Тёмный

Halfkeki , au halfcake njia simple ya kupika halfcake  

Neema Shaaban
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 160   
@nancykaseko
@nancykaseko 8 месяцев назад
Umeelezea vzuri sana ubarikiwe afu very simple Waoooh❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 месяцев назад
❤️❤️
@MchiloLamia-xx5wh
@MchiloLamia-xx5wh Год назад
Ahsante,nimepata ujuzikutokakwako nimepikazabiashara nzurisana, mungu abariki kaziyamikonoyako mdogowangu.
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Amina
@EmmyMushi-oz1mk
@EmmyMushi-oz1mk Год назад
Thanks for letting me know about this
@chinaboyzanzibar5328
@chinaboyzanzibar5328 Год назад
MASHALLAH SUBANALLAH I LOVE UR RECIPE MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY AND GO FOR HAJJ SAUDI ARABIA INSHALLAH MAKKAH SAUDI ARABIA 🇸🇦. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN LONDON 🇬🇧 WS ❤❤❤❤❤❤❤YUMMY RECIPE ❤❤❤❤❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Thanks
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Год назад
Aki nimejaribu na zimetokea nimezingatia vipimo na unga mgumu. Love you wajina.🙏
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@NuruPatrick-k1w
@NuruPatrick-k1w 8 месяцев назад
Asante kwa maelezo mazuri nimejaribu zimetoka na mafuta mengi ndan itakuwa nimekosea wap
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 месяцев назад
Ulikanda na mafuta mengi
@NuruPatrick-k1w
@NuruPatrick-k1w 8 месяцев назад
@neemashaabancakes asante nitajaribu tena mpendwa..pia nisipo taka kukandia mafuta c naweza kuweka margarine kijiko 1 katika kiro 1 c itatoka
@latifahhija130
@latifahhija130 7 месяцев назад
Asante madame nmeelewa napia unafundisha vizur
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 7 месяцев назад
❤️❤️❤️
@AneeNdidi-ec6cf
@AneeNdidi-ec6cf Год назад
Napenda kujifunza unafundisha vizuri
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu sana
@hitzmusictv3468
@hitzmusictv3468 Год назад
Toka group la vyakula vya kitanzania nakubali kazi yako sana dada neema ❤❤❤❤❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Santee
@AhdalAhdala
@AhdalAhdala 10 месяцев назад
Yuko vzr sana
@IsabelMazik-r4t
@IsabelMazik-r4t 11 месяцев назад
Asnte umefafanua vzr nimeelewa
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 10 месяцев назад
❤️
@muhsinimmbaga-wq9zz
@muhsinimmbaga-wq9zz Год назад
Asante kwa elimu nzuri
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@AhdalAhdala
@AhdalAhdala 10 месяцев назад
Shukran sana msukuma mwenzangu ❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 9 месяцев назад
❤️❤️
@FurahaAsimwe-zj1hc
@FurahaAsimwe-zj1hc Год назад
Abar Dada Asante kwa darasa lako had kek zangu zilikuwa Zina momonyoka sana
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hongera sana
@EsterRichard-qn6nr
@EsterRichard-qn6nr Год назад
Waoooh nzur😋
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@teychriss3248
@teychriss3248 Год назад
Wewe ndiyo kama mm 😀
@zulpharamadhani4060
@zulpharamadhani4060 Год назад
Nzuri Masha Allah..... Vipi kama hauna baking soda sio lazima kuweka?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Vizur kuweka ila kama huna sawa ila inafanya halfkeki kuwa ya njano kwa ndani
@zulpharamadhani4060
@zulpharamadhani4060 Год назад
@@neemashaabancakes oooh shukran, maana huku nilipo sijawahi kuziona baking soda
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
@@zulpharamadhani4060 upo wapi nchi zoote zipo baking soda
@mtalesophia3830
@mtalesophia3830 Год назад
Mashaalaaa zavutia😍
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@Zindukamedia
@Zindukamedia 19 дней назад
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 7 дней назад
😍😍
@sharonayesa-ri3kh
@sharonayesa-ri3kh Год назад
I like it thank you
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu
@zamilbakari-qs1qy
@zamilbakari-qs1qy Год назад
Nimependa nitapika n mimi asante kwa elimu
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu
@OliveJoachim-fs9ef
@OliveJoachim-fs9ef Год назад
Dada nashukur sana nimepik kilo Moja ya biashara zimetok nzuri sana sjawah pika hii ndo mara ya kwanza lakn zimetok vzr ni za biashara.. Asante sana dada Kwa darasa lako zuri
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Amina
@Nikolausflolenc
@Nikolausflolenc 10 месяцев назад
Amira hiweki?!
