Тёмный
No video :(

Maktaba ya Vatican: Jumba lenye Siri za kutisha, yajue yaliyomo na kwanini yamefichwa hadi leo 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 121 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 167   
@cidewashington670
@cidewashington670 Год назад
Hapa Kuna kikubwa cha kujifunza kutokana na taarifa ,Allahmdulilah A m Muslim
@febrowizkindi
@febrowizkindi Год назад
simulizi hizi ndo zinaitajikwa sauti la Sky Mashallah😍😍 5/5 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@silvananjunwa7905
@silvananjunwa7905 Год назад
Asante sana naubarikiwe,Katoriki Mungu azidi kuisamia Roho Mt.azidi kutusimamia tusitenguke kiimani.
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 23 дня назад
ujinga, yaani mmetengana wote nyinyi madhehebu ambapo siyo maagizo ya KRISTO.
@manasekamnde5802
@manasekamnde5802 Год назад
Yaani wakati wengine wanatuandikia habar za hofu ya Ebola na Corona sky anatutuliza na story nzuri Kama hz bro Mungu azid kukuinua
@noel3290
@noel3290 Год назад
You should have a podcast talking about history and i will subscribe. By far the best story i have listened from you. I love history myself but the Roman Empire is just something else. Talk about their architecture someday. It’s believed they had heated floors way even before electricity. I wonder how the modern architecture is so basic
@josephsebe5857
@josephsebe5857 Год назад
Yes please show that primitive jealous angry man. THAT ROMA WASN'T BUILT IN HIS BRAIN 🤣 THAT'S WHY HE BRING US STUPID THINGS.
@maggiestanley5552
@maggiestanley5552 Год назад
😅
@avelinekafuru5146
@avelinekafuru5146 Год назад
Imani, Tumaini na Upendo. Mungu ni UPENDO.
@bonita329
@bonita329 Год назад
Sauti ya sky naipenda unasikiliza story hadi unasikia raha☺️ Big Love from Germany🇩🇪🙌🏼 Vatican Roma italy utalii wangu wa kwanza kabisa nilianza kutembelea kwenye jumba la Vatican kwanza nilishangaa sana viongozi walio kufa maiti zao zinaishi kwenye jeneza la vioo na wamelala vizuri tu wima😬🧐 kuhusu vitabu vinavyohusishwa na uchawi ni kweli vipo maktaba hizo tena uchawi huo unasoma tu nakufata maelekezo na uchawi unakuja live aswa huko UK na marekani kama vile tunavyoona kwa movies zao ni vitu vyakweli kabisa
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Asante sana Bella
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Год назад
Kwa kweli.
@helenamwaipaja7749
@helenamwaipaja7749 Месяц назад
Inasisimua sanaaaa,ila bado Biblia tuliyonayo ina majibu ya maisha yetu,Maana Mungu wetu haokoi kwa wingi wala uchache,yanayosha tuliyoyasikia
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
Thank you SNS ❣️❣️❣️❣️
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Год назад
Wafundishen uchawi mzul awa watu weus kama mkaa Mana wenzetu Wana uchawi mzul unao leta faida nasio kutiana hasara
@crazy3462
@crazy3462 Год назад
Sns br unajua sana napenda sana kaz zako endelea nakaz nzuri
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Asante sana
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 Год назад
Wanaoujua ulimwengu huu ndio wanaouendesha, kuna siri kubwa sana juu ya maendeleo ya dunia hii tunayoiona
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Год назад
Kweli Dunia Ina mambo mengi sana sisi tunaojifanya wajuaji ndo hatujui chochote..
