Тёмный

HOUSE GIRL EP 07 | SEASON 2 | love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 143 тыс.
Просмотров 140 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 343   
@busatitv
@busatitv 2 месяца назад
Whatsapp group la Busati Tv 👇 chat.whatsapp.com/Gboxs71PAvtHl0nvTLi66k
@AsheryGaudence-tx1kc
@AsheryGaudence-tx1kc 2 месяца назад
Busat mnanikosha sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu awazidishie ubunifu kila siku
@Tamarimduge
@Tamarimduge 2 месяца назад
Wale wa kukesha youtube kwaajili ya house girl mpooo❤🎉🎉😅 like jaman
@SarahFei-ei7en
@SarahFei-ei7en 2 месяца назад
nyie like munafanyia nini
@DialogueplatformPlatform
@DialogueplatformPlatform 2 месяца назад
Tupooooo
@SakinaAbdallah-mo4dh
@SakinaAbdallah-mo4dh 2 месяца назад
Tupooooo❤❤❤❤
@JoyceMsambili
@JoyceMsambili 2 месяца назад
Mi ndo nakeshaga hatali mpaka arfajil
@Norah-dee
@Norah-dee 2 месяца назад
Wanao amin zatiti ataolewa na mr tasha gonga like kwa wingi 🎉🎉
@OruchoWilkister-b4q
@OruchoWilkister-b4q 2 месяца назад
Si kuamin tu natamani
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k 2 месяца назад
jaman mbona naona kama zatiti ataolewa n tasha 🎉🎉🎉wenye wako pamoja n mm wagonge like bx🎉🎉🎉🎉
@Aisha-b9u
@Aisha-b9u 2 месяца назад
Mimi kutoka omn
@neemaSeif-l9t
@neemaSeif-l9t 2 месяца назад
mmeanza kutoa fupi eh tutaacha kufatilia
@JovithaEliud
@JovithaEliud 2 месяца назад
Umewaza kama mm kbsaa
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 2 месяца назад
Waliompenda papa kiswaili chake ca kongo. Nipeni like ata 50 🎉🎉🎉
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@EmmilianaWekesa
@EmmilianaWekesa 2 месяца назад
Team strong 💪 👋 from Riyadh saudi
@veronicahmomanyi
@veronicahmomanyi 2 месяца назад
Team zuu wangapi wameiona ya msaliti iko POA asee iyo move 👌
@HyasintaWisdom
@HyasintaWisdom 2 месяца назад
Hahahaha wanaosem Sania atarudian na pap ato badilik atafukuzw kwa mister Tasha gonga like ap❤
@hawaali8371
@hawaali8371 2 месяца назад
Wawoo Fro Qatar. Japo Nimechelewa Leo. Hongereni Kazi Nzuri
@GladysOmwando
@GladysOmwando 2 месяца назад
kazi nzuri kai hii series tamuuu sna ❤❤❤❤🎉
@Mtembori
@Mtembori 2 месяца назад
Hello team zuri ,Kai ,Tasha na zatiti mpooo❤❤❤❤
@ShAMIMURASHIDI
@ShAMIMURASHIDI 2 месяца назад
Tupoo😂❤❤❤❤
@fatfat9093
@fatfat9093 2 месяца назад
Maskini chiko anapewa mzigo mzito papa nae anapewa wake maumivu kusaidiana ddke chiko amekua mpole mashaallah anataka.kuitwa shangazi weweeee❤❤
@buru1235
@buru1235 2 месяца назад
Waah ndio tuko n vituko n mautamu Sasa Yani nilisema kuwa chiko atapata Vida y Candi n papa pia papa atapata Vida ya chiko n candy weeeh nikumoto kweli kweli 😂😂
@ladyj5089
@ladyj5089 2 месяца назад
Wifi atapigwa nakitu kizito kama unaamini wifi atapigwa nakitu kizito goga like ma wifi mpo
@SalamaSaidi-p2u
@SalamaSaidi-p2u 2 месяца назад
Tena litamshuka wiwie
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
Habari yake kwisha😂😂 wifi
@MirriamWanjala-h2r
@MirriamWanjala-h2r 2 месяца назад
Mimba Isha toka
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 2 месяца назад
❤❤utajuta kumfukuza zatiti utajua hujui mimba sio yako chiko mimba Ina mwenywe 😂😂
@AishaSalem-g2v
@AishaSalem-g2v 2 месяца назад
Jaman wana busat zile seemu muimu fanyeni mkizieka ndefu mwabuo na hawa kina bro ake na cendy na hawa maboya wanaboa aisee
@KheryEmmanuel-sb4xr
@KheryEmmanuel-sb4xr 2 месяца назад
Hii movie naipendea kitu kimoja wanatoa haraka movie ❤❤❤
@ZenaAfreka
@ZenaAfreka 2 месяца назад
