Hamna kitu Hapo..unatangaza ama unaongea hakuna mpangilio wa maneno kwa kifupi ht kunyoosha sentensi ya kiswahili ikaeleweka huwezi..bro Rudi kajifunze.
Uyooo jamaaa kafata storry kutoka mitaani Maana Ana uwakika na asemayo Angewafata wausika kuwaojii nasio kukurupuka kuongea haya sasa jux kazaliwa 1889 uwooo mwaka hata sizani kama bibi yake kazaliwa
Gonga like kama unaamini elimu sio ya muhimu zaidi ya pesa hawa wote wako chini ya Diamond,harmonize,alikiba,rayvany,ommy dimpoz kwa wasanii wenye mkwanja mwingi na wanao hit zaid
Elimu kila kilakitu Money can't buy education If you are star and think you are famous with education you are wrong You be only famous in your country To be a famous you need education Advice to the parent to educate their children in how education is most important, How will a parent feel that you did not give your son or daughter education Then is some and they become someone in future you did know English your son or daughter did not understand because you didn't not give education
@@susanwairimu4695 hiyo lugha ya watu unaiharibu aisee!! Lakn afadhali wewe kuliko akiharibu phd s lazima tujiuluze maswaii very critical!!! Kuliko kushabikia na kuacha kushughulikia tatizo!! Our education system need to be revisted!!!!!!!