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Год назад
Nimeipenda hii kinoma👏👏👏🇹🇿🇹🇿
@amirclassic8326
@amirclassic8326 Год назад
Safi Sana bro nakupata kutokea Canada🇨🇦🍁🍁🍁🍁👍👍👍🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Год назад
Ukute hii maktaba imejaaa siri za kichawi tu hakuna zaidi cc kitabu chetu kimoja tu kinatosha
@titokwareh1852
@titokwareh1852 Год назад
Unaona wivu
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Год назад
Ukishafuga majini wew ni mchawi tayar😂
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Majini humo humo neno la Mungu humo humo
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh Месяц назад
😂😂😂😂
@sinaloa5698
@sinaloa5698 Год назад
Bibilia ya kwanza original imefichwa humo piaa
@guledomary2812
@guledomary2812 Год назад
Sky Walker.. we ni nomaa unajua kupanga matukio na kusimlia unafanya msikiliza sio tu kufurahia historia Bali pia kujifunza.. hakika hii SmS itafika Mbali Kwa ufanisi
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Год назад
Sauti kama ni tv bas zaidi ya HD
@j-ray4711
@j-ray4711 Год назад
Knowledge nyingi zipo kwenye maandishi ambapo Kuna Siri nyingi zimefichwa.
@josephignas3988
@josephignas3988 Год назад
Hata Bible ya kwanza original imefichwa humo yenye muongozo sahihi isiyochakachuliwa na yenye utabiri wa Mtume Mohammad kuwa ndiye atakayefata baada ya yesu (Issa) na ukweli tofaut na bible ya kileo upo humo ila wakristo wa leo hawajui jambo hilo na hivyo wamepotezwa tayari na utawala wa kirumi (kanisa catholic la leo)
@yusuphmwamlima2902
@yusuphmwamlima2902 Год назад
Hakuna sir inayofichwa ya kidin humo Kunafichwa mambo yanayofanyika humo na baadhi ya viumbe vinavyo waongoza katika kutimiza mambo yao
@DeoKanyatta
@DeoKanyatta Месяц назад
Mmetoka ktk madam, mnaleta ukenge,nye zenu zi wapi?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Sky kila siku huwa nakufiatilia sana ILA Leo ndo nimekuwa kwenye Top list yangu ya watu ninaowakubari Duniani coz mko pafect na mnauelewa mkubwa mno, ASA kwenye story ya maktaba ILA nakuomba umtafute Mtumish mmoja anaitwa bishop Aurelian ngonyani mwanathiologia naimani utamuuliza maswali mazuli kuhusu historia ya kanisa na dunia Kwa ujumla jamaa anajua na ana iQ ya juu
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Asante sana Francis kwa pongezi na pia suggestion, tutalifanyia kazi
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Год назад
Yaani kila tunapozidi kuelewa mambo ndipo tunajikuta tuko kwenye mvurugano mkubwa sana, sasa je ?? Tunaelewa au tunajikoroga???
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Год назад
Je ?? Hizi dini zote hizi , ni hadisi ya kutengeneza au ni kweli ,,,mengi tumefichwa.lakini iko siku
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 месяцев назад
​@@ezekieljacob5795dini ya kweli ni ukristo sababu inahushahidi WA kimaandishi kihistoria kisayanci na kithioligia
@dogojanja6235
@dogojanja6235 6 месяцев назад
Ukitaka kujua dini Ya kweli ni ipi soma Yakobo 1. :27 ​@@francisjoseph1074
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Sns nmekupongeza kwasababu umefuatilia kitu kilichokweli Rome empire ulifanya vitu visivyokawaida lkn pia ulipoungana serikali na Dini ulifanya kufuru ambazo ziliua zaid ya mamilioni ya waumin kikatili mno kuna agenda kubwa mno humo lkn pia hata freemasons waanzilishi wapo humo, na makundi makubwa ya sili Na mipango mipya ya Dunia na naamini hawataweza kuweka wazi mambo yao kwasababu watu watastaajabu mambo hayo
@Expedito2512
@Expedito2512 Год назад
Maskini wewe una mawazo ya kifara kweli
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Shukrani sana Jackson
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
@@Expedito2512 njoo na reason usiende tu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
@@SimuliziNaSauti kanisa limepitia mateso zaidi ya miaka Mia mbili likiteswa na makaisali WA Roman empire makaisali wamewauwa watakatifu na wakristo WA kweli , ILA mungu alivyowaajabu neno liliwafikia na wakaaminki na kua wakristo ulisoma katika ufunuo kuna kumbe za makanisa Saba ya kinabii kama Unaakili ukisoma na ukaelewa hizo jumbe utagundua kitu
@MethodRwekaza
@MethodRwekaza 11 месяцев назад
​@@francisjoseph1074k
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h Месяц назад
Nyaraka nyingi waliiba kwenye nchi mbàlimbali...misri,Israel ni
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Год назад
Walio kiona kitabu cha ngoswe PENZI kitovu cha UZEMBE gonga like yako.
