Daaah MashaAllah historia nzur Allah amrehemu said majid kwa kueneza uislamu pia Allah awasamehe watawala wote wa zanzibar kipindi cha sultan wameeneza uislamu sana
*Zuhura, hayo mapinduzi ya kijeshi ya kutaka kumwondoa rais Mwalimu J K Nyerere madarakani hayakutokea mwaka 1968!!!!! Yalitokea mwaka 1964 - mwaka nilioingia Kidato cha 5 Tabora-Wavulana.*