Тёмный

HII MIMBA SIO YANGU/HILI SUALA NI GUMU/MWANAMKE HAJATULIA HUYU - HIVI NI KWELI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 93 тыс.
50% 1

HII MIMBA SIO YANGU/HILI SUALA NI GUMU/MWANAMKE HAJATULIA HUYU - HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 208   
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Год назад
😀😀😀😀😀😀ila hiki kipindi dah! Jamaa huyu wakwanza dah jamaa sielew kilimkuta nini ila kuna watu wanatembea mitaan iv lakin wanaubongo mkubwa sana bas tu maisha
@toyiclaude8647
@toyiclaude8647 2 года назад
Toi qui lis ce message j'aimerais vous dire que Dieu vous aime #evangelistejohn
@queensakinaqueensakina441
@queensakinaqueensakina441 2 года назад
Ameen
@majaliwambembela2439
@majaliwambembela2439 2 года назад
Amen
@strong8534
@strong8534 Год назад
Bro andika lugha unayoijuwa vizuri: "Toi qui lis ce message, j'aimerais te dire que je t'aime. Don't mix singular and plural🙄🙄🙄
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 года назад
Huyu broo nimemkubal sanaaa mkewake akiona hii lazima ajivunie kua namwanau kamili
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 2 года назад
Mwana wapili katisha, a really gentleman big up
@alikiba3674
@alikiba3674 2 года назад
Wow I like it
@mwljohnray1725
@mwljohnray1725 2 года назад
Sanya ee unatisha sana unazidi kua mkicreative sana but jitahidi tuwe tunamsikia na anaye kutwa ikiwezekana anaekwenda awe na mic yenyeuwezo mkubwa wa kuchukua sauti hadi ya atakaekutana nae.
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 года назад
Chinga katishaaa ila kunguru😃😃😃😃👍. Big up sanya 👍.
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 года назад
Anaimbisha na kuboresha
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Siwezi kukubali kwa haraka haraka kiivyo 😂😂😂😂😂😂
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 года назад
jamaaa was pili ana hasira Sana ila sio rahisi kumjua, na machinga ni mtu frani asie penda Shari
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 года назад
Hope huwa mnawapoza kidogo hawa wana
@sportshighlights8110
@sportshighlights8110 2 года назад
Mtaharibu ndoa za watu😂😂😂😂🤣
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 года назад
We subir ndicho wanachokitafta
@001number
@001number 2 года назад
I was miss you mr sanya
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣Kaka wa pili kanichekesha Ila anaonesha tabasamu lkn Inaelekea anahasira mnoo
@pdwanakaza2411
@pdwanakaza2411 2 года назад
Daaah wabongo wadhaifu snaa
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 года назад
Sophy kama Sophy Mo town Sanya umenikonga nyoyo🙌
@collinsbella8360
@collinsbella8360 2 года назад
Chinga wa kwanza, mpaka amenywea 😂😂😂 SANYA Unyama mwingi sana...
@shukukandonga1618
@shukukandonga1618 2 года назад
Nyie mtakuja muue watu kwa presha 😂😂😂😂😂chingaa
@yunyuny5538
@yunyuny5538 2 года назад
😂😂😂
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 года назад
Yaan huyu msela wa pili anaweza kuitumia hii video kwa kumthibitishia mpenzi wake kuwa anampenda sanaa. Na mwanamke akiiona hii ni lazima akubali na anatakiwa ampe ambacho hakuwah kumpa mshkaji ✔
@mbwanahatibu8488
@mbwanahatibu8488 2 года назад
😀
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Matako sindio
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 года назад
🤣😂😂😂😂😂
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 2 года назад
Wanaume hua hatutabiriki nyie endeleeni kumdanganya huyo mke wake😀
@samiramasudi7493
@samiramasudi7493 2 года назад
@@maloomaalmnsj5111 😁😁😁😁
@loner_wolf
@loner_wolf 2 года назад
Huyu demu alikuwa ktk movie ya 20% inayoitwa Furaha iko wapi na alikuwa ndio Neema mtoto wa 20% ....
