Тёмный

HARMONIZE avurugwa na MAAJABU yaliopo kwenye TRENI ya UMEME (SGR) Bongo, asafiri akiwa na timu yake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

2 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 2 дня назад
Natamani katika kutoa pongezi zenu msimsahau magufuli mana yeye ndio alithubutu kuanzishwa kwa hiyo project, i think by doing this ata familiya yake itajisikia faraja pamoja na watanzania wengine sio kila kitu mama peke yake kana kwamba yeye ndio alianzisha japo sifa ata mi nampatia mama kwa kuendeleza hiyo project but plz do not forget JPM
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 2 дня назад
Project imeanza toka kipindi cha kikwete sema yeye ndio ameanza kuja kuimpliment tu that is how it is
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 2 дня назад
@@sadiqrifay5448 ndio mana nikasema amethubutu mana ata bawa la mwalimu nyerere na serikali kuhamia dodoma ilianzishwa enzi za mwalimu ila implimentation imeanzia kwake thus why nimesema na yeye awe anakumbukwa kwenye pongezi
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 дня назад
Mnatakiwa mkiongeea haya mseme tu Magufuli achana huyu aliepo.
@Maryc2G
@Maryc2G 2 дня назад
Nimeipenda sana trein , Kazi nzuri sana kwa uongozi wa Mama Samia 🌹🌹🌹🎈🥀🥀
@philbertjapheht6173
@philbertjapheht6173 День назад
Asante Magufuli
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 дня назад
Mama anastail pongezi pia kwani mtangulizi wake alianzisha yeye anamsliza
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn День назад
Hii treni haitoi moshi hii ni amazing sio kama Ya kenya ya makaa ya mawe 😀😀😀😀
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 2 дня назад
❤❤❤hongera viongozi wetu kwa kazi nzuri
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 дня назад
goomorning king and queen enjoy enjoy i love guy's
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 дня назад
Magufuli jmn 😢😢😢
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 2 дня назад
Kitu ya JPM
@user-qj3ny8wz7z
@user-qj3ny8wz7z День назад
Ila harmonizooo kwani kunashidooo
@jebace
@jebace 2 дня назад
kweli tenda wema nenda zako
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 дня назад
WAOOO❤❤❤❤ SAMIA 5 TENA
@joselynesango4430
@joselynesango4430 2 дня назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@YamunguMuha
@YamunguMuha 2 дня назад
Akuna shido
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 2 дня назад
Hawa ngedele wa leo wataweza kweli kuanza
@EmmanuelSima-qz1gd
@EmmanuelSima-qz1gd 2 дня назад
Uchawa tu kuoga aaaah😂😂😂
@agategoindundi
@agategoindundi 2 дня назад
🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮
@kiharaedwin5456
@kiharaedwin5456 2 дня назад
Hongera WaTZ. Kenya tulishuhudia haya over 5 years ago😂
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 дня назад
Kwa tren ipi acheni ushamba wakenya😂
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 дня назад
​@@lulanjamd3886sifiani yenu.sio kuzaru yenu.
@James-sz4ec
@James-sz4ec 2 дня назад
Kwani Kenya Ile yenu nayo ni ya umeme
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 дня назад
Unaongelea ipi iyokijana😂😂😂
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 2 дня назад
Treni ya Kenya inatumia Makaa ya Mawe sio Treni ya Mwendo Kasi ya Umeme. Tanzania tuko juu
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 День назад
Tutakukumbuka jpm
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 дня назад
Kwahivyo leo watu hawamtaji Raisi wetu mpendwa aliepamba hayayote kuwepo
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 дня назад
Ila Hamo!😂 ame vimba mwili mzima !😢
@richkaja3317
@richkaja3317 2 дня назад
Fanya kazi acha uchawa kwa mama
@blessingntuli3796
@blessingntuli3796 2 дня назад
Mpuuzi sana wewe Uchawi gani alio usema….without magu tren isingejuwepo
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 дня назад
Uchawa kazi mjomba au humuoni Mwijaku ana miliki ghorofa
@user-ot3tw3uq9o
@user-ot3tw3uq9o День назад
Kwan we umeona apo ameenda kucheza acha ushoga wewe
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile 2 дня назад
Jpm
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 дня назад
Huyu dem harmo anammudu ila yule bibi alikua anampeleka puta
@AliBoss-ws4ce
@AliBoss-ws4ce 2 дня назад
Huyu jamaa Ni mshamba Sana sijapata kuona
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 дня назад
Sio ushamba anafanya promo ili kesho upande serikali hua inawatumia. We unadhani alishindwa kwenda na usafiri binafsi kimya kimya
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 2 дня назад
Kumbe we ndo mshamba bana duh!
@user-pm3ez7qk9j
@user-pm3ez7qk9j 2 дня назад
Kumbe ovyo haifikii sgr ya Kenya
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 дня назад
Nenda ukaandamane basi
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn День назад
Treni yenu Ya dizeli 😀😀😀😀😀
@Sean1877
@Sean1877 10 часов назад
Treni yenu ya makumbusho China kwanza mnatuchafulia hewa ya East Africa na hiyo diesel halafu kwa speed na muonekano gani 😂😂
Далее
Stray Kids <ATE> UNVEIL : TRACK "Stray Kids"
01:28
Просмотров 636 тыс.
Alikiba feat Billnass - Fallen Angel (Visualiser)
4:22
Kontawa Ft Harmonize  - Binadamu [Official Music Video]
3:59
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 7
28:22
Просмотров 7 тыс.