Тёмный

Hakutakuwa Na Nyakati Ngumu Katika Maisha Yako I Rev. Dr. Eliona Kimaro 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 157 тыс.
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h 6 дней назад
Ameni. Nina hali ngumu sana natamani kujiua ila kwa neno hilo limenipa matumaini
@Aggybrian2023
@Aggybrian2023 6 дней назад
Hutokufa Bali utaishi ili uyasimulie matendo makuu ya MUNGU 🙌🙌
@mauaabdalah3917
@mauaabdalah3917 5 дней назад
Nmepitia hyo hali na napitia na watu wa karbu wanajua tatizo wanaloga sana😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢uskate tamaaa songambele salisana❤❤❤❤❤Mungu atakusaidia
@dorinitemba8074
@dorinitemba8074 4 дня назад
Mungu akusaidie ...usijiue dunia ina watu wazuri wsshirikishe
@Norisi-c6u
@Norisi-c6u 3 дня назад
Mungu akusaidie litapita utafulahia maisha
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 6 дней назад
AMEN AMEN AMEN, 🙏🙏🙏.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 6 дней назад
Amina Mungu ni mwema. Tubarikiwe sote
@happinessuronu9089
@happinessuronu9089 6 дней назад
Napokea nyakati nzuri katika Jina la Yesu. Ameeen
@user-lv2nh4ev1h
@user-lv2nh4ev1h 6 дней назад
Amen Amen
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 дней назад
Amen,ni faraja ya pekee nimeipata kupitia ujumbe huu,ni siku 1 tu imepita baada ya kuibiwa vifaa vyote ktk ofisi yangu ya ushonaji nikabaki uchi kabisa baada kuibiwa kila kitu ,ujumbe huu umefunga majeraha ya moyo wangu yaliyokuwa yanamwaga damu nyingi
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 дней назад
Mungu akubariki na azidi kukutumia kwa ajili ya watu wa Mungu
@Humble-n9h
@Humble-n9h 6 дней назад
Amen 🙏🙏 mabaya hayatanipata tena katika Jina la Yesu Kristo amen 🙏 amen amen amen 🙏🙏
@epifaniageraldnyaki7678
@epifaniageraldnyaki7678 6 дней назад
Amen mtumishi napokea kwa jina la Yesu 🙏 🎉
@KishaVerus
@KishaVerus 6 дней назад
Napokea nyakati nzuri kuanzia sasa...Amen Baba
@MariamLewis-t4x
@MariamLewis-t4x 6 дней назад
Mungu nisaidie😭😭😭
@azzamsuya846
@azzamsuya846 6 дней назад
Sitapatwa na mabaya mimi na familia yangu katika jina la Yesu Kristo amen 🙏
@JONAYCEMUNGURE
@JONAYCEMUNGURE 6 дней назад
Napokea nyakati nzuri baba Barikiwa sn sn
@atuganilejacob3119
@atuganilejacob3119 5 дней назад
Ameni,NYAKATI mbaya zote zilizotengenezwa katika maisha yangu nayabatilisha kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 6 дней назад
Amen Amen glory to God
@user-Ndashuka001
@user-Ndashuka001 5 дней назад
AMEN AMEN AMEN
@jenipherdonald7591
@jenipherdonald7591 6 дней назад
Amina. Baba yangu🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@kamugishaevodius8943
@kamugishaevodius8943 6 дней назад
Amina, Baba tunamshukuru kwa zawadi ya ujumbe mzuri na mafundisho mazuri ya Mwenyezi Mungu. Mungu akutetee
@joaquimjohnkaneno190
@joaquimjohnkaneno190 6 дней назад
🙌🙌🙌 Ameeeen
@robertmahayu5978
@robertmahayu5978 4 дня назад
Nimefarijika kwa neno la MUNGU asante Baba Mchungaji, kuanzia leo nimeagana na nyakati mbaya kwa jina la yesu Kristo Amina Amina.
