Тёмный

HOUSE GIRL EP 50 | S2 | love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 129 тыс.
Просмотров 112 тыс.
50% 1

#bongomovie #housegirl

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 686   
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh 9 дней назад
Wanaomchukuaaaa candy na tabia zakeee mbovuu weka like hap😂😂😂😂🎉🎉🎉
@SalumShangazi
@SalumShangazi 9 дней назад
Mimi. Namuchukia. Kendi. Na. Sania
@sophiashomary8542
@sophiashomary8542 9 дней назад
mm ananchekesha tu akiongea😂😂 ila cmpend yule boss mwanamke atakuwa kwel anatamaa na wanaume za watu
@MustyNgongo
@MustyNgongo 9 дней назад
Ata mm boss mwanamke wameishiwa
@HaleemaMohamedMwapesa
@HaleemaMohamedMwapesa 9 дней назад
Nadakikaa tanokabadilika sekundemcharuko
@CharlesZagabe
@CharlesZagabe 5 дней назад
Nipo namba moja ❤❤❤
@AishaAbdoullah
@AishaAbdoullah 9 дней назад
Wanaotaka candy azidi kuhangayika pamoja na sania wagonge like hapa
@user-xx6eq1cl5f
@user-xx6eq1cl5f 9 дней назад
Kazi nzuri San
@AishaAbdoullah
@AishaAbdoullah 9 дней назад
Wanaotaka Tasha na zatiti waweke mambo sawa waishi pamoja wagonge like hapo
@MwajabuAbdallah-q2v
@MwajabuAbdallah-q2v 9 дней назад
Jaman tunao amin zatiti atamuelewa Mr tasha na sañia na figisu za chiko watashindwa gonga like🎉😊
@SalumMathias-bt2us
@SalumMathias-bt2us 9 дней назад
Jamn tunaomkubali Tasha na mama akee gonga like hapa
@DamarisMoraa-p5i
@DamarisMoraa-p5i 9 дней назад
Nazidi kuombea ndoa ya kipenzi zatiti na Tasha msituangushe Kwa hilo🎉
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 9 дней назад
Yaani me naumia sana jamani zatiti kila leo kulia tu pole sana
@NeemarifiniNaidye
@NeemarifiniNaidye 9 дней назад
Wa kwanza leo jaman😂😂tunao amin kua candy atahangaika sana kusahihisha makosa yake❤❤ like apa 😂 na pia tunaotaman tasha azid kukaza kwa sania na kumpenda zatiti bila kujal❤❤❤
@BrianOwinyi
@BrianOwinyi 9 дней назад
Heey,,Neeema😮..vipi mrembo 😮
@NeemarifiniNaidye
@NeemarifiniNaidye 9 дней назад
@@BrianOwinyi pw za ww
@BrianOwinyi
@BrianOwinyi 9 дней назад
​@@NeemarifiniNaidyezangu salamu,,naomba handle yako tuongee😂
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 9 дней назад
Kabisa
@TedyTibalilira
@TedyTibalilira 9 дней назад
Furaha ikizid sana ni shida hyo Kai atamletea shida mwenzie
@Hapygideon
@Hapygideon 9 дней назад
Wa kwanza like zenu kwa tasha na zatiti,,kai kai kai utuheshimu sana,,candy na sania mtangetange jua lenu mvua yenu pumbavu zenu😅😅😅😅😅😅
@MaryEliza-m2h
@MaryEliza-m2h 9 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 9 дней назад
😂😂😂😂🎉🎉
@MshefaMshefa
@MshefaMshefa 9 дней назад
Kabsaa😂😂
@LuvunoNyale
@LuvunoNyale 9 дней назад
Umewakomesha tena anglia kama jua kidogo niongeze waungue kabisaaa😂😂😂😂😂
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 9 дней назад
AK nimanongwee😂😂
@getrudakimario885
@getrudakimario885 9 дней назад
Kendy kendy weewee😂nawe sura yako utaiweka wapi acha wivu kidogo basi 😅😅
@buru1235
@buru1235 9 дней назад
Waah team hammmmu 27min Na 135 Mashallah team free WiFi mkoje
