Тёмный

HARMONIZE hanilishi hanivishi "MWIJAKU" amekuja DIAMOND ananilipa VIZURI mnataka NISIFANYE KAZI? 

HB TV
Подписаться 698 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

#Harmonize
#Mwijaku
#DiamondPlatnumz

Развлечения

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@abachaochola8073
@abachaochola8073 2 года назад
Kipaji cha kuongea ni mtaji wa maisha no matter how people will talk about you as longer you know what u need 🙂 endelea kuwa mnafiki big up
@dadazayi4355
@dadazayi4355 2 года назад
Nilikuwa najuwa mwijaku ni mtu mzuri kumbe ni mnafiki mkubwa usisemi mungu haumjuwi uko mwizi wafazila
@rizikiruwa7116
@rizikiruwa7116 2 года назад
Waaah mwijaku wee mkali
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 2 года назад
Mwijaku maneno sana
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 2 года назад
Najua msipo sema Harmonize hamna mtu kufungua hii vidéo, Jeshi influencer
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 года назад
Naqubar
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 года назад
Fanya kazi. Wanadhani umejijenga ili kulipa pumba
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 2 года назад
Huyu sio mtu mzur hata
@ramadhanmsangi4676
@ramadhanmsangi4676 2 года назад
Nilicho kipenda ni nyimbo ya iyoooooo ya diamond platnumz simbaaaaa mengine yakwenu
@shaibnassour7246
@shaibnassour7246 2 года назад
Ww mnafiki tuu
@hakizimanadiamant9796
@hakizimanadiamant9796 2 года назад
Fanya kazi
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 года назад
Daaaa yani unaongea ivo kwa mwanaume alikuwa kapauka alikuwa analelewa vzr saiv anapata tenda
@safarijoseph4927
@safarijoseph4927 2 года назад
😂😂😂😂
@hassanmatano3567
@hassanmatano3567 2 года назад
Wewe mwijaku unalelewa na pashkuna
@simasima8084
@simasima8084 2 года назад
Kamlea nuhu,kamlea uchebe 🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣 kamweka dunian hahahahahahahaha uwiiiiiiiiiii mwijaku ongo Sana hili lijamaaaa
@robbyawesometv7030
@robbyawesometv7030 2 года назад
Noma
@mwanaidrashid5226
@mwanaidrashid5226 2 года назад
Mwijaku uso umekushuka kwa umbea
@robbyawesometv7030
@robbyawesometv7030 2 года назад
@@mwanaidrashid5226 😂😂😂😂naomba usubscribe kwa channel yngu
@Wastara001
@Wastara001 2 года назад
Yaani wamsifia mkeo mbele ya wanaume!!! Hii hatari.
@kirundumweteni2072
@kirundumweteni2072 2 года назад
Waislam mnadalalia kamari kweli Dunia imeisha Halafu unamlazimisha diamond aoe sasa tofauti yenu Nini. Wakigoma mnafeli wapi na Dini imewakaaa?
@sailoo5722
@sailoo5722 2 года назад
Mbna mnacho and andika tofauti na asemacho mtu,nyinyi wanahabari ndio mnaharibu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 года назад
Wasenge sana hawa
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 2 года назад
Harmonize ni mkubwa kwakweli
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Mkubwa kuliko nani?
@jambomambo6637
@jambomambo6637 2 года назад
Diamondi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
@@jambomambo6637 Kweli kabisa kamzidi ubonge
@jackhans7708
@jackhans7708 2 года назад
Ukiambiwa unatabia ya kimalaya utasemaje?
@simasima8084
@simasima8084 2 года назад
Baba levo kasema kbsa huyu jamaa muongo mnafk Sana huyu kaka bendera fata upepo 🤔🤔🤔🤔
@simasima8084
@simasima8084 2 года назад
Mke wako mzuri eeeeh,,,mzur kweli
@yogwesaid7435
@yogwesaid7435 2 года назад
Hofu ya Mungu ipi pale ww, anavaa nusu uchi Kwanza uliniudhi Sana mpuuzi ww
@juliusmlawa4036
@juliusmlawa4036 2 года назад
We mwijak ni mnafiki tena kama ni mwanamke Malaya
@boscongowi8342
@boscongowi8342 2 года назад
Muuza maneno
