Тёмный

SIRI NZITO: CHANZO CHA VITA ISRAEL NA PALESTINA/ MCH. HANANJA AVUNJA UKIMYA 

Dar24 Media
Подписаться 725 тыс.
Просмотров 102 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Exclusive #MchHananja

Опубликовано:

 

14 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@rosechuwa9493
@rosechuwa9493 9 месяцев назад
Kwa lugha ya kimjinimjini pastor hananja tungemwita jembe la kutema point. God be with you pastor
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 9 месяцев назад
Safi sana mutumishi wa Bwana, nakumbuka ulivyo tuhubiriya hapa IOWA STATE USA 🇺🇸,
@charlesmoseslyimo8923
@charlesmoseslyimo8923 9 месяцев назад
HONGERA sana dada Shangwe. Wewe ni mwanamke wa DHAHABU wa mfano. Asante sana kwa taaluma hii na hakika itatusaidia sana katika kutambua na kuilea vizuri jamii yetu. Nimekukubali mnooo
@zainabrajab6092
@zainabrajab6092 8 месяцев назад
😊😂😂😮😂
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 9 месяцев назад
Dawa natamani Kila mtuu asikie atajifunza kitu kikubwa sana duniani Kuna mambo mengi sana mungu atulindee jamani
@BigZhumbe
@BigZhumbe 9 месяцев назад
Mmefanya kosa kuchanganya mahojiano ya Pastor Hananja na Huyo mama mwandishi mwenye changamoto na hali ya mwanawe. Watu wanamuona pastor tu huyo mama mada yake imemezwa ni umaarufu wa Pastor. Ingekua vizuri mngezigawa ama mkate kipande cha mama mkiweke kivyake.
@ASALABOY
@ASALABOY 9 месяцев назад
Jaman uyu baba namuomba musimalize mapema aya maujiano
@letemelekimboipoi6773
@letemelekimboipoi6773 9 месяцев назад
Kazi nzuri sanaa wana wa Mungu❤
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 8 месяцев назад
Nimependa mahojiano ya Eng. Shangwe. Kazi nzuri Sana, watu wamshike mkono huyu Mwanamke Wa Shoka
@dijohbanks4312
@dijohbanks4312 8 месяцев назад
mwanamke yupi tena?
@AlieMdogo-oi6il
@AlieMdogo-oi6il 9 месяцев назад
Mungu akulinde mchungaj
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 9 месяцев назад
huyu mchungaji ni genious
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 9 месяцев назад
Ebwana nimesikiliza interview yote nimeiyelewa 😂 Mungu hakupe Maisha Marefu ☝️✌🤣
@georgiabuchukundi5146
@georgiabuchukundi5146 8 месяцев назад
Hongera sana binti yangu kwa hatua hiyo❤❤
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw 9 месяцев назад
Unyenyekevu haupo tena kwetu wanadamu, tumegubikwa na kiburi. Kiburi ni hali ya kutokuwa tayari kusikiliza na kutumikia watu. Kiburi ni sababu kubwa ya vita vyote vinavyoendelea duniani.
@albertlucaskoisha7353
@albertlucaskoisha7353 6 месяцев назад
Kweli kabisa uchungu unatafuta faraja
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 9 месяцев назад
Yani huwa sichoki kumsikliza hananja😂😂
@ASALABOY
@ASALABOY 9 месяцев назад
Napenda sana mádini yake
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 месяцев назад
Ubinafsi na kutokuona thamani ya mwenzako,ni kukosa utu kwa tamaa ya mali na madaraka ambavyo (Rumi1:24-26) kila mja atakufa na kuyaacha wala hataondoka navyo!!?
@ekiliangoliga644
@ekiliangoliga644 9 месяцев назад
Uko vizuri
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 месяцев назад
Nice
@user-sn4dl4qb3g
@user-sn4dl4qb3g 8 месяцев назад
Amen baba unasema kweli kila mtu anaakili yake
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@pastorkapelawakapela4078
@pastorkapelawakapela4078 9 месяцев назад
Paja wangu huyo bado tena tungali tuna mwitaji huku
@haidarsalum9228
@haidarsalum9228 8 месяцев назад
Mbn ipo nje na tittle.m
@rehemakatana7029
@rehemakatana7029 8 месяцев назад
Ukisoma kitabu Cha Ezekiel 39:1- 29 inaelezea kuhusu hii vita so ni maandiko yanatimia.
@boobohhh3029
@boobohhh3029 8 месяцев назад
Kweli bab ni kweli kbs
@isaacvtv547
@isaacvtv547 9 месяцев назад
Sikujua kwamba ulikua columbus ohio karibu yangu kabisa 1h away from mahali nilipo
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 9 месяцев назад
Hongera sana Pastor
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 8 месяцев назад
Wewe una dini gani
@davidwambura5915
@davidwambura5915 9 месяцев назад
Ukitaka kujua chanzo vita mtafu askofu Aulelian Ngonyani. Utanishukuru.
@henrymwalugala3619