kweli waendelee iviivi mana ina2burudisha hata 2kiwa na mawazo kazi nzuri
@FraidSamata
@FraidSamata 2 месяца назад
Haah😂😂😂ila sania mbeya had anakeraà
@IreneLudani
@IreneLudani 2 месяца назад
Jaman chiko atapita kwenye wakati mgumu sana maana atamkumbuka sana zaatiti yaani atavurugwa so pw kama unakubaliana na mimi like hapa
@salomembise4538
@salomembise4538 2 месяца назад
Wa 52 Jmn wapi like zangu😊....Kazi nzuri Sana busattv
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 2 месяца назад
Namimi wakawaza reo nipeni lak hata 9
@WanjeraMasaba
@WanjeraMasaba 2 месяца назад
Wakwanza leo tunaokubali house girl gonga like❤❤❤
@Hammyvanny1
@Hammyvanny1 2 месяца назад
Nimefrahi sana leo kumuona chiko kwenye mechi ya leo katika uwanja wa Benjiamn mkapa, ongera sana kaka!!.❤❤
@MercySilvester
@MercySilvester 2 месяца назад
Sania punguza mdomo uate mme uolewe kuchunguza za watu ya kwako yanakushinda aaaaaah 😂😂
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 2 месяца назад
Yan ananikera mpaka nasikia aibu 😂
@MercySilvester
@MercySilvester 2 месяца назад
@@MariaSalim-u5z 🤣🤣🤣🤣
@JohorahassanHadi
@JohorahassanHadi 2 месяца назад
Sinema MashaAllah nimeipenda sana ❤I'm from Kenya 🇰🇪
@SleepingEyes-ej3ir
@SleepingEyes-ej3ir 2 месяца назад
Wa mwisho nipeni like wapenzi much love from Canada ❤❤
@santosagost5018
@santosagost5018 2 месяца назад
❤❤❤❤
@AminaMohammed-u7j
@AminaMohammed-u7j 2 месяца назад
Kama unampend Kai likes hapa
@MRS-g2m
@MRS-g2m 2 месяца назад
Ulimuacha zatiti 😂😂😂ila waume mjifunze zaidi Kati ya chiko na shida😅😅😅😅
@biashahassan1232
@biashahassan1232 2 месяца назад
Chiko na dadako kula chuma😂😂😂😂 mdharau biu hubiuka bila shaka unaona muhimu wa mkeo sasa😢
@DialogueplatformPlatform
@DialogueplatformPlatform 2 месяца назад
Naipenda hii movie kuliko kawaida yn acha tuu....
@RechoSanka
@RechoSanka 2 месяца назад
Wanao amini kuwa zuuh ataolewa na Kai gongaa like apo
@agnesiluoga
@agnesiluoga 2 месяца назад
Sania mmbea kaa na uchonganishi jamani umezidi kuzisaka habali
@NasraSaidi-dq7fh
@NasraSaidi-dq7fh 2 месяца назад
Leo mimi wakwanza jamn nipeni like zangu
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 месяца назад
Kaz nzur sana ila dakika kidogo halaf yaani sio poa sjamuona Zuu Kai na mr.Tasha
@ZahidahAli-ys1fg
@ZahidahAli-ys1fg 2 месяца назад
Chiko umepigwa na kitu kizoto sana pole
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 2 месяца назад
Much love from Kenya 🇰🇪
@jedenecosta
@jedenecosta 2 месяца назад
Watuwote wa House girl Nawapenda Sana Mubarikiwe
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y 2 месяца назад
Jaman mwani kai na zuu walienda wap
@Frola-r9z
@Frola-r9z 20 дней назад
Hongereni sana wahusika hakika tunajifunza mengi
@FghgRyy
@FghgRyy 2 месяца назад
Hivi huyu jamaa anaependa kusema kibebebekibe kibebebekibe kibendu nipen namba zake 😂😂😂
@mwanakomboali8374
@mwanakomboali8374 2 месяца назад
😂😂😂wee chiz kweli 9:03
@FghgRyy
@FghgRyy 2 месяца назад
@@mwanakomboali8374 😂😂😂😂 haki tena nitambulishwe tuu
@fatmahraseid7019
@fatmahraseid7019 2 месяца назад
Sania nawe unatapatapa sana mdogo wangu eh hebu badilika kweli upate iyo ndoa
@zena-e2c
@zena-e2c 2 месяца назад
Leo wa kwanza kutoka Pemba kendi kinaenda kumramba
@syliviaSoyita
@syliviaSoyita 2 месяца назад
Sherehe ipo lini maana nisubiri kwa hamu tena saana
@tausimct
@tausimct 2 месяца назад
Kazi nzulii ❤
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 2 месяца назад
