Тёмный
No video :(

HUU HAPA..!! Muonekano wa IKULU mpya DODOMA | Ziara ya Waziri Mkuu 

Mwananchi Digital
Подписаться 997 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu inayojengwa katika eneo la Chamwino, Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na kasi ya ujenzi na ubora wa majengo hayo na amemtaka mkandarasi ahakikishe mradi huo unakamilika mwezi mei mwaka huu.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 года назад
Ungeishi hata miaka mitano mingine Magufuli, tungefika mbali, ulijua kuzitumia rasilimali za nchi vizuri, RIP JPM
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Michoro mibovu... Jengo la kusikitisha... The ugliest presidency in the world 😥😭
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 года назад
Ni mkopo kutoka AfB.
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 2 года назад
Nikiangalia hiyo ikulu nalia kwa kasi aliokuwa nayo jpm hii nchi ingekuwa kama ulaya ,wanao Magufuli alikopa sana wafikilie miradi mkakati aliyokuwa akifanya ni viwango vya hali ya juu dah aisee utakumbukwa na watanzania wanao jitambua Mungu akulaze mahali pema peponi ameni.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 года назад
Endelea kulia tu,ila kazi unaoendelea, Alaaniwe amtegemeae Binadamu.
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 2 года назад
@@modestwenceslaus9 Ushapulizwa ww
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 года назад
@@nuhhumwakanyamale4771 kila mtu anamtazamo wake,tuzilazishane kuwa na mtazamo mmoja huo ni udikteta uliopitiza,Kama unataka siasa za kihivyo nenda kaishi Korea kaskazini kwa Bwana mapanki Kim Jong Un, huko ndipo panapokufaa kuishi maana siasa za ushindani hazina nafasi katika ubongo wako.
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 года назад
@@modestwenceslaus9 mpuuzi wewe
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 года назад
@@sebastianmichael4031mshamba wee
@abdulabdy6822
@abdulabdy6822 2 года назад
Hongera Sana Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Ikulu yetu mpya..💪.Kazi Iendelee
@charliechale9902
@charliechale9902 Год назад
Hongera sana kwa Serikali yetu kwa kufanikisha Ujenzi wa Ikulu. Muonekano wa Jengo ni mzuri sana.
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Allah ibariki Tanzania 😢🤲wabariki viogozi wetu wawenaafiny jem
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 года назад
VIVA TANZANIA ♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🇹🇿💪🇹🇿♥️ NEVER GIVEUP VIVA JKT VIVA J W T Z💪🇹🇿💪🇹🇿♥️👍
@daudcharles264
@daudcharles264 2 года назад
J P M kazi inendelea baba
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Mwenyezi awasimamie, kazi nzuri mno, ikija ikikamilika mambo yatakuwa Mazuri saana
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 Год назад
Jpm you will forever live in hearts of many brave people
@robertmgore3653
@robertmgore3653 2 года назад
Mwamba imara Jpm R.i.p
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Ubunifu hamna... Michoro ya zamani sana hii... Tena arabian architecture ... Hamna kitu hapo 😭😭
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 года назад
Cku izi umepoa sion harakati zako km mwanzo mh
@mabibo_furniture6421
@mabibo_furniture6421 2 года назад
safi
@smartboytz4724
@smartboytz4724 2 года назад
Kazi ya mwanaume mmoja tyu
@olenyghosho7008
@olenyghosho7008 2 года назад
RIP jpm
@ramadhanimkwila7282
@ramadhanimkwila7282 2 года назад
Ramadhani mkwila
@ramadhanimkwila7282
@ramadhanimkwila7282 2 года назад
Ramadhani
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 2 года назад
R.I.P.JPM
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
😆😆 Mzee hakulipa shilingi hata moja kwa wale Vijana waliokuwa wanajenga usiku na mchana! Mama ndio amelipa hela zote za ujenzi, maana yy hapendi kuwatumia Watz kama Watumwa! Nani anastahili pongezi?!
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 Год назад
@@j.c.maxima816 acha uongo wewe mama anewalipa shilingi ngapi we ata jkt umeshawai kwenda acha kukurupuka vitu hujui pita pembeni
@mopalmo5818
@mopalmo5818 2 года назад
JPM !!!!
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 года назад
R.i p magufuri muonesha njia
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 года назад
Kwani sisi WaAfrika huwa hatuna aina ya ujenzi wetu? Tusipojenga kama ulaya tunajenga kama Mashariki ya kati
@selemapingon9286
@selemapingon9286 2 года назад
Kwa sababu hatujitambui. Wangeweza kuangalia nyumba za Wagogo hapo Dodoma au hapa Tanzania au hata barani Africa na kuja na architecture design katika namna ya kisasa lakini inyotoa pich ya Kiafrika. Lakini huwa hawawazi haya. Wanataka siku zote tuwe kama Ulaya
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 года назад
@@selemapingon9286 JPM alitaka kutoa nakala ya Ikulu ya MAGOGONI. MTU asihisi tofauti akiwa sehemu hizi mbili. Utofauti wake ni kwamba, Dodoma hakuna shombo la samaki!
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 2 года назад
Kwer sikutegemea kwer katika ujenz wa karne ya 20 mtu ajenge jengo kama ili akuna ubunifu apo yaan ubabahishaj tuu mnashindwa kuweka ata tangastone kwer
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 года назад
@@collinsghambi7315 Unaambiwa ni REPLICA ya Ikulu ya Dar es Salaam. Ya nini kufanya FARAGUZI?
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 Год назад
Hapo kukopi ramani ya Dar nahisi ndipo tuliporudi nyuma.maana Tungependa Tanzania mpya sio ya urithi wa ukoloni..security wise pia haijakaa sawa.ila kwa Ujenzi tu jengo limejengwa na limejengeka na Suma jkt wapo vizuri mno!!!
@drdavidomuswahiliofficiel8645
@drdavidomuswahiliofficiel8645 2 года назад
😂😂😂 Diamond platnumz acheka sana baada yakuiona iyo video ubo nawewe bonyeza hapachini ili kilicho muchekesha 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇😂😂 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1GWOPw8mq98.html
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 2 года назад
Ugliest state House 🏠 😤 😒 ever yaaan kama kanisa au msikiti mbona akuna utofaut na dar zero creativity
@andreahennecart1923
@andreahennecart1923 Год назад
The Dodoma statehouse is the replica of the Dar one. Only Larger. And this is by far one of the biggest and most beautiful state houses in the world. Its stated true to its timeless architecture. Instead of criticizing why don’t you just move on
@ramadhanimkwila7282
@ramadhanimkwila7282 2 года назад
Ramadhani mkwila
Далее
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Просмотров 47 тыс.