Тёмный

Holy Trinity Studio - Yanipasa Kumshukuru Mungu ( Official Music Video ) 

HOLY TRINITY STUDIOS
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 2,4 млн
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 644   
@charlesmuvunga5633
@charlesmuvunga5633 2 года назад
Asanteni jamani kwa huu wimbo mzuri. Halafu, mmejiremba kimila na pia mmetumia vyombo vya muziki wa kimila, ishara kwamba injili imeingia vizuri katika mila. Hongereni.
@angelynmkwawi4253
@angelynmkwawi4253 4 года назад
Ipo raha kubwa sana katika uimbaji mbarikiwe sana,kwa wimbo huu umenifanya nikumbuke kwaya yangu ya mt.Augustino k/ ndege Dodoma
@DjTijay254
@DjTijay254 4 года назад
Kweli yatupasa kumshukuru mungu kila wakati....Amina. Sauti nzuri. Barikiweni
@candymarandu2230
@candymarandu2230 Год назад
Nayakabidhi na maisha yangu yawe mikononi mwake
@antonynganga4186
@antonynganga4186 4 года назад
Jamani wana Yuda Thadei hongereni...wimbo mtamu sana,lo!Sina hata la kuongeza,sichoki kuusikiza wimbo huu..wooooh,B Blessed Guys..frm Dubai,UAE.
@lugembevoice
@lugembevoice 4 года назад
yaani wamenikamata nkajua mimi tu kumbe hata wewe duh hakika huu ni wito wao Mtakatifu Tuiombee miito mitakatifu. Ekaristi Takatifu Chemchemi ya uzima wetu
@Msemwa
@Msemwa 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UWbuppK_p78.html Karibu kusikiliza Mziki Mtakatifu. Ukipendezwa tafadhari Subscribe🙏🏽
@perpetuahmungai5988
@perpetuahmungai5988 4 года назад
Great song. Congratulations Mt. Yuda Thedei, kweli nayakabidhi maisha yangu yako mikononi mwake. Holy Trinity thank you so much, huu wimbo it's on point. Yaani mmejua kuleta wimbo wa kututia motisha hasa wakati huu tunapopitia majaribu ya ugonjwa wa Covid-19. Mungu na azidi kuwabariki Sana, and be safe.
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 6 месяцев назад
Yaani utamaduni umeimarishwa katika huu wimbo. Am happy to be an African women where culture is practically done. Hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@diplodecentre6876
@diplodecentre6876 4 года назад
Kweli tushukuru mungu # Mnagusa sana likes zangu pokeeni# Viva viva wakristo wenzangu
@fuck_IMF_alot
@fuck_IMF_alot 3 года назад
Mimi kama mwimbaji namshukuru Mungu kwa sauti nzuri aliyonipa. Nitamsifu milele. Je wewe?
@josephzammit8483
@josephzammit8483 3 года назад
Swahili? Well said! I’m publishing a weekly RU-vid video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you..
@maisorylucas4113
@maisorylucas4113 4 года назад
Najivunia kuwa mkatoliki
@hildawekesa7257
@hildawekesa7257 4 года назад
Magnificent, divine and adorable. Kweli Mungu kanifanya jinsi nilivyo... Hallelujah lazima nimshukuru yeye
@julianamanimo7850
@julianamanimo7850 4 года назад
Safi safi waimbaji,mambo si ndio haya bhn,ubunifu tu,hongeren,Mungu asiwaangushe hata kidogo katika masomo yenu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 10 месяцев назад
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo❤amen 🙏 🎉🎉🎉
@newkilinge470
@newkilinge470 4 года назад
Mwenyezi Mungu awabariki sana wote mlioshiriki kufanikisha wimbo huu mzuri 'Hakika yatupasa kushukuru kwake yeye alietuumba na kutufanya hivi tulivo...Amen.
@eglenkadenyeka6358
@eglenkadenyeka6358 4 года назад
Very touching song.i love en enjoy the it.God bless you all.
