Тёмный
No video :(

HII NDIO SABABU YA KIFO CHA MANJI • HISTORIA YA MAISHA YAKE • UGOMVI WAKE NA MAKONDA 

SED Jamii.
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@VenitaRugemalila
@VenitaRugemalila Месяц назад
Kumbe aliiona Tanzania muhimu kuitakia mazuri Mungu akupokee hata km Kuna ulipokosea Mungu akusamehe nasi tunakosea ,RIP Yusuph Manji
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Amesaidia sana watu sana lakini hakuwa chochote mkamzushia huto makonda n8 muongo alikuwa anataka honga kwake kawaida makondo akinyimwa pesa anamsingizia mtu anauza madawa ngoja na yeyye makondo mungu atamlipa hapa duniani alims8ngizi tajiri mmoja tanga na kuchukua gari lake sasa roho zenu zitawatulia
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад
Lailahailah rabbi nsataraa manji
@happymushi4493
@happymushi4493 2 месяца назад
Mungu amrehemu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 месяца назад
Pumzika Kwa Amani Manji.
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 2 месяца назад
Pumzika kwa amani.
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 2 месяца назад
Innalillah wainnaileihy rajiuun
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Mmemtia stress mkamkama na kumuqeka ndani mpaka akaondoka akawachia nchi yetu sasa kiko wapi aliye mtia tafurani keshakufa makufuli na k8jana wa watu bado mdogo kaondoja haya faidini nyie sasa
@user-ds7ho1my4u
@user-ds7ho1my4u 2 месяца назад
Mitaji yote ya Wahindi, hupata hapa Tanzania, kwa Kuwa Watanzania wengi, ni Waoga wa Kutafuta Utajiri, Watanzania wengi ni Wafanyakazi wa Wageni.
@asgherpanju999
@asgherpanju999 2 месяца назад
Ww ni mwongo huyo hakuwa na asili ya kutoka punjab, alikuwa na asili ya GUJARAT
@SEDJamii
@SEDJamii 2 месяца назад
Ahsante kwa kuturekebisha
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 2 месяца назад
Kwa hiyo ataletwa au anzikwa huko huko? Maana hii Tanzania bana Ina mambo
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
Kishazikwa huko huko..
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 месяца назад
Washazika toka jana usiku
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 месяца назад
Leo mnamsifu mmesahau
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
Ndio kawaida yetu !! Utamaduni !!
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 месяца назад
Hio sababu ya kifo chake iko wapi mchawi mkubwa wewe.Kazi kutafuta viewers kwa nguvu
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад
Innalillah waina ilah rajihun
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.