mrisho mpoto unanidham sana ndy mana kazi imekuwa nzur !!Hormonizer ni lulu ya tanzania asee kaz nzur sana kwel ukikubali kujifunza lazima usogee mbele!! gonga like kama unakubali nilicho kiandika!!
yaani harmonize bwana, huyu jamaa hata akiwa WCB alikuwa na studio yake, producer wake, dj wake na team nzima ya kondegang humo WCB ndani. hii ndiyo tofauti ya harmonize na wasanii wote waliosainiwa WCB
Milikutana mafundi aiseee mjomba yupo faster kutunga manenoo doooh ila nmependa direction yako harmo kwamba fanya ivi toa hiki malizia hiki uar de best trust me
kweli harmo alikuwa mpole hapa, bangi imemfanya awe wa hasira na mbishi kwa rafikiye Dangote....go be friends with your former boss Hon. Konde. much love.
Mnaweza tembo BiG up KondeBoy"!!Mungu Aku Ongezee Baba Lao.. #From Botswana Boy natamani Ufanyanye "Show" Botswana Mungu Akipenda sukumoja tuu Watswana wasikie Music Yako...Mm Naishi zangu South Africa..Napenda music Yako Sana Sana
Kulirudia neno "Naomba" Kwenye Mstari wa Mwisho Kwa Upande Wangu haikukaa Sawa naona kwenye Mstari wa pili angetumia neno "Niacheni/Acheni Nichape Lapa" Ingekuwa Bora zaidi. NI MTAZAMO TU!
Mjomba naona unashushia na tanzania konyag hla nilishawai kwenda kwenye studio moja hv nkakuta kuna bango la onyo ustumie kilev chochote kiwe cha kuvuta kunywa au kutafuna nkawaza hv wasanii wataweza kweli