Usisahau kueka net,usisahau kusali aweeee na huku kamshika mkono hakuna kufanya kazi ngumu yalaaaà zuu umeheshimisha wafanyakazi wa ndani wote likes Kwa zuu na apewe taji lake team strong hoyeeeeee💃💃💃💃
Yani tangu nianze kutizama hii movie leo ndio na coment, Kai leo umenifurahisha sana yani nacheka kama chizi 😂😂 team shaghala hebu njoo nna kikao na nyinyi mwenzetu yuapata jiko❤❤
Hili ji movie sasa linaza kuwa 🔥🔥🔥 ay sasa wap wifi zake zuu tujuwane bas kutoka 🇴🇲 Moja hyoo chezea busat tv n kazi yake pambe tu zuu wifi yetu hyoo mm nitatuma nguo y harus wallah au pesa ya nguo y harusi riali mia saw zuu my wif❤❤❤
Ii ya leo imenikumbusha siku niliomuelezea boss wangu kuhusu hela yangu na kunitolea kinyesi wallah sitosahau.kwa kweli wasichan wa kaz za ndan tunapitia mengi.ila mungu atusaidie
Weuweeee Kelele Ya kwanza Kwa Kai wake Na zuuh Yaani Nimefurahi Hapa Allah Ajalie Umuoe zuuh Jaman Alie Kua Kalibu Na Duka Hapo Anywe soda kwa Mangi Nakuja Kulipa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Kai acha kujizunguusha mwambie zuu chenye umemwitia mwenye anamkubali zuu tupatane hapo 👇👇 kwa like plz 🙏🏼 bila kusahau team strong wale wanashuka 2025 January tujuane kwa comment 😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤ naza kutuma makopakopa kabla sijau Kai anataka kumwamby wifi yangu zuu wallah kipindi hiki busat ebu kirudiye Kwa garam zote mm nitakilipia kipande hili mm saw busat tv wp maeno Kai jiachiye ww kwa zuu mawif tu njiani tunakuja kutoka Oman🇴🇲 tushamaliza mikataba yetu ss tunakuja mawif kama wote