Тёмный

Hamisa Mobetto: aeleza YOTE Kumroga DIAMOND / SAUTI ni ZANGU / Hajielewi / Tumeachana. 

LilOmmyTV
Подписаться 545 тыс.
Просмотров 211 тыс.
50% 1

Hii ni EXCLUSIVE INTERVIEW ya Hamisa MOBETTO kwenye The Playlist, Elezea ISHU YOTE kama ilivyo kuhusu Kumroga Diamond, Kupigwa na Mama Diamond mpaka Wigo kuvuka, Kuhusu WEMA, ZARI na kila kitu. na hii mara ya Kwanza Hamisa ameongea hayo, Tazama hapa.
#HamisaMobetto #Uchawi #DiamondPlatnumz
#ThePlaylist
Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV
Let's Connect
/ lilommy
/ lilommy
/ lilommyfanpage
lilommy.com/
Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

Развлечения

Опубликовано:

 

20 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 873   
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Chama cha wasoma comments RU-vid tujuaneni jamani hiishow nikali ganga like
@chabycarpoza2998
@chabycarpoza2998 5 лет назад
Nipo hapa
@jessicaedwards9172
@jessicaedwards9172 5 лет назад
Amiri Ramadhan hahahhaha yani ni mwendo wa kushangaa tuuuu
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 года назад
T
@fettyliclous_flovour_tz9489
😅😅😅
@fg2969
@fg2969 5 лет назад
Nimekupenda bure we mwanamke, you are super honest, and smart brain ata ommy amekubali banaaaaaaaaaa amekwambia anajua you are smart, unajielewa kabisa, FOCUS baby girl FOCUS i love the new you kabisa and you will go far bila hii familia walah
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Hayo nimaisha yao kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe so tuwaachie wao
@fatumaally3266
@fatumaally3266 5 лет назад
😂😂😂😂😂nyoooo umefunguka Leo ila vizuri missa hukuwa naniambaya
@fatumaally3266
@fatumaally3266 5 лет назад
Day anatapa tapa
@christinawillson6185
@christinawillson6185 5 лет назад
Umeongea vyema Sana dada
@angelahmoraa5472
@angelahmoraa5472 5 лет назад
Mama dee much love from OMAN,nakupendanga sana
@dickwaynemoorey7699
@dickwaynemoorey7699 5 лет назад
Gonga like kama umekaona kakofia ka liliomy😂😂
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 5 лет назад
That is what I wanted from you Misa ...kuanzia hapo umejitambua kuacha kumg"ang'ania ..wakat hupendw. Bas pga Kaz ..mungu abarki
@hananmustafa6430
@hananmustafa6430 5 лет назад
I love hamisa Sana Mm timyako Sana my love wangu Mm na family yangu ww nikiyo achana nahuyo diamond leya mtoto wako mama
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
@@hananmustafa6430 Yani unishindi mimi
@mariamyusuph8058
@mariamyusuph8058 5 лет назад
Nani kati yetu hana mistakes in life?? Lets stop judging this woman she went through hell. Its ok to do MISTAKES and learn from it. IM NOT YOUR FAN BUT I HONESTLY LIKE YOU MORE AFTER WATCHING THIS INTERVIEW TODAY. KEEP MOVING
@SHININGFILMTV
@SHININGFILMTV 5 лет назад
Kweli dada Hahaha muje msubscribe na channel yangu jamani ina mengi ya motooo
@fredicahnkaebwa4745
@fredicahnkaebwa4745 5 лет назад
Mariam Yusuph shida yake anapenda kiki Sana kupitia kwenye migongo ya wengine.imagine nine years without producing with the man u love then Akisha pata wakumzaria then okashoboka kwa kutaka kiki. No not good at all.she really messed up
@fredicahnkaebwa4745
@fredicahnkaebwa4745 5 лет назад
Kwanini humtafuta mume wako.unashoboka tu na wanaume wa watu. Giheshimu plse na acha kutembeya na waume za watu
@fredicahnkaebwa4745
@fredicahnkaebwa4745 5 лет назад
Yani hamisa in short Bado ana mambo ya kitoto.siku hizi wanawake wanaroga wanaume kwa mapenzi sio kwa uchawi. Acha ujinga dada. Usifurahie kwa vile watu wanakusifiya.that thing if I were u I wouldn't accept coz its so barbaric for our generation
@Biancaaa12345
@Biancaaa12345 2 года назад
Hamisa ♥❤ Mobetto was very young 21yrs when she got a baby from that witch family. Zari found Hamisa already dating diamond Zari immediately got pregnant but diamond never left the young girl Hamisa Mobetto.
