Тёмный

HOFU /3/ 

BabaJoan
Подписаться 381 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

#babajoan #comedy #lovestory #love

Приколы

Опубликовано:

 

23 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk Месяц назад
Wakenya tumekuwa atupati likes zije ata 100
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk Месяц назад
Dhanks guys
@LizzyAdrian
@LizzyAdrian Месяц назад
Hizo like mnauzaga au
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo Месяц назад
tuko hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk Месяц назад
@@IshmaelOkongo nimekuona👋👋👋
@numpefikimwaipopo
@numpefikimwaipopo Месяц назад
Sasa like nyie za nini
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Месяц назад
kama unamkubal baba joan gonga.like 🎉🎉🎉🎉🎉
@bernadinebwemas
@bernadinebwemas Месяц назад
Baba Joan kazi nzuri hongera pia naomba uigize maisha ya chuo mfano una mpezi alafu ticha anamfukuzia alafu akuchonganishe kwa wazazi eti hauendagi chuo unakaa na mtoto wa watu geto ili mzazi wako au ndugu akuhamishe ili spate nafasi kwa mpezi wako wakati uko kwenye process yakuhamishwa ukagundua kumbe sababu no mwalm fulan ukagoma kuhama mpaka ukatishia kuachana nakusoma mzazi akakupa chaguo lakuhama au kurudia chuo palepale baada yakukaa miezi kazzaa nyumani kwa kuvutana
@user-yz2wu9lg6d
@user-yz2wu9lg6d Месяц назад
❤❤
@conniesamba-fi5ny
@conniesamba-fi5ny Месяц назад
wakenya wenzangu gonga likes Moja hapa😢
@user-bp3lp1bb8o
@user-bp3lp1bb8o Месяц назад
Kirobo nakupenda sana mtoto mzuri mashallah 💞💞💞 kazi nzuri sana hongera na Mungu azidi kukutia nguvu uzidi kuwa na maarifa kazi nzuri sana Baba Joan nawapenda sana 💞💞💞💞💞💞💞
@kondebouy1308
@kondebouy1308 Месяц назад
Niko addicted ni hii movie husisome mesheji yangu kama hautalike
@Munaaa255
@Munaaa255 Месяц назад
Congratulations dad j ya ALLAH protect all team babajoan
@Isael.6396
@Isael.6396 Месяц назад
Je suis le numéro1 from congo🎉
@HappyMonarchButterfly-oe3rz
@HappyMonarchButterfly-oe3rz Месяц назад
Nimewahi leo😊kz nzuri sana
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica Месяц назад
Hii filamu ni tamu sana
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m Месяц назад
Kazi nzuri sana baba Joan endeleza kazi yako hivo hivo🎉🎉❤
@vincentmutuma744
@vincentmutuma744 Месяц назад
Top ten today.. Like ikuje
@user-kw6qc5io9t
@user-kw6qc5io9t Месяц назад
Kazi nzur baba Joan
@user-em5yb5us7w
@user-em5yb5us7w Месяц назад
Wakwetu🇧🇮
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf Месяц назад
tamu sana part 4
@Makau2kakui
@Makau2kakui Месяц назад
Kazi nzuri baba joan
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
nzuri lakini hawajui kuigiza uhalisia
@rukcabby2572
@rukcabby2572 Месяц назад
Tuongezee tyme baba Joan kazi nzur
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Huyu mtoto karobo ni jasiri sana na ako na kipaji mashallah 🎉🎉🎉 baba joan na team yako Mungu Azidi kua nanyi muendeleze kazi zenye mafunzo❤❤❤
@hamischubwajumanne2269
@hamischubwajumanne2269 Месяц назад
Baba Johan hatari upo vinzuri
@miriamarasa764
@miriamarasa764 Месяц назад
Kweli baba Joan nakupenda sana na nafuatilia ww sana kwa vipindi sako kila siku sinanipa advice nzuri
@SaraphinaFundi-rl2hx
@SaraphinaFundi-rl2hx Месяц назад
Move nzuri
@user-ni6qv2zn2q
@user-ni6qv2zn2q Месяц назад
Mm namkosoa sana brother yani hii Kazi kiwango Cha chini vibaya mnoo, Dah.
@alinendayisenga-lu7fx
@alinendayisenga-lu7fx Месяц назад
Kazi nzuri tunawapenda sana
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf Месяц назад
wa kwanza mm hapa like zangu kutoka kenya 💝💝💝
@user-jr8ju4jt2r
@user-jr8ju4jt2r Месяц назад
Hongera sana baba joahn kazi iendelee wau
@user-yc4tu1zy9i
@user-yc4tu1zy9i Месяц назад
Baba Joan asante kwa film tamu naomba hata like moja
@EnjoyJohn-fo3ox
@EnjoyJohn-fo3ox Месяц назад
Axante cna kwa kaz nzur 2po pamoja baba Joan ,
