Тёмный

HUKMU YA KUMLIPIA SHIA KUSOMEA USHIA 

Izudin Alwy Ahmed
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@mohamedabubakar6840
@mohamedabubakar6840 4 года назад
Sheikhana alfadhil nakuombea Mungu jambo la kwanza Allah akupe afya na awafanye watu wengi kama wewe duniani na msimamo wako uwe hivyo hivyo. Shujaa ibn Shujaa. Mashaallah Tabarakallah. Da'wa hii against maadui wa Allah endelea hivyo hivyo bila kuogopa chochote. Tuko na wewe kwa Roho na Mali. ikiwa wao majahili wapoteza pesa zao kupotoa waislamu, na sisi tuko tayari kutumila pesa zetu kwa Da'wa ya haki. Akhuka fillah. Mohamed Abubakar
@ashasalim4243
@ashasalim4243 4 года назад
Shukran ustadh umenielewesha vizuri sana maana mm niko bahrain na hapa ninapofanya kazi ni mashia na ndo mwanzo kukaa na hawa watu mambo yao sampuli wallahi hata swala zao na saa ingine ni kama wanikashifu namna ss sunni tulivyo ila siwajibu mm nimesimama na dini yangu ya Sunni.
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Kwa kuwa Shia wafanya baadhi ya mambo kinyume na ulivyofunzwa haina maana wafanyavyo wao ni makosa. Wewe shikilia madhihabi yako madamu waona ndio haki, lakini usiwakashifu Shia wote kwa kutofautiana na wewe. Kukashifiana kimadhihabi, kama wafanyavyo hao usemao na huyu Shekhe, si sawa. Kila mtu afuate hujja zimkinaishazo na ambazo kesho atajitetea mbele ya Mwenyezi Mungu. Wenye kumfuata Imam Hussain a.s upande wao na wenye kumuunga Yazid, muuaji wa Imam Hussein a.s mjukuu wa Mtume s.a.w.w upande wao.
@sajjadally9248
@sajjadally9248 4 года назад
kumbe usuni nao ni dini??
@islamicreminder7451
@islamicreminder7451 2 года назад
sunni ni dini
@islamicreminder7451
@islamicreminder7451 2 года назад
إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُمْ بِمَا كَانُوا يَفْعَلُونَ Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda. Quran 6:159
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Wallahi USHIA ni UADUI MKUBWA wa UISLAMU. Hawa viumbe moja ya IBADA YAO KUU Ni KUSEMA URONGO. Yaani SHIA kudanganya watu Ili USHIA upendwe ni IBADA km SWAUMU au SADAQA. HASBIALLAHU waneema-l wakeel. Hii si laana hii?
@abujaffar2153
@abujaffar2153 3 года назад
Huyu amejibiwa na sheikh Ayub rashid tafuteni Malibu no1namba2 namba3 tafuteni mujue ukweli
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 6 месяцев назад
Ili nini yan
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Allah atulinde na Mashia Yaa Rabbi l aalamin. Hawa viumbe ni wabaya kuliko makafiri. Wakiwatoa watu ktk UISLAMU na kuwaingiza ktk UKAFIRI WAO
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Ikiwa Shekhe wenu ni hivi, si ajabu nyinyi mukawa hivyo, muko tayari kufufuliwa na Yazid (la'anatullah alayhim)
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@a.a.nassir8832. Mimi nawafahamu uzuri sana mashia. Wewe km ni Shia wa kweli basi Uko Radhi binti yako aziniwe kwa malipo. SHIA mnaita MUTAA. hata mama zenu km ni Shia basi MUTAA ni sawa kwao. Kuna Laana zaidi ya hio? kisha hata Quraan hamjui kusoma. Wallahi Dini yenu ya ajabu sana. Usul l kafi inahalalisha mpk kumuingilia mkeo nyuma. Hata wayahudi hawafanyi hivyo. HASBIALLAHU waneema-l wakeel
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@akahtaan7288 Wewe waregelea uongo ulofunzwa na hao Mashekhe wenu. Huna moja ujualo.
