Тёмный

KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI 

Daily News Digital
Подписаться 227 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@MkundeMtui
@MkundeMtui 22 дня назад
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu Umetusaidia wengi kwaushauri wako
@ibnhassanbakar4706
@ibnhassanbakar4706 2 месяца назад
Asante sana prof kwa jitihada zako kuhakikisha afya za wananchi. Tunakushukuru sana kwa elimu yako na nasaha zako, allah akulinde. Wale wote wanaokejeli elimu yako, kwa kuandika ujumbe mchafu, mungu awasamehe na awakinge na maradhi wabaki kuwa na afya njema. Sisi tuliokuwa na maradhi au tunauguza ndugu na jamaa tunaelewa umuhimu wako sana. Mungu akubariki. Amiin
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 дня назад
Asantee prfs Jannab❤❤🎉🎉
@stonetown578
@stonetown578 2 месяца назад
Masha'Allah, Allah akufanyie wepesi uzidi kutuelimisha.
@subralugege7019
@subralugege7019 2 месяца назад
Allah atakulipa Dr wanao kudharau watkauja kujua bàdae usijali tusaidie 🙏
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 2 месяца назад
Ahsante sana
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 6 дней назад
Epo ni buku mzee soda kwapesa ipi na kipato cha Mtanzania
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Месяц назад
Hayo yote yanawezekana kwa jamii ya watu wanakula wanacho taka, si kwa wale wanaokula wanacho pata.!!!
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 месяца назад
Doctor,sio Five apples a day! Bali ni: an apple a day,keeps the doctor away! Point of correction. Sorry!
@noela86rogers
@noela86rogers 2 месяца назад
Prof Na wew pia angalia iyo afya yako Labda umeshakua underweight
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 месяца назад
Huyu Dr ukiendelea kufuatilia utakufa mapema Bora kuishi maisha ya babu zetu walikula kila kitu na waliishi siku nyingi
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 2 месяца назад
inabidi utembee na ifanye kazi ngumu kama za babu zetu na ule michemsho, babu zetu walikuwa hawali vyakula vya kukaanga, kuku wa kisasa na nyama zenye dawa.
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 2 месяца назад
Babu zetu walipeleka pesa umbali mrefu sana kwa miguu. Wewe unatumia mpesa tigo pesa kuzituma umbali mref.
@omarmustafa2022
@omarmustafa2022 2 месяца назад
Babu zetu hawakula chips kuku, soda na vyakula vyote vya kemikali walikula kula asili
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 Месяц назад
Hufi. Yaani kwa masomo yake naendelea vizuri sana
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 2 месяца назад
Huko vijini wananchi wanajua hayo. Matunda! Wacha kukonfuse watu. Wacha wale walivyonavyo! Hiyo ni elimu baguzi, ya wenye hela tu. Waambie mwenye ubuyu haya, mwenye uji haya, mwenye nyama choma haya, mwenye ugali wa Tumtemeke haya, acha ubaguzi weee Professa!!
@nicholausmahenge8247
@nicholausmahenge8247 Месяц назад
Sasa anaishi kijiji mpaka afundishe ya kijijini pili wa kijijini wameingia online saa ngapi kwanza hata hawamjui janabi wewe fata unayoona ni ya muhimu kwako usioona ya muhimu acha
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Месяц назад
Hapa hapa tuu mjini 2000 ya Apple analolisema ni mlo wa siku kwa mtu dagaa 500 mafuta 300 unga sijui ngapi hapo leo anazungumzia Apple wanakula wenye nazo.watu wana ugua sio wanapenda ni maisha magumu ya kula hovyo.chai ndio chakula kikuu kwa mwananchi wa hali ya chini nyie acheni tu muogopeni Mungu wee kama unacho pia mshukuru Mungu Elimu zingine niza baadhi ya watu sio za kila Mtanzania.
