Тёмный

HOUSE GIRL EP 06 || love story 💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 137 тыс.
Просмотров 200 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 996   
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Bonyeza link kujiunga group letu la WhatsApp chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 3 месяца назад
Kai mbn muongo ww sana hunalolote muongo mkubwa
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@SalmaKenyatta-cn8tg
@SalmaKenyatta-cn8tg 3 месяца назад
tupo dear
@DonaldWahungu
@DonaldWahungu 3 месяца назад
Achana uwongo
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 3 месяца назад
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😮😢😢😢😢
@MartiniWatsoni-ce7sl
@MartiniWatsoni-ce7sl 3 месяца назад
Anaemkubali zuu aweke like hapa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏🙏
@nasrachimamy
@nasrachimamy 3 месяца назад
Jamn me mpk kaniliza huyu zuu km ndo mimi apa nawarabu wangu
@RukiaKassim-yu4xp
@RukiaKassim-yu4xp 3 месяца назад
Mm hata nmemuelewa vzir hyo boss wa kiume wa zuu❤
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 месяца назад
Zuu hadi huruma ila pia hongera sana kwa baba mkwe anae kusubirisha kwenye hiyo nyumba busati shukran sana kwa kutulete mafunzo mazuri sana yaani atakae fuatilia hii movie kwaumakini sana atapata kitu na kuishi vzr kwenye ndoa yake baba mkwe nisawa na babako mzazi much love 💕 mlio shikiki kila mmoja kaitendea haki nafasi yake ❤❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana Tunakupenda mnooooo ❤❤❤❤🥰🥰
@BeatriceMwikali-cl2ym
@BeatriceMwikali-cl2ym 3 месяца назад
❤❤❤
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 месяца назад
🥰🥰🥰🥰🥰
@TantineZuzu
@TantineZuzu 3 месяца назад
Pole sana zuuu wafanyakazi wa nyumba kama wote pakiwemo na mimi tunapitia iyo Hali kwa hiyo vumilia zuuu. Na aswaaa ukumbuke maisha ya nyumbani ndo yanasababisha tunavumilia Kira pito tunalo pitia 😢😢❤❤🇧🇮🇧🇮
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@khadijamatar3945
@khadijamatar3945 3 месяца назад
Lakini zuu ameniliza yaani.Hivi wapo wanawake kama candy?
@NurusiaAlly
@NurusiaAlly 3 месяца назад
Ndo wapo wengi sana tuu
@jacminjosefh4400
@jacminjosefh4400 3 месяца назад
Kiukweli mim ni mfanya kazi za ndani Ila namshukul mungu sijawai kukutana na boss Kama huyu 😢
@KarungiAngelique
@KarungiAngelique 3 месяца назад
Polen san
@harveyindiana3787
@harveyindiana3787 3 месяца назад
wa kwanza jamani kutoka Kenya.. team strong gonga like tukisonga much love from saudia bisha
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Kenya sehemu gani?
@harveyindiana3787
@harveyindiana3787 3 месяца назад
@@busatitv Mombasa
@harveyindiana3787
@harveyindiana3787 3 месяца назад
@@busatitv Mombasa
@Weirdguy777
@Weirdguy777 3 месяца назад
me timu oman
@PaulineMabale
@PaulineMabale 3 месяца назад
Am from Kenya
@AsebaleylaDavid
@AsebaleylaDavid 3 месяца назад
Movie nzuri sana chukueni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@UmmyOmarry
@UmmyOmarry 3 месяца назад
Uyo zuu kafanana na Kim was clam vevo
@MaikoSayi
@MaikoSayi 2 месяца назад
