Тёмный

Pogba amuambia haya Diamond baada ya kuungana naye kuishangilia Ufaransa kwenye mechi yake na Ureno! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 3 дня назад
Diamond big up for putting us kenyan on the world map
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 дня назад
Mi ni mtanzania lakini kusema ukweli Daimond plutnum anapendwa sana 254.
@Pemba680
@Pemba680 3 дня назад
Musimfananishe Simba na vitu vya ajabu ajabu
@emmanuelnyakunga8320
@emmanuelnyakunga8320 3 дня назад
Diamond ft Pogba coming Soon.😂
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 3 дня назад
HUYU MWAMBAA NOMAAA 🎉🎉ASIMBAAA
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 3 дня назад
Simba na wanawe
@majariwabarasokoroza9701
@majariwabarasokoroza9701 3 дня назад
😂
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b 2 дня назад
Majini ya Harmonize hawatoshi kwa Simba la Masimba😅😅😅😅😅
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 дня назад
We mmakonde haujui me Simba la masimba dangote
@stanslausjohn8791
@stanslausjohn8791 3 дня назад
Diamond ni jitu la mafanikio tu Wakat yule Mlapanya harmonize ni jitu la majungu
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 2 дня назад
Mwenye roho mbaya hapati mafanikio.
@ianbryse1417
@ianbryse1417 2 дня назад
😂😂😂😂 ulishaona wap mmakonde kafika ulaya 😂
@channyanjen9047
@channyanjen9047 2 дня назад
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@DjsmokyUrban
@DjsmokyUrban 3 дня назад
Haikua uvue nguo sahio....😮ni swala la baadae...
@hamedmohammed8912
@hamedmohammed8912 2 дня назад
Amewahi ila bdae atamaliza mwenyewe.
@CristianiMamboleo-j8d
@CristianiMamboleo-j8d 3 дня назад
Diamond unawakilisha kenya kimataifa ongera sanamu yako iko Nairobi
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 3 дня назад
Acha Shobo we mkenya diamond ni Mtanzania 😅
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 дня назад
​@@saleemsuleiman2220Kama wanamtaka bora wawe wanasema anaiwakilisha vyema EAST AFRICA hapo tutawaelewa😂😂
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 дня назад
@@rosemahenge9071 wajinga sana hawajui hata kujificha kwenye kichaka 🤣🤣🤣🤣🤣
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 дня назад
@@saleemsuleiman2220 🤣🤣tuwazoee tu majirani zetu vizuri vyote vya kwao
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx 3 дня назад
❤❤❤❤
@wartv730
@wartv730 2 дня назад
Ommy dimpoz na wanyama , ommy dimpoz na Ronaldo ommy dimpoz na wayne Rooney
@bingobilaly7808
@bingobilaly7808 3 дня назад
Internet iko bzy na kenya sisi tunakomboa inch tuko busy
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 3 дня назад
wa kwanz npw lik
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 День назад
Simba much respect 🔥🔥
@omarkatesh3299
@omarkatesh3299 2 дня назад
Sio makonde ana hangaika na wanawake wenye matako tanzania kuwa valisha pete daily.
@RoyaltyFamily-nk2km
@RoyaltyFamily-nk2km 2 дня назад
Sio wanawake tu bali ni wanawake wenye matako makubwa😂😂😂
@avitrujweka2113
@avitrujweka2113 2 дня назад
👑🤴🦁🔥🌎🔥
@IbrahStaneliy
@IbrahStaneliy 2 дня назад
Simba❤❤❤❤❤❤
@user-ix1zs6gm1b
@user-ix1zs6gm1b 3 дня назад
Numba moja
@richkaja3317
@richkaja3317 2 дня назад
Big 👆 sanaa mond usije bongo zarau
@clementrobert-s5s
@clementrobert-s5s День назад
Simba🙌🙌
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 дня назад
Wabongo bana bado sana😂 kupiga picha tuu ishakuwa trending
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 дня назад
na w kapige kama n rahis
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 дня назад
@@exaverysimon1064 sina ushamba huo!na ningekuwa nao ningesha jaza cm mana kazi yangu nakutana kila mtu maarufu
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 2 дня назад
Simbaa
@Stevekapugi
@Stevekapugi 3 дня назад
Balaaaa
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm День назад
Bgp simba diamond platnumz
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr 2 дня назад
Simba for life
@SaidTsuma-je8dv
@SaidTsuma-je8dv 2 дня назад
simbaa 🔥🔥🔥
@yusufsong7993
@yusufsong7993 2 дня назад
Ommy dimpoz ndio baba yao
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 3 дня назад
Paul pogba kwasasa ni kama chokora hana chochote 😅😅😅
@DjsmokyUrban
@DjsmokyUrban 3 дня назад
Kamshike kalio😮
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 2 дня назад
@@DjsmokyUrban hahaha 😆 😂 🤣 kama mashabiki tukimuona diamond platnumz ba Paul pogba tunaona wanatengeneza team ya umalaya tu ila kwa brand ya maana never 😆 😂 🤣
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 2 дня назад
Asante sana diamond kwa kuipeperusha bendera yetu ya kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusufsong7993
@yusufsong7993 2 дня назад
Atafuta kiki uyoo kalipa pesa ili mradi atume video kakutana na pogba 😂😂😂
@user-wi2sk8uj5s
@user-wi2sk8uj5s 3 дня назад
Diamond is a Kenyan artist big up bro endelea kutuwakilisha sisi
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 3 дня назад
Nynyi wakenya akili zenu mbovu
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 3 дня назад
Diamond ni mkenya sio matako yako
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 День назад
Sasa Popobawa sasa hivi ana ustar gani bhana
@adambakari9276
@adambakari9276 2 дня назад
Kukutana na mtu sio kwamba ndo kuunga urafiki😂 mnaweza kukutana mkapiga story kisha kila mtu akala 50 zake ommy dimpo alienda had OT akakutana na wachezaji kibao wa man u na akampa de gea jez ya taifa mbona hamku liongelea saaaama
@godluckgmanartist-ju7jp
@godluckgmanartist-ju7jp 2 дня назад
Simba ni simba tu wacha waongee endelea kupasua mawingu mwamba wa Tanzanian🎉
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l 3 дня назад
Harm majung t vichek vy bange
@humbleshoal
@humbleshoal 2 дня назад
Jamani kwan diamond anavuta unga?
