Тёмный

Huu ndio uwekezaji MBOSSO ameamua kuufanya! Ni balaa, pesa anayo ila hataki kujionesha - Part 4 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Развлечения

Опубликовано:

 

31 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 5 месяцев назад
Unajua kwa wa sani wa bongo wenye adabu na eshima mbosso ni number 1 love from south africa 🇿🇦
@user-ji6fu9lo2g
@user-ji6fu9lo2g 5 месяцев назад
Mboso Mr Selemani Huna baya nipeni like za kutosha .
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 5 месяцев назад
Mbosso nakuelewa sana kipaji kikubwa mno uelewa mzuri halafu nimefatilia mazungumzo yote nimegundua Diamond ndio master mind wa mafanikio ki mziki yani anajua ukitoa ngoma aina hii next inafaa uje vipi ndio watu wakuelewe.
@khamisshee803
@khamisshee803 5 месяцев назад
MashaAllah Allah akujalia kila la kheri mdogo wangu Mbosso Bro sky salam zangu plz naomba unifikishiye salam zangu Mbosso AKA BACHUCHU Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 месяцев назад
Nanilichogundua mbosso anahofu ya mungu,,,anataka akiacha mziki afanye ibada ndo mim nilivyomuelewa
@sarotz
@sarotz 5 месяцев назад
Mwenye hofu ya Mungu anavaa hereni?
@Kuzarmusic
@Kuzarmusic 5 месяцев назад
💯
@leaderchrisofficiel1876
@leaderchrisofficiel1876 5 месяцев назад
Ingelikuwa harmo pale angeliaza kigereza kiiingi 🤣🤣 Mbosso respect 💪
@sarotz
@sarotz 5 месяцев назад
Angekuwa anajua angepiga tatizo hajui
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 5 месяцев назад
Discipline ambayo Hawa wasanii wa WCB wanafunzwa ni ya Hali ya juu zaidi
@ahmadyahya390
@ahmadyahya390 5 месяцев назад
Lakin konde kalikosa ilo
@erickabel6201
@erickabel6201 5 месяцев назад
🎉🎉🎉
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 месяцев назад
Apo nimeamini kwer mboso anakipaji Sana Cha mziki na wasafi ni chuo Cha mziki na Sanaa,,nandomana Daimond anampenda Sana mboso kumbe..kwamana anakipaji Saaaana..
@MrKimond-ip2zp
@MrKimond-ip2zp 5 месяцев назад
Selemani unatisha San boss
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 5 месяцев назад
Nime enjoy sana kwenye hii interview hongera SNS hongera Mbosso hongera Wasafi🎉
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 месяцев назад
Ila mbosso anastori Sana Sana na nimempenda bure mboso..mboso kumbe
@user-np5ry2bf5q
@user-np5ry2bf5q 5 месяцев назад
WCB hela ipo💲.....sio makondeni njaa 😭😭😭
@romakoko2292
@romakoko2292 5 месяцев назад
Dakika ya Tisa imenifurahisha sana ...una watoto wangapi😂😂anacheka badala kujibu
@erickabel6201
@erickabel6201 5 месяцев назад
Nakubari sana Khan unaongea vizuri sana 😍😍😍
@meryamreally2768
@meryamreally2768 5 месяцев назад
Wow ok sawa mbosso ❤️❤️❤️❤️
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 5 месяцев назад
Huyu kijana sio tu muimbaji lakini anakitu cha kusaidia vijana wengi kiushauri.
@dayana5513story
@dayana5513story 5 месяцев назад
Interview 🔥🔥🔥🔥
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 5 месяцев назад
Mashaallah ❤
@bramzymedia4553
@bramzymedia4553 5 месяцев назад
Big appreciation for mbosso khaaaan interview kali sana hiii
@meryamreally2768
@meryamreally2768 5 месяцев назад
Amen sawa sana mbosso ucjnli 👏👏👏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 5 месяцев назад
Interview ya moto hii
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 5 месяцев назад
Huyu lazima awe na hela nyingi maana ni mpambanaji sana na ana nidhamu sana kwa kila kitu.