Vip
@MaikoSayi
@MaikoSayi 2 месяца назад
Saw
@JanethEmmanuel-mr5le
@JanethEmmanuel-mr5le 3 месяца назад
Pole cna zuu mam mwenye nyumba mjinga ajui majukumu yake pokea Maua Yako zuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤🙏🙏🙏
@MichaelMpwaga-wi7sb
@MichaelMpwaga-wi7sb 3 месяца назад
Hongera dada wa kazi umejitahidi sana kuigiza ni kwel wadada wengi wa kazi wanapitiaga mambo magumu sana nadhani wanaona na wadada wengine.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Kabisaaa 🥰
@Frola-r9z
@Frola-r9z 5 дней назад
Wewe achatu 😢😢
@dorajuma
@dorajuma 3 месяца назад
Nakupenda sana zuu umecheza party yako vizuri sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@ImeldaSamson-wm1iz
@ImeldaSamson-wm1iz 2 месяца назад
nakuomba sana kaka ang please ❤❤❤ nawapenda na mung awabark
@everlinekenga437
@everlinekenga437 3 месяца назад
Wapi team strong tujuani kwa like mm niko Dubai❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Dubai 🔥🔥🔥🔥🔥
@EstherIndiana-sn9zg
@EstherIndiana-sn9zg 3 месяца назад
Iraq❤🎉
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 3 месяца назад
Na mm niko dubai njoo jirani yangu😂
@maryamkhamis5213
@maryamkhamis5213 3 месяца назад
Mm oman mahi😂😂
@maryamkhamis5213
@maryamkhamis5213 3 месяца назад
​@@maryamudunga1094naja diha acha mlango wazi😊😊😊😂😂
@ZaithuniNassir
@ZaithuniNassir 3 месяца назад
Wale ambao hatujaolewa tujifunze mambo hapa hatakama utaolewa na mume mwenye uwezo mkubwa akikuekea msaidizi wa nyumbani kwako tuwe kipao mbele sana kwa waume zetu kwakila jambo mfanya kazi awe tu na kazi ndogo ndogo hatakama yualipwa kiasi gani cha pesa👂👂😍😍😍😍ina mafunzo mazuri sana😊
@JumaChiryauta-zf6uc
@JumaChiryauta-zf6uc 3 месяца назад
Hii tamthilia inakubalika ipo vyemaa kabisa MPUMBAVU MWENZANGU😅😅😅😅😅😅 Lipo wapi dole la wapumbavu wakwelii😂❤.....
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Mpumbavu mwezangu 🤣
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
😂😂😂😂Wapo vizur xan wapumbavu wawili
@RoseNjoka_23
@RoseNjoka_23 3 месяца назад
Tupo mpumbavu mwenzangu Juma 😅😅
@hoseadaniel3718
@hoseadaniel3718 2 месяца назад
😂😂😂😂
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 месяца назад
😂😂😂 nilikua nategea hakuna kulala. Team strong mko wapi❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Hongera sanaaaaa
@chocobeau2026
@chocobeau2026 3 месяца назад
Team strong hoyee
@EstherRama6
@EstherRama6 3 месяца назад
Tuko Hapa💪💪
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 3 месяца назад
Tupo kipenzi ❤❤
@fatumakiwango7426
@fatumakiwango7426 3 месяца назад
Tupo 😂😂😂
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe 3 месяца назад
Zuuu pole sana mutoto wetu iyi nidunia tena maisha niya mungu hajui kesho yako
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@ObedMwankina
@ObedMwankina 3 месяца назад
Daaah,yaani wewe Zuu kama ulivyocheza movie hii ukajaribu kuishi maisha ya utii 80% katika maisha yako ya uhalisia basi utakuwa mtu bora sana.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏🙏❤❤🥰🥰
@haidarkhatib-m7b
@haidarkhatib-m7b 3 месяца назад
Fact....
