Тёмный

Hiki ndicho kinachoifanya Jordan kuwa Chawa wa Israel na Kuusaliti Uislamu,Inasikitisha 

Kalamutz
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 месяца назад
insha ALLAH kila mnafiQ na dhwaalim atafikamwisho. na sasa mwishowaao unafiika.
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 месяца назад
Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 2 месяца назад
Allah amuangamize king Abdulla
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v 2 месяца назад
kibaraka king an dala ni mnafiki
@hosseinmaina2444
@hosseinmaina2444 2 месяца назад
Tumuombe Mwenyeezimungu aijalie Iran iwe na nguvu zaidi iweze kuwashinda hao madhalimu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 месяца назад
In sha Allah
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 месяца назад
History imekaa vizuri san wallah ❤❤❤
@bishweko
@bishweko Месяц назад
Ni uchungu kweli kweli. In Sha'a Allah iko siku iko siku iko siku
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 2 месяца назад
Very Good History
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 2 месяца назад
Mwisho wao umefika
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 месяца назад
Umeeleza vema an nikweli nyongeza huyo Abdullah mfalme mama yake ni myahud... Ama hizi hila unadhami zitaendelea mpka lini? Hii dunia kuna kila aina ya ya dhulma inayofanywa na Wazayuni. Hao wanaojiita waingereza wamepachikana majina tu wote hao nimayahudi waliopo marekani na kwinginepo.. . Kwahyo unapotoa mada ujue kuwa wapo wajuzi kwenye uyasemayo. .ina maana hata wewe unaguswa na hii dhulma inayo fanywa. Kwa hakika Jutihada ni kubwa na nusra inakuja udhalimu unafika mwisho. Mayahudi watapigwa dunia nzima mpka watasalimu amri. Hy moja pili kuna watu leo bado wanaamini Israel taifa teule huko nikujidanganya km vile hutaki kusikia kifo ingali kifo kipo pale pale. Vyote vilivyo fanywa na Uingereza na wengine ni dhulma na dhulma hua haidumu kinacho dumu ni hasara na hasara ndio hii inajitokeza.utashuhudia tukijaaliwa uhai. Kwakumaluzia kuna Familia inayotawala dunia Ya Roschildy ndio moja ya familia ilo amua kuanzisha 1948 hy israel . Na juzi shetani Sr jacob roschild amekufa naakazikwa israel hii familia inayo zaidi ya trilion dola 5000 mpka leo ndio wanamiliki Kanisa katoliki waliikopesha kanisa dola lake nne ikashindikana kulipwa wakaichukua mambo nimengi Uislamu utabakia na Ushindi mkubwa kwa uchacheo
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 месяца назад
Shida hiz history unazipat kikafiri vile vile walivozutengenez nao ambaz sio kweli now nd tunapat vit vinavohus dini❤❤❤
@user-vj6fy1cp6k
@user-vj6fy1cp6k 2 месяца назад
MAASHAALLAH UMEELEZA VIZUR
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 2 месяца назад
Waarabu wa sasa hivi sio wakuaamini tena
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 2 месяца назад
Yah ni kweli ila allh huwa anatuonesha nani ndie na nani sie,ila uislam haulindwi na bin Adam ila aneulinda ni yule alieumba bilion ya galaxy ambaye ndali ya galaxy 1 tu kaumba nyota km itawekwa mawasiliano hadi ktk nyota iyo ukisema hello,basi baada ya miaka minne4na miezi mi3 ndio ifike huko.sasa huyu ndie mwenye kuulinda hii dini ya uislam(ALLAH S.A.W)
@hassanpashua
@hassanpashua 2 месяца назад
Jordan ilikuwepo toka wkt wa Nabii luti
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 месяца назад
Asante,Allah akulipe kheri kwa elimu unayoitoa, Ukipata wasaa andaa na historia na kwann Saud Arabia nayo iko bize na Israel na marekani na wazungu.
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 месяца назад
in sha Allah
@msamgunda7684
@msamgunda7684 29 дней назад
waingereza ndio waliowapa ufalme.hata jina la ukoo wa said ndio jina la nchi.
@aligedi2869
@aligedi2869 2 месяца назад
Kupenda dunia na kusahau mauti na hesabu.
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 месяца назад
Kumbe!
