Тёмный

Highlights | AFC Leopard 0-2 Gor Mahia | FKF Premier League 07/10/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

MASHEMEJI DERBY: Magoli mawili kutoka kwa Benson Omalla dakika ya 21 na 56 yameipa ushindi wa 2-0 Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards katika #MashemejiDerby Ligi Guu ya Kenya #FKFPremierLeague , game ikichezwa kwenye Dimba la Moi Kasarani, jijini Nairobi.
Mechi ilikuwa LIVE #azamTV kupitia chaneli ya #AzamSports3HD

Спорт

Опубликовано:

 

6 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 134   
@masoudtwalib6413
@masoudtwalib6413 9 месяцев назад
Well done Azam TV,bila kusahau Shirikisho la Mpira la Kenya, tunakwenda kuwa Ligi bora ukanda huu wa East Africa, wakenya nunueni Visimbuzi vya Azam nchi nzima,ili muone faida ya itokanayo na Mpira,.kuna uchumi mkubwa kwenye Football. Lkn lazima apatikane mtu wa kuutangaza kama vile afanyavyo AZAM.
@user-ek9rw5vd6n
@user-ek9rw5vd6n 9 месяцев назад
Derby nyepesi Sana Haina watu🇹🇿🇹🇿 njoo tuwafundishe
@otungalarry951
@otungalarry951 9 месяцев назад
Mnapopitia tulipitia miaka nyingi nyuma...tangu lini uliona MTz anamfunza mkenya??wazimu hio.. Kenyans will be ahead of you guys 100 years and you can take it to the Bank!!
@timcee2670
@timcee2670 9 месяцев назад
​@@otungalarry951 Derby ya Tanzania Yanga vs Simba ni unfair kuilinganisha na Kenya, hata Azam vs Singida bado, labda Mashujaa vs Geita zitalingana na Derby ya Kenya, just be humble and accept to be mentored, take a chill pill
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 9 месяцев назад
​@@otungalarry951Simba na Yanga ziko kwenye caf champion league group stage. Sema Sasa lini mliwahi kumwona gor na leopard kuza kufika hatuna Kama hizo... Tz tuna nafasi ya timu nne kwenye michuano ya Africa... kwa Mara ya kwanza Africa super cup. Mechi ya kwanza Simba vs Al ahaly 20/10/2023 .. mpaka Kenya mje kuwa na timu ya kucheza super cup ni miaka 100 ijayo.. Tanzania league is no. 5 in Africa... Kenya league ata top 20 in Africa hampo... Nyie labda kwenye riadha..
@otungalarry951
@otungalarry951 9 месяцев назад
@@thadeylyimo9772 Gor ndio team ya Africa mashariki kuwai kushinda Hilo kombe mwaka wa 1987 na hadi wa leo hamna timu kwenye Africa mashariki imewai pata ushindi huo,kushiriki sio jambo bali ni kushinda kombe...najua hukua inajua soccer ni nini...
@otungalarry951
@otungalarry951 9 месяцев назад
@@thadeylyimo9772 Fala wewe soma historia ya mpira ndio uje ubweke,mbweha we...usione Simba kanyeshewa ukadhani ni panya! Timu gani hapo Tz yaweza kuilaza timu ya Kenya hadi wa Sasa?? Midomo chiriku mingi!!