Wakwanza nimimi kutokea swideni tunaomba yule kingaga sania afukuswe kwa kai basi like pa twende sawa.❤❤❤❤🎉🎉
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 2 месяца назад
Na tasha amtypilie mbali tunataka jiko mpya🎉🎉🎉
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 2 месяца назад
Naona chiko kaanza kuingwa dawa na ijachemka abari ndo iyo
@SuzzyMatei
@SuzzyMatei 2 месяца назад
BUSATi TV buludat kwa wote au sio jmn
@LeilaAdija
@LeilaAdija 2 месяца назад
Yes ilonataman sana
@EdwinJambo
@EdwinJambo 2 месяца назад
Swideni ndio nchi gani 😂😂😂😂
@harusi6391
@harusi6391 2 месяца назад
Sania anasema anatulia 😅lakini anakatisha mitaaa😅😅😅
@MasauShida
@MasauShida 2 месяца назад
Kazi nzuri sana Mr. Kai🎉🎉
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 2 месяца назад
Mukuki kwangu ruwe kwabi nadamu muchungu wena Dada yako mulimtesa Zatiti reeo hii munaa nzakuji uliza maswali Pole san
@LilacYusuf
@LilacYusuf 2 месяца назад
Hiyo sale pambe na mie nisikos🥰
@MillyMjeni
@MillyMjeni 2 месяца назад
Ila ma wifi kwa kuharibu ndoa za watu,zao zimewashinda mimi mawifi tutapigana tu yaani mbwai mbwai kudadeki😂😂😢
@AshaAlfred
@AshaAlfred 2 месяца назад
Jmn Leo nimewahii naomba like 10 tu
@BINTmohammed-fu9gp
@BINTmohammed-fu9gp 2 месяца назад
sania acha umbea udugu wangu ndio mana aunenepi kaa mimi
@Moruridorine
@Moruridorine 2 месяца назад
Wa kwanza Leo wapi likes zangu wadau
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 2 месяца назад
Mko swa sna nawapenda bure mm
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 месяца назад
😂😂😂sania kivuluge kwer😂
@ShantelSharon
@ShantelSharon 2 месяца назад
Wakwanza leo
@RatifaIssa-oi1zu
@RatifaIssa-oi1zu 2 месяца назад
Mm wa kwanz leta like ❤❤❤
@LaizerChionda-de6ul
@LaizerChionda-de6ul 2 месяца назад
Wa kati Mimi naomba like jamani ila hi move nzuri inanijenga sana
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 2 месяца назад
Uyu Sania amekuwa kipara wa snek boy
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@renathakalamage4931
@renathakalamage4931 2 месяца назад
Nmewahiiiiiiii nimewahi jaman uuuuuuuuuuuwiiiiiii
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo 2 месяца назад
Kipande Cha leo hatujamuona candy Wala zuu Wala Kai Wala zatiti nk lakini muko vizuri
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 2 месяца назад
Natamani tasha akamuoe zatiti
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 месяца назад
Nimefika team strong mko wapi
@MamadembeleLadouce
@MamadembeleLadouce 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from Zambia 🇿🇲
@FghgRyy
@FghgRyy 2 месяца назад
Yaan mnakimbilie kuomba likes badala msikilize na muelewe mxiiuu😏
@SalmaSaid-v3d
@SalmaSaid-v3d 2 месяца назад
Sania wa umbea umbea Yani kiboko chiko alibloku ila alipofinguwa TU umbea umeenda 😂😂😂
@PrisilasimonTango-oi3xs
@PrisilasimonTango-oi3xs 2 месяца назад
Wa 130 naomben like zangu
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v 2 месяца назад
Wakwanza mm nimewah jmn🎉🎉🎉🎉like bas
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 2 месяца назад
Uyo mpemba jamaniii 😂😂(kaka kibebebebe kibe 💔)
@AishaAlly-ob7vd
@AishaAlly-ob7vd 2 месяца назад
Kumewaka moto so mchezo
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад
Cende anajua kuchezewa karata zake vizuri kama Sania upo vizuri na kazi yako nataka na mm hyoo sarehe pambe tu Sania ❤❤❤❤
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@sushmita-p1v
@sushmita-p1v 2 месяца назад
team zuu sare tunayo hatuna 👌🏻🎉😅😅
@CretusIssaya
@CretusIssaya 2 месяца назад