@benethkatembwe1721
@benethkatembwe1721 4 года назад
Ongereni kwa kazi nzuri ya uinjirishaj kuimba ni kusali mara mbili
@andrebaragunzwa188
@andrebaragunzwa188 4 года назад
YEZU AHIMBAZWE. MURAKENUYE N AKA KARIRIMBO MERCI BEAUCOUP , COURAGE
@peterkoileken4495
@peterkoileken4495 4 года назад
kweli ni lazima nimsifu Mungu,wimbo,dansi na mavazi yanapendeza,Mungu amefurahia sana,nice song indeed #fromnarokkenya
@kimpalambapj
@kimpalambapj Год назад
Safi sana kwa huduma nzuri. One of the best catholic choir songs.
@labikongwa9744
@labikongwa9744 4 года назад
Mungu asimame nanyi siku zote
@luwagagodfrey5140
@luwagagodfrey5140 3 года назад
Am from Uganda and am catholic. I listen to this song at least 4 times a day though I don't swahili. I love the true African this song displays
@lilianlilly9404
@lilianlilly9404 2 года назад
It's a thanksgiving song to God for all the gifts of life in pain and happiness in all situations thanks and praise to God
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 4 года назад
Naupenda Sana huu wimbo Mungu awabariki zaidi katika Utume wenu Watumishi Wake.
@lauranganga2687
@lauranganga2687 4 года назад
This song touches a special part of my heart that lights up my catholic faith BE BLESSED.Did I mention that you Tanzanias sing very well .LOVE FROM Kenya
@Msemwa
@Msemwa 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UWbuppK_p78.html Karibu kusikiliza Mziki Mtakatifu. Ukipendezwa tafadhari Subscribe🙏🏽
@winniemunisi1754
@winniemunisi1754 Год назад
Wimbo mzuri sana . Hongeni sana kwa kuimba vzr. Nimebarikiwa kwanwimbo huu. Mungu awabariki muendeleze kipaji chenu
@betyanyas8780
@betyanyas8780 3 года назад
Hakika yanipasa kumshukuru Mungu wangu kila wakati maana amenifanyia mambo mengi maisha I mwangu, 🙏
@jamesnkinda6447
@jamesnkinda6447 2 года назад
mungu ni mwema siku zote milele🙏🙏🙏🙏
@sabinaarumu6245
@sabinaarumu6245 2 года назад
My favorite song
@kwayabikiramariamamawashau2448
@kwayabikiramariamamawashau2448 4 года назад
Hakika yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo..... Ni mwema mnoooo
@angelanikalenga4757
@angelanikalenga4757 4 года назад
Uliye tunga wimbo uu ubarikiwe kwakipaji chako nauzidi kutufuraisha. Kila wakati mubarikiwe wapedwa
@danielekisinza537
@danielekisinza537 4 года назад
Kazi ni nzuri na Juhudi ilikuwa kubwa sana. Hakika kila ukiona vyaelea vimeundwa.
@mollyupdates5925
@mollyupdates5925 4 года назад
AMEN yanipasa kweli kumshukuru MUNGU .
@sylviakadeha3261
@sylviakadeha3261 4 года назад
Mnanibariki sana..hongereni kwa kumtumikia Mungu kwa ujana wenu..mbarikiwe sana.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@annmogaka2564
@annmogaka2564 4 года назад
Always proud to a Catholic amen n amen
@kalolimsofe750
@kalolimsofe750 4 года назад
Safi sana
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 4 года назад
Mi too since sunday school era up to now.
@aaronhalliwel6920
@aaronhalliwel6920 2 года назад
Wimbo huu ni mzuri sana Tumebarikiwa kuusikiliza,,wow.. Nazo sauti ni nyororo,,, iya!!!
