Yani unachumba cha nguo lkn umeshindwa kupanga nguo vizuri coz ch8mba kimekuwa km karume haipendeza mdada mrembo pangilia chumba chako manguo umefanya kufunika na Kitenge tu😅😅😅😅na ulijua wanakuja watu wafashion unajua lazima waingie ndani kuangali nguo na viatu hayo mabegi na nguo ungefungia hata store au hata chumbani kwa huyo dada wako wa kazi na hio mibeg lkn we umesambaza chumba kizima 😮😮😮cjapenda
Sijui kwa nini unaweka nguo nyingiii hivyoo jamanii wakati kuna watu hawana za kuvaa.... Kwa nn nguo kama waona huivai utoe uwape wale wanaohitaji????.... Hii tunaita israaf... Kuweka kitu kinajaza kabati tuu kuvaa huvai na kutoa hutoi😢 Sio vizury hivyooo🥹