@JohnMuchunu-ji7es
@JohnMuchunu-ji7es Месяц назад
Kazi nzuri sana ba Joan 🎉
@madymag6926
@madymag6926 Месяц назад
Kazi nzuri sana baba joan ❤❤❤❤❤
@user-mm1ll8gu2w
@user-mm1ll8gu2w Месяц назад
Bibi kitumbo uwiiii
@naomimorwabe8820
@naomimorwabe8820 Месяц назад
Baba joan nakupenda sana kwa kazi nzuri sana nipeeni like zangu ata kumi kutoka kenya❤❤❤🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-ge3tn7zs8r
@user-ge3tn7zs8r Месяц назад
Mashaa Allah tabaraka Allah muko vizuri 🎉🎉🎉🎉
@gabrielmwambeyu7629
@gabrielmwambeyu7629 Месяц назад
Kutoka Kenya hoo ni nzuri sana
@user-yi6ub2uq2i
@user-yi6ub2uq2i Месяц назад
Nakukubali xna baba Joan
@SwediSymphorien-pm4en
@SwediSymphorien-pm4en Месяц назад
Wa kwanza kutoka marekani likes ata ngapi jamani
@user-iq6fz6uw7x
@user-iq6fz6uw7x Месяц назад
Me wa sitini na Moja zang
@kibaniotv
@kibaniotv Месяц назад
Nace job
@EdithaErnest
@EdithaErnest Месяц назад
Jamn watuongezee muda kidog epsod zinakuwa fupi xana!❤
@safiasafiya7904
@safiasafiya7904 Месяц назад
Waooo kazi nzur ManshaAllah ❤❤
@user-ni6qv2zn2q
@user-ni6qv2zn2q Месяц назад
Mbona umeonesha uwezo mdogo humu kaka, yani kinachotakiwa nikidogo kuliko kafara zinazotoka.
@user-po4jx2dl9x
@user-po4jx2dl9x Месяц назад
Na kubali huyu mtoto sna ❤❤❤❤
@johnjuma7724
@johnjuma7724 Месяц назад
Huyu...mama nipewe. Nichinje kama kuku...kwani watanzania hamna nguvu. Ama ni filamu😂
@johnjuma7724
@johnjuma7724 Месяц назад
Reply zikuje watanzania
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Месяц назад
Santa sana mwanangu mzr❤❤❤nakupenda sanaaa tu❤❤❤
@user-rz9uf2xx1x
@user-rz9uf2xx1x Месяц назад
Jamani mwaogopesha imenishida kwa kweli dhuuu kishoka icho mmmm😢😢😢najua ni acting ila weeee😮
@focusmaghanga6143
@focusmaghanga6143 Месяц назад
Huyo mtoto ni jasiri sana😅😅😅
@Nadzuwamangale
@Nadzuwamangale Месяц назад
Nimekupnd mtoto kwa ujasir wako ❤❤❤❤
@methodpeter1323
@methodpeter1323 Месяц назад
achen mambo ya like Ni ushamba huooooo mnaboaa
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l Месяц назад
Much love from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤😮😮😮😢😢
@user-ly7tv4iv9f
@user-ly7tv4iv9f Месяц назад
Unajitahidi ba joan
@NancySibiaOnguti-gb9yq
@NancySibiaOnguti-gb9yq Месяц назад
Next twamwaaga bi kitundo naomba umtese kwanza ndo afee
@user-jr8ju4jt2r
@user-jr8ju4jt2r Месяц назад
Safi sana hio
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 Месяц назад
Hongera sana 🎉🎉🎉
@Masonkingtz-dr8wm
@Masonkingtz-dr8wm Месяц назад
Jamani mni like bas na mimi
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 Месяц назад
Safi sana 🎉🎉🎉🎉
@Roze-so4he
@Roze-so4he Месяц назад
Kazi nzuri
@elishawairaha2323
@elishawairaha2323 Месяц назад
Inatisha kaka kongole zako
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up Месяц назад
We ni fundi baba joan
@DavidOdour-ve2ok
@DavidOdour-ve2ok Месяц назад
From Kenya Nairobi lunga lunga
@farajambaza
@farajambaza Месяц назад
kazi ipo vema, kama kawaida
@Sauibr
@Sauibr Месяц назад
Wamwisho Leo 😢😢😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤
@user-zk9vh8js7v
@user-zk9vh8js7v Месяц назад
Yah eko poa
@AllyYamkiwa
@AllyYamkiwa Месяц назад
Baba Joan kazi 🎉🎉🎉🎉
@lucasbatwelly2623
@lucasbatwelly2623 Месяц назад
Wa kwanza leo like zangu
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp Месяц назад
Bibi kitumbo Mungu anakuona,,na utakufa ukiwa umejikunza,,,,ni kuuwa tu na hauna maendeleo yoyote,,shetan mkubwa wewe👉👉👉
@MUTHUIBENARD
@MUTHUIBENARD Месяц назад
Af kina fetti na patronise wako wapi ju sijawaona Kwa filamu ya mwanafunzi wa ajabu???
@jackiekhajiji3889
@jackiekhajiji3889 Месяц назад
😅😅😅😂 hodi mama
@user-ff9oj6gk7r
@user-ff9oj6gk7r Месяц назад
I don't believe if it can be true because Mrs. Kitumbo has visited many people and you should be careful so that she doesn't come before you before you do something bad to her and then she does something bad to you😅😅😅😅😅😅
