Pole sana mke wa ciku zuu maamuzi mazuri lakini hati zimeondoka na Candy zuu yuko sahihi kabisa nawapenda zuu na kay mufunge ndowa❤bibi aace mufunge ndoa
😢😢😢😢pole sana my dear 😘 Zatiti kwa nachungu juu ya machungu ushauri wangu kwako dear endelea kusimama kwenye ndoa yako zidisha subra uta yaona matunda yake love 💕 you 😘 my dear 😘 za titi Dua 🤲🏼 zangu kwako dear
Mawifi hata harufu ya pepo itakuwa mbali na nyie 😢😢msikilize mwenzio mfarji hata kidg daah hongeren sana kwa move nzur ina mafunzo mazur❤❤❤🎉🎉tunajifunz ving