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
wapenda soka tz tunayo furaha kuona azam tv mnazidi kutanua masoko na kufika mbali zaidi
@almuhtaramzamil
@almuhtaramzamil 9 месяцев назад
Kenya wana ligi bora sana migogoro ya mara kwa mara ndio inarudisha nyuma ligi yao lakini ujio wa Azam Tv na uongozi imara wa KFF bila ya shaka ligi itavutia zaidi
@imteddy4103
@imteddy4103 9 месяцев назад
Si KFF ni FKF
@almuhtaramzamil
@almuhtaramzamil 9 месяцев назад
@@imteddy4103 Thank you
@imteddy4103
@imteddy4103 9 месяцев назад
Cameras 💥💯
@almuhtaramzamil
@almuhtaramzamil 9 месяцев назад
Baraka Mpenja wa Kenya yupo vizuri
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 9 месяцев назад
Azam TV sasa mmetisha mwende na Uganda, Rwanda, n.k
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
rwanda wapo nafikiri
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 9 месяцев назад
Waliingia mkataba ili waonyeshe azam
@erickjeremiah255
@erickjeremiah255 9 месяцев назад
Nafurahi kuskiaa mtoto wa mjomba Kakazema akiwa kwenye bomba la Azam Tv , ninefurahii sana. Nakukubali kaka zema tangu ukiwa na beki wa kupanda na kushuka, badae ukaunda team ya Vicent voyo na sasa kwenye kideo
@halimaramadhan9650
@halimaramadhan9650 9 месяцев назад
Cameras ziko sawa 💯
@JohnMnary-nn7ei
@JohnMnary-nn7ei 9 месяцев назад
Mtangazj unavaib la kutosha unafaa uje kutangaz derby ya simba na yanga aseee
@mutungamutungwa2624
@mutungamutungwa2624 9 месяцев назад
Mzuri sana mtoto wa mjomba yusuf zemaa
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 9 месяцев назад
Good start jirani zetu hata sisi watanzania tulianza hivyo Cha msingi nunueni visimbuzi vya Azam tv visambae nchi nzima mtangaa yajayo
@abubakarsalim1505
@abubakarsalim1505 9 месяцев назад
Umesema kweli naona wengi wanaibeza ila itaimarika itarudi zamani
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 9 месяцев назад
Fact bro 🎉
@liliangodwin5138
@liliangodwin5138 9 месяцев назад
Nipeni like zangu Leo mm wakwanza
@klintz9640
@klintz9640 9 месяцев назад
Tanzania na dharau mko top Haina ile
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 23 дня назад
Wakenya jirani zetu vipi jamani? Timu ziko good likini kwa stadium hamuingii. Sio fresh kabisa
@user-yp2he1rs1y
@user-yp2he1rs1y 9 месяцев назад
Waoooo
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 9 месяцев назад
Sasa derby ya Kenya ya nchi nzima ni Nan na Nan maana Sion mashabiki kha!
@atmblaise
@atmblaise 6 месяцев назад
Ati nchi nzima hiyo derby ya wajaka na waluhya 😂
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 9 месяцев назад
Nimefurah kumuona PS Patrick sibomana
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 9 месяцев назад
Ila wa kenya mpira kama sio sana wao mbio ndio wanatuzid na nafikil wao mbio wanapata uzoefu kwenye kukimbia vita naamin na sisi kikichafuka mwaka mmoja tutapata wakimbiaji wazuri kama kenya.. kama hii ndio big match izo za kawaida zipoje ila nunuen visimbuzi muone mpira wa kibongo ulivyo ili muwatie tamaa vijana wenu wafik bongo na pia muongeze furahaa ya maisha kwa kutazama mpira mzuri.. msikasilike na sisi tulitokea uko ila na marefa wenu wajue kua sahiz kuna camera maana mmoja apo kajichokonoa kamasi alafu kalama najaua alijisahau ila mmjue hivo alafu nimesema mengi adi sielew nasema nini😊
@festomwakabulutu3589
@festomwakabulutu3589 9 месяцев назад
😂😂
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
Unawajua wakenya wewe?😂😂😂😂 ni wabishi na hawapendi ukweli wao ni majivuno tu
@HansChuma
@HansChuma 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂 mshenzi xana ww😂😂😂😂😂
@atmblaise
@atmblaise 6 месяцев назад
Tanzania mna majivuno ila hakuna cha kudhihirisha hayo majivuno mdomo tu bla bla
@HansChuma
@HansChuma 6 месяцев назад
@@atmblaise hahahahahaha usipanic jiran kumbuka pia ww ni shemeji yangu kwa dada zenu watanzania wanapenda kuwatania wakenya cz nyinyi kama hvyo mpo haraka kukasirika bado hamjawajua watanzania sema watanzania wameshawajua nyinyi hapo sasa......Hahahahahahah
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
Watz mnaleta dharau lakini mara ya mwisho hawa Gor mahia walikutana na simba na yanga si matokea mnayo ama mmesahau?
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
Leta hiyo Gormahia ikutane na Yanga au Simba alaf matokeo utaniambia 😁😁😁
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
Unakumbuka Azam Fc alimfanya nini Gormahia Cecafa. Unakumbuka Mbao FC alifanya nini Gormahia Sportpesa Cup?