@JACKSONMbena-bo3rj
@JACKSONMbena-bo3rj 3 месяца назад
Wew mwamba ni msenge sana kwani wew uwoni mke wko kuwa msenge au mpumbuvu sana wew
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@zainaburamadhani2982
@zainaburamadhani2982 3 месяца назад
Lengo la kufanya hvyo ni tujifunze sie wengine lkn ckama unavyodhani ww
@Frola-r9z
@Frola-r9z 5 дней назад
💪💪💪💪
@-mwanasato
@-mwanasato 3 месяца назад
Kazi nzuri Sana jaman Kila atakae angalia hii movie sure atapata mafunzo kwenye maisha yake yote , good job ♥️♥️♥️💛🙏
@barkyabdallah170
@barkyabdallah170 3 месяца назад
Team strong munaona vile shagala mwenzetu anapitia nipeni like basi
@Hawaabdoudjuma012
@Hawaabdoudjuma012 2 месяца назад
Tunaona kbx😂
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 месяца назад
Wakwanza jameni nipeni laiki zangu
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤🥰🥰
@mariamuhamisimwamrezi4832
@mariamuhamisimwamrezi4832 3 месяца назад
Pole Sana da zuu likupigalo linakufunza kuwa subra mpenzi
@haluarahma3071
@haluarahma3071 3 месяца назад
Wako wapi wanaume kama kay anaupendo wa dhati,daa zuu pole kilio mara nyingi hungeuka furaha ipo siku.wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hoyeee
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
❤❤❤❤😂😂😂😂Hoyyiieeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂
@marynabwile4086
@marynabwile4086 3 месяца назад
Hoyeee🎉🎉🎉🎉
@peninamahenzo7170
@peninamahenzo7170 2 месяца назад
Hoyèeeeèe🎉🎉🎉🎉
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
Uyu mdada ni mzuri lkn jeuri kama umbwaa shenzi sanaa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 3 месяца назад
Huyu sio km mbwa ni mbwa kabisaaa namchukia sana
@hassanhajihamdani3558
@hassanhajihamdani3558 3 месяца назад
Hana uzur mwanamke mzur hawi ivyo
@najmajoneke-sk7ld
@najmajoneke-sk7ld 3 месяца назад
Move Yangu Pendwa Masha allah Hongeleni sana washiliki Mmeweza alfu Mmeweza Tena
@EnthusiasticParakeet-vt5qm
@EnthusiasticParakeet-vt5qm 3 месяца назад
Wah kipindi mzuri Sana pia team strong 💪tutiane moyo sio kazi rahisi
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 3 месяца назад
Wallah zuu umenifanya nilie jmn, pole zuu ila Kai badirika basi huyo cyo mke, Asante baba mkwe uko vzr maashallah ❤❤❤
@nancyg8664
@nancyg8664 3 месяца назад
😂😂kai nimekuangalia kwa makini, kumbe wewe mzuri hvo na ausemi...anyways hongera
@prettyney3812
@prettyney3812 2 месяца назад
😂😂😂😂woi mm toka ep 1 nilimuona ni mzuri sana
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
Waaa mmpenzi sofy this time umeakanyaga kuwa kibiriti ngoma mmpenzi
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@JemahEvaristo
@JemahEvaristo 3 месяца назад
Nimewapenda bureee mnawaisha mov mashabiki zenu tunainjoy ❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад
Waooo safi san busat tv np hap kutoka oman🇴🇲 nimewai leo aya tujuwane wale mashagala wa warabu like kama zote kiramba mchuzi kifuu hchoo nimekipenda mm mwana kumbe unakifuu kizur sass pili mabonga anafeli wap aya
@DottoWashuma
@DottoWashuma 3 месяца назад
Zuu unanihuzunisha namkumbuka mmama mmoja anaitwa adela inocent mpangara
@rishedynassor6170
@rishedynassor6170 3 месяца назад
Kaz nzur sanah uyu mke kacheza vzr sanah karata yake
@oman1oman179
@oman1oman179 3 месяца назад
Pole sana dada zuu umenikumbusha mbali nimepitia mateso sana yani mnatuelimisha tujuwe gisi ya kuhishi na mfanyakazi na yeye ni binahadamu kama wangine,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pole sana aisee 😭😭😭
@Mathias-yi5bo
@Mathias-yi5bo 3 месяца назад
Ooh my God had chozi linataka kunitoka Kwa sababu ya Zuu😭😭😭😭😭😭😭
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pole sana jamani ❤
@michaelismail421
@michaelismail421 3 месяца назад
Wakwanza hii n bonge la movie
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Hongera sana
@latifahidriss2819
@latifahidriss2819 3 месяца назад
Jamni inaumiza sana kwa tunavyo watreat wafanyikazi wetu wa ndani ila movie nzuri❤❤❤much love to zuuu
