Whoever is watching and reading this, may God bless you and your family and may He give you wisdom, health and wealth and successful life be your portion in Mighty Name Amen
Asante dad tunashukuru sana kwa mkate rahisi amba umatufindisha lakini nauliza kwa wale ambao wana jiko la umeme tu watafanaje kuupika mkate huu asante ubarikiwe
Pika ivo ivo si kuna plate,tena hiyo itakaa poa zaidi,sababu plate tayari moto wake umesambaa. Jiko hilo lina oven ama LA?pika kwa oven hiyo,kama halina tumia mkaa,video ya mkaa IPO hapa... Ama angalia video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-FS3bOxeXblk.html Ukiwa makini unaweza kupika hivi na kama sio mwoga
Woooow leo nimetengeneza mkate kwa kufuata maelekezo haya, Aisee umetoka mtamu huo mlaini sana hope nikutumie uonje😊😊👍👍😋😋, natamani hata nikutumie ka video uuone, naelekea kwny keki sasa😍😍🔥🔥👏👏👏💕💕
This is Beautiful..Mashaallah Mashaallah Mashaallah..Shukran soo Much for sharing,Simplicity @its BEST👍🏾No fancy Gadgets n Rocket Science Reciepes..I thankyou soo much👍🏾👍🏾👍🏾..Just became your new subscriber😘