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
@@peterkapel5332 Nakumbuka bro wewe unakumbuka Bandari alivyomfanyia Simba na je unakumbuka kariobangi Sharks alivyomtesa Yanga Sportpesa cup
@JacksonLaizer-zv4se
@JacksonLaizer-zv4se 9 месяцев назад
Walete sai
@kalinyoboy3393
@kalinyoboy3393 9 месяцев назад
Oya wee usiongee sana sasambona timu zenu za kenya hazichezi mashindano ya ligi ya mabingwa Africa😂😂
@mwelimazozo9691
@mwelimazozo9691 9 месяцев назад
Kaz nzur
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 9 месяцев назад
Aaah derby imepoa haina shangwe kabisa ila kwa sababu ya Azam yetu kutoka Tanzania nchi ya mpira mkubwa nani kenya mtasogea sogea
@mpigadaud4180
@mpigadaud4180 9 месяцев назад
Sibomana si ndie ilimshinda League ya bongo kumbe kenya vyepesi saana anawachukua ivyo
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt 9 месяцев назад
Namuona PS mwamba sana huyu
@elishakitomari587
@elishakitomari587 9 месяцев назад
Hahaha nikama hiefu na singida wanavyo cheza😂😂😂😂😂😂😂
@StevenKapugi-oh3bx
@StevenKapugi-oh3bx 9 месяцев назад
Jmn game nzuri ila watu akuna
@njungujames7501
@njungujames7501 9 месяцев назад
PS machine namuona apo
@unghetokhalid75
@unghetokhalid75 9 месяцев назад
Gor mahia has a continental title while Tanzania as a country has never won an Afcon match 😂 . levels 😅
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
nilijua tu ,kuna mkenya ataongea hizi hadith za upuuz
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
@@luckygmdegela8477 ss hyo Gor mahia nayo n team 🤣🤣🤣 kwanz kubishana na nyie n dharau sn mna ss tupo mbali sn
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
@@MudathiriMahr-df2wg tuko mbali sawa na mbingu na dunia ,,yaani kenya kosoka wanahitaji utulivu sana sisi tuko mbali sana
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
1 Simba or Yanga player is equal to Leopards and Gormahia players and Staffs Combined 😁😁😂😂 . Levels
@user-rj3ms4qx6l
@user-rj3ms4qx6l 9 месяцев назад
Ligi ya kenya haina mvuto ndomana wachezaji wenu wanakimbilia tz kwenye hela na mpira mzuri😂😂😂😂
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 9 месяцев назад
Kenya bdo sana
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
Bado lakini tukikutana hua tunawakalisha
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
@@ericksonodhiambo9964 labda ukalishe kakamega😂😂😂😂
@groovy5357
@groovy5357 9 месяцев назад
@@MudathiriMahr-df2wgna this time mshinde ata mechi moja AFCON msiende tu holiday
@SayariStudio
@SayariStudio 9 месяцев назад
Bado nini?
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 9 месяцев назад
Goli la pili ni offside
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂 Bora tu host Afcon pekeetu 🇹🇿(Jokes)
@amanijampion3045
@amanijampion3045 9 месяцев назад
golikipa nae alikuwa anaenda wapi goli la kwanza
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 9 месяцев назад
Derby ni moja tu East Africa....yani Derby ya Kenya uwanja mtupu
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
Hujui maana ya derby,nani kakuambia derby ni uwanja kujaa
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
@@ericksonodhiambo9964 Deaby ni kuwa na mashabiki kumi🤣🤣🤣🤣
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
Yaan hzi team zote zikikutana na Azam Fc n 8 bila
@davidmwangi6891
@davidmwangi6891 9 месяцев назад
Umesahau hakuna team ya Tanzania ishai chukua sportpesa cup? Team za Tanzania tunawaachia karibangi sharks na kakamega homeboyz
@kelvinmoses5232
@kelvinmoses5232 9 месяцев назад
​@@davidmwangi6891ishiii,, unasemajee broo atii nn,,?? Jichanganye uonee iyoo gor mahia yenuu ata kw mtibwa haifui dafu😂😂😂😂😅
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
Hii ndo ile Gor ilipiga yanga magoli manne ikawapiga Simba magoli mawili ama umesahau
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
@@ericksonodhiambo9964 hahaaaaaaa 🤣🤣 kwahyo unafananisha kifo na usingizi acha hzo n ww yaan labda Ihefu kidogo mnawez mkaichalenge nyie hta kweny Raman ya soccer la Africa hampo Bora Uganda kidogo
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg 9 месяцев назад
@@kelvinmoses5232 kabisa waambie mna wanapenda kubisha kila ktyu
@alltanzania
@alltanzania 9 месяцев назад
Poor refereeing decisions all over. Second goal offside and penalty denied at the end for Gormahia
@georgexavier4966
@georgexavier4966 9 месяцев назад
The second goal was offside
@user-hk2om2ef7m
@user-hk2om2ef7m 9 месяцев назад
Huu ni mwanzo
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 9 месяцев назад
Tunaomba jaman majirani tupige na Tanzania mechi ya kirafiki kwann tunaenda mbali
@joramlaizer3941
@joramlaizer3941 9 месяцев назад
Uyu omala yanga tumchukue
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 9 месяцев назад
Hii ni Darby ya Kabila mbili sio Darby ya NCHI ndio maana the rest of the Kenyans they don't know even what is going on😂😅mimi mwenyewe as a Kenyan I'm NOT interested 😅😅
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 9 месяцев назад
Na hiyo ndio shida yenu wenzetu, itawachukua muda mrefu sana kuungana na kupata ligi bora. Huku kwetu michezo inatuunganisha sana waTZ, kuanzia watoto, wanaaume mpaka wanawake, kila mtu anazungumzia mpira.