@lashymreal6555
@lashymreal6555 5 лет назад
I love you Misa no matter what maisha mapito tu
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 5 лет назад
Lashy Mreal I love her too
@annlove501
@annlove501 5 лет назад
Love her or hate her she's going places!!
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
#Mobetto nakupenda sana 💋😘😍😍 Umefanya la maana ku move, nimekupenda bure, Allah atakusimamia kwa kila hatua, utapata Mwanaume mwenye khery na wewe asije kukuuwa bure cute wetu, nakupenda sana 💋😘😍😍 sana my love 💋😘😍😍💕 Jinsi ulivyo funguka ishu zote yani nimezidi kukupenda, Tambweeeee nifikishie huu ujumbe kwa #Mobetto mwambie namkubali sana 💕💋😘😍😍
@saadahamza3856
@saadahamza3856 5 лет назад
Acha kumshirikisha allah ktk jambo lisilo mpendeza. Allah hajataka tuharibiane mielekeo yetu. Hii n dhambi yake anailipa akiwa hapahapa dunia. Ww n mwanamke, what if lingekukuta kama lililomkuta zari. Je ungemsifia mwanamke aliyeharibu future ya watoto wako. And ukimsikiliza vizur aling'ang'ania kwa mondi kwa ajili ya kuolewa, na ndo 7bu akabeba mimba. Nandomana anaamua kuachana nae coz alilotàka hapat zaid ya kuambulia kudharirishwa
@salimakanik2805
@salimakanik2805 5 лет назад
My upo uwa nakumiss
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
@@salimakanik2805 nipo sana tu my dear
@cailamom145
@cailamom145 Год назад
Larkin
@cailamom145
@cailamom145 Год назад
Haikua sababu yakuyasema hayo yote mama we umevulugwa au ahaa makubwaa
@latifamchekenje6718
@latifamchekenje6718 5 лет назад
Yan mnajifnya hamumpendi misaah af interview!!! Yake mmekimbilia RU-vid kuangalia ndio kumpenda kwenyewe huko
@mtirojames1842
@mtirojames1842 5 лет назад
hamisa kweli ww huna hata aibu mond unampenda sema tu voice zako zimekuhaibisha Dada yetu hahahaha pambana na hali yako
@nurukaisha3706
@nurukaisha3706 5 лет назад
I Love you beyond words.. Hamisa keep that faith you will go far... Umeanza vizuri freedom is the best.. Thing. Go mamaa.....
@babafain2830
@babafain2830 5 лет назад
Hamisa u r a true woman haki unani inspire sana Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 лет назад
😀😂😂 kweli hiyo story inafurahisha.
@zuhuramwalimushabani8836
@zuhuramwalimushabani8836 5 лет назад
Love you my much misa❤❤❤❤ from Dubai
@zingahassan5851
@zingahassan5851 5 лет назад
MY FIRST TIME TO LISTEN HAMISA INTERVIEW ..VERY BIG MIND MADAM..HAKI AKILI YAKO KUBWA SANA MZAZI MWENZAKO..BIG UP MAMA
@Foodtokonly
@Foodtokonly 5 лет назад
The good thing with you is .... you speak the truth and believe me you......This only makes you a Hero. You are truly Madam Hero.
@lulumalima1739
@lulumalima1739 Год назад
Hamisa you’re an intelligent woman tangu siku nyingi. We love you!