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Год назад
Hhhhhhhhhhhhhh
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 Год назад
Thank you sky Umesema sawa asimia Mia Sky wewe ni mkatoriki ? maana umejus kuchambu. I like that. 👍
@josephbizzy1813
@josephbizzy1813 Год назад
Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe 🤣🤣🤣🤣
@smoothienation2786
@smoothienation2786 Год назад
Nakubali blood
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Год назад
Kama ni siri wewe uliifahamu vipi?
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Год назад
Hapa sasa ndip mmenipata sns nime subscribe leo... asante sana Sky
@allymtapera5370
@allymtapera5370 Год назад
Boss leo nimwkuelewa sana kwa be hii noma sanaa
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 11 месяцев назад
Humo ndiyo mna siri ya jinsi kanisa katoliki lilivyo badili sabato ya kibiblia ya siku ya Saba jumamosi na kuifanya siku ya kwanza ya juma jumapili kuwa badala ya sabato
@Tina-ff4pr
@Tina-ff4pr Год назад
Mwisho wao umekaribia
@francismwacha253
@francismwacha253 Год назад
Aisee hii makala ndo pendwa kwangu.. nimeikubali mno kanisa lina hazina bhn na nahic kuna maandishi yale ambayo hayakuwekwa kwenye biblia yamo humu..
@frankjosephmush4530
@frankjosephmush4530 Год назад
Kweli atamimi nasikiaga inavyosemekanaga mambo yote ayakuwekwa kwenye biblia
@hashimalsaadat4905
@hashimalsaadat4905 Год назад
@@frankjosephmush4530 Ikiwa Biblia Haijakamilika Basi Hata Ukristo Upo Nusu Bado Dini Haijajitosheleza
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 Год назад
Sasa hao wanaoficha jamani kwanini wafiche maagizo ya Mungu??
@Mariamkimaro2024
@Mariamkimaro2024 Год назад
@@hashimalsaadat4905 rafiki okoka acha ushabiki wa dini Yesu anakupenda mpatie maisha yako utajua ukweli usio ujua
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
@@Mariamkimaro2024 kuokoka ndiyo nini rafiki soma BIBILIA vizuri
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 10 месяцев назад
Nipe history ya Lilith mke wa Kwanza wa Adam ambae Kwenye Bible wameficha na kumuweka Hawa KISA CHA LILITH NA VITABU VILIVYOONDOLEWA KWENY BIBLE
@amour5535
@amour5535 Год назад
Ngoja waje mm nasikiliza tu
@ZQTANZANIA
@ZQTANZANIA Год назад
Nachokijua mimi na natamani wengine wakijue ni kuwa, endapo vatikan wataamua kufichua kila kitu kilicho kwenye hio maktaba basi naamini hakutakuwa na ukatoliki wala ukristo maana lisemwalo lipo na kama halipo laja. Nalo ni kwamba "dini ya asili na ya mwanzo tangia dunia kuumbwa ni UISILAMU" tuwe watafiti binafsi na tuwe wepesi kuukubali ukweli.