@michaelrimisho
@michaelrimisho 4 года назад
Nimempenda mpiga marimba....yupo vizur amefanya vyema
@agathaphoteen7398
@agathaphoteen7398 Год назад
Nibaeikiwe kupitia huu wimbo .Mungu Ni mwema Sana cna budi kumshukuru
@annemukongolo
@annemukongolo Год назад
The instrumentals and the culture for me...receive love all the way from Kenya
@user-xo6hs5mp9k
@user-xo6hs5mp9k 11 месяцев назад
asante saana jaman kweli yatupasa sana kumshuru mungu
@mgetatungaraza9440
@mgetatungaraza9440 4 года назад
Amen, bwana awabarik nyimbo nzuri,,
@Msemwa
@Msemwa 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UWbuppK_p78.html Karibu kusikiliza Mziki Mtakatifu. Ukipendezwa tafadhari Subscribe🙏🏽
@archangels2437
@archangels2437 4 года назад
Nice song. Congratulations, It has becoming my favourites song I can't stay without listening it every time. Well organized ñ sweet voices....keep it up
@Highlyblessed4
@Highlyblessed4 4 года назад
This is what i love i am going to Tanzania and live in the village for 1 month
@jackmarcko8968
@jackmarcko8968 4 года назад
Yatupasa kumshukuru mungu kila wakati mbarikiwe sana
@rosemarymathias4938
@rosemarymathias4938 4 года назад
Asante Mungu wangu kwa mengi, nitazidi kukusifu milele.
@kyla7008
@kyla7008 3 года назад
aliyecheza kinanda apewe likes jameni!! tamu sanaah
@lawrencesimon990
@lawrencesimon990 3 года назад
Mi enyew nimekielewa
@enriqueonsakia
@enriqueonsakia 3 года назад
Kabisaa
@Sr_emilyjeptoo
@Sr_emilyjeptoo 4 года назад
Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu.
@antonynganga4186
@antonynganga4186 4 года назад
Amazing.. amazing... amazing... ntakuja Tanzania niwaone live..hahahaa,cute guys..sweeeet voices, B Blessed,Dubai, UAE.
@antonynganga4186
@antonynganga4186 4 года назад
Asante.
@furahaally3091
@furahaally3091 4 года назад
Mungu awabariki kwa wimbo mzuriiiii unailiwaza npo Congo lakini kama npo Tanzania barikiwa sana mama kweli nayakabidhi maisha yangu yawe mikononi mwake
@michaelrimisho
@michaelrimisho 4 года назад
Waoooooo mziki mtamu sana, umenibariki sanaaa hongereni, MAKUBURI WAJAO
@francisleonard2208
@francisleonard2208 4 года назад
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
@mariajacklinemethod7403
@mariajacklinemethod7403 4 года назад
Hongera sana kwa wimbo mzuri nimeurudia mara nyingi sana bila kuchoka una siku lakini mmeutoa kwa umakini zaidi barikiwa sana kwa kuntukuza Mungu kwa kuimba
@lilianmueni5664
@lilianmueni5664 4 года назад
Congrants guys good work True I shall praise him until my last breathe
@nicodemuslohay8065
@nicodemuslohay8065 4 года назад
Hakika wimbo huu unanibariki vyema! Respect Yuda Thadei & HT
@materdeimusema9939
@materdeimusema9939 3 года назад
asante sana kwa wimbo ya kumusifu mungu hiyo iko kama kumbusho kwawana damu .ni mimi wanu rafiki materdei musema hapa RDC mugini ya Lubumbashi
@mariethamkulo1983
@mariethamkulo1983 4 года назад
Waoooooo nzuri sana nikitaka cd au DVD nimeupenda sana sauti zote zipo vizr sauti ya pili waooooo
@maureenmbagaya2644
@maureenmbagaya2644 4 года назад
It's a very nice and encouraging song. Mungu awazidishie neema
@jerrykihanza7796
@jerrykihanza7796 4 года назад
Ila nashauri kwaya inaporudia wimbo ihtahd kufanya vzr zaid ya walio rekod mwanzo
@chinasaokwumike1266
@chinasaokwumike1266 2 года назад
Love you all ... Proudly Catholic... pls interprete the song for me.. Thanks.....
