ILA SASA HUYU MWANAMKE AMEZIDISHA UHUSIKA BN NA KAI HATA KAMA NI MOVIE ILA JARIBU KUA KWENYE UHALISIA KDG KUNA MUDA UNAIGIZA MPK KWENYE MOVIE YANI KUNA MUDA PMJ NA YOTE HAYO YANAFANYIKA KWENY MIJI ILA SIO KWA HATUA HIYO NAONA UNAZIDISHA SANA SUKARI JAPO MOVIE NZURI NA KALI SANA
Ila candy fyatu kweli 😂 mwanamke wa hovyo mno aty haongeagi Bure 🤣 🤣 mwanamke kichomi huyu Zuu leo hujalia umenifurahisha au kwasababu umejua unapendwa na baba mwenye nyumba 😂 haha kai kai kai nimekuita mara tatu😂
A navyenye nmepanga kama kawaida ya hii movie alafu haijafikia hizo mins walai mshanisomaga eeee ndio mana huwa c like wala kucoment haraka sababu ni hii nyie nawatukana sasa.i LOVE you guyz big up 😂❤