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 года назад
Mbona Kama keshakuwa mkubwa ivyo
@manfalajorg
@manfalajorg 2 года назад
kuna k2 mmekosea huyo dada angekuwa anagari tungeweza juwa msimamo wa m2 but siombaya
@obenitejailos7007
@obenitejailos7007 2 года назад
Haya chukua wewe script kaigize
@MussaBraizer-sd4hv
@MussaBraizer-sd4hv Год назад
Jamaa kanimiza sana aisee kakimbia kaacha hadi biashala
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 2 года назад
Sophy umeuwa sanaaaa
@VVP-qo7ze
@VVP-qo7ze 10 месяцев назад
Jaman dunian bado kunawatu bana dar mwamba yuko poa sana
@abdulyusuph3948
@abdulyusuph3948 2 года назад
🤣🤣bless Up
@SellemaniJapheti
@SellemaniJapheti 17 дней назад
Mapenz sio pesa
@azikamujulius3530
@azikamujulius3530 2 года назад
Tatizo mtakuja kufanya watu wagongwe na MaGali sijapenda
@dashuu5295
@dashuu5295 2 года назад
Neema bint 20%
@annamwita7548
@annamwita7548 2 года назад
Shoo ya kibabe Sana kuliko za kihindi
@vijafrank3732
@vijafrank3732 2 года назад
Uyu mkaka wapili nimempenda jamaniiiiiiiii
@mileneumngowo1590
@mileneumngowo1590 2 года назад
We unajuaa mimi ni nani???😹😹😹🙌🏻
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
nyie machiga wa watu presha juu 😅🤣🤣😅😅😅😅
@umimikungun6389
@umimikungun6389 2 года назад
Mo Town Sanya MUNGU Anakuona😂😂😅🤣🤣 Ulivyomfanyia Chinga Masikini Nacheka Mpaka Nalia😂😂😅
@brownbisege9279
@brownbisege9279 2 года назад
Wakinikuta mm itakuwa baraah
@jamesblackjaguar2084
@jamesblackjaguar2084 2 года назад
Nakubali Sana 😂😂😂
@veronicamwampamba2590
@veronicamwampamba2590 2 года назад
Daaaa
@mustaphasayyid6740
@mustaphasayyid6740 2 года назад
Siku utamvaa Mjeshii kaka SANYA😁😁
@abubakarmasai6412
@abubakarmasai6412 Год назад
❤❤❤chiga yukopoa
@ndikumanarodrigue5657
@ndikumanarodrigue5657 2 года назад
Zali la mentali 🤣🤣🤣🤣
@mussalucas2269
@mussalucas2269 2 года назад
chinga anakwambia tulia kwanza 😜
@jumannemrisho3517
@jumannemrisho3517 2 года назад
Chinga kasamehe nguo da 😀😀😀😀
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 года назад
Ameona isiwe kes
@jumarashid5867
@jumarashid5867 2 года назад
Muje na zanzibar bhna
@ismailmenkjr8784
@ismailmenkjr8784 2 года назад
Waje kufanya nini waache ujinga wao wafanye uko uko tena Wazanzibar hawana shobo kabisa.
@ibrahimsadick6137
@ibrahimsadick6137 2 года назад
Jitu baya sana Motown 😂
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Baba mwenyew ni baba levo😂😂😂😂😂
@stalliongoal3865
@stalliongoal3865 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 machinga 🙌🙌
@beatricejoseph2784
@beatricejoseph2784 2 года назад
😅😅
@louiriri
@louiriri 2 года назад
ukweli ni kwamba pis mbovu pia mimba.... ila mngeweka pisi kal kama tunda ;akuna wakupinga ata kama ana mke
@ramadhanikibenga5840
@ramadhanikibenga5840 2 года назад
Pisi mbovu unazijua wewe ?? Utakuta wewe bonge la mshamba
@joycesimon760
@joycesimon760 Год назад
Kwenda we dada zako wote ni pisi Kali au ndo wanasura kama mkundu 😙😶😶😶
@barakamollel3446
@barakamollel3446 2 года назад
Hyo mchezo sio mzuri kuweni makini na watu.