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@akahtaan7288 Usemayo yote yameshajibiwa katika vitabu na kanda mbali mbali. Lakini watu kama wewe hamusomi, hamusikizi wala hamuoni. Huzidi hasira mukiona watu, waume kwa wake, wazee kwa vijana, wanavyoingia katika madhihabi hii ya haki mwaka baada ya mwaka.
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@a.a.nassir8832 innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun.
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Twawalilia wote hao ambao wasema hatuwalilii kila mwaka. Yaonyesha ujinga wako. Google uone siku za shahada za Ahlul Bait a.s. tunazoadhimisha.
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Wamlilia nani we kiunbe usie na elmu. Maskini senti mbili zakutoa ktk UISLAMU. Subhanallah. Kama ni njaa njoo kwa waislamu tukuchangie. Atana na kufru kijana. Mito wa Allah sio mtezo
@shabanhamis3380
@shabanhamis3380 4 месяца назад
Mh.nilizani elmu unayo kumbe 0..lakini umma uo wa kudanganywa sikuiz aupo..watu wanajua ukweli wewe..acha polojo leta dalili
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 3 дня назад
Nimecheka. Syd Husein Alikatazwa Usiende usiende lkn Hakusikia!! Kwa vile amejitakia sio. Lakini Umekubali Waliomuua ni Pote potevu. Syd Hasan Imam Ali Hata kifo Cha MTUME, MASHIA WAMEWEKA SIKU ZA HUZUNI.
@As-SalmeeniSekaasoor
@As-SalmeeniSekaasoor 3 месяца назад
Ahsanta Sheikh! Umesema maneno ya haki sana.
@amarali9737
@amarali9737 4 года назад
Darsa mzur mashalah
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Sasa nenda kwa Sheikh wa Kishia ukasikize na upande wao jawabu yao ndio ujihukumie. La, sivyo ukisikiza upande wa mahasimu wa Ushia hutoupata ukweli.
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 4 месяца назад
​@@a.a.nassir8832 Malipo??
@mwashumunassor318
@mwashumunassor318 4 года назад
kweli ushia si dini tena si dini khaswa wanakukashifu bore hilo latambulika kwanini watumia pesa wanadanganya watu kesho akhera watajibu,mwenyenzi mungu awalani
@abujaffar2153
@abujaffar2153 3 года назад
Waislam wacheni ushabiki ktk dini nawasihi tafuteni ukweli somani pande zote muone ukweli uko wapi
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh shukran
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 года назад
Zayyat hujambo?
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
@@wahidkombokhamis4330 sijambo khofu kwako
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Ikiwa atautumia umri huo kufundisha ukweli sio kuwafitini Waislamu kama afanyavyo katika kanda hili. Kama msomi na Shia (nilizaliwa Sunni), nakuhakikishia haya ayasemayo anapotosha ukweli au anawapaka matope Mashia wote kwa makosa ya wajinga wachache. Na hilo anafanya kusudi kwa sababu za kiinadi. Mwenyezi Mungu Amuongoze.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
@@a.a.nassir8832 Sasa kama ww unalalama nn humu umeitwa? Tuachie wenye tumuamini atufundishalo Sawa acha barabara kahukoooooooooo ufundishwako ukaelewa
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@zayyatiyussuf9566 RU-vid ni mtandaowazi. Ukituma chochote hapo ni kwa kila mtu. Haitagui madhhab. Mkitaka musiingilie fanyeni faraghani mwenu.
@abujaffar2153
@abujaffar2153 3 года назад
Poleni msioujua ushia mwaona huyu bw, azungumza pont ee lkn kwa wenye kujua wamuona kichekesho sana
@HarounJuma-lt4ce
@HarounJuma-lt4ce 10 месяцев назад
Which fact
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 4 месяца назад
​@HarounJuma-lt4ce Face slapper.... What is it that you want to know extra?
