Тёмный

HIKI NDICHO WANAUME WANATAKIWA KUFANYA KWA WAKE ZAO 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 55 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

7 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 2 года назад
Mtu mzima kazungumza vizuri sana hongera, money is not all about love, but true love is all about making money to the top.
@swafiasalim7511
@swafiasalim7511 2 года назад
tafuta pesa
@SH3Y03
@SH3Y03 2 года назад
Chemistry ndo ilianzia hapa kumbe😚btw Congrats...
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmewaza kama ww tangu juzi nlirudia kuangalia hii interview
@sophyleenpj4312
@sophyleenpj4312 2 года назад
Yaani kweli kabisa 🤗
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 года назад
hahahaha atari sana
@munamuna2000
@munamuna2000 2 года назад
Wezi hawo Wa mapenzi
@noblestbrokers6290
@noblestbrokers6290 2 года назад
This man Kwa mwanamke anaeji elewa awez taman kuacha kua nae respect man
@TheHusseinFamily
@TheHusseinFamily 2 года назад
Haya mambo yakupewa pewa wanawake Africa mtabadilika lini . Lipa kodi yako simamia maisha yako kwakila kitu ndio mwanaume atakuheshimu na atakupa kikubwa zaidi ulicho nacho 🙄🙄🙄🙄
@ayshajumaa7310
@ayshajumaa7310 2 года назад
Shekhee upo sahihi leo umemuweza divaa kazoea kuona anachosema yeye ndio sahihi
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 2 года назад
Nampenda huyu kaka jamanii wanaume wote wange kuwa hivi talaka zisinge kuwepo kwakweli hongera kaka mungu akupe kila lakher namuombea mzazi wako alokulea vyema ukawa hivyo ulivyo bila ya malezi bora usinge kuwa hivyo hongera Sana kwa wazazi kwanza nilijua mkenya mie 😍😍😍😍😍
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 года назад
Walobak ni magume gume tu had wanachefua
@kolethafabian2618
@kolethafabian2618 2 года назад
@@aminaamiri7684 ahhaahahahahah
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
@@aminaamiri7684 Oooh me mbona nipo cool sanaa,kikubwa tu tupendanee
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
wanaume matapeli ndio wanavyokuwa hivyo . huyo ni tapeli wa mapenzi . usifikiriye ndio alivyo
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Kweli kabisa
@chakubanga8053
@chakubanga8053 2 года назад
Imebidi nije huku baada ya kuwa mmeoana Allah awasimamie
@xyz-tv4om
@xyz-tv4om 2 года назад
Kumbe tuko wote🤣
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 года назад
🤣🤣🤣
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 года назад
Huyu napenda clip zake ni 🔥
@munirahiddy963
@munirahiddy963 2 года назад
Mno wajina
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Ata mimi
@hamadmohamed3056
@hamadmohamed3056 Год назад
A Man is the provider in Islam
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 года назад
Point yako sio kweli. Ufanye kazi nyote msaidiane maisha hayo ndio yanaturejesha nyuma kwenye maisha .tumezoea wanawake kupewa bure sivyo mmke afanye kazi nyote msaidiane maisha. Otherwise mtagombana kila siku
@mariamkhalfan2346
@mariamkhalfan2346 2 года назад
Nyie kenge kumbe mlikuwa mnatuchora tu 😂😂
@annakbunga8377
@annakbunga8377 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад
🔥🔥🔥
@vero57
@vero57 2 года назад
Kijana umeongea poit nzuri sana, 👏👏
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Hongera Diva umepata mume Mungu akusimamie katika ndoa yako mwanangu.
@justinejackson1731
@justinejackson1731 2 года назад
Dah! Huyu mwamba anaupga mwng sana aisee🙏🙏🙏👍👍👊👊
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 2 года назад
kumbe mlikuwa mpo kwenye mahusiano miaka minne, si mchezo, hongereni sana
@cosmassamwel1661
@cosmassamwel1661 2 года назад
That's point
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 2 года назад
Duuh Jamani diva umekuwa mke wangu
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 2 года назад
Good Response
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 года назад
This guy is brain. Dhuu. Diva hapa umepata heshimu ndoa.
