Тёмный

"HUYU NDIE MWANACHUONI ALIEABAKI EAST AFRIKA" SHARIF AHMAD ALWIY AKIMSIFU MWENYE BABA - KITUMBINI 

BABDEO MILADU
Подписаться 255 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
Mwanachuoni wa kweli hakubali sifaa,,,wallahi ni wanchuoni ni wachaji mungu si makhurafi wa kupiga dufu,,,,kidevu kinakaa embe hata hakuna ndevu,,,Allahu mustaan
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
Ata hawana adabu ya kumuomba Allah du'a,,,,mwone aliyevaa kizbao cha blue du'a ikisomwa,,,, subhanaAllah
@sophiaomar7875
@sophiaomar7875 5 месяцев назад
Mwenye baba si mwanachuoni anapenda sifa sana huyu mzee
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
Nynyi mwajuwa maana ya kuwa mwanachuoni ama mnasema,,,masufi ni kweli hamna akili timamu,,maneno ya imam shafii ,,,,ukabila na kuabudu makaburi,,,ata juzzu amma hajahufadhi,,,mpiga dufu na dhikiri ya kukohoa ,,,Allahu musta'an,,twaghut
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 11 месяцев назад
Allaahumma swalli wasallim wabaarik alayhi
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 2 месяца назад
Napia mvunja SUNA,wote musiweke ndevu akisema hamuweki ila akiwambia pigeni Ngoma munapiga jee anaewacha la Mtume,lakwake yeye lifuatwe,je huyu ndo mwanachuoni wakutegemewa.innalillah waina ilaihi raajiun
@sophiaomar7875
@sophiaomar7875 5 месяцев назад
Si mwana chuoni huyo kazi kuchezea wanawake alioa kama Mara elfu moja watoto wake hawajui
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 8 месяцев назад
Wew ushaambiwa huyu ni mwana Chuini.eti mtu anahoji!!! Eti mwanachuoni hana ndevu 😢 hii dunia sijui inaelekea wapi sababu kuna watu majahili kweli kweli
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 8 месяцев назад
Huyu alieongea mwanzo ni Syed Ahmed Khatib wa Mskiti wa Ijumaah, Kitumbini, Dar es salaam, Tanzania
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 2 года назад
mashaAllah mashaAllah
@jaz9974
@jaz9974 2 года назад
Mashaallah
@hassanalbasq3160
@hassanalbasq3160 2 года назад
Duh Allahulmutaan jamni ah
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Год назад
Hzo twariiqa ni Dini za ukabila
@nurudinsalim8955
@nurudinsalim8955 2 года назад
yaallaah
@quranrecitations7267
@quranrecitations7267 2 года назад
Allah awaongoze
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 года назад
Allahumma Amiin
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
Msellem Aliy pia
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud 2 года назад
Nadhani wanachuoni hua hawapendi kusifiwa, hua wanapendelea kujishusha sana.
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 года назад
Hamna kitu Apo wanapachikana tu
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 года назад
Hajajisifu, kasifiwa na wengine. MaashaaAllah, Allah amhifadhi.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Exactly
@rushu1232
@rushu1232 Год назад
Hajajisifu amesifiwa na mtoto wake na nyinyi sifuni wenu hakuna chuki.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 года назад
Duh! 😳
@alihusseinali4756
@alihusseinali4756 5 месяцев назад
Hata ndevu hana mwanachoni yupi ndevu nikatika Sunna za mitume yote hata wale wanachoni hoye haye wsnafuga ndevu bure kabisa
@rushu1232
@rushu1232 Год назад
Kula pote lina kiongozi wake na hawa tumekinai sana na wao na ilmu yao sasa nyinyi kama nyinyi muna masheikh zenu wafueteni hakuna ungomvi sababu mambo yaendelea na yatazidi kuendelea.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Sheikh unamsifia sana mpaka unavuka mipaka,,,,,
@aninanichasi422
@aninanichasi422 Год назад
Unataka akusifiye wewe?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@aninanichasi422 huna ulijualo
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
Ni kawaida ya makhurafi!!!
@quranrecitations7267
@quranrecitations7267 2 года назад
Weeeee kenya yote. Kuna watu wasoma mpaka leo wasoma.
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 года назад
Othman Maalim jee?
@shafiimohamed6503
@shafiimohamed6503 2 года назад
Kasomeshwa na huyo aliyotajwa hapo
@swalahuomar5314
@swalahuomar5314 2 года назад
Huyu ametunga vtabu vingi ni msomi ajabu othman maalim ni mwanafunzi wake
@badawiyhusssein5496
@badawiyhusssein5496 2 года назад
Boyka
@abubakariabdallahabubakari8054
@abubakariabdallahabubakari8054 2 года назад
Duh eti muutamad hhhhh duniani
@omarkhamis4804
@omarkhamis4804 2 года назад
Kenya
@abdallahkassim8911
@abdallahkassim8911 2 года назад
Ma sha allah
@saydsultan9499
@saydsultan9499 2 года назад
Mwanachuoni hana ata ndevu
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 года назад
Mnafurahisha haswa. Yaani wewe umeona ndevu ndio uwanawachuoni. Haya mthibitishe wewe uwanachuoni wake.
