san😭😭😭😭
@RizikiIssa-dr1cb
@RizikiIssa-dr1cb Год назад
Muendelee kutuelewesha maana mda wote naangalia global kwa ajili ya warda naumia sana kama mzazi 😭😭😭
@iddymtitiko
@iddymtitiko Год назад
Dada hata mm kila mara nipo kufatilia hilo😢😢
@RizikiIssa-dr1cb
@RizikiIssa-dr1cb Год назад
@@iddymtitiko ni huzuni kwa kweli ila uyo mwalim anajua mtoto yupo wapi
@iddymtitiko
@iddymtitiko Год назад
@@RizikiIssa-dr1cb anajua na uhakika anao alichokifanya na ndo mana anajiamin lakin Insha'Allah Allah atampa anachostahili Allah haangalii wewe ni nani na una miliki nn kwenye dunia hii na kama yupo mitandaoni anaangalia hiz habari na kuona machoz ya mama warda mwanamke mwenzake akilia kwa ajil ya mtoto wake Wallah asiwe na Aman ya moyo katika maisha yake yote ya hapa Dunia
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Год назад
Ingekuwa KWETU, tayari ANGEKUWA kashageuzwa pimbi huyo MWALIMU,hakuna hata haja ya kwenda polisi
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Год назад
Uyooo mama NI mchawiii Jamani heeee. Nyie WAZAZIIII mmekuwajeee???? Jamaniiii
@aminadollar3308
@aminadollar3308 Год назад
Mpaka machozi yananitoka ila Mungu ataleta wepesi wake inshaallah
@JoyceJustine-k6j
@JoyceJustine-k6j 13 дней назад
Nawachukia sana majirani wa hivi mbona mambo yanavyokua yakitendeka hamsemi inapotokea shida au tatizo ndio majilani mnajitokeza tuliona hivi tuliona vile ni nini hii watanzania tuweni wawazi TU usimuogope jirani kumueleza ukweli kama anafanya mabaya sio tusubili matatizo au mtoto ameumia ndio tuanze tulikua tunaona haya wakati ule Nini jamani sipendi kabisa
@shamimuabdul7497
@shamimuabdul7497 Год назад
Duh
@KareemAusi
@KareemAusi Год назад
Mama mungu akupe nguvu
@wynesesthertchuwa2139
@wynesesthertchuwa2139 Год назад
Huyu mwl Wema nahisi mchawi kamuuwa mtt 😢😢
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc Год назад
Uyo mama ashkwe jamani Tena afungwe kabsa
@mariapius4568
@mariapius4568 Год назад
Jmn jmn mm inaniuma hii mm jmn😭😭😭
@rachaelw580
@rachaelw580 Год назад
Hao wamtoe ni wao walimuuuuua Mungu aingilie kati haki waede jela
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Huyo mwalim achukuliw hatuwa wallah duuh haki itendeke
@missminnatz
@missminnatz Год назад
Ha kuna kujificha lazm haki ya mtt ipatikane mchezo walioucheza unaanza fichuka iwe watda u hai au amekufa lazm haki itendeke hakuna binadamu anastahili hayo watawajibika wote na familia yake na ukatili wao watafia jela yaan warda atawabadilishia maisha iwe jela au kusuffer kwa namna yyt ile sisi kama wana jamii hatujapenda ukatili mliofanya tunajua mna simu mnafatilia hili ila mkumbuke haki ya warda mtailipa kwa vyvyt.
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Dahhhhhh inasikitisha 😢
@shamilajumbe7070
@shamilajumbe7070 Год назад
Mungu nisaidie mtt wawatu😢
@sirilaswai6206
@sirilaswai6206 Год назад
Hiyo barua ni uwingo wameuwa hai waseme ukweli na wameandika hiyo barua Ili wajiokoe ila mwalimu km umeuwa hiyo damu utakuanda maisha yako yote
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Год назад
Damu ya mtu aipotei kama wamemuuwa. Iposiku itabaini kuna mwalimu. Aliuwawa na kupwa shamba la miwa. Mda wa mwezi mmoja mwili umepatikana mungu. Nyoosha mkono wako
@missminnatz
@missminnatz Год назад
Damu nzito kuliko maji lazm mambo yote yataonekana wazi mungu awasimamie global mmeshika jukum hili ambalo waandishi weng hawafanyi.
