Mbona huwa hamwendi na vijijini !? Kilaau mkafanya pia na mikoani he hamuoni kama mnawakosea baadhi ya watanzania kwani wote wanahitaji huduma sawasawa na wengine?
Uko sawa kabisa Mama,Kama Wilayami Mvomero,Gairo ,Dumil-Kilosa na mikoa mingine Bado watu hawana elimi kabisa. . . Mai hanikutumila ujumbe DM Instagram nimanya kuwa busy naa huduma na Imani yangu Mulungu yu mwema,anie na mwanage wa Mwl.Chihhamilo Dumila.. Tafadhali nikogjage mawasilino gako
Jamani mpaka nimelia nipo apo muimbili karibu unaisha mwaka ini yangu ilikuwa ina mafut nimepewa dawa yakaiisha nikashauriwa nipimwe dam,nikaambiwa haipo sawa nakunywa daw kila siku mpaka nachanganyikiwa jaman sijawahi kupewa dawa bure jamani natamani nikuone doctor sina uwezo sipatag mualiko huu naombeni muwe mnatusaidia