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 2 дня назад
😂😂😂 kwauo mtepesho.
@adamsengo1869
@adamsengo1869 2 дня назад
Pogba aside akamuahalibu kijana wetu kwa madawa😂
@japhetsilungwe4719
@japhetsilungwe4719 2 дня назад
Mvuta unga mwenzake
@JeanMalilo
@JeanMalilo 3 дня назад
Wana huziana dawa za kulevya
@awadhally1052
@awadhally1052 3 дня назад
😂😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 дня назад
Inaubaya gan we masikini
@JeanMalilo
@JeanMalilo 3 дня назад
@@user-pk1yl7zt8p mimi sio maskini we mbuzi 😀😀😀
@justnice8156
@justnice8156 2 дня назад
Kumbee walikuwa club
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 3 дня назад
Sasa iyo duza ya nini mondi nae mkurugenzi wa ovyo sana huyu 😂😂
@leeheyon
@leeheyon 3 дня назад
no way Pogba juju 😂
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 2 дня назад
😂😂msichokijuwa Brotherhood inamaanisha undugu na umoja ambayo jina jinginie ni Freemason, sio ajabu kumuona mchoma mkaa hapa kwetu amekaa na Rick Ross,
@vibetz9991
@vibetz9991 3 дня назад
Washirikina wamekutana
@awadhally1052
@awadhally1052 3 дня назад
😂😂😂
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 дня назад
Umejuaje kama ni washitikina….!!!!!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 дня назад
Kama ww ulivokutana masikini wenzako 😂😂😂😂
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 3 дня назад
Maskini unatia huruma!!! 😢
@mossyahmada2188
@mossyahmada2188 День назад
😅😅
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r 3 дня назад
Nmambo ykawaida acheniii ujing mtu wenu Yuko na sifaa
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 3 дня назад
Sasa na hii ni habari!?? Pogba mwenyewe jobless apo majobless wamekutana!😂
@prudentjm3039
@prudentjm3039 3 дня назад
We mwenye kaz hebu nenda Dubai kale bata uwafundishe maisha hao jobless 😂😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 дня назад
Mbn masikini huwaga mnachuk sana 😂😂😂
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 3 дня назад
watanzania mnapenda kutia kakitu kadogo mkalete kama vile ni vitu vikubwa hakuna mtu ambaye anaongea na watu vizuri hapa ufaransa kama huyo jamaa pogba na anaingia mara nyingi sana tu ni vitu vya kawaida hakuna kitu cha ajabu hapo
@AcksunBonifas-mj2sw
@AcksunBonifas-mj2sw 3 дня назад
mondi mkariiiiiiiiiiii❤❤❤😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 дня назад
Kama n rahisi kaongee naye na wewe 😂😂😂au kistuli mwenzio akaongee naye#lamasimba forever
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 3 дня назад
Mpeleke baba Yako akaongee nae Kama ni kawaida tu
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 дня назад
Nasubiria kuona video yko ukiongea na Pogba kama ni rahic 😂😂😂
@CristianiMamboleo-j8d
@CristianiMamboleo-j8d 3 дня назад
Diamond unawakilisha kenya kimataifa ongera sanamu yako iko Nairobi
@kristofuraha
@kristofuraha 2 дня назад
Nimependa hii!😂
@user-vw1wd3lx2d
@user-vw1wd3lx2d 2 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂kenye ten
@CristianiMamboleo-j8d
@CristianiMamboleo-j8d 3 дня назад
Diamond unawakilisha kenya kimataifa ongera sanamu yako iko Nairobi
@Rodgers_01
@Rodgers_01 3 дня назад
???????????
@CristianiMamboleo-j8d
@CristianiMamboleo-j8d 3 дня назад
Diamond unawakilisha kenya kimataifa ongera sanamu yako iko Nairobi
@alibinali_
@alibinali_ 3 дня назад
🗑 🚮
Далее
3M❤️ #thankyou #shorts
00:14
Просмотров 8 млн
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 240 тыс.