@christinathomson-jg4pc
@christinathomson-jg4pc Месяц назад
Dada naomba nielekeze kupika kilo mbili hamira niweke kiasi gani maana naona nakosea
@concareenpius
@concareenpius 3 месяца назад
Mwlm anaeleza kiupole sana😂😂 tusipoelewa bas tena
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@Brenda-fj6xe
@Brenda-fj6xe Год назад
Mimi napenda Sana kujua vitu Kama hivyo Asante dada ❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu sana
@AnsilaFrank
@AnsilaFrank 8 месяцев назад
Samahani dada ety hukipika afkeki kilo 2 hunaeka baking power na bicarbonet kiasi gani
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 месяцев назад
Zidisha mara nne hivyo vipimo
@AnsilaFrank
@AnsilaFrank 8 месяцев назад
@@neemashaabancakes sawa asante
@AleniMbwelwa
@AleniMbwelwa Год назад
Mashaallah
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
😘
@AhdalAhdala
@AhdalAhdala 10 месяцев назад
Napenda za kupasuka ila kila nikipika hazipasui nakoses wapi?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 9 месяцев назад
Unga huwa sio mgumu
@NzeyimznaSauda
@NzeyimznaSauda Год назад
Asant
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Sawa
@ChezDadya
@ChezDadya Год назад
Nzuri sana zinavitia sana
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Santee
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
Asante sana napenda na chai ya rangi❤❤❤ Dada unatokea wapi mwenzangu
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Geita
@shamzone388
@shamzone388 Год назад
@@neemashaabancakes mash allah upo vizur dada
@sagboison6297
@sagboison6297 Год назад
@@neemashaabancakes waaaoh vip tuwekee vipimo kwenye hii
@iluminataeugen7625
@iluminataeugen7625 11 месяцев назад
Mi nahitaji kujifunza kila kitu sh ngapi
@annaikungu6429
@annaikungu6429 Год назад
Sasa da Neema kama sina chapa mandashi natumia baking powder gan
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Zesta
@MwajumaHatibu-v8k
@MwajumaHatibu-v8k Год назад
❤❤❤
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@YoungmannUg
@YoungmannUg Год назад
Thanks dear
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hayaa
@HappyEmmanuel-z8p
@HappyEmmanuel-z8p 11 месяцев назад
Inapendeza
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 11 месяцев назад
Asante
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Год назад
Naomba link ya kupika mandazi my dear
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Sawa
@JescaNathani
@JescaNathani 11 месяцев назад
Mbn wengn ety wanawek chumv
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 11 месяцев назад
Kama unapenda weka
@JescaNathani
@JescaNathani 11 месяцев назад
Ahna asnte unafundish vzr sn iv nipo najaribu
@godfreymoy7313
@godfreymoy7313 10 месяцев назад
Half keki Za kuanza zikishaiva utaendelea kupika zingine na mafuta hayo moto?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 9 месяцев назад
Unaacha yapoe
@WaimaUtali
@WaimaUtali 7 месяцев назад
Aloo asante sana nilikuwa natafuta namna ya kukata mkato wa 200 nimwupata kwa kilo 2 natoa harf cake 85 asante sana
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 6 месяцев назад
❤️❤️
@Nikolausflolenc
@Nikolausflolenc 10 месяцев назад
Huweki amira?!!!