@henrymwalugala3619 9 месяцев назад
sawa
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 9 месяцев назад
Unamaneno mazuri
@johansvensson2079
@johansvensson2079 8 месяцев назад
❤❤❤
@theophilluskahigwa8128
@theophilluskahigwa8128 9 месяцев назад
Yaani nigependekeza asaidiwe apate PHD ya Socialogy, km ipo. Asaidiwe, atengeneze maandiko apate PHd yake.
@agnesmasenya2280
@agnesmasenya2280 9 месяцев назад
Aliowatuma mungu hawakusoma na walisoma tuliona wananyenyekea hawakujikweza so PhD sio muhimu
@hanspop6961
@hanspop6961 9 месяцев назад
Nakuelewaga sana Mchungaji
@MusaYauto-ck9nn
@MusaYauto-ck9nn 9 месяцев назад
Ok nawatakia mwisho mwema
@stanleykalugendo2995
@stanleykalugendo2995 9 месяцев назад
Wakati mwingine ni ngumu kutambua hali ya mtoto mwenye usonji; wa kwetu ana miaka kama 26 au alikuwa mtukutu sana utotoni, tulipata shida ya kwenda naye kwa gharama kubwa ya maisha ila kidogo kwa mtu asiye jua hawezi mtambua hadi aelezwe, anaendelea vizuri na maisha kwani kesi yake sonehow iko miled!?!
@stanleykalugendo2995
@stanleykalugendo2995 9 месяцев назад
Miaka 26 au zaidi hivi.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 месяцев назад
@@stanleykalugendo2995 🤣🤣🤣🤣Unamanisha.
@user-df5nv2iz9w
@user-df5nv2iz9w 9 месяцев назад
Nabii Branham anasema hivi, ukitak kujua muda angalia saa yako. Lakini ukitaka kujua ni kitu Gani Mungu anataka kufanya angalia Mashariki ya katib(Israel)
@woah.africa99
@woah.africa99 9 месяцев назад
Ww ibrahim ni muislam mashariki ya kati yy aliwakuta watu alipo toka mashariki ya kati hapo palestina na ukae ujue ibrahim na mitume wote ni waislam wa mmungu mmoja na yy aliamrishwa ahame aende jangwani ndipo alipo ijenga kibla cha waislam huko kua taifa na masejed al agsa ni wa mmungu nido mana ukaitwa masjed
@woah.africa99
@woah.africa99 9 месяцев назад
Wale waerel walimkufuru mmungu na kua mana bee kwanza aliwapenda na mmungu mmoja na mitume wake ni hao ibrahim alipo toka irag aliwakuta palestina kuna watu dio jangwa kama kule saudia alipo enda kujenga algabah palikua hamna mtu lakini hapo Palestine alununua ardhi na yy msikiti wake uko al khalili hapo Palestinian ukingia usali rakaa mbili na isaac na sara hakuna makanisa na istoshe al agsa msikiti ulio saliva na mitume hata na bee isa pia but sio kanisa ila kuna ukristo bada ya na bee isa na hao pia waesrael wanawanyayasa hao waesrael karne zoote walipotea waje juzi waseme wao ni waesrael wako uchi wanawake Beach wanaogelea hao ni wamesha changing dam na wazingu ndio marecani wako nao wakiua sawa ila wao wakiuliwa inakua ni magaidi hiyo sio haki wamepewa ardhi ila wanawanyayasa wenyeji na makazi yao na watoto kuliwa kufungwa kupigwa maisha yao yako chini yao mmungu amewalani hata mawe yatawashuhudia kua wako huku muwaue wakijificha esrael ni ya wazungu kuibia warabu makao ya wamerecani kila ugaidi hapo ndio wanapanga
@naahnicky4682
@naahnicky4682 9 месяцев назад
​@@woah.africa99acha ujinga wa kujifariji
@salummohd4300
@salummohd4300 9 месяцев назад
Ebhana eee
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 9 месяцев назад
Kwanini Msitie Fursa ya Kuulizwa Maswali huko Kanisani?! Na sio kuja Kuoiga Porojo Mitandaoni.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 9 месяцев назад
Acha wivu mwanadamu amepewa kumiliki na kutumia vitu vyote Mungu alivyoviweka ili mradi vimpe sifa heshima na utukufu mbona wewe umetumia mitandao ukasoma ukasikiliza halafu uka comment
@herbertnzowa8657
@herbertnzowa8657 9 месяцев назад
​@@Kwelihukuwekahuru 😂😂😂😂😂 eti wivu 🙌🙌🙌
@agnesmasenya2280
@agnesmasenya2280 9 месяцев назад
Chanzo cha mto nile ni tz kagera sisi ni kusudi
@user-wp8uc3bd2g
@user-wp8uc3bd2g 9 месяцев назад
Haya
@erickkyojo1725
@erickkyojo1725 9 месяцев назад
mbona kichwa cha habari ni tofauti kabisa na yaliyomo?
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 9 месяцев назад
Wakristo hawajielewi wengi wao ni kusikiliza historian kupitia wachungaji nasio kujifunza kwa kusoma wenyewe hii ni hatari Sana maisha ya kuburutwa watu wapate kujaza matumbo yao kupitia vinywa vyao.ole wenu namshukuru Allah kwa kuniumba na kuzaliwa ktk Mila ya Ibrahim Alaihi Salam Radhia. Llahi Anhu
