Тёмный

HUYU HAPA DADA YAKE LISSU ALIYEWAHI KUWA MEYA WA KWANZA MWANAMKE TZ, AMTAKA ASILIE, MUNGU ATAJIBU 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 179 тыс.
Просмотров 4,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@safiyaalharthy6382
@safiyaalharthy6382 5 месяцев назад
MashaaAllah Mungu mkubwa sana na aendelee kuwalinda siku zote na watu wema wote kwa uwezo wake. Amiin
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 месяцев назад
Kweli dada asante kwa màneno mazuri
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 5 месяцев назад
Mwanaidi/Fausta. My friend and classmate at Ikungi Primary Sch. and also at Mwenge Sec.
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 5 месяцев назад
Mdogo wetu Tundu Mungu ana makusudi nawe ndio maana amekusaza hata leo. Hilo shambolic lilikuwa la kuangamiza kabia lln Mungu akashikilia roho yako na uzima wako kwa makusudi yake. Nakuomba umkumbuke sana Mungu na kumnyenyekea na kumpenda sana na kumpendeza sana kumsikiliza na kumwamini na na kumtii. Tumaini lako liweke kwa Bwana Mungu wako aliyekuokoa ktk kifo.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 5 месяцев назад
Tundu Lisu anapenda na watanzania wanao kuelewa. Mungu Atakule si tu uchaguzi uhai. Hata wana ccm wanaweza kumpa kura Tundu Lisu kuwa Raisi. Na watanzania wote wanaopenda haki na kuirudisha Tanganyika. Tutamlara Raisi toka upinzani kwa mara ya kwanza toka uhuru na kuirudisha Tanganyika tukiamini haki. Lisu ni Raisi wa kwanza wa Tanganyika bila kupunguza. Ukombozi umefika.
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 5 месяцев назад
Mungu ni mwema sana, anajambo na lisu
@abbiecox1
@abbiecox1 5 месяцев назад
amgekuwa mdogo rafiki yangu tundu ungejuwa shemeji yangu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 месяцев назад
Kweliii laisii wa maana kabisaa
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 5 месяцев назад
Atajibu na mwingine yuko mbele ya haki
@shilogileshilogile4392
@shilogileshilogile4392 5 месяцев назад
Dada mkubwa nayeye amejawa hekima na busara kubwa, Inshallah Mungu atamfanya mwamba Antipas kuwa ni mkombozi wa Taifa la Watanganyika ajaye hata kama watawala watayapuuza Maono na fikira za Dada mkongwe huyu. Na hawatayaamini macho yao siku hiyo.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 месяцев назад
Tundu lisu laisii wa maana kabisaa ana juh kila kichocholo cha tz jamani ndugu zangu wa tz uyo bwana ndie mtetezi wa wanyonge alie bakii ccm Amna chamana Wana tengeneza shida alafu ana tokea mtu apo apo ccm Wana jifanya kusawa zisha wakatii wao ndio walio tengeneza iyoo shida co awatufaiiii
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 5 месяцев назад
Wote hawa wajinga tu kwendeni huko
Далее
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37