Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies Asante sana kwa kufika hapa please Subscribe tufikeni 50K subs pia share the video bila kusahau kulike na kama unapenda video za halfkeki zingine zote ziko hapa fuata hii link utaona na utasaidika ukiwa na swali usisite kuuliza pia like hii video na ushee pls😘 ru-vid.com/group/PL0lMsQJd3yDBUDZIeZrA-DiOgliRi_uqo Mungu awabariki kwa hii support sina cha kuwalipa nawapenda sana kwa ajili ya Allah😘
@@fatumasuleymanashurambinda6880 kipenzi nikitambo sana hio app nlikua natumia sinayo tena hata sijui nyimbo za kizungu🤣🤣mm naweka tu ndio nisiongee kwingine
thank you.......this is the simplest/most basic recipe on youtube for ngumu/half-cake.......and this is what i was looking for.........no milk, eggs, margarine or all those unnecessary and expensive ingredients
Thank you Hadija for giving me an idea about how to prepare and cook half cake. Half cake and kaimati were my favorite bites when I was a young boy in primary school. Steve from Kenya.
Mashallah mashallah yaani nimejaribu zimetoka perfect Allah akulipe kheir habibty kwa ku share nasi maa tatizo langu ilikuwa ni kuingia mafuta ndani lakini kwa hii style mashallah nasema mashallah na tena na tena