@RakaPk
@RakaPk 9 дней назад
Tuko poa kipenzi ❤🎉💃💃
@MercySilvester
@MercySilvester 9 дней назад
Nami nimewahi Leo kutoka Kenya bonyezeni vidole apo😂😂🎉🎉
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 9 дней назад
Kla sku nyny kwasababu nyie hamjatulia, mnapata wanaume wanao wapenda lkn mlvyo wajnga sasa, et mama candy kanifurahsha et kmb mnalilia mapnz daaah
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 9 дней назад
Kila mtu anadai yeye ni wa kwanza aya mm wa mwisho nipe like hata 5
@LuciaBukula
@LuciaBukula 9 дней назад
Wakwanza jaman kwa wanaofrahia zuu kumzaralia Kai mtoto na Candy kufukuzwa kwa Kai tujuane kwa like
@awadhfarha6991
@awadhfarha6991 9 дней назад
Ila hii movie mda wote naisburi 😍😍
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 9 дней назад
Zatiti kwahapa kawa bora sana sana yani yuko siriazi sana hii ndio yenyewe
@LuleDotto-p9v
@LuleDotto-p9v 9 дней назад
Hapo tayar ma candy kashashirik kilio Cha mapenz kwa kuzania kaka ake kafa 😅😅😅
@farhiyaog
@farhiyaog 9 дней назад
tusio lala tunasubilia house girl kutoka gonga like hapa
@kennethyfrancis3070
@kennethyfrancis3070 9 дней назад
Aseeee mbona kedi una mambo ya ajabu ww
@SalumShangazi
@SalumShangazi 9 дней назад
Ke ndi. Na. Sania. Niwajing😅😅😅❤
@AsiaMuhammadi
@AsiaMuhammadi 9 дней назад
watu wa kutanga tanga sana
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 9 дней назад
Nyie poa tu hatuamshani 😂😂😂haouse girl ikitoka sawaaaaa😂
@user-iv6yx5ot6f
@user-iv6yx5ot6f 9 дней назад
Wewe acha uongo eti hatulali we
@Phoebenafula
@Phoebenafula 9 дней назад
Zuuu and Kai congratulation🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@GladysMoraa-fj5nm
@GladysMoraa-fj5nm 9 дней назад
Candy kishakurambaa mamaa vumilia
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 9 дней назад
Tunaojiuliza kiramba na mkewe mtoto wao yupo wapi like hapa
@happyfania4729
@happyfania4729 9 дней назад
Lamda jogoo apandi mtungi hahaha
@happyfania4729
@happyfania4729 9 дней назад
Lamda jogoo apandi mtungi hahaha
@JuliethUmazi
@JuliethUmazi 9 дней назад
Hv nyinyi mnalilia mpenzi mm nadhani nalilia kakangu wapi like kwa mamk candy🥰
@levinaernest4364
@levinaernest4364 9 дней назад
Apo mama candy ameupiga mwingi mnooo😀
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 9 дней назад
Mamahake candy mwanichezeshea drama 😋 😍 🤣 pk na cheka
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 9 дней назад
Mungu akupe maisha marefu wewe na kizazi chako inshaallah🙏🏾🙏🏾
@FghgRyy
@FghgRyy 9 дней назад
Aamiyn
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 9 дней назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AcramAcram-br6zj
@AcramAcram-br6zj 4 дня назад
Thumaa Amin yarabi 🙏
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 4 дня назад
Amin insha allah🙏🏾
@FarajaFighter
@FarajaFighter 9 дней назад
Leo nimekuwa wa kwanz jmnii pend San busati jmn
@AngelSadiq-ls7tm
@AngelSadiq-ls7tm 9 дней назад
Candy unaweza xan kuigiza hongera saana 🎉❤
@LenaLeee-mx6so
@LenaLeee-mx6so 9 дней назад