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 9 месяцев назад
Huweki
@mamaeverline9271
@mamaeverline9271 Год назад
Robo inatoa keki ngap
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Sijawahi kuhesabu
@mamaeverline9271
@mamaeverline9271 Год назад
@@neemashaabancakes mh,au nmekukwaza jaman kwel upke usihesabu
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Wanaohesabu wafanya biashara Mimi siuzi na sijawahi uza halfkeki Yani unapika watu wanakula kuanza kuhesabu wewe pia nahisi kama vya nyumbani huwezi kuhesabu
@beatricenyagawa
@beatricenyagawa Год назад
nikipika zinanyonya mafuta nakosea wapi,
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Unakanda na mafuta mengi jitahidi kukanda na mafuta kidogo
@batulimbigili7494
@batulimbigili7494 Год назад
Kwenye kilo Moja unatakiwa kupata keki ngapi ili kupata faida?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hapo jitahidi kibalance wewe ili upate faida upange kabisa kamaa unauzaa Bei gani utoe ngapi. Mimi za biashara sijawahi kuhesabu maana huwa napika za kula tu
@batulimbigili7494
@batulimbigili7494 Год назад
Sauwaaaaa
@NasraTelesphory
@NasraTelesphory 9 месяцев назад
Asante sana nimejfunza lakini naomba kuuliza unga kilo moja naweka kiasi gani 😢😢
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 9 месяцев назад
Unazidisha kila kitu mara nne
@zubedasulmah3135
@zubedasulmah3135 8 месяцев назад
Kilo Moja unga Bp4 tspn Bs 4half tspn Sugar 12tbspn Oil8tbspn Hope sijakosea
@aminavunde6307
@aminavunde6307 Год назад
Mimi mahali niko na banking powder pekee
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Sawa tumia
@roseberryhamoud6542
@roseberryhamoud6542 Год назад
Sasa je, ukiweka awamu ya pili hapo jikoni, mafuta si yatakuwa yamechemka?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Yaache yapoe au ongezea ya baridi
@HadijaHatibu-yl5mu
@HadijaHatibu-yl5mu Год назад
Mbona zina kuwa ngumu haziwi laini nakosea wapi
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Unaziacha wazi au
@silasmwawuganga-m4l
@silasmwawuganga-m4l Год назад
Mim ni mgeni na ukipika kilo moja na nusu waeza vipimo vya amira, baking soda, na chapa mandaa kiazi gani
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hiyo ni robo zidisha mara tatu iwe kilo na nusu
@silasmwawuganga-m4l
@silasmwawuganga-m4l Год назад
Na vipimo vyake napika na azifuri na asipuki shida nini
@silasmwawuganga-m4l
@silasmwawuganga-m4l Год назад
Napika na hazifuri nakosea wapi dada
@rahmamohd5111
@rahmamohd5111 Год назад
Zngu zinakuja vizur lkn znakua chungu shida nini
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Baking soda unazidisha
@PriscaMwakibinga
@PriscaMwakibinga Год назад
Duuuh kumbe n unga wa ngano dada sio flour
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Unga wa ngano kwa kiingereza ni nini
@godfreymathiasi7740
@godfreymathiasi7740 Год назад
Jmnii afcake haziweki hamira qu
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Ee
@annaikungu6429
@annaikungu6429 Год назад
Weka amira
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Weka wewe kama huwa unaweka
@papaamopao51
@papaamopao51 Год назад
Je amira ni lazima kwenye half keki?