@omwantechronicles5041
@omwantechronicles5041 4 года назад
Mungu azijaalie sauti zenu zinanigo
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 года назад
Hongereni sana MUNGU Baba awalinde katika huduma hii
@archangels2437
@archangels2437 4 года назад
Hongera sana kwa wahasibu wenzangu mmefanya vizuri.... karibuni MWECAU KWETU
@happymwinuka4454
@happymwinuka4454 4 года назад
Mbarikiwe sana wapendwa. Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu.
@jackngare1894
@jackngare1894 3 года назад
Beautiful voices.... The maasai culture display is awesome
@doriskerubo5017
@doriskerubo5017 2 года назад
Wow!!! This is very very beautiful song, Mungu hawabariki na muendelee hivyo hivyo 👍👍
@deorathaponsian6800
@deorathaponsian6800 4 года назад
Nimeupenda mzuri sana
@ceciliamaganga8101
@ceciliamaganga8101 2 года назад
Nimebarikiwa sana na huu wimbo 2022. Hongereni sana kwa utumishi wenu mbarikiwe
@bettykaduma1260
@bettykaduma1260 3 года назад
Hakika nayakabidhi maisha yangu mikononi mwake ni wimbo uliojaa baraka tele asanteni sana vijana wetu
@elizabethmajimbo6671
@elizabethmajimbo6671 Год назад
Dear God I'm here to just say thank you.May your name be praised forever
@zephaniamosses9442
@zephaniamosses9442 4 года назад
Nyimbo nzuri sana
@user-jx1ul6ly2h
@user-jx1ul6ly2h 10 месяцев назад
Wimbo mzuri mnoo❤
@gasparpaul2594
@gasparpaul2594 4 года назад
Kazi nzuri mno🔥🔥🔥 #Bravo HT hadi waimbaji🤝
@sarahwinnie7011
@sarahwinnie7011 2 года назад
The song is a blessing to me and my family.... Good work and Gods blessings upon you
@enockkiptanui2548
@enockkiptanui2548 2 года назад
Wimbo nzuri sanaa ya kumtukuza mungu. Hongera holy Trinity studio Kwa kueneza injili hivi. Mungu awaongoze Kila wakati
@rehemaedward7997
@rehemaedward7997 3 года назад
Amen Mungu Awabariki nimebarikiwa sanaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️Namshukuru sana Mungu kunifanya nimwabudu Amen
@honestakitomari7048
@honestakitomari7048 3 года назад
Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya uinjilishaji.Wimbo mzuri sana kwakweli
@fabiolashali6879
@fabiolashali6879 4 года назад
Well organised, I like it so much, it's really a blessing to me, and I like this song and the choirmembers. Be blessed
@kalolimsofe750
@kalolimsofe750 4 года назад
Nzuri sana
@ceciliansemiwe8188
@ceciliansemiwe8188 2 года назад
I am blessed with song. Mungu awabariki sana 🙏🙏
@hesbonodhiambo8499
@hesbonodhiambo8499 2 года назад
Mungu wangu aliyeniumba na kunifanya jinzi nilivyo..... Quite powerful, may God bless us. Hongereni sana wanakwaya.... So soothing music
@lugembevoice
@lugembevoice 4 года назад
Mungu wa Mbinguni awabariki sana. kuisikiliza nyimbo hii kazi zinabarikiwa sana
@josephmurithi8908
@josephmurithi8908 11 месяцев назад
Kweli Tumshukuru..hongereni ,nawapenda sana
@nasrjuma2360
@nasrjuma2360 4 года назад
Barikiwa vijana.. mkumbuke Mungu siku za ujana wako..