@malkiasepetu8615
@malkiasepetu8615 5 лет назад
I love you Hamisa.... May Allah Protect you n ur children ...stay happy we have ur back❤
@harfonwarda8752
@harfonwarda8752 5 лет назад
Hapo kwa mganga sijui ustadh hamisa hujielewi achana na dai utadhalilika mpaka lini
@shazdelacruz9800
@shazdelacruz9800 5 лет назад
I love this beautiful lady and anajua what she needs for life woow
@kichunahashim9394
@kichunahashim9394 5 лет назад
Bado wampenda dai.kudhalilishwa kote huko.waulizwa uko tayari kuzaa na dai.waanza fikiria.na ndoa kama huitaki usingeenda kwa mganga
@annamkama8423
@annamkama8423 5 лет назад
"Kuna wanaume wengi wanapenda kulogwa ! 😀" nimefurah sana hiyo kauli.
@royvannyapple5157
@royvannyapple5157 5 лет назад
umeongea point kpnz nd maan nakulove 👏👏👏
@lmdelos7609
@lmdelos7609 5 лет назад
That's the way to go girl.sky is the limit. You destined for greatness
@chabycarpoza2998
@chabycarpoza2998 5 лет назад
Huyo mama yko ndy bodyguard Wako ujue anakualibu Sana madam KARABA
@couplekatangais4866
@couplekatangais4866 5 лет назад
From Kenya Congo❤❤❤
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 5 лет назад
Wema nyumbu tu, wivu wamsumbua
@solangekubota9487
@solangekubota9487 5 лет назад
Congo unani shangaza
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 5 лет назад
Amissa NICE mama Mungu yuko na nawe inshaa Allah 😍😍😍😍❤ from UK
@zahoorzozo2241
@zahoorzozo2241 5 лет назад
Aisee nimecheka sana kumbe kweli ulitaka umroge? Dah mtegemee mungu Hamisa bhana achana na ushirikina
@hadijashabani6233
@hadijashabani6233 5 лет назад
Zahoor Zozo tofautisha kuroga na kuomba dua fala ww
@sish7012
@sish7012 5 лет назад
@@hadijashabani6233 ww kweli ujui kitu wapi kuliko sema tumia duwa kumloga mtu Mungu kaluhusu niambie namm nijue kwenye kitabu gani tena atete zinaa akuomba siku zote aje kuomba juzi ww achahutani nadini
@zahoorzozo2241
@zahoorzozo2241 5 лет назад
Hadija Shabani fala babako boya wewe eti duwa wkt mwenyewe amekili
@tinivanny7562
@tinivanny7562 5 лет назад
@@sish7012 wacha ujinga wewe wapi alisema anaamba dua ili amroge
@sish7012
@sish7012 5 лет назад
@@tinivanny7562 sikiliza voice kwa makini alafu kiswahili ujui kuandika sijui mwezetu wawapi
@adijaadija2335
@adijaadija2335 5 лет назад
hamisa❤❤❤
@trishtrish2349
@trishtrish2349 5 лет назад
I like this new confident Hamisha, big up girl
@tatuomar4164
@tatuomar4164 5 лет назад
Nakupenda sana hamissa mpaka naumwa ila mungu yupo naweye atakusaidiya muombe sana
@zulugeneral5563
@zulugeneral5563 5 лет назад
mchawi
@tatuomar4164
@tatuomar4164 5 лет назад
+Can you with me nampenda ivo ivo nauwachawi wake ata hawe kinyamba nyamba tampenda tu
@lenaliz8037
@lenaliz8037 5 лет назад
U R strong woman. This man and his mother have put you through so much. Your priority should be your kids. If he wants to be part of his son’s life, he should learn to respect you as well as guarantee his son’s protection.