@neyney1907
@neyney1907 2 года назад
Uyu jamaa w kwanza 🙌😂😂😂
@davidgeorge7602
@davidgeorge7602 2 года назад
Ya Leo mbayaaaa
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Montasanya webalaa 💪💪💪💪💪🥰👍🔥🤩🤩😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 года назад
Ilaa pole ddang jpo ni tamthilia pmeniuzusha pale paa mama semeni kukumwaliwa maji ya mapovu na mwenyew hulikuwa umedamshi kwenda kumuona shem wtwo eid
@jamesisaya2103
@jamesisaya2103 2 года назад
Kumuona au alikua anarudi home si ndo Ametika kule baa Kumwambia Idy Amekubari Kuolewa mke Wa pili
@mwajumakweli6774
@mwajumakweli6774 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣 Chinga adi vitu ana visamehe Dh!
@mwanakheri169
@mwanakheri169 2 года назад
😂😂😂
@davevichekesho1379
@davevichekesho1379 2 года назад
6:40 chinga kaua 😄 🤣
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 года назад
😂🤣🤣🤣
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Mkewaidi mtarajiwa unamambo wewe🤣🤣🤣
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 года назад
Sophie jua kali
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 2 года назад
Huyu kaka anaevaa black I wish angekua mumewangu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Kwani mume wako anakuchiti???
@tariqmorgan1925
@tariqmorgan1925 2 года назад
🤣🤣🤣
@josephsimbili4344
@josephsimbili4344 2 года назад
Anamimba au
@babatbabat2500
@babatbabat2500 2 года назад
🙌🙌🙌
@erickmahona5357
@erickmahona5357 2 года назад
Daaah kwmb ningekataa nitakudanganya
@robisongodiwnmushi9304
@robisongodiwnmushi9304 2 года назад
noma san
@tresakisha8573
@tresakisha8573 2 года назад
Motown anzafanya video ziaze kuwa ndefu idoko
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 года назад
Huyu jamaa mwenye begi anaonekana hana panic na ana msimamo mzur sana
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 2 года назад
Ww unamuona mtu amejaa mda oote anaweza akashikwa na uchungu utakubali kweli😂😂
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 года назад
@@user-wr6lc3jz6g 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@tindotanzania
@tindotanzania 2 года назад
jambazi katoa namba ya ofisi 😅😂😂😂
@bellabakera
@bellabakera 2 года назад
😁 😁
@nyamizishaban8815
@nyamizishaban8815 2 года назад
Machinga muoga balaaa!!!!! Maana alijua ameokota embe dodo
@hanafiSaidi-ji9ms
@hanafiSaidi-ji9ms 11 месяцев назад
hamna masta matching mwenyewe kaka taa laki 2
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 года назад
Wabongo awajawai kupelea kwny swali Unajua mm ni NANI? Aaaah
@yunyuny5538
@yunyuny5538 2 года назад
Nembo ya mtaa 🔥🔥🔥
@isharsalim454
@isharsalim454 Год назад
😊
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Sema Sanya hauna kipaji cha kuigiza mzee hahah
@juniorjuma2562
@juniorjuma2562 2 года назад
naswa hiyo kenya wanatumia sana...pranks
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 Год назад
Kabisaaaa
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 2 года назад
chinga alidhani dodo 😂😂😂
@gama_liely
@gama_liely 2 года назад
Aha ha ha ha ha🤣🤣🤣🤣🤣
@jumanneyassini
@jumanneyassini 2 года назад
PISI NZURI SEMA IMENYOA NA HILO DERA
@manlematz821
@manlematz821 Год назад
Mtakuja kuvunja ndoa za watu
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 года назад
Ingekuwa fresh kama angempea hiyo mimba,. Naamin jamaa asingechomoka
@aminaamina-xj6qs
@aminaamina-xj6qs 2 года назад
😂😂😂😂😂😂chingaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🔥
@captenndunga6745
@captenndunga6745 2 года назад
Huyo mwamba wa pili anasimamo alafu ana comfidec ya kutosha yupo kama mimi huwezi kunitisha kiboya.. Mwanaume unatakiwa kujiamini kama hvo hata ukifumaniwa kweli saluti mkali... sanya mwenyewe hapo katubu.