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Месяц назад
Halafu vijijini wanakula vyakula vya asili hawafikirii sana soda na keki​@@nicholausmahenge8247
@saliminikitete4417
@saliminikitete4417 2 месяца назад
Uyo amnatu nimuongo sana
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba Месяц назад
mkimsikiliza sana huyu kwa maisha ya Tanzania mtakufa na vidonda vya tumbo,unapofundishwa darasani ili ufaulu vizur muangalie mwalimu vile alivyo ndio ufanye anavosema,ishini maisha ya kitanzania tu tiba tosha,maana nikimuangaliga huyu jamaa na vile anasema haaaa siwezi fanya yeye anasema
@kayungilojuma7361
@kayungilojuma7361 Месяц назад
Umeuna hata Rais wetu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 месяца назад
Dactor mwenyewe anaonekana kua afya yake ni 9/100
@ntegrity277
@ntegrity277 2 месяца назад
MBONA HUYU JAMAA AFYA YAKE NI MBOVU SANA
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 месяца назад
Wanafki utawajua ndo kama huyu hivi afya za watanzania we ndo unaziongoza jua Kuna mungu na wewe ni kama sisimizi tu kila kitu mjuaji wewe watu tuna kula nyama tunakula ugali kila siku asubuhi uji mchana ugali usiku ugali na tupo shwali hayo ni matatizo ya mtu binafsi tu usi singizie wanga
@issaisandeko6217
@issaisandeko6217 2 месяца назад
Akili ndogo haziwezi kuwaza mambo makubwa, pole sana
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 2 месяца назад
Ujinga mzigo
@ManswetKimario
@ManswetKimario 2 месяца назад
Ila binadamu aisee huyu Msomi kakosea nn badala ya ss tumshukuru kwa kutupa elimu? Au mnamwenea vivu? Nenda na ww ukasome na uwe Prof.tusikie utakachotushauri juu ya afya zetu.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 месяца назад
​@@ManswetKimario Watu wa zamani wali ishi maisha marefu na afya zao bora! Kwani walisoma vyuo gani? Mwamini MUNGU tu, zamila yako itaku ongoza kwa kila kitu.
@vibetz9991
@vibetz9991 2 месяца назад
Wewe ni Maskini wa fikra na elimu ,,takataka
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 месяца назад
Namuelewa sana dokta ila ukumuangalia mwenyewe kama anaumwa kumbe ndio anarinda mwili wake
@edwinmtuka736
@edwinmtuka736 2 месяца назад
Heee huo ndo mwili
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 2 месяца назад
Afya yake inatisha mshike Yesu.maana yetu yako.mkononi.wa Mungu
@bosssalum1037
@bosssalum1037 2 месяца назад
Ushaur wa kiafya ni mzur wanainch msizarau na kumbeza
@bogate156
@bogate156 2 месяца назад
UELEWA NA ELIMU YA HIKI KIFAA NI QUESTIONABLE PER SE...ANA WENGE LINAMTAFUNA....
@omarmustafa2022
@omarmustafa2022 2 месяца назад
Watu wameaminishwa kua mnene ndo afaya yenyewe doctor ni mwembamba wanasema afya yake ni dhaifu😂
@AffectionateHat-qp2my
@AffectionateHat-qp2my 2 месяца назад
kanyori ka nzehe beh.utakufa kibudu sikuyako yaja.
@MedardAndrew-v3w
@MedardAndrew-v3w Месяц назад
Tumbafu...
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 2 месяца назад
WEWE MWENYEWE UNAONYESHA DHAIFU MGONJWA
@maswamills3161
@maswamills3161 Месяц назад
Mbona yeye mwenyewe anaonekana afya yake mgogoro!!!
@delphina7153
@delphina7153 Месяц назад
Profesa amekuwa mkaka kijana kabisa
@kayungilojuma7361
@kayungilojuma7361 Месяц назад
Wew nae huna lolote unatuchosha huna lolote
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 2 месяца назад
ANGALIA CHOGO LAKE UAJI, KENGE WEWE MNYARWANDA
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢😢 I
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 2 месяца назад
UYU MZEE NDIO ANAYEONGOZA MAUAJI YA VIONGOZI BAADA YA TUKIO LA MAKONDA KABADILIKA ANAJIFANYA ANAPROGRAM YAKE YA AFYA YUNAMUJUA MAKONDA YUPO WAPI?
@boniphace1
@boniphace1 2 месяца назад
Kweli Umekasirika kaka
@EdithaMartin-t4t
@EdithaMartin-t4t 2 месяца назад
Duuu
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Utakapoitwa ukatoe ushahidi, ndipo utakapoanza kuhara
@EsterKindoli
@EsterKindoli 2 месяца назад
​@boniphace1 😂😂😂😂😂
@omariayubu1149
@omariayubu1149 Месяц назад
Vipi, amemfufua?
@kwisa4899
@kwisa4899 2 месяца назад
Kwanini usimshauli Bashe
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 2 месяца назад
HUYU MZEE SIKU YA MWISHO ALIKUWA NA MAKONDA HUYU MZEE ALIUSIKA KUMUUA JPM
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Njoo na wewe akuue
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 2 месяца назад
Prophesor Janama wewe ni muua makonda yupo wapi?
@Jackson-Novat
@Jackson-Novat 2 месяца назад
Utoto mwingi
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j 2 месяца назад
Hahaha hahaha
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 2 месяца назад
We mwenyewe afya yako imechoka alafu unatwambia sisi fala nini
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 месяца назад
Acheni kauli zisizoeleweka
Далее
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
15:27
Просмотров 24 тыс.
SALIM KIKEKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Просмотров 165 тыс.