@sundayssmile2128
@sundayssmile2128 4 года назад
Karibu kutazama wimbo mwingine mzuri kutoka Kwaya Ya Alois Gonzaga-Kigamboni; usisahau kusubscribe ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UWbuppK_p78.html
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 4 года назад
Sauti hizi jaman 😊daah🙌🙌 waimbaji wote mbarikiwe na mjikaze mfike mbinguni
@eunicewaswa1256
@eunicewaswa1256 2 года назад
I love catholic songs, I feel blessed,be blessed choir to have courage to sing joyful songs
@balbinahsylvester8037
@balbinahsylvester8037 4 года назад
Wapi wale saut ya pili,hongereni wana kwaya
@odettemalosi4690
@odettemalosi4690 3 года назад
J'aime beaucoup cette chanson car ça me rend proche de mon créateur. J'adore et cette belle voix qui m'attire. Que Dieu vous protège
@sophysulley1431
@sophysulley1431 4 года назад
God bless you, nmebarikiwa na mwimbo wenu santen San, nakvutiwa na uimbaji
@sasatv1484
@sasatv1484 4 года назад
Kazi nzuri Sana , kila sauti inasikika kwa nafasi yake
@lourahandrew7073
@lourahandrew7073 Год назад
Lazima nimsifu yeye katk roho na kwelii
@judithphilipo7437
@judithphilipo7437 4 года назад
Mungu awabariki sanaa kwa utume mzuri 🙏🙏🙏
@magdalenamsuka4602
@magdalenamsuka4602 4 года назад
Hongereni sana.ni wimbo mzuri sanaaaa
@zawadishiga1123
@zawadishiga1123 4 года назад
Naupenda huu wimbo...mbarikiwe sanaaa
@merrymboya1784
@merrymboya1784 3 года назад
Mungu ni mwema nimebarikiwa sana na hii nyimbo
@kendice2724
@kendice2724 3 года назад
Nayakabithi na maisha yangu, yawe mikononi mwake. #shaka
@ceciliamanfred9757
@ceciliamanfred9757 3 года назад
Rp]
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Nice nice... From Italy mnaibariki roho yangu. Nipaeje nije home😢😢
@godwinlugwesa1642
@godwinlugwesa1642 3 года назад
Karb sana home anna
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
@@godwinlugwesa1642 natamani. Ngojea hili jini covid lipungue😅
@rogerruvuga7147
@rogerruvuga7147 2 года назад
Asante Mwenyezi Mungu kwa kuwapa maarifa haya waimbaji na watunzi
@seciliambedule2781
@seciliambedule2781 3 года назад
Wimbo mzuri sana wa shukrani. Mmeutendea hali
@sekibibibatume7401
@sekibibibatume7401 3 года назад
anyway l live in USA but l like my Africa god bless Africa more and more yesssssss
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 4 года назад
Nayakabidhi na maishayangu yawe mukononi mwake🙏🙏🙏🙏❤from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mtegayuster9574
@mtegayuster9574 4 года назад
Waoo .good song keep it up all the time. Stay blessed
@MkomboziIbrahim
@MkomboziIbrahim 11 месяцев назад
Jaman mungu ni mwema mmependeza
@ashuramzee5131
@ashuramzee5131 2 года назад
nasifu na kumshukuru mungu daima🙏🙏🙏🙏 wimbo unaonipa faraja daima hata kama nina huzuni napemda sana kusikiliza nyimbo hizi na kuziiba najikuta nakuwa na furaha na amani kabisa ndani ya moyo wangu
@naomigeorge638
@naomigeorge638 2 года назад
Sweet voices be blessed my fellow catholics
@sasatv1484
@sasatv1484 4 года назад
Best of the best song, sichoki kuusikiliza
Далее
Holy Trinity Studio - Wosia ( Official Music Video )
7:32
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,9 млн
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA | BIKIRA MARIA SONGS MIX
42:09
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
Просмотров 8 млн
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 60 млн
NYIMBO ZA KUTOA SADAKA LATEST MIX /CATHOLIC
23:58
Просмотров 693 тыс.