Nipo hapa Italia nimefurahishwa na wifi yangu.mimi natokea kigoma Kasulu nafurahia umefungua kigoma pia ijulikane.hongera Kwa familia yako nzuri.karibu Italy.Makuliro Oyeeeeee Msabara
Very insightful...am dating an American lady and I have mixed feelings on the whole relationship. This video has really helped me out to see the culture differently.White people evaluation of a love approach can be quite amazing but very interesting
Hii video ya zamani kidogo kaka? Naona watoto sasahivi wamekuwa zaidi. Mungu amekubariki sana kupata mke mwema. You should thank God forever. Sio rahisi haswa ugenini.
🤔Were you paid in what you were doing may I ask? Because some religious activities can be a mean of charity which means you can’t be paid. Thank you for the video EBM. Good one as usual
Hakuna kiingereza cha kibongo huo ni mtazamo wako tuu, mbona mkewe anaelewa anachoulizwa kwa maana hiyo anaeleweka ni mtazamo wakotuu baki hivyo hivyo.mwenzio yake yanaenda. Désolé pour vous.
Sorry km nitakua nakukwanza. Lkn nikimuona mtu kaoa mzungu namuhurumia. Wengi wao ukimaliza kulipa mortgage au wakiona washafikia malengo wanayoyataka wanaanza vtuko wakufilisi. Halafu unakua unafanya kazi km mtumwa na pesa anadecoratia nyumba na akiendea holiday . Wengi wao hawana future! Starehe nyingi.
Umeisha sikia wameisha miaka kumi.na bado mke wake alikuwa sister hivyo alioa kabikira kabisaa hivyo angekuwa mtu wa kukimbia kimbia tayari tabia ya mtu ni ngozi haijifichi ndg.