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🥰🥰🥰🥰🥰
@Mary-ug6oc
@Mary-ug6oc 3 месяца назад
Hata Mimi nimekumbuka mama mmoja aitwa Tina wewe siwezi kumsahau niliteseka sana ila namshukuru Mungu maisha yanaendelea
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 3 месяца назад
Kai naye bwege kweli haaaa mzembe kama nini😢😢😢sijapenda
@MpokigwaEdwin
@MpokigwaEdwin 3 месяца назад
Mimi ningemzabua kabisa tena makofi ya dabo dabo
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 3 месяца назад
Hii ni move lakini kwl inafundisha cose kwl Kuna watu wanayapitia haya nsmpenda zuu jamani usiliee
@MwanahamisAlly-w4j
@MwanahamisAlly-w4j 2 месяца назад
😅😅😅.kwakweli
@agapitshayo-cy7vy
@agapitshayo-cy7vy 3 месяца назад
Leo nimewahi nipeni like love from tanzania
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Hongera sana
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s 3 месяца назад
Reo sjacherewa sana..ira Kay. unadiriki. kumdanqanya. Baba Yako. nazu kuwa kumempiqa. Mkeo huqopi. Kusema uonqo.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Mjinga sana aiseee
@AishaModi-t1q
@AishaModi-t1q 3 месяца назад
Movie zako nzuli xna Kai Ila muda wako ni mchache xna please mm nikiwa kama shabiki wako kitoka Dubai na Mungu akutie nguvu zaidi na kazi yako inshallah ❤❤❤🎉
@AshaNiyonkuru
@AshaNiyonkuru 3 месяца назад
Team strong mukoo huyu mukaka ni shida mi Niko saidia
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 3 месяца назад
Pole zuuu mimi nafanya kazi ya ndani kweli lakini sipitii chenye unapitia pole dadangu 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
@marynabwile4086
@marynabwile4086 3 месяца назад
Hakika kabisaa
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 месяца назад
Yaan mwaka wa kuja kuorewa sijuwi niige tabia gn apa ktk hii movee aya wezangu na miyeee msioorewa mnjoen apa mnipe makopaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@chunaamina878
@chunaamina878 3 месяца назад
Itategemea na mpumbavu mwenzako jinsi mtakavyoishi❤❤❤😂
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 месяца назад
@@chunaamina878 😂😂😂🤣♥️♥️♥️♥️
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 месяца назад
Hivi kai hiyo kazi ya kuongea kwa upole na huyo candy,,,mzabue makofi asituchoshe sisi,,,mwanamke gani asiye jielewa huyo
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🙌🙌
@JacklineNamahala
@JacklineNamahala 3 месяца назад
Yan ATA me inaniuzi ambutue kofi harudii tena
@zaujiamwaki-gz1hc
@zaujiamwaki-gz1hc 3 месяца назад
daaa Sina Cha wakuwaambia nawapenda Sana mungu awabariki kwa kazi yenu iwe kazi ya kimataifa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Inshaallah🙏
@MillyMjeni
@MillyMjeni 3 месяца назад
Venye na hasira huyu mkeo Kaka Kai ningempiga ana leta mchezo ,na mimi ndo nampikia je nikamuekea sumu😂😂😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Daah pole sana aisee
@امنهالسناني-ث4س
@امنهالسناني-ث4س 3 месяца назад
Wallah hata mimi kwa huyo candy nitaenda jail bure
@MurimijuniorIthalie
@MurimijuniorIthalie 3 месяца назад
Yaan alaf Tena hixo kimama midomo yke inaonyesha dhahiri nikibanya Sana uyo afai kuwa bibi ya mtu..
@peterphilipo5103
@peterphilipo5103 3 месяца назад
😂😂 hapana anaigiza tu watu tujifunze, nakumbuka hata shumileta enzi zake wanaume walikua wanamuogopa
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 3 месяца назад
❤❤❤❤ila kai unanifurahisha jamani maana sio kwa uwongo huo😂😂
@melaulepotot
@melaulepotot 3 месяца назад
Movie tamu kabsa,,ila inausunisha kwa huyu dada wa kazi
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Kaz nzuri xan wana busati ❤❤❤❤❤❤❤Masha'Allah endleeni kutufunza
@TheresiaSteven-bq6ze
@TheresiaSteven-bq6ze 3 месяца назад
Baba mkwe anaogopa kupelekwa na mkwewake hospital 😂😂😂😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
😂😂
@maryamChumas
@maryamChumas 3 месяца назад
❤❤❤❤❤move nzuriii ila nacheka kweliiii yan zuu ata akiitwa kanapiga magoti😂😂😂😂😂dah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ChristopherLucky-m5h
@ChristopherLucky-m5h 3 месяца назад
