Uislamu uliletwa na Waomani…. Na Watanganyika walikuwa na imani nzuri kabla ya kuingia Uislamu, haikuwa vigumu kuwafahamisha fadhili ya mwenyezi Mungu. Wakaja wa European kukamilisha.. wengi tena wakaingia Ukristo--- na hao ndio wananchi wa Tanzania 🇹🇿 leo. ❤
Hakuna alie mwema Kati ya mzungu na mwarabu kwa Muafrika hata siku Moja, dini hizi sis tumeletewa jmn sisi waafrika tusijazane chuki hapaa kila mtu aiheshimu dini ya mwenzie.
Ss ulitakaje chaguwa kushuka au kunyowa mitume aliwachaguwa Allah kuja kuwatangazia njia aitakayo yeye na baada kuondoka kwao maulamaa ndio warithi WA mitume na Kila ummah unashahidi.kazi kwako kutia pamba sikioni au laa usisahau kaburi
Mwenyezmungu akupe kiwanja kizuri kuliko vyote katika viwanja vya peponi iwe ndio makazi yako ustadhi ilunga kapungu tulikupenda sana mno ila imeandikwa kua sote ni wa mwenyezmungu na kwake yeye tutarejea
She anakosa hoja,atambue kwamba hizo ni zama uislam ulikuwa ndo dini yenye nguvu,maeneo mengi ya afrika,hiyo ni kabla ya ukoloni,ukoloni ndo ulisaidia kueneza ukristo,pili hao majimaji hata Kama walikuwa waislamu,hawakuwa wakipigania dini,walikuwa wakipinga ardhi Yao na nchi Yao kutwaliwa na wajerumani.dini yoyote ambayo ingekutwa na wajerumani Bado vita vingepigwa