Тёмный

HEKAHEKA: Maamuzi ya familia baada ya kujua mtoto wao kauwawa na kuzikwa 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Mtangazaji Geah Habibu kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM leo Nov 27, 2017 ametuletea HekaHeka iliyotokea Moshi Kilimanjaro, inayohusu kifo cha mtoto wa kidato cha pili ambaye amekutwa na umauti wa kutatanisha akiwa shuleni ambapo awali ilisemekana ametoweka shule mara baadae akakutwa kashazikwa na manispaa.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@nurukauzen1721
@nurukauzen1721 6 лет назад
Ombi langu kwa serikali haki itendeke pls. kam mzazi, imeniumaaa.
@michaelmasay3002
@michaelmasay3002 6 лет назад
pole na hongeren watu wa idara ya hekaheka
@khadijamlewa423
@khadijamlewa423 6 лет назад
mhhh ishu Kali sana iyo aiwezekani boding mhhhh apotee mtoto
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 лет назад
Jamani mweeeeh,wanajikanyaga tuu Hata hawanyooshi maelezo
@remidanathanes8254
@remidanathanes8254 6 лет назад
Mungu ni mwema ataetenda na yeye ndo mtoa hukumu Mungu awabarik wote walioshiriki mauaji hayo
@berthachacky797
@berthachacky797 6 лет назад
Eee Mungu tunaomba uwalinde watoto wetu.
@safiyasafiya5930
@safiyasafiya5930 6 лет назад
Amen
@happiliciousdiva9767
@happiliciousdiva9767 6 лет назад
Bertha Chacky Amiiin...
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 6 лет назад
Mungu awaonekanie watt wetu wanapo ondoka na kurudi binadamu wamegeuka kua wanyama
@happiliciousdiva9767
@happiliciousdiva9767 6 лет назад
Eeh Mungu tutawaweka wap watoto wetu wawe salama... Tulindie watoto wetu eeeh Mungu
@gracekazi5492
@gracekazi5492 6 лет назад
Daaaa!! so sad kwakweli.Serikali iingilie kati jamanii,tunawaleta watoto wetu boarding kwakuamini kwamba watakuwa salama,sasa kumbe hao tunaowaamini ndo wauaji.Eeeh Mungu uwaepushe na kuwalinda watoto wetu.
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 6 лет назад
ushirikina tu waganga wanawadanga 🙏🙏🙏🙏
@safinasalim746
@safinasalim746 6 лет назад
inasiktsha kbb mkuu alikua anashrki kufcha ukweli hao wote wauaji
@teddyjaneth9078
@teddyjaneth9078 6 лет назад
Tusaidieni wazazi? 😭😭sielewi.
@loner_wolf
@loner_wolf 5 лет назад
Lengo na madhumuni ya kumuua ndio kitu kinaniumiza kichwa sana
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 5 лет назад
Scolastica kila siku wana matukio. Walikuwa viranja wa ku:iba mitihani. Sasa hivi wanatrend kwa kuua wanafunzi. Baada ya hapo sijui itakuwa nini
@purryselestine4000
@purryselestine4000 6 лет назад
😭😭😭😭Dunia hii
@sheilanafula768
@sheilanafula768 6 лет назад
Poleni sana.May his soul rest in peace
@deograsiasmsolwa4766
@deograsiasmsolwa4766 5 лет назад
Fungeni hiyo shulee maana wanaleta ubabaishaji
@nasiekutarishi3292
@nasiekutarishi3292 6 лет назад
Painful lack of word
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 6 лет назад
mmmmm siku hizi nchi inatisha mauaji ya watoto yamezidi 😢😢😢
@teddyjaneth9078
@teddyjaneth9078 6 лет назад
Inasikitisha kwakweli
@sakinasheidhan4642
@sakinasheidhan4642 5 лет назад
Wangeulizwa wanafunzi wenzie kama alipigwa hapo shuleni watasema inasikitisha sana kwakweli
@marygwimile711
@marygwimile711 6 лет назад
Duuhh,,,,,inaumah sanaaa,,,jamann mtoto anaumah mnohh,,,,,,tunaomba hiliii swalaaa litiliweee mkazoooo kukomeshaaa vitendoiii hvii vya kikatilliii kwa kweliii
@atukuzwemungudaimaariseand6156
Walimu wanajuaa
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 6 лет назад
Wapi tunaenda jmn Tanzania,ile amani na upendo uko wapi, so sad
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 2 года назад
Kaondoka nao mzee magu
@sheilaporomoka8079
@sheilaporomoka8079 6 лет назад
Mhhhh..... So sad
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 6 лет назад
Walimu sasa wamekuwa WAUAJI SASA NAONA,PUMBAVU,Mtoto akiwashinda mrudisheni kwa wazazi wake,STUPIDEST
@jafapeter4912
@jafapeter4912 6 лет назад
ndomaisha hayo
@sheilanafula768
@sheilanafula768 6 лет назад
Hakika ni machungu sana walimu ndio mboni za malezi shuleni jamani mbona hivi??????
@pendomariki6562
@pendomariki6562 5 лет назад
Shule nzur sana ila imeharibiwa sifa zake
@teddyjaneth9078
@teddyjaneth9078 6 лет назад
Kwakweli mtanibeba tena kitenge kizimaaaa
@jacklinepatrik9104
@jacklinepatrik9104 6 лет назад
Kama me ndo mama wa Huyo mtot ciwaelew walimu wanyooshe maelezo atutaki ujinga
@teddyjaneth9078
@teddyjaneth9078 6 лет назад
Jaman kama mm ni mama sielewi
@hildastewart5158
@hildastewart5158 6 лет назад
ningekuwa ni mm shule ingekuwa yangu kwa kumbukumbu ya mwanangu.
@lydiakangongole6783
@lydiakangongole6783 6 лет назад
Yaani damu inawasumbua wala amueleweki mnachoongea. Mungu yupo msifikiri amesafiri
@monalyimo5196
@monalyimo5196 6 лет назад
hicho kilio chake mngenibeba na rubega walh mh mtoto anauma acha
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 лет назад
Hapo mwenye shule na waalim na dr na police wahusike
@vumiliangonyanipolenisana4177
@vumiliangonyanipolenisana4177 6 лет назад
Larick Mtui jamani, mbona ni mambo ya ajabu
@mwanaidisaid897
@mwanaidisaid897 6 лет назад
Larick Mtui mh poleni wazazi
@markimuniplast1856
@markimuniplast1856 6 лет назад
Mkuu wa shule mwenyewe anajikanyagakanyaga. Anajaribu kuficha ukweli lakini ukweli ila haujifichi
@safinasalim746
@safinasalim746 6 лет назад
wewe hyo kauliwa na mlinzi wa shule
Далее
HEKAHEKA: DSM haiishiwi mambo, isikupite hii ya Kawe
25:45
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 286 тыс.
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 1,9 млн
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 286 тыс.