@SayariStudio
@SayariStudio 9 месяцев назад
And never be interested, just focus on supporting your European teams ,we haven't missed you at all
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 9 месяцев назад
@@SayariStudio Now a days even European Teams i don't support them even watching at all brother because they support LGBTQ 😭🤔 Now a days I like SIMBA SC from Tz and Tanzanian league ❤️✅🏃😂🤣
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 9 месяцев назад
@@joshuachimwejo5892 sisi tunazungumzia vp tutapandisha Uchumi wa Kenya Mpira kidooogo siasa Kenya imetawala inazungumziwa everytime everyday Ruto anazingua ndio maana maandamano hayaishi 😂🤣🤣😂🏃✅ na katiba inaturuhusu tuandamane
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
Wakenya kwa Ukabila Tribalism bado mna mambo ya kizamani sana
@kalinyoboy3393
@kalinyoboy3393 9 месяцев назад
Dah boli kali sana ila namona mchezaji wetu wa zamani aliekuwa mchezaji wa yanga
@benjaminmwakoti1150
@benjaminmwakoti1150 9 месяцев назад
Patrick sibomana
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 9 месяцев назад
KWA NN TFF YETU HAWANA CHAKI YA ALAMA UWANJANI INAPOTOKEA FAULO?????????????
@leonardjoni1795
@leonardjoni1795 9 месяцев назад
Hawana hela
@groovy5357
@groovy5357 9 месяцев назад
watz mdomo tu hio nguvu tumieni kusearch gor vs yanga ama gor vs simba
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
ndio shida wa kenya hampendi kuambiwa ukweli
@peterkapel5332
@peterkapel5332 9 месяцев назад
Na wewe hiyo Nguvu katumie kusearch Simba Vs Wydad, Al Ahly etc. Yanga Vs Tp Mazembe, USM algier etc. We are on a different level
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
Sisi tuna search Yanga vs Alger,Simba vs Ahly 😂😂😂
@groovy5357
@groovy5357 5 месяцев назад
​@@aminata3702 ukimaliza search wabingwa wa klabu Afrika, then utafute simba na Yanga 😂😂 sijasema utafute Gor😂 tafuta simba na yanga
@martinnassary587
@martinnassary587 9 месяцев назад
Ligi yenu nyepesi .mno kwa hiyo iyo ndo daby yenu? Mbona nyepesi sana
@ericksonodhiambo9964
@ericksonodhiambo9964 9 месяцев назад
Wewe ungecheza ama ni nyepesi kwa msingi gani?
@simonMchenchi-fe2ym
@simonMchenchi-fe2ym 9 месяцев назад
Hao wote wakiungana afu wakakutana na mziki wa Tabora utd wanaweza kula 5 Kwa mpira huo
@groovy5357
@groovy5357 9 месяцев назад
simba na yanga hazijawahi shinda Gor,,,tulia baba ,,,highlights ukitaka zipo yt na si kitambo sana
@aminata3702
@aminata3702 9 месяцев назад
@@groovy5357 Azam kashawah kupiga Gormahia 😂😂😂😂😂
@AllegahMelk
@AllegahMelk 9 месяцев назад
Hongereni kenya hata sisi 2013 tulikuwa kwenye hii level ko mtatufikia tu tz
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 9 месяцев назад
watatufikia tukiwa tumesinzia au 😂
@unghetokhalid75
@unghetokhalid75 9 месяцев назад
Wakati huo tulikuwa na Supersport na ligi ya Kenya ilikuwa haishikiki😅
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 9 месяцев назад
Mnajitahid lakin lig ya Tanzania tamu zaid
@stephenochiengjakano
@stephenochiengjakano 5 месяцев назад
hiyo ligi ya tanzania haina kitu. leta hiyo simba ama yanga wacheze na Naivas fc uone vile watanyoroshwa
@ManpeloJ4
@ManpeloJ4 4 месяца назад
​@@stephenochiengjakanoaaahh weeehh unamjuwa simbaa?!!!
Далее
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Просмотров 1,3 млн
Дьявол - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
19:10
Funny Penalty Kicks
8:23
Просмотров 13 млн
Тренируй дриблинг😁🤣
0:11
Просмотров 604 тыс.