@user-kw6qc5io9t
@user-kw6qc5io9t Месяц назад
Acha kingeleza chako wenginevhatuja som haupati like hata 1 sasa
@philohmutua2968
@philohmutua2968 Месяц назад
Mtoto malaika kweli
@MLEKENImkanye
@MLEKENImkanye Месяц назад
Umesha potea kweny game alafu kil siku unabadilisha wafanyakaz atukuelew
@user-ni6qv2zn2q
@user-ni6qv2zn2q Месяц назад
Unaona huo ujinga Sasa mpaka kafika hapo tu Ndio anataka kusuka.
@SaidahMohammed-ju9qd
@SaidahMohammed-ju9qd Месяц назад
❤❤❤❤much love from Kenya ,,,
@Donate_people
@Donate_people Месяц назад
Wakwanza
@user-on7in9tz6e
@user-on7in9tz6e Месяц назад
Kazi njema
@user-hm1ks5xb6d
@user-hm1ks5xb6d Месяц назад
🎉🎉🎉
@MpashiKennedy
@MpashiKennedy Месяц назад
Tunasubiri Babajoan tupe
@Kolondhela
@Kolondhela Месяц назад
Kila movie ni wewe tu ndio unajichekesha chekesha fala sana
@everyne.illankunda8292
@everyne.illankunda8292 Месяц назад
Very nice movie
@graffinamisi
@graffinamisi Месяц назад
Mambo poa poa❤
@Joseph-Rumara
@Joseph-Rumara Месяц назад
Naeza guess bi kitumbo atashinda kwa hili... Ungawa ingekuwa vyema ashindwe kwanza kisha aanze kutafuta nguvu zake za kichawi aje kwa kishindo a claim ushindi wake tena... Kisha pia baba joan atafute reservation ya nguvu zake takatifu tena amuangushe... Iwe nishinde leo nikushinde kesho... Isikuwe kama movie zingine uovu unashinda hadi unasinya😢 kisha uzuri unashinda mwisho ....
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j Месяц назад
Good job
@LatifaRashidi
@LatifaRashidi Месяц назад
Love you baba joan❤❤
@user-qn5jv2lc6b
@user-qn5jv2lc6b Месяц назад
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-iq1qd8ji7v
@user-iq1qd8ji7v Месяц назад
Good job ❤❤
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli Месяц назад
Tuko pamoja
@SAJENTMEDIA
@SAJENTMEDIA Месяц назад
Leo nimekua wa kwanza kuona mzigooooooo mkaliiiii
@user-eg5yq9xj9h
@user-eg5yq9xj9h Месяц назад
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 Месяц назад
Next 🎉🎉🎉🎉
@aminakenyaa9337
@aminakenyaa9337 Месяц назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@ndindajoy1484
@ndindajoy1484 Месяц назад
Salutes
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 Месяц назад
Wewe Bibi pia unapenda uchawi Amani mchawi kweli? Usipende kucheza
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 Месяц назад
Wewe Bibi usiwe unapendelea uchawi ama wewe ni mchawi kweli? Usipende kucheza sehemu ya uchawi mwisho utakuwa mchawi kweli wacha kucheza uchawi kwani sivizuri
@EsterSaidi-gx3xo
@EsterSaidi-gx3xo Месяц назад
Wapi like zangu
@winrosemzani
@winrosemzani Месяц назад
🔥🔥🔥🔥
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 Месяц назад
Nmewàhi🎉🎉🎉🎉
@user-go7js2pm9f
@user-go7js2pm9f Месяц назад
😊😊😊😮😮
@user-sp5zj8nk9i
@user-sp5zj8nk9i Месяц назад
❤❤
@ssa4542
@ssa4542 Месяц назад
❤❤❤❤
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd Месяц назад
❤❤❤
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 Месяц назад
Safiiii
@user-zb2wx8ws6g
@user-zb2wx8ws6g Месяц назад
❤❤❤❤❤
Далее
HOFU /4/ (final)
16:14
Просмотров 54 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /12/ #love
32:35
Просмотров 187 тыс.
Conquering fears and slippery slops on two wheels!
00:18
FARUX RAIMOV AVJIGA CHIQDI - JAVOHIR🔥
01:01
Просмотров 1,2 млн
PLAN B _ Episode 3
35:19
Просмотров 98 тыс.
HOFU Full movie/Bongo movie /Action movie
59:06
Просмотров 50 тыс.
TALAKA FULL MOVIE ( TARAKA)
42:50
Просмотров 1,1 тыс.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
Просмотров 414 тыс.
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
Просмотров 182 тыс.
BABAYANGU KIPOFU Full episode /4/ #love
27:28
Просмотров 288 тыс.
MWALIMU MGENI ❤️ /10/
20:48
Просмотров 3,3 млн
SNAKE BOY  | SEASON TWO | ep 1-6
1:20:36
Просмотров 641 тыс.
💼 работа в 2014 vs 2024
0:41
Просмотров 712 тыс.