Тёмный
No video :(

Hospital ya Mloganzila yaanza kuvunja mawe ya figo kwa kutumia mawimbi mshtuko 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Hospitali ya taifa Muhimbili Mloganzila imeanza rasmi kutoa matibabu ya kisasa ya kuvunja mawe kwenye figo na kwenye njia ya haja ndogo kwa kutumia mawimbi mshtuko tofauti na ilivyokuwa awali ambapo watu wanaosumbuliwa na maradhi hayo walipaswa kufanyiwa upasuaji mkubwa.
#AzamTVUpdates
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@jaystar1004
@jaystar1004 Год назад
Upendo Michael..❤
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Tunakushukuru kikwete angekua mwendazake angeanza kujisifia Ila kikwete umejenga yote haya bila kujisifu na kutukanwa
@J4UPro
@J4UPro 2 года назад
safi sana
@mlalikwabiswalo7804
@mlalikwabiswalo7804 2 года назад
Leteni mashine ya shockwave therapy ya kutibu nguvu za kiume msaidie wa tz
@sirnunda3758
@sirnunda3758 Год назад
Hii Hospitali ni machinjio ya watu ukiwa na ndugu kapangiwa hapo afadhali hiyo pesa mtumie kusafirisha maiti tu kieleweke
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 года назад
Hosptali yakuwaangamiza wtz hainalolote
@jacklinemuhenga7543
@jacklinemuhenga7543 2 года назад
Kivp yan
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Sababu alie Ijenga Ni JK , angeijenga mwingine hadi wimbo mngetunga
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 7 млн
FAHAMU KUHUSU KIPIMO CHA CT SCAN
20:26
Просмотров 1,3 тыс.
Matayarisho  kabla ya kufanyiwa upasuaji
5:54
Просмотров 3,5 тыс.