@abdulghanyomar4326
@abdulghanyomar4326 4 года назад
بارك الله فيك يا شيخ أطال الله عمرك ويعطيك العافيه
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Mwenyezi Mungu Akufufue na Abu Sufyan, Mu'awiya na Yazid pamoja na Ibn Taimiya.
@ahmadgumman9890
@ahmadgumman9890 4 года назад
Ameen yaraab
@ahmadgumman9890
@ahmadgumman9890 4 года назад
Ameen yaraab mm pia
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Amin na Mimi Bi idhnillah. We ufufuliwe na nani? Khomeini?
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@akahtaan7288 Ahlul Bait a.s.
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@akahtaan7288 aamyn
@sajjadally9248
@sajjadally9248 4 года назад
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kameniacha nimejichekeeeeea.Kanafaaa kupuuzwa
@fatumaomary8747
@fatumaomary8747 4 года назад
Allah wetu muadilifu
@dotdots7868
@dotdots7868 4 года назад
Kweli wa irani mashia maadui wakubwa wauislamu,leo umenena ukweli kabisa.unajua hua hawawakubalishi sunni muslims kujenga miskiti iran,kwanza nakupa pongezi sheik kwa kuzungumzia hili mswada,ma sheik wengi hawaliongelelei,na kuwapotosha watu.
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 4 месяца назад
Mashia ni machawa wa mayahudi tushawajua kitambo😂😂😂
@abddulkadiralihaji5054
@abddulkadiralihaji5054 4 года назад
Masha allah allah akuhifadi nimepata mambo hawa mashia nimtihani
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Ukitaka kweli kujuwa ukweli kajisomee Ushia mwenyewe kutoka kwa Mashekhe wa Kishia. Ukiwasikiza mahasimu wa Ushia kama huyu daima watakwambia uongo.
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 года назад
@@a.a.nassir8832 huyu huyu tutamsikiza, na kumuamini, Quran imewatukuza maswahaba nyie munawalaani waliwakosea nini, rudini kwa Allah kabla hujafa
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@mrsliverpool4235 Hata hiyo Qurani hujaisoma vyema kujua yasema nini kuhusu maswahaba. Umeteuliwa aya fulani tu kuhusu baadhi ya maswahaba ukafichwa nyenginezo kuhusu maswahaba wengi walivyokuwa. Rudi kwenye Qurani ujisomee, usitegemee Mashekhe wenye chuki na wenye kupotosha ukweli.
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 года назад
@@a.a.nassir8832 wewe rudi ukasome Tena na Tena uielewe, mimi nitamsikiza huyo ustadh wangu sheikh wangu. Wewe kama Quran inakwambia ulaani maswahaba ni wewe, mashia wenyewe Quran wameibadilisha, huniambii kitu kuhusu mashia maana nimeishi nao katika mazingira yangu ya kazi huku Iraq
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@mrsliverpool4235 Sawa. Mimi Nishafanya wajibu wangu, mwana.
@My110786
@My110786 Год назад
Wewe inafaa usome ushia kwa urifu na badae utajua ukuweli uko wapi, Siyo unaropoka unavyo taka , na ilimu yako ndogo umno. Tafadhali some ndugu yanguj.
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 4 года назад
Kweli ustadh uko sawa....pia baadhi ya watu wa lamu wengi MASHIA
@sakinat2527
@sakinat2527 4 года назад
Shukran jaziila
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Usiwadanganye watu. Ushia haukuanza Irani; ulianza Madina. Irani ilikuwa Shia mpaka karne ya 16. Walikuwa Sunni na walitowa Maimamu na wanavyuoni wakubwa wa Sunni.
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 4 года назад
Nitafute 0629281894 wht up
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@suleiphwaupendo1030 Kwa madhumuni gani?
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 4 года назад
Nataka tufahamishane kit kdg tu so unajuwa kam we kitu unakijuw m sikijuw
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 4 года назад
Au nipe namba Zak nikutafute
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@a.a.nassir8832 nyie si wapenda MUTAA? Sasa waulza kwa nini watafutwa?🤣🤣
@sajjadally9248
@sajjadally9248 4 года назад
Hichi kijamaa kipumbavu sana. Chajua kujipayukia
@dotdots7868
@dotdots7868 4 года назад
Shia sio waislamu,wako kinyume na uislamu
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Kama pesa ndizo ziwafanyavyo Sunni Mashia basi na nyinyi tumieni tuone kama mutawafanya Shia wawe Sunni.