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 2 месяца назад
Kosa kubwa linaanzia enzi za dola ya rumi, ilipowatawanya wenye yenye nchi ama jimbo la Yudea (Yuda/Yehuda) baada ya kupinga utawala wao na kulinvunja hekalu la Yerusalem wengi wao walikimbilia na masharik mwa afrika ambako warumi hawakutawala
@zenahussein2242
@zenahussein2242 2 месяца назад
Lakin warumi wapya si ndio marafiki wa wayahudi wa leo😂😂
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 2 месяца назад
@@zenahussein2242 Wayahudi halisi wako afrika, alafu jua kutofautisha kati ya Myahudi na Muisrael, kuna moja ni kabila kati ya makabila 12 ya Yakobo pia ni imani, na jingine ni taifa mkusanyiko wa makabila 12 ukitaka kujua kua hao sio, hakuna mlawi, mrubeni, myusufu n.k Yahudi ni kabila la Yuda mtoto wa nne wa Yakobo na ufalme wa kusini makao makuu yao ni Yerusalem ambapo Mungu aliazimia kusimamisha ufalme wake kupitia huyo na ndio kabila la Yesu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 месяца назад
Sasa ndugu yangu lengo lako ni nini sasa hivi . Machawa wapo siku zote Jordan ni nchi amani .
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 2 месяца назад
Kwahiyo watu wauwane kwasababu ya dini?miaka ijayo walio wachache au mataifa madogo watakuwa na wakati mgumu sana hapa duniani.
@mchumiboy2972
@mchumiboy2972 2 месяца назад
Ukimnyima mtu historia yake basi umenyima uhai ndio kinachotokea Dunia ya leo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Jordan Siyo nchi ya kiislamu hadi mwaka 1960 uislam ulikuwa asilimia 35 lakini kwasasa uislam unakaribia 58 asilimia ndiyo maana kwenye katiba yao rais wa nchi anakuwa mkristo na waziri mkuu mwislamu
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 месяца назад
Soma
@user-io8hn1jb4d
@user-io8hn1jb4d 2 месяца назад
Asome nini sasa
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 месяца назад
wanafiki njia yao fupi
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 2 месяца назад
Hakika wewe ndie mchambuzi bora
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 2 месяца назад
Ipo siku moja watasema
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 месяца назад
Asante Jordani ni rafiki wa Israel 😂😂
@Awatee
@Awatee 2 месяца назад
​@@annasolomon9855Eti rafiki
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 месяца назад
@@Awatee Sasa ulitaje .. wanajuana wale ni majirani kama Kenya na Tz.. Yesu Kristo alibatizwa mto Jordan na hapo kunauwezekano Kuna Wayahudi Wengi tu ndani ya nchi ya Jordan..
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 месяца назад
@@Awatee halafu kwa akili Yako Waarabu na Wayahudi ni ule uadui wa kivita tu lakini hata baadhi ya maneno ya kiyahayudi ni yaleyale ya kiarabu na wanasikizana... Hata kuona wanaoleana Sana tu.. mtoto wa mfalme wa saudia prince mamake ni myahudi baba msaudi Arabia, Osama bin laden mama myahudi baba msaudi Arabia hapo najua utabisha mpaka mwisho 🤣🤣pole Sana
@Awatee
@Awatee 2 месяца назад
@@annasolomon9855 ulikuwepo wakati akibatizwa wacha kudanganyana Yesu hakua mkiristo
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 месяца назад
Nice history, ila ,watu,wa ,gaza ,wanakufa , jamani, waislamu,mungane na wakristo, wa Tanzania mpige kerere mbona ,mmenyamaza wanaokufa kule sio mbuzi ,eti, ni binadamu, kama cc,
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 месяца назад
Awo si ndio wale waliolishwa sumu vichwani mwao,Israel ni taifa la mungu, ata akili hawatumii kabla ya 1947 kuliluwa na taifa linaloitwa Israel? Ata uyo Israel masikini hawamjuwi ndio nani wanapelekeshwa tu, wkt huu ndio wakutumia akili kwa wakiristo nakuchanganua.
@emmadora7848
@emmadora7848 2 месяца назад
Ila wewe watanzania wafanye Nini? Mmarekani kwenyewe watu wana andamana ila imeshindikana, south wameshitaki lakini wapi unafikiri sisi tunaweza kufanya nini?
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb 2 месяца назад
​@@mussammanga7791falme daudi alitawala taifa Gani? Mfalme sulemani alitawala taifa Gani? Embu nipe majibu
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb 2 месяца назад
​@@mussammanga7791falme daudi alitawala taifa Gani? Mfalme sulemani alitawala taifa Gani? Embu nipe majibu
@user-po9fr6jd6t
@user-po9fr6jd6t 2 месяца назад
Jordan had all the rights to defend its territories. Kama nchi iko na mikakati yake kulinda nchi yake vp iran arushe makombora juu ya anga bila hodi
Далее
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Просмотров 1,1 млн
Kisa Cha Mfalme na Nyoka wawili
16:06
Просмотров 28 тыс.