😂😂 wanalilia mapenzi na huyu anafikiri kakake makubwa
@ivansheila6033
@ivansheila6033 9 дней назад
Kwn tashi akumbuki kama kai alimbakaga zuu kabla awajafunga ndoa
@JumaMwinyipembe
@JumaMwinyipembe 9 дней назад
Nashangaa akili zake zote izo
@CatherineChege-w5x
@CatherineChege-w5x 9 дней назад
Weee hamulali huku hata niombe like sionekani mnao toka Kenya 🇰🇪 hamujambo
@AggyMsoo
@AggyMsoo 9 дней назад
Tunaingoja sana mwenzangu 🇰🇪
@Phoebenafula
@Phoebenafula 9 дней назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HabibaAbdallah-ui9ew
@HabibaAbdallah-ui9ew 9 дней назад
Nimecheka sana mama kulia bila kujua chanzo sijawah comment nimejikuta nime comment 😂😂😂😂
@hidayazuu
@hidayazuu 9 дней назад
😅😅😅
@HabibaAbdallah-ui9ew
@HabibaAbdallah-ui9ew 9 дней назад
@@hidayazuu hatarii sana nimecheka mpka nimeamsha mtu😂😂🙌
@hidayazuu
@hidayazuu 9 дней назад
@@HabibaAbdallah-ui9ew hata mimi nilicheka 🤣
@SarahCharls
@SarahCharls 9 дней назад
😂😂😂😂😂😂nimecheka had chozi kudondoka maana mama candy hajawai kuona hao wapuuz wakilia😂😂😂😂😂
@NasraShaibu
@NasraShaibu 9 дней назад
Nimechekaa had nimebred😂
@mouna6920
@mouna6920 9 дней назад
Ivi uyu candy hajui kma kuna mtabiri😅😅😅shida tulia mamaa enda kwa madevu wako chiko tuachieni zuu wetu🎉❤
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 9 дней назад
Huyu mamake kandy nae niwaajabu yuwalia hata hajui watu walia nini ,limemshuka 😂😂😂😂😂
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 9 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mouna6920
@mouna6920 9 дней назад
😅😅😅😅😅
@NeemaShabanu
@NeemaShabanu 9 дней назад
😅😅😅😅
@JeanneBizimana-mc5ff
@JeanneBizimana-mc5ff 9 дней назад
😂😂😂😂
@JescarMunga-jp9dl
@JescarMunga-jp9dl 9 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwajeirajabu9154
@mwajeirajabu9154 9 дней назад
Kwann mr tasha anampa nafas ya kumsikiliza candy sijapenda
@ViannaFransisco
@ViannaFransisco 9 дней назад
Jamanii mbona viliogonganoo wengine Wana Lilia mapenzii wengine kaka vipii apoo imecha mpaka so poaaa yaniii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Haniphaziaka
@Haniphaziaka 4 дня назад
😂😂😂😂
@GetrudaNyalusy
@GetrudaNyalusy 9 дней назад
Jaman msiba wa candy, Sania na mama yao umenifurahisha san 😂😂😂😂
@DivinaSuwa
@DivinaSuwa 9 дней назад
😂😂😂😂
@riziki6863
@riziki6863 9 дней назад
😂😂😂😂😂
@user-ot1ym4fy5o
@user-ot1ym4fy5o 9 дней назад
Ckai ndoalie mtoa ubikira , kendy nimnafiki kweli
@user-tj9gk6rr8w
@user-tj9gk6rr8w 9 дней назад
😂😂😂😂😂Shemeji wa mitandao tupo imara
@CeciliaCeciliamuparose-zt6tx
@CeciliaCeciliamuparose-zt6tx 9 дней назад
Mama candy umenifurahisha jamani😂😂😂😂😂
@DivinaSuwa
@DivinaSuwa 9 дней назад
😂😂😂😂
@buru1235
@buru1235 9 дней назад
Waah chiko kaingia Kwa Zatiti au n Nani Alf ww babu ujuhi chchte qchia Bibi kazi yke please 🙏
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 9 дней назад
Hahhhh mbavu zangu umimi eti Chiko kaingia kwa Zatiti nime Cheka mpaka mbavu zaniuma
@hidayazuu
@hidayazuu 9 дней назад
Mambo yanazidi kupendeza😊
@MerrySamuel-wq9vu
@MerrySamuel-wq9vu 9 дней назад