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 5 лет назад
Tambeeeee yaan unavyomuuliza.maswal hata kama hataki kujibu lazima utajibu tu bila kujijua
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 5 лет назад
@HamisaMobetto such a lovely intelligent lady! Bado mami unakomaa, mistakes na changamoto zimo but above all *#OwningUp* earns you even more respect. Now go, keep winning!! #ATeamlessKenyan #SupportingAfrican #TeamAfricanQueens
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 5 лет назад
LilOmmy kizazi zaid much love 😍
@saadahamza3856
@saadahamza3856 5 лет назад
Mm pia n muislam, kazi ya shehe n kukuombea dua tu na sio kusikiliza kisa chako then ndo akuombee. Mwenye kusikiliza shida na kutibu accordingly n mgaganga. Aache uongo bhana yy alienda kwa mganga. Anatakiwa ajue tu ridhiki hupangwa na mungu, aache ku force maisha. If yes no body can say no, but ukiradhimisha ata mungu atakupa No, No, No until u die
@mwanamwana3467
@mwanamwana3467 5 лет назад
wew fanya ututolee ngoma ingine acha na mondi atakuzeesha 😂😂😂
@ericaerick16
@ericaerick16 5 лет назад
nampenda saaana Hamisa keep on moving...mwaya maisha yana changamoto nyingiii
@saadahamza3856
@saadahamza3856 5 лет назад
Hamisa alikuwa na tamaa, haswa tamaa ya maisha. Na hii n dhambi ambayo inamla hapahapa duniani. Kwa nn anaamua ku giveup kirahisi ivyo akat mwanzo alishndwa kuji control adi ameharibu future ya tifa na nillan. Sasa anayarudia maneno ya zari eti mtu haeleweki. Anasahau yy ndo alisababisha adi wenzie wanaachana. Sijui anachoka nn, yy apambane coz ndo alikua anayataka
@mariambeautytravel
@mariambeautytravel 5 лет назад
Umepitia mengi pole hamisa
@marrysimon5987
@marrysimon5987 5 лет назад
Amisa nakupend
@couplekatangais4866
@couplekatangais4866 5 лет назад
Hamissa mobetto ❤❤❤
@emmanuelkazimoto8096
@emmanuelkazimoto8096 5 лет назад
Nakupenda sana hamisa honestly unadeserve kupendwa na Kila mwenye akili timamu
@mohdyussah825
@mohdyussah825 5 лет назад
From UAE Umeongea vizuri sana Hamisa angalia maisha yako sasa
@fatumayakub4674
@fatumayakub4674 3 года назад
Hakuna zaidi ya Allah..Doh mambo ya uchawi sio nzuri
@richardmnkande1130
@richardmnkande1130 5 лет назад
Diamond atapata tabu sana maishani mwake asipoangalia vizuri maisha yake ya mahusiano. Ni kama laana ya Zari inamsumbua tuuuuuu
@mussamussamussa8444
@mussamussamussa8444 5 лет назад
N zari pia laana ya mumewe Ivan umelisahau Hilo mtu una mume na watt wakubwa unaenda kwa mvulana play boy je hiyo sio laana?
@moniacris4352
@moniacris4352 5 лет назад
Kwan zari n nan mungu
@madoajr.5317
@madoajr.5317 5 лет назад
Very smart very active madam God bless u much
@couplekatangais4866
@couplekatangais4866 5 лет назад
Just move on with your Life Mama dee
@jamiloadan534
@jamiloadan534 5 лет назад
Love u hamisa never give up god is always with u swt
@bdjsbejjdlevsk4546
@bdjsbejjdlevsk4546 5 лет назад
I love you babeee huwez kumfurahisha kila mja kwenye hi dunia so usiumize kichwa kwa watu wanao jifanya wao ni kama malaika hawawez kosea wanajua kuhukum wao kma Mungu vile
@miliansomola6945
@miliansomola6945 5 лет назад
Usiende tena kufanya dua Hamisa bana unatuangusha timu yk ukishinwa uje twende kanisani tukafanye maombi mpnz we lov uuuu
@monicahumphrey2716
@monicahumphrey2716 5 лет назад
So smart mobeto that's why I love you Misa
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
I love you Hamisa,kam wewe team Hamisa like 👍👍👍👍Wema mnafiki sana yule dada 😏😏😏
@hopefully7090
@hopefully7090 8 месяцев назад
Huyo hamisa wenu aliwahi kuishi kwa wema na kubwa nguo zake huku akimwita dada nyuma ya pazia analala na dai unafiki wa wema umetoka wapi?