@bobelichi7721
@bobelichi7721 2 года назад
A wapi we mlaini sana tu 😂🤣🤣🤣
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Love is Built.
@officalsong2280
@officalsong2280 2 года назад
Yan machnga kanichekesha sana amechochora😂😂😂
@sashaqueentz3753
@sashaqueentz3753 2 года назад
Mtavunja ndoa z watu jaman daah
@izo07nyoni40
@izo07nyoni40 2 года назад
Mo town sanya mbunifu
@ramcymosungu4700
@ramcymosungu4700 2 года назад
Hili Sanya bunifu Sana manina
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 года назад
Et Chinga anauliza Kwa leo leo aaah
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Sema apo itafutwe pisi flani kali hivi alfu iwe na usafiri imeupaki pembeni alfu uone kama watagoma
@kijumaali5565
@kijumaali5565 2 года назад
Ila msikae barabarani apo hatari
@fredrickphilomena5291
@fredrickphilomena5291 2 года назад
Chinga kaona kapendwa kumbe sio kweli 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ilutashabani3672
@ilutashabani3672 2 года назад
We want More pranks
@edgarchristopher4147
@edgarchristopher4147 2 года назад
Mbona anaacha nguo
@Bettingwinner1
@Bettingwinner1 2 года назад
Leo Nimechelewa Motown Sanya 🧐🧐Pindi kaliiiii 🔥🔥 LIKE KWANGUUU 👍
@nassirabdul210
@nassirabdul210 2 года назад
🤣🤣🤣🤣ivi mwishoni mnawaoneshea camera
@swaibahhassan5056
@swaibahhassan5056 2 года назад
Kwani Sophie Ana mimba au Ni macho yangu
@nuraynmakoya803
@nuraynmakoya803 2 года назад
Daah jaman 😂😂😂😂😂😂
@nurdinikilapo4264
@nurdinikilapo4264 2 года назад
Sophy wa iddi uyu😄
@amaniyoeza7006
@amaniyoeza7006 2 года назад
Chinga kunguru 2
@aimfetty1641
@aimfetty1641 2 года назад
Ila we sanya utaja wauwa wenzio na presha jmn 😂😂😂😂😂😂😂
@clintonlyimo5765
@clintonlyimo5765 2 года назад
Mmachinga vitu ganii tena jamanii
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 2 года назад
Mnaleta utani huku watu wapo kwenye Shida serious
@ambaluweabdul1107
@ambaluweabdul1107 2 года назад
Mo town utakuja kupigwa
@meckywadyatv.9016
@meckywadyatv.9016 2 года назад
Daaah..
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 2 года назад
Mapengo mpuuzi 😂😂😂😂
@edgarchristopher4147
@edgarchristopher4147 2 года назад
Chinga anajifikilia
@hawashamasi9115
@hawashamasi9115 2 года назад
Hahahah sio poaa
@razackpaulo6375
@razackpaulo6375 2 года назад
Mshikaji yupo imara warahayumbi kabsa
@mwasitijumaarafa9805
@mwasitijumaarafa9805 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
INATISHA! MAMA NA MTOTO WAKE WAUAWA KIKATILI DODOMA
6:45
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 334 тыс.
2 September 2024
3:12
Просмотров 576
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 5 тыс.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 25 тыс.