Kendi na Samia mumeshalaniwa waachen wenzenu wale maisha nandowazao😁😁😛
@boyflany2836
@boyflany2836 9 дней назад
Booooom💥 team zatt tumuombee fair Tasha kwa kipenz chetu zatt kwa zile picha za wachochez
@user-cc1ru5xe1t
@user-cc1ru5xe1t 9 дней назад
Wa kwanza leo jamani ndo mnipe like na mcoment uhusika wa waigizaji wetu
@leilayathumani2295
@leilayathumani2295 9 дней назад
Baibui na mwendo wake sasa
@JoyceWillison-f2x
@JoyceWillison-f2x 9 дней назад
Kazi nzuri
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 9 дней назад
Huku Kwa kina candy Yani nivituko kwenda mbele vilio 😂😅😂😅😂😢😢😢
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 9 дней назад
Umeona ee😂😂
@AzizaAli-nh9zm
@AzizaAli-nh9zm 9 дней назад
Nawasalimu sana
@brendanawanga
@brendanawanga 9 дней назад
Zatiti dadangu kuwa mpole huyu ni chiko ananpango wa kuharibu usiano wenu Sania na chiko ndio mwenye huo mpango bt Tasha anakuoenda mno❤❤
@MagiMagi-zk3es
@MagiMagi-zk3es 9 дней назад
Haki Leo tupitiane kila mumoja jamani ❤❤❤
@NulhatihusseinMaarifa
@NulhatihusseinMaarifa 9 дней назад
Baibui la kend mama anajua kuna msiba 😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 9 дней назад
Hahaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 jmn
@MalkaNinik
@MalkaNinik 9 дней назад
😅😅😅😅😅waniumiza mbavu
@NulhatihusseinMaarifa
@NulhatihusseinMaarifa 9 дней назад
Nishapata like sijuh nifanyie nn
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 9 дней назад
Mama ke Candy ameni chekesha baraa
@RashidMgeni
@RashidMgeni 9 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@user-vf7fh6mb1p
@user-vf7fh6mb1p 9 дней назад
Jmn huy candy atakuwa mchawi
@NellyKombe
@NellyKombe 9 дней назад
Hongereni sana ila mr tasha achakuambiwa vitu na kushika mara nyengine itakucost mbona unashika maneno ya candy na unajua candy hampendi zuuu halafu candy ucpochunga utakua mchawi
@FatmaKambanga
@FatmaKambanga 9 дней назад
Aiseee Umu Ndan Amlal kwakwel 😢😢duh Mala Hii Mmejaa tele
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 9 дней назад
Tunaoona nyumba itachukuliwa na papaa na kina candy watatapeliwa tujuane 😂😂😂🤣
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr 9 дней назад
Candy akitaka kuambiwa ni mwema tayari kageuka Kwa kifupi hatabiriki pumbavu zake na saniah wake
@OliverPhidel
@OliverPhidel 9 дней назад
😂😂😂😂 umeona
@carolinesidi-od4ni
@carolinesidi-od4ni 9 дней назад
Yaan Cady Na Sania mwapotezan Na ushauri wenu
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 9 дней назад
Kendy unawivu 😂😂😂 wacha kai aitwe daddy...mr tasha usife moyo pigana utwae zatiti...❤0❤❤❤❤
@JemimaMhondo
@JemimaMhondo 9 дней назад
Hahahahaha kendy na sania mnachekesha sana hahahaha nabado hamjalia
@user-oj5ro4fk2e
@user-oj5ro4fk2e 9 дней назад
Nawapenda bure kwa kweli hamuangushi viongozi Nawapenda 2 sana aky ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y 9 дней назад
Kai na zuu congratulations👏👏
@Gladys-254
@Gladys-254 9 дней назад
Mr Tasha acha kuambiwa kitu na kuamini alafu ujue mwenye amekwambia niadui yake zuu