@salamadaud8079
@salamadaud8079 5 лет назад
Jipe raha mwenyewe @Hamisa mobetto, u r such a strong woman
@nickymeel986
@nickymeel986 5 лет назад
Ww Hodari misa..afu nimekupenda ju ww ni muwazi😍😍😍😍love yha
@jancybimetv2856
@jancybimetv2856 5 лет назад
😚
@singlemama3kids270
@singlemama3kids270 5 лет назад
Penda misa but pia muache unafiki watanzania mna roga wote hadi basi mnaroga majirani yeye karogea mapenzi na mtoto wake awe ana maisha mazuri na ndoa ni kheri mie nimeshaomba dua kwa mume wangu atulie so ubaya gani
@sakarimomoi7040
@sakarimomoi7040 5 лет назад
this women is so Dope familia ya dai Utajiri na umaarufu unawalevya wasionee watu maana Mungu atawageuka siku
@sanurahamad4578
@sanurahamad4578 5 лет назад
Subhahanallah yaani unamshikisha mwenyezi mungu alafu unakuwa proud
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
Yaan kama unamkubali hamisa mobeto acha wivu gonga like yako please
@jamillaibrahim7068
@jamillaibrahim7068 5 лет назад
hahaha asante madam hero interview imefanya watu waka wish ety respect haha respect wakat ukamwita mama Mtoto wako kima
@wennybarny168
@wennybarny168 5 лет назад
Mdogo wangu nakuombea kwa Mungu Akusaidie kumsahau Diamond, hakika nimeona bado unampenda sn kutokana na maelezo yako. Umeshaumia sio mara moja na sio kidogo kwa ajili yake huyo mwanaume. Inaonekana ankutamani tu na sio kukupenda ila ww ndo unampenda sn. Mungu Akikiujalia kuleta amani na upendo uwe naye ni sawa, ila usilazimishe mpendwa wangu maana utaumia zaidi. Naona km vile akili yako ina amini huwezi kuishi bila Diamond au labda unadhani kuwa ww ni bora kuliko wanawake wote kwenye macho na moyo wa huyo mtu. Nimeongea kisaikoljia zaidi. Trust me, ni Mungu tu ndiye ambaye huwezi kuishi bila Yeye Muumba. Mwamini Mungu utaishi salama na kwa amani tele. Usimfikirie tena huyo mtu. Ila km unadhani liko tumaini la ww kuwa nae tena huyo mtu sawa nisikivunje moyo, trust your heart and your instincts tofauti na hapo just forget it na utakuwa na amani na furaha tele. Take it from me honey. Nakuhurumia sn.
@monilahcruz7293
@monilahcruz7293 5 лет назад
Yani kwene yes or no bado unatamani kuzaa nadai jmn dada ving'ang'anizi wewe ukiachwa achika wewe kwani dai ndokaku bikiri jamani
@alibinali_
@alibinali_ 5 лет назад
Ila wewe kama sio download usinge kuwa wajulikana hivyo ulitaka sana kupata mtoto na diamond kwa sababu wewe mjanja sana
@rolencepoul5344
@rolencepoul5344 5 лет назад
She is damn smart ..i like this girl
@vanessanyanda4148
@vanessanyanda4148 5 лет назад
Hivi kitendo cha Dai kumwita mtto wa Hamisa side kid, kwani mtto wake yupi ni main kid?! Au alikuwa anamanisha nini kusema side kid?!
@Joliezidane
@Joliezidane 5 лет назад
Hapo sasa wote ni side kids
@asiakadendula4244
@asiakadendula4244 5 лет назад
Nee and tee is main
@vanessanyanda4148
@vanessanyanda4148 5 лет назад
@@asiakadendula4244 kwahyo ikatokea Dai ameoa leo, Nee&Tee watabaki kuwa main kid?!
@vanessanyanda4148
@vanessanyanda4148 5 лет назад
@@asiakadendula4244 Au na wao wataingia kwenye kundi la side kids?!?