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 9 месяцев назад
Wao anakubar kutukana Dini waislamu Ng,oo waislamu wanajua ukweli wote
@simonnjovu586
@simonnjovu586 9 месяцев назад
Sasa unasoma kilichoandikwa na nani kama siyo historian? Kwani nyie mnasoma au mnasomewa?
@adamgwasa2397
@adamgwasa2397 9 месяцев назад
Ubinafsi
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 9 месяцев назад
Nyiny mnajielewa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 9 месяцев назад
Wewe mwiisilamu muuabudu shetani unajifanya una akili kumbe uko gizani uisilam ni dini ya mashetani elewa hivyo
@malyondanga4635
@malyondanga4635 9 месяцев назад
Hananjanoma
@MusaYauto-ck9nn
@MusaYauto-ck9nn 9 месяцев назад
A
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 9 месяцев назад
Rich bilionea giant wa maandiko matakatifu
@lucasprochesi
@lucasprochesi 8 месяцев назад
Kwakweli mimi sijui mchungaji Hananja umesoma kiasi gani baba lkn hekima imekujaa japo hekima haitokani na elimu ya kidunia .. Mungu akubariki sana
@user-sn3gh7bg9y
@user-sn3gh7bg9y 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂
@MusaYauto-ck9nn
@MusaYauto-ck9nn 9 месяцев назад
Upo siku mtaujua ukwel lakin wakat huo mtakuwa Hamna msaada ni wakat gan huo,wakutoka roho
@user-pz5xr7tm1t
@user-pz5xr7tm1t 8 месяцев назад
Huelewi wewe
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 9 месяцев назад
Mimi nataka Raisi Samia ayasikie haya na ajitafakari kwa anayowatendea wamasai. Si haki kwa hayo anayoyatenda. Nani anaweza kuishi na Simba? Huo si utalii wa kutosha? Jitafakari Samia.
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 9 месяцев назад
Eti wakirsto hawaelewi maandiko nyie mnaoelewa maandiko mbana mnajilipua namabomu alafu mnadai eti ndo binguni mj kwa mj
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 9 месяцев назад
@@user-fg1gg3ec2o ungekuwa na akili ungeweka jina lako lionekane wazi anayeongea ni nani. Inawezekana ni shetani anayerespond ili kugobganisha watu. Asante kwa maneno yako kama wewe ni binadamu. Lakini kama ni shetani ukafie mbali.
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 9 месяцев назад
Jina langu wewe inakuhusunini au unataka ukatambikie
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 9 месяцев назад
@@user-fg1gg3ec2o sina akili za uwehu kama zako. Kama wewe wafanya hivyo endelea hiyo ni kwa faida yako uijuayo mwenyewe. UBARIKIWE kwa akili hizo
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 9 месяцев назад
Amina barikiwa na wew
@woah.africa99
@woah.africa99 9 месяцев назад
Muongo ww eti wanamuabudu mmungu wale mafreemason hawamjui mungu mishoga tu hiyo injili ilishukia marecani injili wameibadilisha mmefata utamaduni wa kizungu hakuna dini
@sammy-b6281
@sammy-b6281 9 месяцев назад
Weusi wenye imani ya usilam Wamejazwa ugaidi .Afu ndio Africa wanao tuzaraulisha duniani Maana weusi wakikisto wanajuwa Dini zimeletwa tu,isipokua waheslam wao wamejisahau yaani Mpka mmekua nachuki😂 zisizo sababu.wa kristo tuwachekaga weslam tu😂 .hao wa harabu ndio Walikua natuuza utumwani ,wazungu hivyo hivyo Waharabu ndio mashoga number 1 duniani,afu😂freemasonry aiabaguwi dini
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 9 месяцев назад
Hujaelewa rudia kusikiliza
@BigZhumbe
@BigZhumbe 9 месяцев назад
Hayo maelezo umeyatoa wapi? Hio injili ikivadilishwa ulikuwepo? Na kama imebadilishwa ni andiko gani linasema imebadilishwa???? Tumia akili usibebe kichwa kama fuvu.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 9 месяцев назад
Na ujue muafrica Muislamu anafata tamaduni za Kiarabu, muafrica Mkristo anafuata tamaduni za Kizungu so wewe jione unaakili ikiwa huwezi kuishi bila kuchagua maisha ya Mzungu au mwarabu.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 9 месяцев назад
Tayari imejotokeza usiyeelewa amesema kwao ndiyo ni ndiyo hapana hapana hakuna unafiki kwamba watakatifu wapo na waovu wapo sasa ulitaka aseme uongo Mungu akubariki Mchungaji hata huyu najua umemwelewa ni uhuru wake kukataa au kukubali
@mussakunenga8866
@mussakunenga8866 9 месяцев назад
Nice
Далее
Недооцененный котел в Симс 4
00:37