Watching from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦 next plus
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Oooh safi sana 🙏🙏
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 месяца назад
Nimefurah kumuona huyo dada wa kwamkojani😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@harveyindiana3787
@harveyindiana3787 3 месяца назад
jamani zuu umenifanya mpaka nmelia😢
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pole sanaaa
@douglasomanga8649
@douglasomanga8649 3 месяца назад
Kazi nzuri, ❤❤❤❤❤❤tunaomba episode ingine, twaipenda hii move
@zayatuzai6500
@zayatuzai6500 3 месяца назад
Malove mengi jamon❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤❤🥰🥰
@OnespholoEliud
@OnespholoEliud 3 месяца назад
movie nzuli sana fanyen muitoe yote halaka🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 3 месяца назад
Nimefurah sana maan nilikuwa nisubir kwa hamu sana ❤❤🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Saaafi sanaaa
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 3 месяца назад
From Pakistan zuu umeniliza sana
@MariamHassan-ly6jo
@MariamHassan-ly6jo 3 месяца назад
Mmetisha sana❤❤. Lakin mnarusha usiku sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pole sana ila hii kwa ajili ya kesho
@pilicharo4123
@pilicharo4123 3 месяца назад
kwakwele hii move ni nzuri ila ninaliza 😢 naiko namafunzo mazuli hongereni sana sana kwakuletea mafunzo mazuri🎉🎉🎉❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pole sana kipenzi ❤
@SaeedhSaeedh-f6i
@SaeedhSaeedh-f6i 3 месяца назад
Nasura yake mbayaaaa hajui majukumu ya mume wake pumbavuuu😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pumbavu kabisaaa
@Frola-r9z
@Frola-r9z 5 дней назад
Pumbavu san
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 3 месяца назад
Ashante sana tumejifunza mengi . Tunafaa kuwaskiza wazazi wetu maana ndio Mungu wetu wa pili.🎉🎉
@NasraMuhammed-p5k
@NasraMuhammed-p5k 3 месяца назад
Hii move nzur sana wap team strong Dubai hapa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Nawakubali sana
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 3 месяца назад
Mna movie za ukweli jamn nawapenda ❤❤ila kai candy atakupasua kweli 😢
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
😭😭😭
@Kai_busati
@Kai_busati 3 месяца назад
Burudani bila kikomo🔥🔥🔥🙌🏾
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙌🙌🙌
@EvonaMartine
@EvonaMartine 3 месяца назад
Nimejifunza mengi kwenye hii move love mimg Kwa baba mkwe na zuuu❤❤❤❤❤❤❤❤
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 3 месяца назад
Candy mrembo ila hajielewi hata kidogo wee kai mzabue makofi akae sawa huyo
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@RichardJidaha
@RichardJidaha 3 месяца назад
Polee Sanaa zuuu Kwan kai na huyo candy wake siampeleke kwaooo maan anambembeleza sana candy 🍬
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Daaah
@Pili-n3l
@Pili-n3l 3 месяца назад
Ww kaka mbn haupo sirias heb kua sirias bas kaza sauti maana sauti umeilegeza sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Ila Watu kaaah 🙌🙌
@ashamfaume-f9t
@ashamfaume-f9t 3 месяца назад
Tupo team trong mm np Oman ❤❤❤❤❤❤ tupo pamoja sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Karibu sanaa
@KizaMmunga-i4p
@KizaMmunga-i4p 3 месяца назад
Zuu pole sana kweli ila ipo siku atakupigia magoti ilo tubili ,na Kai na ww jiangalie mtoto wakiume uku kama demu anetafuta mume ,leteni hata tatu kwa siku from marekani
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Kumbe watu wa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Mpo humu daaaah Asante sana🙏
@HudhuliaMwaikenda
@HudhuliaMwaikenda 3 месяца назад
Daaa nilikua naomba kay apunguze uongo afu wanaume wa aina hii waliendag wap
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 3 месяца назад
Hili jamaa Bwege mpaka linakera #
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 3 месяца назад
I really love Kai he is very kind and loving man yaani natamani siku moja kendy kimrambe 😂😂😂