@WORDOFMYCREATOR
@WORDOFMYCREATOR 2 года назад
Ohh..she couldn't tell she was talking to her future husband.Good luck in your marriage
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 года назад
Nimeitafuta hiii intaviu mpaka nimeipata 😂😂😂diva bwanaaa
@aminayusuph2627
@aminayusuph2627 2 года назад
😂😂😂
@aishaamiry4087
@aishaamiry4087 2 года назад
Tabasam na maneno mazuri yanaficha sana uhalisia wa tabia zetu huo ndio ukweli
@didierdrogbar2302
@didierdrogbar2302 2 года назад
Abduli twende baba acha tuishi nao kwa akil umetsha mkuuu ,unafanya mapnduz ya mindset na ndicho kinachotakiwa
@estermassawe1687
@estermassawe1687 2 года назад
We kuku hicho ndo kitafanya usiolewe wew
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 года назад
Mwanamke ni pambo la nyumba kaeni ndani tuwahudumie,,, bt mnatoka kutafuta lazima mjihudumie,, nile chakula cha house girl alafu upate mahitaji yotee unaumwa akili sio
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Maana sidhani kama kuna mwanaume aliyefunga ndoa Takatifu anayeamrishwa Eti awe provider,Sijamuona toka niingie kwenye ndoa miaka 25 sasa,Wewe Dada labda mdangaji tu maana unajua kesho haumuoni huyo mwanaume
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 2 года назад
Hamuiamini biblia mmekuwa wanawake wakudai haki sawa Sasa so Kila mtu ajitegemeee
@drrelaxation6911
@drrelaxation6911 2 года назад
Nani kaja hapa? Baada ya kusikia wamekutana kwenye kipindi.
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 года назад
Ijengwe sanamu yako ikawekwe pale makumbusho umeongea vizuri achana na diver mkurupukaji wanawake mnajikutaga tyuuu
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 года назад
Ustaz habari ndio hiyo umeyavulia nguo mwenyewe ila Diva keshakuarifu kua pochi ndio kwake mambo yote mapenzi ushuzi! 😆😆😆😆😆....Abiria chunga mzigo wako sasa!
@mr.pilipili5289
@mr.pilipili5289 2 года назад
Diva hasara amna kitu
@monilahcruz7293
@monilahcruz7293 2 года назад
Atimae kaolewa nashekh ubwaubwa asie naela maisha haya kaka uyu nimjanja mjanja sana Lol diva ngoja upewe mimba utaelewa😃😃😃😃
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 года назад
MIMBA nihaki yake
@lezone2pac474
@lezone2pac474 2 года назад
Kigagura acha umalaya siuend ukadanga mbwa we
@elinapouljensen9244
@elinapouljensen9244 2 года назад
Weewe mwanamke hajaumbiwa misukosuko ya utafutaji vipi atakua provider, mwanaume ndio kichwa cha familia ni wajibu wake kutafuta akamtunza mke wake na watoto this is reality, ziada za mitaji na kumuwezesha mwanamke izo ni extral tu lakini mwanamke ni ua pambo la mme wake ndani sio kuwafanya watafutaji uko ni kukimbia majukumu yako, Adam alipewa bustani Hawa akaletwa kuwa msaidizi wake tulizo lake, mwanamke usipojua thamani yako utatumikishwa na mwanaume tena hatakua na shukrani zaidi ya kustarehe na wengine nje
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Mungu anijaalie mume kama huyu
@adammgana5715
@adammgana5715 2 года назад
Kuna mmoja hapo anafundisha kudanga
@sharifamunisi2813
@sharifamunisi2813 2 года назад
uyu kaka anatakiwa awe pia kwenye lavidavi diva
@hassanmziray6152
@hassanmziray6152 2 года назад
Jamaa nondo sana
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
Diva😆😆👐
@maggykahindi621
@maggykahindi621 2 года назад
Kaka umesema ukweli kbisaa
@leonardjaphet5947
@leonardjaphet5947 2 года назад
Shehe ongeza duwa kichwa kigumu sana hicho
@backtohappiness4664
@backtohappiness4664 2 года назад
Mr&Mrs today
@Blue-vk5ce
@Blue-vk5ce 2 года назад
I get what this man his saying, wanawake you want a man who's gonna invest in you, give you things that's gonna help u grow, example open a business for you, pay for you to go back to school etc, so when his not around you'll be good.