@UmmyChilumba
@UmmyChilumba 9 дней назад
Anaanza kuboa janaume zima likiambiwa kitu linakibeba
@AgnesJosephBikwato
@AgnesJosephBikwato 9 дней назад
Siyo kwauongo huo uwiiiiiiiiii kendy kendy umezidi puuu
@edsonmakweta6347
@edsonmakweta6347 9 дней назад
Jamani Nimechoka kusubiria ndoa ya mr tasha na zatiti naombeni kiti 😂😂😂
@FloridaAndrew330
@FloridaAndrew330 9 дней назад
🤣🤣😂
@edsonmakweta6347
@edsonmakweta6347 9 дней назад
@@FloridaAndrew330 kweli tena 😁
@user-ug4gh2fi1s
@user-ug4gh2fi1s 9 дней назад
Namchukia Sana kend aache t upmbavu anahalibu move
@saviorjamari6733
@saviorjamari6733 9 дней назад
Leo nimekuwa wakwaza naoba like zagu natokeya🇿🇲
@zulekha-jv9rn
@zulekha-jv9rn 9 дней назад
Candy nakupenda sn unajua sn ddng nakupenda bure,yaniunanifurahisha unavyo ongea🎉🎉❤😂
@ElizabethMkarye
@ElizabethMkarye 9 дней назад
Kumbe candy na Sania wanaezalia iv kwa mapenzi
@Teta-f7i
@Teta-f7i 9 дней назад
Naomba like zenu jmn duuuuhh candy
@JeanBoscoMATABASHI-ts5xr
@JeanBoscoMATABASHI-ts5xr 9 дней назад
Asante sana kwa kutupatia episode 2 Leo vizuri kbs
@AlylenShitamu-tc2ng
@AlylenShitamu-tc2ng 9 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣candy na sania naona kinawaramba sasa,lakini please pahali tumefika sania awachane na ugaga juu sisi tumechoka na mambo ya ugaga,alfu zatiti awache kulialia kama mtoto
@RachelNgalya
@RachelNgalya 9 дней назад
Candy na Sania bado hamjalia bado bado😂😂😂😂😂
@michaelmumbokalu5930
@michaelmumbokalu5930 8 дней назад
Mama kendy amenichekesha mpaka nimetokwa na machozi😂😂
@FetrissJanni-lb5il
@FetrissJanni-lb5il 9 дней назад
😅😂😂😂😂😂😂 nyie mama candy ana aliaje shida ilipo aza 😂😂😂😂
@SarahRichard-iv2dl
@SarahRichard-iv2dl 9 дней назад
Jaman sania ni mnafiki sijapata kuona 😂😂😂😂
@kamaladieu-merci2489
@kamaladieu-merci2489 9 дней назад
mimi na chukuru kwa ujasiri wa kikundi busati tv
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 дней назад
Ila kai,japo furaha ndio utangaze ivo! Si makosa yako ulikua umezoea mibanio ya candy😊
@user-mx4bx2dt7x
@user-mx4bx2dt7x 9 дней назад
Huyu mama candy dishi limeyumba cyo bure
@WardaSuleimn
@WardaSuleimn 9 дней назад
Waoo jmn nimewai leo🎉🎉🎉🎉
@DanielDominick-qs6sk
@DanielDominick-qs6sk 9 дней назад
Wa pili
@officialmamutz26
@officialmamutz26 9 дней назад
Candy unahaha tu masiki wa mungu
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr 9 дней назад
Candy na saniah watasumbua ata kuzimu🤣🤣
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 9 дней назад
Ibrisi itawapokea kwa furaha😂😂😂😂
@ruthyohanesy3739
@ruthyohanesy3739 9 дней назад
Kwa kweli afu watakua Kuni zetu hawa😅😅😅😅
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 9 дней назад
@@ruthyohanesy3739 wallah
@SaadaHaroun
@SaadaHaroun 9 дней назад
Wakt tunajua kabsa kai ndo kafungua mlango candy acha kikurambee tu😂😂😂 utazusha mpk ukome
@JanethKamala
@JanethKamala 9 дней назад
Jaman hiyo pua ya candy kama pilipili mbuzi
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 дней назад
Ncheke mie😂😂😂
@SydraSoso-r8j