@meryamreally2768
@meryamreally2768 5 месяцев назад
Nakubali mbosso sawa ❤️❤️❤️👏👏😂😂😂😂👏👏
@NuruJara
@NuruJara 5 месяцев назад
Mm naenda sana nyinbo za mboso unajuwa nakupenda sana from Kenya amu tamu coast
@RazaroKomoro
@RazaroKomoro 2 месяца назад
Nakubari brother mbosso
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 5 месяцев назад
Ninakukubali sana Mbosso
@user-uz4gi5vl6s
@user-uz4gi5vl6s 5 месяцев назад
Big up brazza tuko pmj
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 5 месяцев назад
Safi sana mwama wa Kirungi
@ikumayojoy5904
@ikumayojoy5904 4 месяца назад
Noma sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ix8qr4bn9z
@user-ix8qr4bn9z 4 месяца назад
Nyimbo zako nazipenda sana
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 5 месяцев назад
Sky mtafute na daimond broo ,Mimi shabiki yako mkubwa toka , Radio free , Kuna kipindi ulikuwa unafanya na mtoto wa mama sabuni ,Pia sitasahau ❤❤
@user-vickytembo
@user-vickytembo Месяц назад
Am ur big fun from Zambia ♥️
@aliyumuhammed6054
@aliyumuhammed6054 5 месяцев назад
Mbosso anajua kujieleza
@shekhamohd4891
@shekhamohd4891 5 месяцев назад
In sha Allah yaarabb utaacha usimame na Allah ili mama kesho akajivunie ulezi alolea ila sasa hv wapo kwenye wakati mgumu wazee
@Iamfaraj
@Iamfaraj 5 месяцев назад
❤❤❤
@user-rd1hx4dc4p
@user-rd1hx4dc4p 5 месяцев назад
Salute man khan
@omikiss1868
@omikiss1868 5 месяцев назад
Tanga Raha, welcome muhindi wakusini!!
@zayumar2955
@zayumar2955 5 месяцев назад
Mboso anaimba bana tumpe mauwa yake Kwakweli 🌹 🌹 🌹 🥰 🎉🎉🎉🎉
@saidibrahim2375
@saidibrahim2375 5 месяцев назад
Safi sana
@Udindigwa
@Udindigwa 5 месяцев назад
🎉🎉🎉Heshima Yako Mboso
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 5 месяцев назад
Mungu akujalie kheri uje ufanye na kheri za kesho yako
@Joelookoffial
@Joelookoffial 5 месяцев назад
🔥🔥🫡
@zedekiasamara1783
@zedekiasamara1783 5 месяцев назад
Brother Sky, tulitamani sana tusikie kuhusu show yake ya Yamaha. Hopefully next time tunaweza fahamu how it came by.
@channyanjen9047
@channyanjen9047 5 месяцев назад
Mumualike na zuchu apo
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 5 месяцев назад
Tanga kwa ukarimu masha Allah
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 месяцев назад
Jamani tokea mlipomsikia mbosso je mmejifunza nini? Naomba mniambie
@issamohammed3493
@issamohammed3493 5 месяцев назад
His humble and down to earth with fear of Allah
@emmanuelmalima5939
@emmanuelmalima5939 5 месяцев назад
Kuna siku InshAllah,, atakuja kuacha Mambo ya muziki ya kidunia.
@user-gt1so2ew9y
@user-gt1so2ew9y 5 месяцев назад
❤❤❤❤
@channyanjen9047
@channyanjen9047 5 месяцев назад
Na Diamond mumualike apo
@LucyKulaya-bj5ow
@LucyKulaya-bj5ow 5 месяцев назад
Mi natamani san
@Tonyo-lp5ww
@Tonyo-lp5ww Месяц назад
@derickdboy2207
@derickdboy2207 5 месяцев назад
🔥🔥
@shaanaseeb9423
@shaanaseeb9423 5 месяцев назад
🥰😘😘
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 5 месяцев назад
Mwanamziki ambae namkubali saaana.
