Тёмный

Historia Yake: Mwanamke pekee aliyeolewa na MARAIS wawili wa nchi mbili tofauti duniani 

Swahili Network
Подписаться 4,9 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@mtegamelkior5193
@mtegamelkior5193 2 дня назад
Ni mwanamke mwenye upendo na mnyenyekevu na ni mzuri wa sura, maumbile na moyo safi. Mungu amlinde kwa maisha yame yote.
@Lfcswahili
@Lfcswahili 4 дня назад
Ana bahati sana huyu mwanamke ❤❤❤❤❤❤
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka День назад
Bahati ya nini Sasa hapo ndoa ni ndoa tu,maana unachoenda kukifanya ndoani hakina tofauti
@Lfcswahili
@Lfcswahili День назад
@@ElizabethFumbuka ni kweli, lakini mbali na yeye unamjua mwanamke mwengine yoyote ambaye ameshaolewa na marais wawili wa nchi tofauti duniani? Hii ndio bahati niisemayo mimi hayo mengine ni kawaida tu
@Simulizizafilamu
@Simulizizafilamu 4 дня назад
Historia nzuri. Sema hekima yake na uhodari wake wa kupambania haki ndivyo vilompa waume marais
@SheikhAly-v9f
@SheikhAly-v9f 2 дня назад
Hongera mama
@YouthSupportEducationHub
@YouthSupportEducationHub 4 дня назад
Graca Machel ni mmoja wa wapambaniaji wa wanawake duniani
@annoorcommunitytv4762
@annoorcommunitytv4762 4 дня назад
Amepata pigo la kupoteza waume mara mbili 😢
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 дня назад
Mara tatu hiyo inahusu Marais Mme wake wa Kwanza ni Edward mondline ,aliyekuwa mwenyekiti wa frelimo alipokufa ndio Machel akamchukua
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 дня назад
Mungu amutunze
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 дня назад
Ana mkosi wote wamekufa,,bado umemsaha Edward mondulane aliyekuwa Rais wa frelimo, ya msumbiji kabla ya samora
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 День назад
Alikuwa mume wake pia ?
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka День назад
@@MurunguwetoshaDeheaven nasikia alikuwa side chick wa Savimbi pia
@ce-08
@ce-08 5 часов назад
​@@ElizabethFumbuka😂😂😂 we Elizabeth
@AbdulrazaqMadenge
@AbdulrazaqMadenge День назад
Tofauti na umalaya alikua na tamaa na wanaume wanaojiweza!
@ElizabethFumbuka
@ElizabethFumbuka День назад
@@AbdulrazaqMadenge ndio nilichotaka kusema Mimi,alkuwa anadangia wanenei
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork День назад
Kama rahisi tafuteni na nyinyi basi
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 дня назад
Mpaka sasa anapambania Uchumi wa Wanawake na Tasisi ya Gracia Machel Trust
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 дня назад
Nadhani huo ndo ulikuwa udhaifu wa Mzee Mandela kwa mara ya kwanza. Mzee angetafuta mwanamke mwingine nchini mwake na siyo kurithi mjane!?
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork День назад
🤣🤣🤣🤣
@SheikhAly-v9f
@SheikhAly-v9f 2 дня назад
Wewe ndo malaya uyu si malaya kwa kuolewa na wanaume wawili ni umalaya
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 дня назад
Yuko bomba huko chini,
@tomsijohni
@tomsijohni 4 дня назад
huyo alikua malaya sana mwanamuke gani anaweza kuolewa wa wanaume wawili tena lnchi tofauti ni ujinga tu
@Lfcswahili
@Lfcswahili 4 дня назад
Hakuna sheria ya kuwa mwanamke asiolewe na mwanamme mwengine wa nchi tofauti
@swahilimedianetwork
@swahilimedianetwork 4 дня назад
Kwani aliolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja!!!? Au kuna sheria inakataza mwanamke kuolewa zaidi ya mara moja????
@tomsijohni
@tomsijohni 4 дня назад
@@swahilimedianetwork kwa hiyo ukubali wewe 😀
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 4 дня назад
Hongera🎉🎉!
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 2 дня назад
Ivi kuolewa ni umalaya unajielewa kweli?
Далее
WOSIA WA MKAPA KWA WATANZANIA NA AFRIKA
11:41
Просмотров 22 тыс.
Fake Referee Whistle Moments 😅
00:38
Просмотров 3 млн
Тестирую гаджет для роллов! 🙈
00:42
VISITA A JOSÉ "PEPE" MUJICA
3:35
Просмотров 39 тыс.