Jamani leo nimekuwa wa kwanza kucoment naomben like
@melanianjau3244
@melanianjau3244 2 месяца назад
Mi wamwisho kutoka manchester daaaaaaah😢😢😢😢😢😢😢😢
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 месяца назад
Nyie mnaubaguzi nimekuwa n nyie season 1 mpka season 2 like hamnipi jmni 😴 house girl imefikia patamu😂❤❤
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj 2 месяца назад
❤❤❤ hakika Allah azidi kuwapa nguvu zaidi
@SaidNhambi
@SaidNhambi 2 месяца назад
Chiko ndani ya yanga day hongera Sana brother 🎉🎉🎉
@dianaqueen7967
@dianaqueen7967 2 месяца назад
Wa kwanza likes za kwangu zikuje
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 2 месяца назад
Kila mtu wa kwanza yeye 😢😢😢
@TedySanga
@TedySanga 2 месяца назад
Wakwanza Leo ole wenu mninyim like sas❤❤❤❤
@LatifaMohammed-p4k
@LatifaMohammed-p4k 2 месяца назад
Yani move ndio kwanza Ina dakika 4 watu washaaza kuomba like Mmetizama sangap
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 2 месяца назад
Wanakera sana
@Asha-xc1nc
@Asha-xc1nc 2 месяца назад
Nimechelewa lkn nimefika❤
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 2 месяца назад
Wakwaza leo 🎉🎉🎉🎉
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 2 месяца назад
Chiko na dada ake kitawaramba maana washajishauwa sana huko nyuma
@RosemiliaMihale
@RosemiliaMihale 2 месяца назад
Asilimía zote zatiti àtàolewa na Mr Tàshà
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 месяца назад
Kabixa
@BenedictJuma-m4m
@BenedictJuma-m4m 2 месяца назад
Wa 1 naomba like please
@JustinMarcus-h7w
@JustinMarcus-h7w 2 месяца назад
Uyo wifi alietaka mtt naomba atulie atutaki alalamike ten😂😂😂
@samsonkonzo7175
@samsonkonzo7175 2 месяца назад
Jamn na mim naomba Like nimekuwa nanyi Toka mwanz Adi tumefikia uku sijapata Like jamn
@barakamshefa6426
@barakamshefa6426 2 месяца назад
Team Kai leo nmechelewa lkn nmefika tugonge like please ❤❤
@SuzanAudax
@SuzanAudax 2 месяца назад
Hii move ni ya 🔥🔥
@NeemaFrank-d7m
@NeemaFrank-d7m 2 месяца назад
Jamani tumeni nyingine kabla hatujapoa
@esterester3628
@esterester3628 2 месяца назад
Hongereni Kwa Kazi nzuri ❤❤❤mm bado nasubiria mchezo WA Candy nione utamfikisha wapi 😂😂😂😂😂
@IsmailyHamisi-s8c
@IsmailyHamisi-s8c 2 месяца назад
Nani kamuon chiko kwa mkapa kam mim like zang please
@ZenaAfreka
@ZenaAfreka 2 месяца назад
jamani mpemba anamambo na vidimpo vyake😅😅
@JonathanBati
@JonathanBati 2 месяца назад
Sania anatapatpa kama mufa maji kisa kutaka kuolewa
@AngelThomass-ht8vv
@AngelThomass-ht8vv 2 месяца назад
Zatiti wangu kipenz 🥳polee wif yamemkutaa 😂🙌
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 месяца назад
Shughuli tunayooooo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@niyorHamiss-yv4rm
@niyorHamiss-yv4rm 2 месяца назад
kabisa❤❤❤❤❤
@BertinaCatitiAdamu
@BertinaCatitiAdamu 2 месяца назад
Wakwanza Léo naombeni like 😢
Далее
HOUSE GIRL EP 08  | SEASON 2 |  love story💞💕
20:04
Просмотров 139 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [57]
20:43
Просмотров 60 тыс.
Ребенок по калькуляции 😂
00:32
Просмотров 110 тыс.
HOUSE GIRL EP 38  | S3 | LOVE STORY 💞💕
23:20
Просмотров 56 тыс.
WRONG HOUSE EP |14|
1:05
Просмотров 210 тыс.
HOUSE GIRL EP 03  | SEASON 2 |  love story💞💕
23:57
Просмотров 151 тыс.
PLAN B _ Episode 1
40:01
Просмотров 407 тыс.
UMEBAKWA? MKOJANI/ NAGWA /KILANGASO
18:21
Просмотров 909 тыс.
HOUSE GIRL EP 15  | SEASON 2 |  love story💞💕
19:48
Просмотров 139 тыс.
MY MOTHER EP 01  | Love Story 💞💕
21:05
Просмотров 109 тыс.