@johanjoha5262
@johanjoha5262 5 месяцев назад
Anaongeya kistarabu,Hana uswahili
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 месяцев назад
Punguzeni mashairi yanayoashiria matusi
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 5 месяцев назад
Mbosso watt wa nje ya ndoa sio mtt wako.usiseme mwanao
@zahranzahran4066
@zahranzahran4066 5 месяцев назад
Mbosso yeye wapekeee kwa wasanii wa wasafi 😮
@willymzawa9183
@willymzawa9183 5 месяцев назад
Mboso ninoma kuliko. Mond iko waZ
@FerouzMandenga
@FerouzMandenga 3 месяца назад
True STORY NINJA MBOSSO MSHEDEDE" ata mimi pia WAKATI naanza kusikia na kuona VIDEO ya AMEPOTEA! ulinichanganya kidogo NINJA" mimi nipo huku SOUTH AFRICA and Still nipo SOUTH AFRICA" SO baada ya kuona Ile VIDEO ya AMEPOTEA nilistuka sanaaa na pia MSG ilinigusa Couse KIPINDI hiko pia na mimi natafutwa na FAMILY yangu" kwenye CM sipatikani na ukizingatia na MAISHA yetu ya huku SOUTH AFRICA kila SIKU MATATIZO" SO WIMBO ulivyo kuwa unaendelea nakuja kuona VITU TOFAUTI kabisaaa! Hila HOME BOY wangu unajuwa sanaaa mpaka UNAKELAAA😂😂😂
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 5 месяцев назад
King Khan mwandishi bora
@lukandamizasimbi44
@lukandamizasimbi44 5 месяцев назад
Nilipenda wimbo ila sehemu zingine mboso katukosesha wanawake
@ZuenaRamadhani
@ZuenaRamadhani 5 месяцев назад
Mboso mapua yako yamefanana na ya lili omy
@serianjamal8254
@serianjamal8254 5 месяцев назад
Mbosso is very humble
@yasnshaban9827
@yasnshaban9827 5 месяцев назад
Mbosso akil nyng sn
@BoukheitAmanaBaj
@BoukheitAmanaBaj 3 месяца назад
Ulikuwa wapi aliharibu mwisho. Ingekwenda vile vile kimahaba hadi mwisho
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LucyKulaya-bj5ow
@LucyKulaya-bj5ow 5 месяцев назад
Sky jaman mbna simba amumuoji jaman na wish san mumuoji
@festomtilikwa5319
@festomtilikwa5319 5 месяцев назад
Ufugaji unatoka wap ila huyu mbosso ni msukuma ban asitutanie et muhindi wa kusini😂😂😂
@helenkambi3918
@helenkambi3918 5 месяцев назад
Mwenyezi amekataza mziki eti wewe unamshukuru kwa kitu Allah alichokikataza
@rahimkarim2306
@rahimkarim2306 5 месяцев назад
Muombee kwa ALLAH aweze kuwa kwenye haki au usahihi wa wewe ukionyesha,mana tuna mengi tunayoyafanya ambayo ALLAH hapendi.
@bramzymedia4553
@bramzymedia4553 5 месяцев назад
​@@rahimkarim2306una uwezo mkubwa sana wakufikiri sikuwaza na sikufikiria jibu hili kubwa ambalo umelitoa ni IQ kubwa sana umetumia
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 5 месяцев назад
Wewe mbona kafili mkubwa na mungu bdo unàmtaja
@gifraymantz4195
@gifraymantz4195 5 месяцев назад
Mbna unazimi na Mungu ka kataza
Далее
DOTA 2 - КЛАССИКА
19:17
Просмотров 252 тыс.
Наш слоняра😈❤ #чатрулетка
0:16