@abduljuma2214
@abduljuma2214 Год назад
@ kheri Mombasa Toa ushahidi wowote wa kihistoria nje ya quran kwamba kulikuwa na uislam kabla ya nabii muhamad
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 Год назад
Uislam ulikuja baada ya ukristu
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Год назад
@@abduljuma2214 umetoa hoja nzur
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
Punda we Islamic imeanza lini acha kijidanganya Dini ya majini nyiye
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 Год назад
Napendaga simuliziii
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 5 месяцев назад
Irmao você é bom talentoso ❤❤❤
@mosespeter2508
@mosespeter2508 Год назад
Mungu atusaidie sana
@josephjulius3327
@josephjulius3327 Год назад
Thanks for this dunia ina siri kubwa
@charlesdaniel6212
@charlesdaniel6212 Год назад
Kaka hizi ndo vitu tunataka kusia
@lucasbatano333
@lucasbatano333 6 месяцев назад
Sauti nzuri
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 Год назад
Tumeipenda story hi ila itabidi. Nisome kwa kurudiarudia ndiyo nitaielewa vizuri zaidi. Nimeipenda story hi Ina mafundisho mengi mno
@yusuphmwamlima2902
@yusuphmwamlima2902 Год назад
Tunaendeshwa na mifumo ya baadhi ya viumbe kwa kutimiza mambo yao. Humo kunatunzwa viumbe na taratib za hao viumbe ili kutimiza ujio wao wa kuwapumbaza viumbe binadamu
@kwilekesyakyamba3090
@kwilekesyakyamba3090 Год назад
Unaweza sana historian na uwe upande uo uko kwingine waachie vijana
@selemanihussein7873
@selemanihussein7873 Год назад
Anaandaliwa story na mtu mwengine yeye ni msomaji tu
@meekman1805
@meekman1805 Год назад
Mimi naamini kuwa ni kweli hizo Maktaba zina siri nyingi ambazo hawataki kuzitoa.
@azizbashir
@azizbashir Год назад
PIA KUFICHA UKWELI WA KUJA KWA MTUME MUHAMMAD KWAMBA HATAKUJA NA KITABIRIWA YA YESU
@henrysizya239
@henrysizya239 Год назад
Kwani ni aya au sura gani ndani ya kuraani inayosema Nabii Issa Bin Mariam alitabili ujio wa Muhammad?
@issasalum8544
@issasalum8544 Год назад
naomba hiz simulizi zipewe JINA
@jamesimanwel5089
@jamesimanwel5089 5 месяцев назад
Ni Siri Kwa wengine lakini sisi Waadventista wasabato tunaujua ukweli wote! Nabii Ellen White ameonyeshwa yote
@mohdyussah825
@mohdyussah825 4 месяца назад
Your correct
@simulizi2632
@simulizi2632 Год назад
Brother Sky ishu kama hizi jaribu kuelezea kiundani bila kuacha maana ya baadhi ya maneno ambayo hatuelewi. protestant ndio nini mfano🙋🏾‍♂️
@josephignas3988
@josephignas3988 Год назад
Protestant ni makanisa yote tofaut na roman Catholic. Yaan makanisa yote nje na roman Catholic au yaliyo kinyume na catholic ndio yanaitwa "protestant" . Protestant ina maana ya mpingaji
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Год назад
Hakuna siri isipokua kuna uchawi wa kiwango chajuu. Kwakua siri kwaaslimia kubwa hufanywa na wachawi ili watu wangi wasijue namna wanavyouawa. Na bibilia ni moja ya wachawi Hao Hao ambao wameiandika na kutugawagawa vikundi ambavyo havielewani hata kwa jambo moja. Ukweli huwaunganisha watu, wangekua wameficha ukweli sote wangetuachia tujue. Lakini kwakua wameficha uovu na mambo mabaya ya viumbe kutoka kwenye sayari tofauti. Wanajua kua tukijua, kesho tutakua kama wao kwenye uchawi
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Год назад
Ndio maana inakuwa siri
@japhetrobert1728
@japhetrobert1728 Год назад
Huo nimtazamo wako na fikra zako binafsi.
@shimbazakayo1058
@shimbazakayo1058 Год назад
Maajabu umeweka profile picha ya harusi(umem-beba mke wako) baada ya kufunga ndoa kanisani
@piusnkwale
@piusnkwale Год назад
@Barry, mimi nakuelewa haya mambo yana siri kubwa sana sio rahisi mtu kuelewa unless you go deeper spiritually ,
@aloyceisdory7855
@aloyceisdory7855 Год назад
Chuki za kidin zitakuuwa tatizo upo kwenye dini amboyo historia yake inaanza kwa mchungaji alikua kibaka 😂😂😂😂
@jumamofu9573
@jumamofu9573 Год назад
Kilomita 85 hiyo Ni corido yenye shelf iliyo jaa vitabu Dooh!! Hakika Ni kubwa kwa kweli!