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 месяца назад
Maskini zuu wetu pole
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 3 месяца назад
Yaniii Shoga Zangu Naumiya Kwakwel Nahaya Matesoya Zuuu 😢😢 Ila Namuomba Zuuu Vumiriya Iposiku Huyo Anakuumizaa Badae Atagupigiya Magoti Inshaallah 🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️❤️
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo 3 месяца назад
ukweli nipte mwanamke like zuuu 😭😭😭😭😭
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Mungu atakujaalia
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo 3 месяца назад
thanks km nitpt ni Mungu tu 🙏🙌🙏
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 3 месяца назад
Zuuuu dada yangu pol sana yatapita tuu vumilia hujui kesho yako wanawake wa kisasa jmn aisee mwingine eti mupumbavu mwenzangu 😅😅😅 movie nzuri busati TV oyeee ❤❤❤❤
@safiahilali3352
@safiahilali3352 3 месяца назад
Na mie nipoo
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Hongera sana
@JuliethaDaniel-dr4lz
@JuliethaDaniel-dr4lz 3 месяца назад
Zuu anastahili kuwa mke❤❤😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🥰❤❤
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 3 месяца назад
Wow
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙌🙌
@salvatakiseo3359
@salvatakiseo3359 3 месяца назад
Kuna baadhi ya wanawake wakiolewa wanaona wamemaliza wakati mambo Ndio kwanza alifu 😂😂😂😂
@Feisalmatandula
@Feisalmatandula 3 месяца назад
Zuuuuuuuuuuu🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤❤
@priscilladama8686
@priscilladama8686 3 месяца назад
Zuu kwa kofi ulilopgwa na veny unalia unanyanyaswa umenifanya adi nalia na mm aki pole sn zuu
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Daah pole sana 🙏🙏
@mussachristopher2148
@mussachristopher2148 3 месяца назад
Zuu pole sana Kwayote unayo pitia ila kwahyo mdada nimepga saluti 👉🧎
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏🙏
@nahyatsaid
@nahyatsaid 3 месяца назад
Jamani mbona fupi sanaaaa daaah sijapenda 😢😊
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Leo ndefu kuliko siku zote
@barakahsylvester7911
@barakahsylvester7911 3 месяца назад
Huyu jamaa boya kweli!!me ananikera kinoma😏
@SalmaRashid-g1z
@SalmaRashid-g1z 3 месяца назад
@busati tv House Girl ikiisha nitalia sanaaaa😂😂😂😂😂😂
@yuleboy4742
@yuleboy4742 3 месяца назад
Napenda anacho kifanya candy anaelimisha jamii siyo tabia yake
@KassimKingai
@KassimKingai 3 месяца назад
Team strong si zani km tunakubaliana na hili😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@ChausikuKhamis-zt4rp
@ChausikuKhamis-zt4rp 3 месяца назад
Alokuw hampend candy aweke like hp👌👌
@AryonWambui
@AryonWambui 3 месяца назад
😢😢😢😢😢 aki waona fanyia dada wa kazi mateso haya pia wao yatawakuta malipo hapa kweli anacheza zuu ila wapo wanapitia kama haya mateso ila kai haoni akamtetea mfanyi kazi wake 😢
@AlineMunezero-vb1rd
@AlineMunezero-vb1rd 3 месяца назад
Aki iyi Movie ni meipenda ❤❤
@KuluthumSalim-d5i
@KuluthumSalim-d5i 3 месяца назад
Zuuh nimeumia san nmelia km mjing n namjua unaigiz to 😭Mng akutish mbali unajua🎉na Unajua 🎉 tena
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад
Kai kai acha uwongo ww wala ujiwesi kwahyoo mwanamke au utakuwa umepea deshiiii deshiii waona hao ukimuacha utakosa kupewa nn😂😂😂😂😂😂
@AbdallahRajabu-du1ex
@AbdallahRajabu-du1ex 3 месяца назад
Dah mke kamahuyo dah nahuyo kaka kapoa alipomkata zuu kofi nae ange mkata bhana
@JoshuaLoth-qy1yk
@JoshuaLoth-qy1yk 3 месяца назад
Nikajua ntakuwa wa kwanza alooooo watu mpo makini😂😂😂😂
Далее
HOUSE GIRL  EP 07 || love story💞💕
19:03
Просмотров 191 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 91 тыс.
БАГ ЕЩЕ РАБОТАЕТ?
00:26
Просмотров 236 тыс.
NDOTO YANGU. EP1
16:39
Просмотров 5 тыс.
PLAN B _ Episode 3
35:19
Просмотров 227 тыс.
SNAKE BOY  | SEASON TWO | ep 1-6
1:20:36
Просмотров 782 тыс.
HOUSE GIRL  EP 05 || love story💞💕
18:50
Просмотров 201 тыс.
HOUSE GIRL EP 19 | S3 | Love Story 💕💞
24:17
Просмотров 9 тыс.