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 Год назад
Wanawake wenzangu tulee watoto wetu wenyewe ona sasa baba yupo mama yupo kiraisi tu nakupa mwanangu huyu ni mwalimu ingebidi aishi nae vizur ndugu zangu watoto wetu tulee wenyewe huyo mwalimu ni mshenzi 😭😭😭😭😭inauma inauma
@johndoglas4337
@johndoglas4337 Год назад
Hao majirani ndiyo waliyo mwaribu huyo mtoto. Walikuwa wakimjenga kwa maneno ajione anaonekana. Ogopa sana kukaa na majilani wa aina hii
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Hii case iko very complicated, na police kimyaaa
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Ee Mungu Tuna Kutegemea wewe Tunaomba msaada wako Mungu tupate kumuona huyo mtoto awe mzima au marehemu
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Год назад
Mungu awabariki grobal tv msaidien huyo mama jamani ampate mwanane huyo mwalim achukuliwe hatua
@matilsapaulinus4785
@matilsapaulinus4785 Год назад
Jaman jaman uchungu nasikia mimi dah mungu yupo kila kitu kitakua wazi
@edithamushi2373
@edithamushi2373 Год назад
Mungu ingilia kati maana ukweli ni upi,na kama huyo mwalimu alikuwa na mfanyakakazi inakuwaje duh
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Год назад
Mungu naomba Binti huyu apatikane
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk Год назад
Walimu kama hao wanafik mnawaendekeza kwa nini? Damu ni nzito we mwalimu mwogope mungu utaumbuka na kazi utaikosa.
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Год назад
Tupo sambambaa 😢😢 jmniiiii tunaomba mrejesh wakeh
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Год назад
Mungu alete kher apatikane akiwa mzima..lkn binafsi siwezi kukaa mwaka bila kumuona mtt wangu na kuhakikisha najua mazingira anayoyaishi..
@RizikiIssa-dr1cb
@RizikiIssa-dr1cb Год назад
Mie wasiwasi wangu na hisi iyo siku alikufa uyo
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Usije kuwa wameemuua jmn😭😭😭😭
@Shuu.A
@Shuu.A Год назад
Nchi haina sheria nchi haina sheria polisi wote mabwege tena mahanisi hasa kazi yao kupokea mishahara tu kazi zao hawafanyi na tamaa nyingi huyo mwalimu polisi na kila alohusika MUNGU awalipe kubwa wao na family zao MUNGU waangamize uwape pigo kubwa hawa mbwa wasisahau maishani mwao na wtt wao sina imani na polisi wa nchi hii
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Год назад
Inawezekana walivyomoiga alikufa sasa wamfukia mahala. Kwakuwa nchi viongozi hawasikilizi habari kama hizi linakuwa ni jambo la kawaida. Sizani kama polisi wapo kama wapo basi nao wanAANGALIA TU.
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 Год назад
Maneno yakomsahihinhuy7 washamuuuwa inayoelekea hlf.wamemzika.humondan alikohama
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 Год назад
Naanza kuwa namashaka nahuyumtoto sidhani kama yupohai maskin jamani siaseme² ukweli ili wapokee² matokeo😢
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Yaan inaonekana uyu bint ayupo al😢
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Ht mm nahis ivyo mana mtt miez yote awe wp
@FatmaZena
@FatmaZena Год назад
Allah ajaalie apatikane akiwa mzima na salama
@vero57
@vero57 Год назад
Ivi uyo mwalimu wema bado anafundisha????
@amanisaid9863
@amanisaid9863 Год назад
Mwalim WEMA WW Ni mbaya sana ila MUNGU Anakuona Ndio wema unamlipa huyu Mtoto
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Allah hawafanyie wepes hapatikikshe
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59