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Angalia video mwanzo mwisho
@dorcusmsinga3136
@dorcusmsinga3136 Год назад
Neema Shaban
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Abee
@elinakizza8453
@elinakizza8453 Год назад
😢😢😢😢😮😮😮
@XeviourOnyango
@XeviourOnyango Год назад
Hello
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hi
@IbrahimJoseph-en6mw
@IbrahimJoseph-en6mw Год назад
Mbona nikizipika harufi ya mafuta inanuka sana,ya alizeti
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Alizet chemsha kabla ya kupikia siunajua huwa Yana hatufu
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Год назад
Da neema zangu azikupa🤣suka
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
😂😂😂
@aishasaidi6519
@aishasaidi6519 11 месяцев назад
Chumvi hamweki
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 11 месяцев назад
Kama unapenda weka
@estarsamwel3890
@estarsamwel3890 Год назад
Neema naomba vipimo vya unga kg 1na nusu
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Hivi zidisha mara nne
@murependo163
@murependo163 Год назад
Nmeelewa sante san
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu
@emmylawrence107
@emmylawrence107 Год назад
Sorry nimepik zangu hazijapasuka nimekosea wapi my dear
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Unga haukuwa mgumu
@emmylawrence107
@emmylawrence107 Год назад
@@neemashaabancakes sawa nashukuru
@furahaakilei7336
@furahaakilei7336 Год назад
Nitakua nafatia nimazur
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Karibu sana
@eliminajohn
@eliminajohn Год назад
Unaelekeza vizur adi nimependa tu bure yani
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
Naomba kujua tofaut kati ya baking soda na baking powder.
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Tofauti ni moja baking powder na nyingine ni bicarbonate of soda
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
@@neemashaabancakes yaan kazi zake. Maana nimeona watu wengi kwenye half keki wanatumia baking powder, sio baking soda.
@suzykalekwa2521
@suzykalekwa2521 Год назад
Asantee jamani kwaelimuyako
@naahshabani8772
@naahshabani8772 Год назад
Kama sikosei nimesoma comment kasema kwamba baking soda inasaidia kuleta ile rangi ya njano kwenye half cake🙏
@AloyceTarimo-xu7gu
@AloyceTarimo-xu7gu Год назад
Jaman mm napika ila sijui nakosea wap ,me hazipasuk jaman
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Labda unakanda ngano laini sana
@ellys7366
@ellys7366 11 месяцев назад
Nmejaribu kwa mara ya kwanza zmekuwa na kauchungu sijui nmekosea nn da neema
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 11 месяцев назад
Baking soda utakuwa umeweka nyingi
@NzeyimznaSauda
@NzeyimznaSauda Год назад
Upiwe mauwa yako
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Santee
@rachelkasheto6532
@rachelkasheto6532 Год назад
Mfano unga kg 1 unatumia banking soda vijiko vingapi vya chai Kama huna hivyo vijiko vidogo
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Mara nne ya kila kitu nilichoelezea kwneye video maana hivyo hapo ni vipimo vya robo
@Veronicakidiwa
@Veronicakidiwa Год назад
Ukiwek hamira je😢
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Haiwekwi
@abdulkarimmsafiri2237
@abdulkarimmsafiri2237 Год назад
𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚 𝒗𝒊𝒑𝒊𝒎𝒐 𝒔𝒂𝒔 𝒋𝒂𝒎𝒏
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
Vipimo gani mpendwa siumeskia nataka au hujasikiliza
@AnsilaFrank
@AnsilaFrank 8 месяцев назад
Samahani dada ety hukipika afkeki kilo 2 hunaeka baking power na bicarbonet kiasi gani
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes 8 месяцев назад
Zidisha
@sharonayesa-ri3kh
@sharonayesa-ri3kh Год назад
@neemashaabancakes
@neemashaabancakes Год назад
❤️
Далее
JINSI YA KUPIKA HALF KEKI MZURI SNAA
10:27
Просмотров 11 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 2,1 млн
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 386 тыс.
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 843 тыс.
Cake ya vipimo vya nusu #neemashaaban #msukuma
9:40
Просмотров 62 тыс.
HALF KEKI ZA CHAPA MAANDASHI TAMU SANA
4:48
Просмотров 315 тыс.
MSETO - KISWAHILI
5:36
Просмотров 69 тыс.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 2,1 млн