@eliudimwakasenga9754
@eliudimwakasenga9754 Год назад
Nakubali kaka tunajifunza hakika
@maila561
@maila561 Год назад
here we go👌
@jamesimanwel5089
@jamesimanwel5089 5 месяцев назад
Tafta kitabu cha Great Controversy( pambano kuu) kimeandikwa na Ellen. G. White kuna siri za upapa nying
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Hii ndio *SIMULIZI NA SAUTI* SASA
@salamamshana1004
@salamamshana1004 Год назад
Mengi yamefichwa kwenye hizo maktaba na kibwa zaidi ni kuficha UKWELI WA MAMBO..MAMBO MENGI YAMEPINDISHWA NA WATU WAMEFANYWA VIPOFU KWA KUTOJUA ILA MINGU NI MWEMA, KILA JAMBO LIMEWEKWA WAZI, INGAWA BADO WATU HAWAONI..
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 6 месяцев назад
Upuuzi tu, tutakuamin vip
@rosemaryismaily001
@rosemaryismaily001 Год назад
Kwaiyo hiyo maktaba imehifadhi historia za wizi za kila pahal
@paskalimallya5294
@paskalimallya5294 Год назад
💥☺️
@bongonews6542
@bongonews6542 Год назад
Makao makuu ya siri za freemason na devel
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Год назад
We unjiunga nao boya we
@josephinematemba5100
@josephinematemba5100 Год назад
Toa na simulizi ya Martin Luther pia
@julianacellestine801
@julianacellestine801 Год назад
Acha uongo.
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 9 месяцев назад
Kilometa 83 mmmhh mbona parefu
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 месяца назад
Nini: makitaba inakilomita 83!!!??
@filomenabarongo693
@filomenabarongo693 Год назад
Mambo ni mazito sana
@francisjackson6524
@francisjackson6524 Год назад
Kilometer 85.3!!!
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Год назад
Kuna Tofauti Kati ya SIRI na UZEMBE WA KUSOMA. (nyingi si siri za kufichwa bali ujinga wa kusoma ndo unafanya zionekane siri. Maana kuna baadhi yaliyosemwa kama siri na sns, ki uhalali si siri bali kuwa na knowlege kutoka kwa secondary sources kama si mbali kabisa na ukweli halisi. Kwa kutokuwa na primary sources imformation, SNS mmpetupigw chuma kizito"🙏🙏)... maana kuna ulivyoviita siri, na wakati watu wana ufahamu navyo miaka dahali ilopita. Chunguza zaidi wasaa mwingine🙏🙏
@josephsebe5857
@josephsebe5857 Год назад
Mbuzi kimpigia zeze ndio kwanza ANAFIKIRI SASA FIMBO IMEKUWA BUYU RUNGU. 🤣
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Год назад
@@josephsebe5857 🤣🤣🤣🤣 kwamba wamepita kama hii comment haramu maana inahalalisha vilivyokwisha kuharamishwa na ulimwengu wa kupewa pongezi bila kutiwa hata hoja moja ya kuonekana kuwa kuna pahala ngumu kufikika bila kupongeza asiyekupa zawadi ya kukupigia meza za wabunge🤣🤣
@maalimseifk-gumuadui123
@maalimseifk-gumuadui123 Год назад
Ujuaji ukizidi sana unakua ni upumbavu 🙌🏼Hilo ndo neno langu la leo
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Год назад
@@maalimseifk-gumuadui123 🤔🤔upumbavu nao ukizidi🤣🤣🤣🤣
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Год назад
😂😂😂nam hata mchana siwezi nikiwa peke yangu maana mmh
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Twende vatican
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 Год назад
Wakwanza Leo 🤪
@mwalimuwakiingereza241
@mwalimuwakiingereza241 Год назад
Wanakula nyama au njama? Asante sana kwa ku share nasi habari nyeti
@franklachman8883
@franklachman8883 Год назад
Njama. Ulimi hauna mfupa..naukakika alimaanisha neno Njama.
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Год назад
Muongo sana.
