La pili Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya kifo cha Mpongo January 21, 1990. Franco alifariki Oktoba 12 1989, hivyo mwaka mmoja baadae Oktoba 1990, Empompo asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Sijui unatoa wapi historia hizi. Nakushauri nunua mtandaoni kitabu kinachoitwa Rhumba on The River cha Gary Stewart ambacho ni Encyclopedia ya Muziki wote wa Congo toka 1930s mpaka 2000. Kuna historia kamili aliyofanya na wadau na wanamuziki wote wa Congo. Kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya Mpongo January 15 1990. Franco alikufa Oktoba 12 1990, mwaka mmoja baadae Oktoba 1990. Empompo Deese asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Kuwa makini kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Huyu mtu kava is fani empompo lowai anaita empopo na franco hakuwa anaitwa lukanga bali ni lokanga lwanjupene lwambo makiadi hata stori ana potosha baadhi ya sehemu