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 года назад
Diva huyo akukamata nakukubadilisha kabisa mtazamo wote uliokuwa nao
@estermassawe1687
@estermassawe1687 2 года назад
Hapo kaka nimekuelewa tatizo huyu ngombe haelewi anawaza kupewa tuu siku akifa huyo mtu au mkiacha
@angelimfoi5029
@angelimfoi5029 2 года назад
Ahahah
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
Huyu kaka nimzur tu kumbe
@lezone2pac474
@lezone2pac474 2 года назад
400000 mbwa we diva utam tunapata wote alaf Hera nikupe mim Kwan king kiba alivokuw nae kwenye mausiano alikuw anakupa hera?.nakwann alikwita kigagura
@happymrema6728
@happymrema6728 2 года назад
Yan div umenifuraisha
@africanqueen956
@africanqueen956 2 года назад
Diva alipagawa hapa
@khaiyamsimu-ko7rk
@khaiyamsimu-ko7rk Год назад
Nimekuja tena baada yadiva kujuta inst jan
@doreensamwely8740
@doreensamwely8740 2 года назад
Nimekujaaa huku baada ya div kuona na na huyu kaka
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 года назад
Kumbe waliyokuwa wanajuana siku nyingi tu hawa.
@mustaphasayyid6740
@mustaphasayyid6740 2 года назад
Uyu demu ni pimbii
@farmwithengineermgalega737
@farmwithengineermgalega737 2 года назад
Ndio maana haujaolewa
@ummysalumu4852
@ummysalumu4852 2 года назад
Alafu nakumbuka alikua anamskumia uyo mkaka kwa happy wa beka
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 2 года назад
Huyu brother apewe ulinzi mkali sana, changing a person thinking is great of all ,mtu hajazoea kushika pesa kubwa unampa kwa pamoja atazifuja tu Kama wanaoshinda BETTINGS
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 2 года назад
😂😂😂😂😂
@edlumala9428
@edlumala9428 2 года назад
Maisha bwana, utakuta na maneno yake mamamae ndoa yake inamtesa! Maisha hayataki maneno!
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Tunajua.
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 2 года назад
Kabisa asilimia kubwa watu awafanyi vitu wanavyo ongea
@fhgggffhg7721
@fhgggffhg7721 2 года назад
Hhhhh
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Huyo ni mume au ni Hawala??
@maggykahindi621
@maggykahindi621 2 года назад
Usitafute mwanaume mwenye hela ddangu utabaki kuumbuka hao wenye hela hawezi kuoa bibi manake wana tumia pesa zao na wanauwezo wa kulala na kila mwanamke yeyote
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 года назад
Keshamuoa huyu huyu mwenzio
@angeljoseph943
@angeljoseph943 2 года назад
Jamn nampenda uyu mkaka iv ameowa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 года назад
@Angel Joseph huyo anayemuhoji ndo mkewe mwaya ushachelewaa
@josephdonald6199
@josephdonald6199 2 года назад
Ujinga mwingi kwa wadada wengi..... wakishazeeka ndio akili husoma vyema...
@zuweinaally2413
@zuweinaally2413 2 года назад
DIVA WAS NOT EXPECTING THAT RESPONSE FROM HIM..BUT GOSH !!MAN WAS CLEVER ENOUGH TO REACH DIVA'S POINT OF VIEW... WELDONE @!
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 2 года назад
She sound so stupid, na ndio maana wanawake wa kiafrica wengi wapumbavu mtaishia kuomba omba tuu, njooni huku nchi za nje muone wanawake wanavyofanya kazi na kujijenga kimaisha wanakuwa independent, wanawake wa kitanzania wavivu mshazoea kuomba omba, wasenge wakubwa wee Diva kuma tuu na ushamba kichwani umekujaa
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 2 года назад
Mtu mzima kazungumza vizuri sana hongera, money is not all about love, but true love is all about making money to the top.
Далее
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 33 млн
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
Просмотров 20 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
🍁 Её дружище
0:20
Просмотров 966 тыс.