Kaz nzur sana sema kuna sehem kidg kuna shida Uyu maza mweny mjengo alimfukuza uyu dada kwa kumwambia asepe asubh sana abeb kila kitu chak lakin sijaona mwendelezo wake n upi
Yn hii inaniumiza kweli moyo mwanamke hafai kabisa kumfokea babamkwe hivi amemtusi kabisa 😢😢😢 natamani nipite kwa sreen ya simu nimchape candy mabao kibao
Iko moto hii move 🎉🎉🎉🎉, na mafunzo mazuri sana hasa kwa wanaume muwe makini wakati andamandikia mfanikazu mkeo huwa wanawanyanyasa sana wafanyi kazi,hata gulf huwa hatufanyiwi hivi
Kendy wajua thamani ya baba mkwe kwenii😢😢😢😢😢 jamani hii movie naiangalia kwa hisia Kali sana mpaka nashindwa kuji zuia 😢😢😢😢hasa hapo kwa baba mkwe na kwa dada wakazi
Halafu zuu kaweza ssna na uyo dada wakazi pia ata wewe mwenye uyo mke jamani lakini icho kibao kimeniuma kama nitoe chozi kipande kinachokuja na yeye hebu mtieni adabu kidogo awe mke bora 😂