@SydraSoso-r8j 9 дней назад
😂😂 mmh
@MariamHamadi-z5l
@MariamHamadi-z5l 9 дней назад
Duuh pilipili mbuzi 😂😂😂😂nimepaliwa na chai🙌🙌
@JemimaMhondo
@JemimaMhondo 9 дней назад
Kendy lako hilo na shoga ako sania mnalo hilo
@radotyga
@radotyga 9 дней назад
Mnajua sana pongezi kwenu
@yusterkapinga7102
@yusterkapinga7102 9 дней назад
Ubaya hauna kwao ndo kwanza asubuh candy na sania kila siku itakua bora ya jana
@user-fe1vh2kb3j
@user-fe1vh2kb3j 9 дней назад
Kwa mara ya kwanza nimewahi nipewe like yangu😊😊
@GhUy-u7s
@GhUy-u7s 9 дней назад
Yani leo nimejikuta nacheka peke yangu 😂
@jiimahaba7274
@jiimahaba7274 9 дней назад
yaan zatiti n mzur lkn some wallah anaboa
@nurusaid4698
@nurusaid4698 9 дней назад
Naiishe Ssa Hii Move Maana Ishaanza Kunisiya Kma Imekosa Muelekeo Ata Celewi
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 9 дней назад
Huu mchezo hafadhali uishe maana ndipo hauna ladha yoyote iliobaki wasinya na izi fitina kilamtu yuwafitini mwengine
@SolangeBorndy
@SolangeBorndy 9 дней назад
Sania na kendy kimearamba
@nurusaid4698
@nurusaid4698 9 дней назад
Uyu Tasha Pia Nae Kashaanza Kunikera Yani Maneno Ya Kendi Ya Memuingia Akilini Kabisa Mpka Akili Imevurigika
@DamarisDammie
@DamarisDammie 9 дней назад
Kama hujalala unaenjoy house girl mikono juu 🖐🖐🖐🖐
@AnnJerop-k4w
@AnnJerop-k4w 9 дней назад
✋✋
@DokasiaLugenza
@DokasiaLugenza 9 дней назад
Hi😢😢
@DokasiaLugenza
@DokasiaLugenza 9 дней назад
Zuu jmn😮😮
@ZainabuHamis-i7l
@ZainabuHamis-i7l 6 дней назад
🖐🖐🖐
@MercyJepkogei-gb8qw
@MercyJepkogei-gb8qw 9 дней назад
Mama candy naye alaaah 🤣🤣 una mambo kweli
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 9 дней назад
Nicheke mie 😂😂😂😂😂kwa huo mwendo wa Candy n buibui lake hilo,,,mbn mnajitoa fahamu kwa aliosem Candy mimba siya Kai mimba ilipenya kabla ya ndoa ausio,,Kai alichinja kuku kwa mdomo wke mubichii
@ShazzLizz
@ShazzLizz 9 дней назад
Mimi ni number mia moja munipe likes jamani kutoka kenya
@ammypanda525
@ammypanda525 9 дней назад
Candy na hilo lezake ovaaa matailaaa😂😂😂
@kennethyfrancis3070
@kennethyfrancis3070 9 дней назад
Aseee nimeipenda hiyo mr tasha
@Hapygideon
@Hapygideon 9 дней назад
Candy candy candy🤫🤫🤫🤫utukome kabisaaaaaaaaaaaaaaa😏😏😏😏
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 9 дней назад
Uyo hana hakiri😂😂
@Hapygideon
@Hapygideon 9 дней назад
@@DivineIngabire-lj3sr kabisaaaaaa anajilizaliza kinafiki🤣🤣🤣
Далее
HOUSE GIRL EP 51 || love story💞💕
20:37
Просмотров 168 тыс.
HOUSE GIRL EP 51 | S2 | Love Story 💕💞
19:42
Просмотров 109 тыс.
HOUSE GIRL SEASON 3 INTERVIEW
14:38
Просмотров 6 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [39]
27:06
Просмотров 28 тыс.
HOUSE GIRL EP 61 | SEASON FINALE | Love Story 💕💞
22:02
HOUSE GIRL EP 52 | S2 | Love Story 💕💞
23:55
Просмотров 114 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /37/ #love
40:20
Просмотров 224 тыс.
HOUSE GIRL EP 53 | S2 | Love Story 💕💞
20:56
Просмотров 110 тыс.
HOUSE GIRL EP 49 | S2 | love story💞💕
21:53
Просмотров 114 тыс.
MY MOTHER EP 01  | Love Story 💞💕
21:05
Просмотров 89 тыс.