Yeye Diamond hata baba yake mwenyewe hamjui anakamatiwa tu na mama yake tu. Dylan atakua tu hana shida mama yake anajitahidi kumuhangaikia mwanae nyie bakini na maneno yenu. Mungu ni mkubwa atakuwa zaidi ya huyo baba jina.
wewe mtangazaji ndio unaumia sana na Nillan basi nikupe pole tu kuwa hata wewe hakuna utakachobadilisha hata uitangazie dunia kuwa yule ni mtoto wa Ivan