Milard unaniqngusha muwe mnauliza maswali ya maendeleo ya maisha sio maswali ya mabwana muda mwingi, huyu ni mwanamke mwenye mafanikio makubwa kwenye maisha tusikie jinsi anavyopambana ki maisha sio Mapenzi tu Muwe mnachanganya maswali ya maendeleo anafanyaje biashara, duka, matangazo na mambo ya namna hiyo
Waandishi wote duniani wanapenda kuuliza controversial topics ambazo zipo trending. Aliulizwa kuhusu biashara, matangazo pamoja na Rick Ross lakini kikubwa ilikua ni kuondoa ukakasi kuhusu baba wa mtoto...she didn't answer any of that...what a missed opportunity!
Yaani umenena ni mabwana mabibi kila kukicha nani asiye na bwana hata kama ni kiguruu MILLARD PLEASE GO AND INTERVIEW FARMERS I TAKE FAMERS AS STARS NOT EYELASHES LIPSTIC AND WANJA
Mama Mia! What about God? What is He to you? Mungu hana kasoro but human beings have, so how can she be everything and yet she got in zaris relationship with diamond?
Watu Kama akina Hamisa Mobeto, wana vitu ambavyo ni special kama wangefanyiwa utafiti vingeweza kusaidia jamii. Ukiangalia wanavyojieleza utadhani wamesomea.
Zipo machine za kuosha vyombo na unaweza changanya masufuria na vyombo vingine hapa nina maanisha sufuria za kawaida za nyumbani sio zile kubwa kama za hotel hapana hizo zinamachine zake special ni kubwa tofauti na za nyumbani so Millad yuko sahahihi 100%🇹🇿🇨🇭