Тёмный

HARMONIZEE: AELEZEEA KUMPOSTI RUGE / KWENDA KUAGA HADI MAZISHINI 

LilOmmyTV
Подписаться 547 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interviews kutoka kwa masta unaowakubali.
Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@zarikinana4700
@zarikinana4700 5 лет назад
Konde boy salutii ndo maan nakupendag
@subirajohn728
@subirajohn728 5 лет назад
Safi sana Konde boy watoto wa Chibu hao Mwenyezimungu awabariki sana
@stevewanga957
@stevewanga957 5 лет назад
The most Bongo Respectable presenter....
@sareheramadhani9713
@sareheramadhani9713 5 лет назад
yan huyu jamaa namkubal sana asant konde boy dondosha like kama unaungana nae
@mariamsalum781
@mariamsalum781 5 лет назад
Kweli baba Allah akujalie na moyo wautaratibu MNshaallah
@mtasma1994
@mtasma1994 5 лет назад
Wabongo tunaamini sana mitandao kuliko reality eti mtu asipopost hajaguswa na vipi yule bibi ako mwenye Nokia ya toch
@avitrujweka2113
@avitrujweka2113 5 лет назад
Kizazi sana Konde Boy 🙌
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 лет назад
Namkubali harmonize
@lumukafrika
@lumukafrika 5 лет назад
WCB rolling the streets of AL🇺🇸
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 5 лет назад
You said point konde boy
@jimmyjamessn6654
@jimmyjamessn6654 5 лет назад
Konde boy kakua jaman nimependa interview yako mzeee babaaa
@mzagilahaule1197
@mzagilahaule1197 5 лет назад
Unaongea point sana bro
@creyngailo175
@creyngailo175 5 лет назад
Maqnee!!! Kondee boy KiZaz Xanah bor
@ipyanaandrea6829
@ipyanaandrea6829 5 лет назад
always nakukubali sana brooo, there 1 top interview in town
@mudykhalid2708
@mudykhalid2708 5 лет назад
Wa 13 leo wakumi na nne na kuendelea gonga like hapa
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
Kama unawakubali WCB acha majungu na ukuda gonga Like yako hapa hawa ndio wasafiiiii
@dshynerizzy7349
@dshynerizzy7349 5 лет назад
Safi xanaaa unajua kujielezaaa mzeee
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 5 лет назад
Harmonize Nahitaji kazi Bro
@benhadardmaliyatabu4848
@benhadardmaliyatabu4848 5 лет назад
Weka namba nikuchek dg uswaz kaz zpo nyingi
@makurujunior8151
@makurujunior8151 5 лет назад
nakubal hamna hasara mbele ya konde boy good sana nimependa
@dihigokombo5055
@dihigokombo5055 5 лет назад
This is Tz, mtu anajing'atang'ata na uongo hapo haf mnampa appriciate. The anakimbia vichaka hawa watoto aibu ndo ili washtua. Walikuwa na nyodo hakuna cha zaidi. Kidogo huyu aliingia roho ya busara lakin nae ni mkumbo tu
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 лет назад
Umekua Mdogo Wanguuuuuu
@aboubilaly5667
@aboubilaly5667 5 лет назад
Respect broo
@matesokamonga8101
@matesokamonga8101 5 лет назад
Point
@kipisisaid9222
@kipisisaid9222 5 лет назад
Safi sana
@sabrahmrope5999
@sabrahmrope5999 5 лет назад
Well said
@allyshabani8680
@allyshabani8680 5 лет назад
Dondosha like apa kama umeipenda shoo
@ennerektv343
@ennerektv343 5 лет назад
jamaa unae tangaza unajua sana yani hutoi data za uongo kila ukiongea ni kweli hata anae jibu anajibu makini haioneshi kama unamfanyia mtu fitna
@jessicamm3171
@jessicamm3171 5 лет назад
Safi
@magakamalolo
@magakamalolo 5 лет назад
Utu,nidhamu, hekima,skuzote zitakusaidia milele mungu akusimamie broo ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-f8G_dBy-JPY.html
@iconlyx2724
@iconlyx2724 5 лет назад
Tambweeeee
@frankringo2116
@frankringo2116 5 лет назад
Kzazi xan,,
@finexntimi2749
@finexntimi2749 5 лет назад
KIzaz sana kondee boeee
@deljaysamil1153
@deljaysamil1153 5 лет назад
Point muhimu sana.Kuna maisha kando na Instagram
@mackenziengolo7mabula132
@mackenziengolo7mabula132 5 лет назад
Tambwe utamuua huyu mtoto na maswali magumu hayo humuoni anafurumia?? Issue ni kwamba aliambiwa ole wako
@yohanajustin5445
@yohanajustin5445 5 лет назад
Nc Harmonize
@emanuelmhagama8193
@emanuelmhagama8193 5 лет назад
*Harmonize ana akili sana ni diamond wa badae*
@mochings8012
@mochings8012 5 лет назад
emanuel mhagama hapana, yeye ni HARMONIZE
@khalfanmussa4002
@khalfanmussa4002 5 лет назад
emanuel mhagama poa
@fridambwiliza190
@fridambwiliza190 5 лет назад
Wee mtoto mungu akujalie uendeleze vyema muziki wako umetulia unapendeka sana
@DIweni
@DIweni 5 лет назад
emanuel mhagama Hapana huyu ni harmonize tu,hawez kuwa diamond heheheheee