@justine3943
@justine3943 6 дней назад
Napokea nyakati nzuri kwa jina l yesu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 дней назад
Jumbe unazosema na watu wa Mungu kweli nijisemee mimi nasaidiwa sana sana kiroho
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 5 дней назад
Miezi iliyobaki ya mwaka huu itakuwa ya Baraka na mafanikio Tele katika maisha yangu kiafya na kiuchumi katika jina la Yesu Kristo
@Aggybrian2023
@Aggybrian2023 6 дней назад
AMEN
@ArafatiKowero-hl7hy
@ArafatiKowero-hl7hy 5 дней назад
apokea nyakati nzuri kwa jina la yesu
@VioletMwanga
@VioletMwanga 6 дней назад
Amina. Mungu akubariki sana.
@silverisaac4202
@silverisaac4202 5 дней назад
Hapatakuwa na wakati mbaya kwenye maisha yangu tena . Ameen
@happynessmosha1101
@happynessmosha1101 6 дней назад
Amina
@Aggybrian2023
@Aggybrian2023 6 дней назад
Amen
@sharonshadrack9561
@sharonshadrack9561 5 дней назад
Nakataa kila nyakati mbaya nilzopitia nisipitie tena ktk jina la Yesu Amen
@ArafatiKowero-hl7hy
@ArafatiKowero-hl7hy 5 дней назад
amen kubwa baba mchungaji
@sarahmbilinyi8504
@sarahmbilinyi8504 4 дня назад
Nakataa nyakati mbaya na mabaya yote mm familiya yangu kwa jina la Yesu.
@justine3943
@justine3943 6 дней назад
Mabaya hayatanipata tena kwa jina LA yesu
@ArafatiKowero-hl7hy
@ArafatiKowero-hl7hy 5 дней назад
Amen kubwa
@PeacefulDaisies-jk2xq
@PeacefulDaisies-jk2xq 12 часов назад
AMINA
@Norisi-c6u
@Norisi-c6u 3 дня назад
Amen napokea ushindi
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 4 дня назад
Amen mchungaji ubarikiwe 🙏🙏
@StellaSelli
@StellaSelli 5 дней назад
Ameeeen
@MiriamAron-io4on
@MiriamAron-io4on 3 дня назад
Ameen
@sharonshadrack9561
@sharonshadrack9561 5 дней назад
Napokea nyakati nzuri kuanzia sasa
@StellaMboya
@StellaMboya 6 дней назад
Mabaya hayatanipata kwa Jina la yesu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 дней назад
Neno lako limenigusa U b arikiwe
@ZainabuTemba
@ZainabuTemba 6 дней назад
Mm nana wakati mgumu kwani madeni yamenianda sana sielewi yanatokea wapi
@AliceHatibu
@AliceHatibu 4 дня назад
Amen 🙏 🙏 🙏
@Esther-vj3ns
@Esther-vj3ns День назад
Amen
@user-Ndashuka001
@user-Ndashuka001 5 дней назад
AMEN
@happynesspallangyo9297
@happynesspallangyo9297 6 дней назад
Ameen
@StellaSelli
@StellaSelli 5 дней назад
Amina
@FloraHatia
@FloraHatia 6 дней назад
Amen Amen Amen
@AnnyAnny-g9f
@AnnyAnny-g9f 3 дня назад
Amen
@labannyamari4618
@labannyamari4618 6 дней назад
AMEN
@gilbartchiundo
@gilbartchiundo 6 дней назад
Amen
@bettykarimi-zz6oy
@bettykarimi-zz6oy 6 дней назад
Amen
@stanleybuberwa232
@stanleybuberwa232 6 дней назад
Amen
@RebekaJoji
@RebekaJoji 6 дней назад
Amen
@marianchamba3898
@marianchamba3898 6 дней назад
Amen
@MiriamEzekiel-d1p
@MiriamEzekiel-d1p 6 дней назад
Amen
@hildagrant3802
@hildagrant3802 6 дней назад
Amina
@justine3943
@justine3943 6 дней назад
Amina
@atuganile08
@atuganile08 6 дней назад
Amina
Далее
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Просмотров 31 тыс.
Kumbuka Ulipotoka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:37
Просмотров 10 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO I
34:28
Просмотров 16 тыс.
Unabarikiwa Ili Uwe Baraka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:49