@yasminjaja500
@yasminjaja500 2 года назад
Eti amemurea uchebe🤣🤣
@abdallahalbakri2561
@abdallahalbakri2561 2 года назад
Mwijabu unasema wewe Muslim chakushangaza Mwenyezi Mungu apendi watu wanafeeq mkubwa sasa wewe utaishi maisha? Jiulize wewe mwenyewe ukika peka yako uzingatiye je ndo yule aliye wataja Mwenyezi Mungu?
@jisusimalale6288
@jisusimalale6288 2 года назад
😞😞😞😞
@ashamanjonjo5233
@ashamanjonjo5233 2 года назад
Mpuuzi Sana ww
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Ukiuizwa swali jibu kisha acha uulizwe jingine hapo ndipo unapoboa
@nassarrostom1919
@nassarrostom1919 2 года назад
Wabongo pasua kichwaaa 😀😀😀😀
@moureendelvin6210
@moureendelvin6210 2 года назад
Kaka anasura mbaya hatareeee duuu😆
@salamashabani7922
@salamashabani7922 2 года назад
😂😂😂🙌
@khalfanmohd7019
@khalfanmohd7019 2 года назад
Amba huyu ni kifaduro kwel yaan anaulizwa hali naon anajielzea kuhus kuj hapo😀😀😀
@fishianmbango9170
@fishianmbango9170 2 года назад
Mtoto wa kigoma mwenye akili
@gizzamwangaza8701
@gizzamwangaza8701 2 года назад
Kwani shilole ajui kuvaa
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 2 года назад
Mr taama sio mwijaku tena, jina la mwijaku imebaki 2021 /2022 ni Mr taama
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 года назад
wewe bakia na fikra zako za ujinga za 2021 mwenzako anapiga pesa atawasikiliza nyie wenye bando la 500
@yasminjaja500
@yasminjaja500 2 года назад
Eti mumewa shirire arikuwa amepauka saizi amenga🤣
@abdullaalwikabil3371
@abdullaalwikabil3371 2 года назад
Huyu jamaa mwizi tena hafai halafu mnafiki kesho atakuja kwangu atanambia kuwa diamond barazuli wewe subirini tupo hapo hapo
@tonygee5680
@tonygee5680 2 года назад
Sasa una 2 bore
@innocentbugobola2234
@innocentbugobola2234 2 года назад
Chawa Sio wa kuamini leo alikuwa anampondea diamond Leo linasifia Wasafi mh Chawa ni Chawa tu...kwan H.baba yy anasemaje!?
@minabuelysee8
@minabuelysee8 2 года назад
Hahahaha nilisema hakuna a bye anakataa ulaji
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 2 года назад
watanzania wengi ni wanafiki
@barakakilly9604
@barakakilly9604 2 года назад
Uyu jamaa atamwaalibia diamond maneno mengi ya kujipendekeza
@richardmugisho5522
@richardmugisho5522 2 года назад
Wewe atuku elewe ata
@patrickjohns5304
@patrickjohns5304 2 года назад
Mnafiki wwe haujielewi
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 2 года назад
Haya D.C Tumekuelewa.😁😁😂
@hawaomary2782
@hawaomary2782 2 года назад
Watu siwapendi hawa wanafiki wakubwa nyie mnatoa ndogo nn Mbona huweleweki ww
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 2 года назад
@@hawaomary2782 Why are you so bitter.!? You can't be serious.! Hizi ni burudani tu,don't take this too literally.Ooh Lord... Bless your heart.😆😆😆
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
😄😄😄😄
@muzneali387
@muzneali387 2 года назад
Mpumbavu wewe ndio maana Simba hawakukupa nafasi ndumila kuwili
@mlimbila9942
@mlimbila9942 2 года назад
wesenge sana nynyi
@efronaaron6772
@efronaaron6772 2 года назад
😀😀😀😀
@charlesmatesorehani5012
@charlesmatesorehani5012 2 года назад
Nyinyi wehu ama?? Uyo Amolapa tumemutengeneza sisi WCB anakitu gani uyo
@rsautoservice984
@rsautoservice984 2 года назад
Tumefungua Kwa ajili ya harmonize.. kengeeee nyie...
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 2 года назад
Ukisikia kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ndio huku
@aymanabushiri516
@aymanabushiri516 2 года назад
Kabsaaa
Далее
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 87 тыс.
BIGAVOY DAROSHKA #shortvideo
0:18
Просмотров 3,4 млн