@HuseniAthumani-xt9mj
@HuseniAthumani-xt9mj 4 месяца назад
Kaahba ni bora kuliko mtume
@aishakaisi1758
@aishakaisi1758 7 месяцев назад
ukiwa unasikiliza mashekhe kama hawa ndio watakaokuongoza kujua dini basi utakuwa unapotea
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 года назад
Subhanallah Allah atuongoze..jazzakahllahu kheir ustadh Allah akuhifadhi
@ahmadgumman9890
@ahmadgumman9890 4 года назад
A7santha sheikh Shia ndo adui ya uislamu
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Adui wa Waislamu ni wale vibaraka wa Waamerika na Waingereza ambao leo walitambua Israel na kuwakhini ndugu zetu Wapalestina. Mbona huyu Shekhe wenu yu kimya kuhusu hao?
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 года назад
Subhana llah
@ahmadgumman9890
@ahmadgumman9890 4 года назад
Sadaqta ya sheikh, Allah ibarik fik
@rsconstructionmanagementse1681
@rsconstructionmanagementse1681 3 года назад
man kunto maulaa fa haaza Aliun maulaa To whom I am the master Ali is the master. Note: A famous tradition (hadith) of Prophet Muhammad(saw) Beside the 3 claming to be Khalifas the dunderhead never knew how to do judgments not unless advise from imam Ali 10 days of Moharram are not for only for imam Hussein but all the Ahl al Bayt Learn about shia before you talk your bulshit .. Mohammad, Ali, Fatima, Hassan and Hussein Prophet (PBUH ) family - Ahl al Bayt
@allymustafa9674
@allymustafa9674 4 года назад
Mbona mnawapotosha sana Waislam Astaghfirullaah kawasome vzur Ahlul Bait wakina nan
@dotdots7868
@dotdots7868 4 года назад
Soma imani ya washia,ndo utawajua,hawapotoshi kamwe
@abaxdapersia4237
@abaxdapersia4237 3 года назад
Uyu jameni anasema nn?
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 2 года назад
Mashallah
@abdiabdullah8564
@abdiabdullah8564 3 года назад
Assalam aleykum. Mie nauliza na hili swali naomba shia ndio anijibu kwanini mashia hawa swali vipindi vitano, Kama masuni?.
@aishakaisi1758
@aishakaisi1758 7 месяцев назад
soma quran kuna vipindi vingapi vya swala
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 4 месяца назад
​@@aishakaisi1758quran yasema vipimdi vitano.. Sayidna Ali radhia llahu anhu alisaali mara tano na ushahidi upo kwa Khomeini.
@athumanimvula3718
@athumanimvula3718 4 года назад
Subhaana Allah mwezimungu akuongoze, maana hujui ulitendalo.