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Wana ficha Siri kubwa ya juu ya yesu kumzunguzia mtume wetu Muhammad salallahu alehi wasalam
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Ndio maana wanaficha mandishi kwa library
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Hiyo ndio point 👉
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Год назад
Je itakuwaje kama wameficha ukweli kwamba huyo Yesu hakuwahi kuwepo Bali ni mtu wakubuniwa,?,ikiwa ni hvyo bado utakuwa na nguvu yakujitapa na uislam wako
@piusnkwale
@piusnkwale Год назад
@@josephevaristi8923 kuna nguvu katika Yesu watu tumeshaprove ilo,soma biblia achana na mambo ya Siri haya hayakupeleki popote,biblia ndio msema kweli hawa wote Siri zao ni mambo ya giza tu
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Mwenyewe unajichanganya uko kwa kitu wewe Mwenyewe huna Imani nacho
@mastaplan
@mastaplan Год назад
Mkuu lete habari za ANNUNAK
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 Год назад
Your story needs to be supplemented with primary sources. Otherwise it is based on unproved accusations and thus it does not qualify to be called scientific. Provide primary sources please
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
Sky ww ni msimuliaji bora kwa ss aisee
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Asante sana
@allymtapera5370
@allymtapera5370 Год назад
Tuletee mwendelezo
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 Год назад
vitabu vyote hvy ambavyo vimo humo basi ukisoma kitabu kimoja tu ( Qur -Ann ) basi utakuwa umesoma vyote hvy
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 Год назад
Ingekua hivyo hao wanaotafuta majibu kule maktaba s wangeenda kusoma hyo Quran
@akidashekue163
@akidashekue163 Год назад
Maktaba ya Freemason
@henry1933
@henry1933 Год назад
Doh
@isackhassan6551
@isackhassan6551 Год назад
Ukweli siku zote humuweka mtu huru na hawa jamaa hawataki tuwe huru kifkra kwamwe.
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Год назад
Dunia yetu
@boscomtani1006
@boscomtani1006 Год назад
Km 85.3?
@ibnbaazalrufiji1468
@ibnbaazalrufiji1468 Год назад
👍🇿🇦🇿🇦
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Год назад
Hiyo SIRI ya nini kwenye kutangaza neno la MUNGU? Bac kuna tatizo kwa hali hiyo!!! Kuna mambo yasiyofaa, wanaficha ili watu wasijue!
@innocentivictor3078
@innocentivictor3078 Год назад
Ombi kwann usiwe unaadisia wewe, story zote, unajua kwakweli
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@Lizy98067
@Lizy98067 Год назад
🇨🇭🇨🇭🇨🇭🇨🇭
@williamgideme2689
@williamgideme2689 Год назад
Ndiyo mmuelewe ukristo kwa ujumla uko chini ya uongoozi wa ibilisi. Kanisa katoliki ndilloo lililobebaa uhaalifu mkuuu kkuhusu ukweli wa kinsi walivyyotendaa mambo yao kwa siri ilii wasisemmwee , majumba hayo ni makazi ya ibilisi. Hatta Mungu waao wa utatu alittengenezwa katika ad 325,, wakati wa Constattine
@pascalerick3525
@pascalerick3525 Год назад
Nao wanataka uishie kujua hvyo ili ubaki mjinga siku zote
@HildaenosMwinuka-ej7zg
@HildaenosMwinuka-ej7zg 8 месяцев назад
Pole hujui mambo mengi hata uislamu una mambo unafanana na Ukatoriki mbona kama ukristo ni uibilisi.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Год назад
Msimulizi.unakosea sana unapotowa maelezo ya uwongo dhidi ya kanisa katoliki...wewe unajuwa zaidi kuliko wakristo wakatoliki ? Embu weka Udini pembeni wa kisabato...weka chuki pembeni / acha husuda na wivu usiyo na faida yoyote...usipotoshe ukweli kuwa uwongo..tubu hiyo dhambi..
@josephsebe5857
@josephsebe5857 Год назад
RONGORONGO ETI JUMBA KUBWA LINATISHA NA GOROFA ZA DUBAI NA SHANGHAI MBONA HUSEMI WEWE ACHA UJINGA. .KAWACHUNGE NGEDERE WASILE MIHOGO YA BIBI HUKO UWASEME NGEDERE NI WATU 🤣🤣🤣🤣
Далее
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 61 млн
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
Просмотров 17 тыс.
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Просмотров 649 тыс.
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28