Тёмный

Historia ya uislamu Tanzania Kabla na baada ya uhuru Mtoa Mada Ust Ilunga H Kapungu Prt 1 By Ahmed Sh Ahlusuna TV Mwanza Tz 

ahlusunawaltowhiid
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@jumannerajabu9407
@jumannerajabu9407 3 года назад
mungu amuweke mahari panapo stahiri ndugu ya yang lunga hasani kapungu
@mushahamdan3184
@mushahamdan3184 7 лет назад
Allah amuweke mahali pema peponi, amina
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Год назад
Aamiyn
@chutaziddi-vh3ef
@chutaziddi-vh3ef Год назад
Jazakallah khaira ya rahimahullah
@jeanmusamba8906
@jeanmusamba8906 2 года назад
shekhe Ilunga was very genius,japo mimi si muislam,lakini napenda sana darsa zake,watu kama hawa walifaa tumiwa vizuri waendeleza nchi lakini wana kwenda na vipawa vyao.Alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo.
@mussamgonela
@mussamgonela Год назад
Mashaallah Allah akuongoze ndugu yetu siku Uje kuwa muisla InshaaAllah
@abuukulunge6396
@abuukulunge6396 6 лет назад
Allah Amrehemu.,...Aamiin Yaa Rabbih
@allykiraginja6088
@allykiraginja6088 8 лет назад
Allah amrehem
@makenakendi282
@makenakendi282 3 года назад
Amiin
@samiraamir9610
@samiraamir9610 11 лет назад
SUBHANAALLAH HEBU TUMOGEPENI MOLA KESHO MTAULIZWA ENYI WAISLAM
@yahasalel-sheibany5403
@yahasalel-sheibany5403 4 года назад
Kwani ttz lk wapi hv anayozungumza sio kweli ama? Kama si ya kweli yy katoa hoja na ww tupe hoja zako?
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Год назад
Kumuogopa vipi nawe?
@DaimonTemilinga
@DaimonTemilinga Год назад
011
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Год назад
Huyu.ndie.mwanaistoria.wakwanza.kuongea.ukweli.wewe.ndie.wamuona.muongo.sisi.wenye.hii.nchi.tuna.muelewa.vizuri.tu
@Ening59
@Ening59 11 лет назад
polacy przejmuja ten film
@allyabeid342
@allyabeid342 7 лет назад
Liaona oliver...hata babuyako hamfikii elimu huyu...sembuse wewe.
@jumaaliy7852
@jumaaliy7852 10 лет назад
Ndugu zangu Watanzania huyu Ilunga hakika ni mwenda Wazimu, maana hiyo miaka yeye anayosema 1920 s. waislamu waliokuja Tanganyika ni waarab kutuletea dini na Papa kutoka Yemen nakuchukuwa Karafuu na Watumwa kutoka Tanganyika na Zanzibaa,Hakukuwa na chama chochote kilichoundwa na waislamu kupigania uhuru wetu,Hadi Tarehe 7/7/1957.Nyerere na machifu kutoka Tanganyika,wakaanzisha chama cha[ TANU]Chama hiki kilipoanza hakukuwa na chama chochote cha kutupigania tupate Uhuru kutoka kwa wakoloni.Miaka hiyo anayosema, kulikuwa na mashujaa Kama Chifu Mkwawa na wenzake waliwapinga wakoloni kuichukuwa Tanganyika ya kati..kwa sababu walijuwa waislamu walipatiwa kitabu cha kuruani bsi wakafungiwa mapazia milangoni mwao wakalala wasione mali zao zikichukuliwa na waarabu, Kama pembe za Tembo, Na za Vifaru,Pia Watoto wetu kuibiwa na[ Mumiani] Kusafirishwa na kuwa Watumwa Nje ya Afrika.....Huyu Mzee ni Muongo Sanaaaaaaa.
@iddykasheshe3913
@iddykasheshe3913 4 года назад
We huna akili kuma mako
@makenakendi9014
@makenakendi9014 2 года назад
Ww ndio muongo sheikh ako sawa
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 2 года назад
Nyerere laanatullah nayeyote anae mfuata nakumtetea
@mussamgonela
@mussamgonela Год назад
Yaan wee sijui muislam wa wap mkwawa alipigana na mjeruman sio na mwarabu
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Год назад
Sina muda wa kusoma gazeti lako mnafki wewe
@muhamadazizi7962
@muhamadazizi7962 11 лет назад
asalam-aleikum. MZEE wangu muwapinge wale waarabu na wahindi. wewe ni bantu kwanza. mufanye uislam waki TANZANIA kama ivo waliofanya wa SENEGALI serkali ya Tanzania wapeni ma sheikh wa asili ya TANZANIA uwezo na madaraka zaidi. wa chunge usalama wa inchi na hishima ya wa TANZANIA. na furahi na guo unazo vaa. waarabu na wahindi ni ma nyoka mabaya. MA HADUI YA WATU WEUSI( WA AFRIKA). look Omani hakuna bantu raia wa OMANI KABLA MAFUTA KUTOKA UKO WOTE WALIKUWA KWETU. NDUGU TU FUNGUWE MACHO. MAASALAM
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 года назад
huo ni Uhizbiyyah
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Год назад
Jifunze kuandika kwanza
@liaonaoliver18
@liaonaoliver18 10 лет назад
hana upeo wa kutosha hawa ni wachafua amani ya nchi, mtu na elimu yk hawez kumsikiliza ni mjinga, anahisi waislam wote hawana upeo wa kufikir kama yeye, waislam msidanganyike
@khadijahemed2815
@khadijahemed2815 5 лет назад
Imekutach hiyoo
@iddykasheshe3913
@iddykasheshe3913 4 года назад
Mbwa. Ww
@hassanmwinyi7046
@hassanmwinyi7046 3 года назад
Wewe juma Ally una mtihani huyu shekh Ilunga amenukuu katika vitabu na amevitaja acha ukipofu Nyerehakuna alicho kianzisha yeye alikuta watu wamesha anza Inatakiwa Usome
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 2 года назад
Waislam msidanganyike, wewe kafir kaa pembeni hayakuhusu mwehu wewe
@mussamgonela
@mussamgonela Год назад
Yaan we ndo bure kabisa tai tu huna lolote ,mtu kakupa na ushahidi unataka nn
Далее
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 3,2 тыс.
SHEIKH ILUNGA
40:05
Просмотров 223 тыс.
MAZISHI YA SHK HASSAN ILUNGA KAPUNDI
2:30:31
Просмотров 115 тыс.
VTS 01 2
40:41
Просмотров 26 тыс.
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20