@rashidchembaxic6879
@rashidchembaxic6879 5 лет назад
Konde boy
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
Kwani Steve alikuwepo m
@DULLAHMASTER
@DULLAHMASTER 5 лет назад
💪💪
@IshiKistaa
@IshiKistaa 5 лет назад
TEMBELEA UKURASA WETU KUFAHAMU NYOTA YAKO ru-vid.com/show-UCxBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQvideos?view_as=subscriber
@safariadrien8544
@safariadrien8544 5 лет назад
nilicheka niliposikia tu kwa nini unatembea na maximum security 🤣🤣
@morristhuranira223
@morristhuranira223 5 лет назад
Kenya tunachukia harmonize Sana
@rehemamahmud855
@rehemamahmud855 5 лет назад
morris thuranira kafanyaje
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 лет назад
Kbc broo raj
@tembeletadei7136
@tembeletadei7136 5 лет назад
uko vizur konde boy
@mackenziengolo7mabula132
@mackenziengolo7mabula132 5 лет назад
Mimi ni mwana saikolojia niliebobea...majibu ya hermonizs 90% ni uongo parts
@shabanomary6210
@shabanomary6210 5 лет назад
mackenzieNgolo 7mabula una tombwa wewe sio bure
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 5 лет назад
Acha uongo kwanza mwanasaikolojia hajisemi
@mkurungwaog5698
@mkurungwaog5698 5 лет назад
mackenzieNgolo 7mabula kuandika yenyewe hujui
@saudaissa6512
@saudaissa6512 5 лет назад
Jibu yakwako ambayo yatakuwa ya ukweli 90%
@fadhilichomola765
@fadhilichomola765 5 лет назад
unatombwa kwelii
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Kizaz san
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 5 лет назад
Ww bn jib vzr kwann unawalinz mbona unazunguuka2
@masoudkhan7755
@masoudkhan7755 5 лет назад
Huyu muhuni na mkubali majibu yake
@eipro_
@eipro_ 5 лет назад
Dogo Ana akili
@alphoncemnyambwa9720
@alphoncemnyambwa9720 5 лет назад
Kulikua na vtu vya kimsingi,,!?
@ramanzwallah9311
@ramanzwallah9311 5 лет назад
Real Madrid yachapwa kichapo cha mbwa koko ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-sHUjy7lUNjw.html
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu katumia msibaa kama kiki
@dacksonedward8683
@dacksonedward8683 5 лет назад
Balozi Balozi uchoko huo..
@jut1161
@jut1161 5 лет назад
Acha kuwa na fikra za kijinga
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu kapotezaa mvutoooo
@hashimsalum5687
@hashimsalum5687 5 лет назад
Dini ya kislam haikusema kufa ni faradh kwasbb hata sala zaka funga ni faradh lkn watu hawatekelez km lzm ispokua kufa qahar( kutendwa nguvu) ukitka uctake utakwnda tuuu
@michokipelele9553
@michokipelele9553 5 лет назад
Ndio faradhi
@hashimsalum5687
@hashimsalum5687 5 лет назад
C faradhi mbn funga sala pia ni faradh lkn mbn watu hawtkelezi??? inamanisha fradhi inamfny mtu kua awe na maamuz lkn kf hkn iv ndg ck jkishfka unatendwa nguvu kutaka uctke utakuf lkn fung ukitka utafung ucpotka hfung huon tofauti apooo!!???
@fridambwiliza190
@fridambwiliza190 5 лет назад
Unapendeka sana wee mtoto mungu akujalie uendeleze vyema muziki wako umetulia unapendeka
@kailachi3058
@kailachi3058 5 лет назад
Majibu sijayaelewa kiukwel
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 лет назад
Kaila Chi hata mm
@dullerbamatraf2571
@dullerbamatraf2571 5 лет назад
Kajieleza vzr mbonaa rafk
@mtasma1994
@mtasma1994 5 лет назад
Ukiona huelewi ujuwe hata wew huelewi kinachoendelea
@joelygidion1713
@joelygidion1713 5 лет назад
Nakubali konde boy
@jamilaomar2708
@jamilaomar2708 5 лет назад
Point
@frankabel6137
@frankabel6137 5 лет назад
Mmmm Naona kama anazingua vile! Uyoooo Cow boy.
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu kapotezaa mvutoooo
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu katumia msibaa kama kiki
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu kapotezaa mvutoooo
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu kapotezaa mvutoooo
@patrickmichael901
@patrickmichael901 5 лет назад
Aya poa
@shabanomary6210
@shabanomary6210 5 лет назад
matako ya mama yako
@mtasma1994
@mtasma1994 5 лет назад
Sio lazima akuvutie wew
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Huyu katumia msibaa kama kiki
@khalfamo8874
@khalfamo8874 5 лет назад
Balozi Balozi wewe unamvutoo ovyoo
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 626 тыс.
Akala | Full Address and Q&A | Oxford Union
1:16:35
Просмотров 3,5 млн
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 626 тыс.