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Hata kuandika Mwenyezimungu pia wapata tabu Rudi ktk UISLAMU ewe uliedanganyika na senti za khomeini. Kabla Roho yako haijatoka
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Hata kuandika Mwenyezimungu pia wapata tabu Rudi ktk UISLAMU ewe uliedanganyika na senti za khomeini. Kabla Roho yako haijatoka
@alhidaayah3138
@alhidaayah3138 4 года назад
UNALIPWA HELA NGAPI KUTANGAZA UPUMBAVU? uso angalia maisha yako kazi kubobokwa, Dini ni nyingi na madhehebu ni mengi Utamuongoa nani? Angalia familia yako na maisha yako usimalize nguvu kusambaza ujinga kwenye media Tupe visa na Darsa za tafsiri tufaidike hebu
@fatumaomary8747
@fatumaomary8747 4 года назад
Shehe ogopa Dhana uwezi kujua shahadayamtu
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 года назад
Shahada c wanazisema wanaposwali na kuwalaani maswahaba
@dotdots7868
@dotdots7868 4 года назад
Wewe shia sio waislamu,nimewaona nikaka nao wa irani sio waislamu kamwe lakini waislamu wengi hawajui
@abujaffar2153
@abujaffar2153 3 года назад
Nendani mkausome vzr ushia msitosheke na propaganda
@abaxdapersia4237
@abaxdapersia4237 3 года назад
😜😜😜😜😜😜😜😜
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 4 года назад
Subhana Allah
@msemajafar3873
@msemajafar3873 4 года назад
Wew hufai kuwa hata sheikh wakata, maana unachuki tu
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 4 года назад
Kwa sababu hakuwatukana maswahaba?shekhe ni wewe na majusi wenu wa kiirani
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Vilemba vyeusi vinadhuru .mpk akili. Jaribuni vya kijani labda mtaweza kusikia maneno ya Hekma km haya enyi wairani wa kubatuzwa mliepotea
@menyhaabdulaziiz1051
@menyhaabdulaziiz1051 4 года назад
Aka ka sheikh ukumbavu tuu
@dotdots7868
@dotdots7868 4 года назад
Asema ukweli
@abunaqiluvisia9789
@abunaqiluvisia9789 Год назад
Mbona Huyu Ustadh Izzudin asema urongo?? Mbona usiseme ushia ulivyo!!?? Aliyekwambia mashia hawaadhimishi wafat za Ahlul bait Nabi wote ni nani? Ustadh mrongo sana Huyu!!
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
Hasira zako ni kuwa Waislamu wengi wanafuata madhihabi ya Ahlil Bait a.s licha ya uongo wako uenezao katika minbar yako. UPENDE USIPENDE Ushia unavyozidi nguvu. URONGO WAKO KUHUSU USHIA ndio unaowafanya watu kuwa na Shia wanapoonyeshwa ukweli.
@josephnjoroge5649
@josephnjoroge5649 4 года назад
Nimechanganikiwa kiasi hapa ,,lengo ni kumwamini ALLAH na mtume wake ama ni khalifa yupi zaidi ya yupi?nielimisheni pls
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@josephnjoroge5649 Lengo la huyu Shekhe ni kueneza chuki baina ya Waislamu kwa kueneza uongo kuhusu Waislamu wengine na kupotosha ukweli. Huo Ukhalifa hata hawana haja nao ila kuutumia tu kugawanya Waislamu. Kama wangekuwa na haja ya Ukhalifa leo wangekuwa na Khalifa. Mbona hakuna Khalifa leo? Au Ukhalifa si wajibu kwa Waislamu wa leo kama wa Zama nyengine?
@ahmadgumman9890
@ahmadgumman9890 4 года назад
Ww ni zuzu bro nenda kasome wafata unavoambiwa tu
@a.a.nassir8832
@a.a.nassir8832 4 года назад
@@ahmadgumman9890 😂😂😂
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@a.a.nassir8832 we huna lolote ulijualo. Huna elmu wala hujui kuwa hujui. Wala si wewe tu bali MASHIA WOTE hakuna ajuae UISLAMU WA KWELI Bali nyie ni wapenda ZINAA mkizihalalisha kwa Kuzeta MUTAA. We utakubali Dadako alale na Khomeini kwa malipo? Ogopeni Mungu enyi waabudu Karbala. Jahannam ipo na itakuwepo kwa Maadui za Mtume na waislamu km ulivyo adui wewe.
@allymustafa9674
@allymustafa9674 4 года назад
Nenda kasome Bado hujawajua Mashia ni wakina nani
@ramadhaniathumani6931
@ramadhaniathumani6931 4 года назад
Huyu sheikh ni boya kweli ndio maana hakanenepi fundisha watu acha chuki na mtu mwenye elimu anaongeaga kwa point na sii kwa jazba sisi wenye akili timamu tunaona unaropoka tu hivi msomi unasema ushia umeanza Irani kweli elimu yako ni ya kike mwanaume hawi na jazba katika ufundishaji wake boya wewe
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 года назад
Subhanallah mbona matusi kaka?