@elzearselestine5000
@elzearselestine5000 5 лет назад
wote side kids wale
@khalifacyrus4300
@khalifacyrus4300 5 лет назад
Even if it could have been me i would do the same thing to someone that I love, love you boo hamisamobetto 😍😍😍
@MIKEBOSSNJENGA
@MIKEBOSSNJENGA 5 лет назад
Hio hadithi ya shekhe ama sijui usthadh haieleweki hataa... Umechanganya sana dada
@Sasha-xl9th
@Sasha-xl9th 5 лет назад
Yani nashkuru umeliona hilo.... Very stupid
@victoriamulwa1354
@victoriamulwa1354 5 лет назад
Sana i wish i can interview her. Ntapata vizuri shes lying
@Hedva255
@Hedva255 5 лет назад
Hata mimi amenichanganya hahahahaa
@tinivanny7562
@tinivanny7562 5 лет назад
kwa akili zako unataka aanzie kwa mpangilio ili uelewe zaidi ? Mfate ukaonane naye uso kwa uso akuelezee utakavyo wewe
@marryndewele785
@marryndewele785 5 лет назад
acha yakukute tu shoga ulizani umemkomoa zari kumbe umepatikana unaona sifa chuchunge ulizani umemkomoa zari mwanamke fisadi we we kwenye arobain ya nillan mpaka unatunza kumbe na ulikuwa na mingo zako yakukute tu shoga
@alantonio855
@alantonio855 5 лет назад
She is very strong this girl not like others
@nailaharoun2501
@nailaharoun2501 5 лет назад
Misaaaaa😍
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 5 лет назад
Et ustadh sas waganga c ndo zenu kujiita maustadh yaan cwapendi washrkina hat kdgo yaan mzry lkn chawi hilooo
@jescalyatuu5632
@jescalyatuu5632 5 лет назад
Jinga sana hamissa😃😃😃 Much love kwako mama Dee ❤❤❤❤❤
@dianastanley8673
@dianastanley8673 5 лет назад
Nakupenda misa hadi naumwa😍
@Hedva255
@Hedva255 5 лет назад
Pole baby wangu hahahahaa
@imakulatatitus2469
@imakulatatitus2469 5 лет назад
P
@asiakadendula4244
@asiakadendula4244 5 лет назад
Mbona uliposti picha za uchi kama unaheshima kwenda kuleeeeee
@rogermwanawahunda4041
@rogermwanawahunda4041 5 лет назад
Hamisa ni mkweli ni wanawake wachache sana kama uyu
@Hedva255
@Hedva255 5 лет назад
Ni kweli mwaya
@asiakadendula4244
@asiakadendula4244 5 лет назад
Sidhani kama kuna mwanamke atafurahia malaya kuja kulala kwenye kitanda chake,
@asiakadendula4244
@asiakadendula4244 5 лет назад
Naukweli gani mchawi tu huyu
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 лет назад
@@asiakadendula4244 , kwani ka olewa hapa kwa Mondi ?
@hilwahalawa251
@hilwahalawa251 5 лет назад
Team missaaaaaa penda ww mpk basi like it if you love hamissa
@abdulqareem953
@abdulqareem953 5 лет назад
Lil Ommy The Best Presenter In Town
@mohadangote813
@mohadangote813 5 лет назад
In east africa bro
@wambosunshine5600
@wambosunshine5600 5 лет назад
Right
@fatmamasoud6243
@fatmamasoud6243 5 лет назад
Sasa umekuwa michaaa kama KWELIII umemuv down kwaaa chibuu ayaa mama Pambanaa mamyy utasongaaaa mamyyy
@elifurahamsuya435
@elifurahamsuya435 5 лет назад
umeshindwa ulimwaribia sana mwenzio zari sasa yamekurudia ndo dawa zilivyo wewe ulimchukia zari mwongooooooo,ndo mwisho Wa dawaaaaaaa
@hyeragerald4442
@hyeragerald4442 5 лет назад
Pole sana..always God is good.. Utapata tuu
@Foodtokonly
@Foodtokonly 5 лет назад
I knew you meant good babe but they never understood you. The strongest person for your age.
@christinajonas374
@christinajonas374 5 лет назад
Nimetokea kukupenda hamisa umeongea ukwer lv you so much ❤️
@nasramsami3410
@nasramsami3410 5 лет назад
I like it hamisa mwanamke shujaa unajielewa
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 5 лет назад
Ww ni Madam hero kweli hamisa
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 5 лет назад
Nasra Msami anajielewa kuloga
@ashrafrajabu6464
@ashrafrajabu6464 5 лет назад
Kwani ulixhindwa kumuomba mungu ww mwenyewe na akajibu dua zako mana hata hao maostadhi inawezekana anatumia qur_an na tunguri pia je huoni kama ni shirki hiyo
@monnicamasaluh9377
@monnicamasaluh9377 2 года назад
acha ujinga viongozi wa dini wapo kwa ajili ya kuwaombea watu
@ashrafrajabu6464
@ashrafrajabu6464 2 года назад
@@monnicamasaluh9377 mjinga na mpumbavu ni ww ambae hujaelewa
@mossesmatechi9022
@mossesmatechi9022 5 лет назад
Never Give Up @hamisa mabetto 💪💪
@Kidotii
@Kidotii 5 лет назад
Ila huyu Dada ni Madam Hero indeed ,with all that bado ana smile ! Yaan mrogee tu huyoo Dai!