@ramadhaniathumani6931
@ramadhaniathumani6931 4 года назад
Halima Ramadhan da halima sisi tunataka elimu tu na dalili basi ili tuwaelewe Hawa mashia na sii kuongea kwa jazba haya maneno tunashindwa vipituyabebe haya mashiko Sasa
@allymustafa9674
@allymustafa9674 4 года назад
Hata kumswalia mtume hujui Kweli
@rajabuothuman740
@rajabuothuman740 4 года назад
We hujielewi binafsi sioni hata cha kukujibu
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 года назад
Massage delivery ulitaka umjibu nini
@ABSUMAYYA
@ABSUMAYYA 4 года назад
Shekhe nenda kapige goti, Ushia hujui kabisa
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Ushia UKAFIRI. Tena usije mfundisha Summaya USHIA manake utampa Rukhsa ya ufuska wa MUTAA wanaofanya mashia Waabudu watu. Innah lillahi wainnah ilaihi rajeuun
@ABSUMAYYA
@ABSUMAYYA 4 года назад
@@akahtaan7288 sheikh wangu wewe umeowa wake wanne au mmoja?
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@ABSUMAYYA mimi sio sheikh na nina mke mmoja na mjukuu What is your point here. Ushia sio UISLAMU bali kuna baadhi ya wanaojiita shia ni waislamu. Nimeishi na Mashia miaka mingi na wallahi wabillahi USHIA na Ukafiri havipishani . Kitabu kikubwa cha MASHIA Usul l kafii inasema wazi kabisa USHIA ni kitu gani. ALLAH anilinde mimi na waislamu wote na USHIA.(ukafiri) Yaa rabbi l aalamin
@ABSUMAYYA
@ABSUMAYYA 4 года назад
@@akahtaan7288 my point is; kwenye Qur'an umeruhusiwa kuowa wake mpaka wanne lakini wewe umeowa mmoja tu! Kwanini?
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
@@ABSUMAYYA ushasema TUMERUHUSIWA sio TUMEAMRISHWA. There is a difference there. Its NOT A Command to have polygamy in Islam rather its an option. Na Pili Nchi ninayo ishi mimi ni kwa mujbu ya Sharia ya nchi hii(law of the land) its a crime to have more than one wife . Siwezi kuvunja sheria ya nchi ninayokaa kwa kitu ambacho ni KHIYARI. Nadhani nimekujibu. Sasa nikuulize wewe. Je wewe ni SHIA unaeamini kuwa Quraan ina mapungufu na Unaamini kuwa Allah anafanya makosa? Manake MAKAFIRI wa KISHIA ndio wana Imani hizo ktk vitabu vyao.
@msemajafar3873
@msemajafar3873 4 года назад
Acha uwahabi
@akahtaan7288
@akahtaan7288 4 года назад
Wajiita Jaafar!🤣 Sijui ni yule Jaafar mpenda MUTAA au Jaafat muuza Gahwa. Ogopeni Mungu enyi maadui za Mtume. Allah hatowaacha kwa Kufru zenu
Далее
SUNNAH ZA NDANI YA SWALA 4
16:37
Просмотров 303
CHUMVI NA MWANAMKE
16:57
Просмотров 193 тыс.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
TOFAUTI YA SHIA NA SUNNI Sheikh Ayub Rashid
57:48
Просмотров 5 тыс.
Qurani ya Sunni na Shia ni moja?
13:37
Просмотров 245
JE YAFAA KUMROGA ANAE KUHARIBIA NYUMBA YAKO
16:34
Просмотров 148 тыс.
TOFAUTI YA SWALA YA SHIA NA SUNNI Sheikh Ayub Rashid
41:13
MAMBO YANAOPUMBAZA ROHO
57:38
Просмотров 4,5 тыс.
SWALA YA MSAFIRI
59:56
Просмотров 449
ULIZA UJIBIWE MWINGI.
1:27:32
Просмотров 7 тыс.