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Dah Mondi hajui kinachoendelea....... sasa Misa akiamua kushea izo voicemail za ndugu wa Mondi inakuaje....noma kweli #MadamHERO stay strong
@prideofafrica_254
@prideofafrica_254 5 лет назад
Kumbe weee n.muoga misa🔥nakupenda mom
@kenya-yj3eq
@kenya-yj3eq 5 лет назад
Mungu alikulani umezowea mapenzi ya wanganga omba Mungu na atakupa mume mwema acha njia za wanganga
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 5 лет назад
Dàaaaah mungu niepushe na wachawi
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Dah ww kaka comment zako zimejaa😂😂inaonesha dhahiri umpendi hamisa
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 5 лет назад
Much love hamisa Kizazi sanaa
@mamyunique724
@mamyunique724 5 лет назад
yani bora Leo umeeleza vizur yote jmn nimependa san
@peternjungeh881
@peternjungeh881 5 лет назад
This was a very great interview. Hamisa is a very beautiful woman inside out. She intelligent and here she was candid and articulate.
@Historiayabongo
@Historiayabongo 5 лет назад
hey ommy,napenda kazi yako,barida sana
@rosemwakio2883
@rosemwakio2883 5 лет назад
mashaallah Hamisa nimekupenda bure.. Umekomaa sasa,,.
@josephzakaria4462
@josephzakaria4462 5 лет назад
Lil Ommy nakukubali sana bro' coz unamudu sana kipindi chako hiki kila la kheri sana mzazi
@rheanmutimanwa3471
@rheanmutimanwa3471 5 лет назад
Nakupenda ww dada ❤❤💋
@yvonne4244
@yvonne4244 5 лет назад
Ndio sasa ukome kujilashimisha Kwa wanaume wasio kuwa na time na wewe ,,wewe na mamako nyote wachawi
@rheanmutimanwa3471
@rheanmutimanwa3471 5 лет назад
الyvonne ال una nyege ww
@hamilmusa9659
@hamilmusa9659 5 лет назад
Hamisa umesahau kumwambia mganga nataka nimzidi diamond kimziki.
@solangekubota9487
@solangekubota9487 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😁😁😁
@laureenonika
@laureenonika 5 лет назад
😂😂😭😂😂😂😂
@joharmusa3290
@joharmusa3290 5 лет назад
Hahahaha
@sabrinasuleiman1621
@sabrinasuleiman1621 5 лет назад
Hamil Musa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@bimzungufumba7037
@bimzungufumba7037 5 лет назад
Tatizo ww watumia ndumba hupendwi hawezi kuwa upande wako hayo ndio matokeo ya mapenzi ya kishirikina dawa zikiisha mapenzi kwishehy😂😂😂
@softymoha5484
@softymoha5484 5 лет назад
Hamisa achana na diamond utampata mume mzuri atakaye kukuowa. Na wale wasemao eti zari oooh... Sijuwi nini... Hawa wote wanamakosa hata zari kazaa na diamond akijuwa kwamba ni kijana bado mdogo na pia alikuwa anamfanyia mumewe madharau xana na diamond, kuweka mipicha mbaya kwenye mitandao Ivan akiziona, wote hawa wamelaaniwa ila Mimi nampenda hamisa mwenyezi mungu akujalie Amani na wanao
@emmanuelkazimoto8096
@emmanuelkazimoto8096 5 лет назад
Mwenzenu nioneeni huruma hii interview naipenda sana naisikiliza had leo
Далее
DIAMOND PLATNUMZ: ATANGAZA NDOA, MCHUMBA?
39:40
Просмотров 499 тыс.
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15