@saydsultan9499
@saydsultan9499 2 года назад
Wewe ndio uthibitishe uwawachuoni wake ni upi Mana sisi tunaambiwa wanawachuoni ni warithi wa mitume lakini huyo tukimuangalia hata kujifananisha na mtume swallallahu alyhi wasallaam ameshindwa
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
Mungu ndiye mwenye kuwaumba hivyo, Qur'an inatuzuia kuwacheka watu na kuwafanyia masikhara ninmadhambi makubwa, Allah akuongoze tu.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Hapo sasa umeingilia uumbaji wa Mungu, sheikh kasome dini vizuri,,,
@benyamin5000
@benyamin5000 Год назад
Mungu akuongoze akupe mwangaza akutoe katika Giza uliopo sasa halafu utajua ndevu ni Sunna na Sunna sio fardhi
@rushu1232
@rushu1232 Год назад
Shida yenu kubwa munaliza watu wafuate itikadi ya masheikh wenu kina ibn Baaz kina Utheimin na sisi twaamini hao ni project ya mayahudi kutoka waqti sh.Muhammad bin Abdulwahab.
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
La!!!!uwongo ww khurafi,,,,Al jufri ndiye aliyewasifu na kusema anawapenda mayahudi,,mche Allah na uwe mwadilifu,,utaelekea Kwa mola wako Pekee yako
@rushu1232
@rushu1232 6 месяцев назад
@@adennurahuka402 jufri niyeye peke yake atajibu kwa Allah lakini nyinyi manhaj mzima yakiwahabi imewekwa na waengereza na mayahudi akewekwa Sh.Mohd Abdulwahab kuuwa waislamu ambao hawakubaliani na fikra yake akisema ni washirikina.
@adennurahuka402
@adennurahuka402 6 месяцев назад
@@rushu1232wallahi la!!!leta hoja,,,mm nimekueleza shekhe lenu mwanae mrejelea kuwa amewasifia mayahudi,,,nioneshe shekhe wa salafi akiwapongeza au kuwa sifu,,,ikiwemo ibn baaz ibn uthaymeen albani nakadhalika Allah awarehemu ,,,,Sisi dini yetu ni Qur'an na sunnah kwa ufahamu waliyoongozwa maswahaba na mwalimu wao mtume Muhammad swala na salamu zimfikie,,,,,nyie ni kupiga ukhurafi n ushirikina kuabudu makaburi na bida'a nyingi ambazo Allah hajateremsha katika uongofu Kwa mtume na waja wake,,,,,si rayi ama maoni ya mashekhe wenu Sisi tuko Kwa haqi,,,,tukosoea Kwa dalili ya Qur'an na sunnah tutafuata Lau si hivyo Baki na ukhurafi wako
@uchihaitach1536
@uchihaitach1536 2 года назад
Ulama wengi wako gerezani
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Sio kweli,,,
@uchihaitach1536
@uchihaitach1536 2 года назад
@@jumakapilima7295 maulama wa ahlul sunnah ambayo wanatetea dini
@أبونعيم-م8ر
@أبونعيم-م8ر Год назад
Kama nani? Na kwa nini wako huko?
@uchihaitach1536
@uchihaitach1536 Год назад
@@أبونعيم-م8ر kwaajili ya kuongea ukweli na kuunga mkono mujahideen
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 года назад
Labda mwanachuoni mkubwa wa kisufi
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 2 года назад
ahallu bidai ndy tambia zao hizo tabia mbuvu kabx eti mwenyechooni atokee wapi
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
Ungekuwa umesoma akhlaaq ungewaheshimu masheikh WA wengine hata kama hamuafikiani katika mambo ya dini.
@hassancharo1496
@hassancharo1496 2 года назад
Kuma wamuona c wAna chuoni ungempa heshima uisilamu au umuri wake Mtume saw amesema sikatisis asiyewa hurumiya wadogo na kuwahishimu wakubwa muislam mwenziyowamwita mwana choooni Subhana ALLAH
@mruppercut7985
@mruppercut7985 2 года назад
Mwanachuoni wa kisufi huyo halafu masufi mnavaa mapete mengi kwanin?
@mruppercut7985
@mruppercut7985 2 года назад
Sufi mkuuu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Kwasasa kunatuvijana tudogotudogo tumesoma hao wanachuoni wakusifiana sidhani kama wanafikia?
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 года назад
Ni kitabu gani ametunga au munapachikana tu uanazuoni
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Год назад
Unataka kitabu cha dini kitungwe km hadithi za bunuasi kitabu cha dini kinaandikaa boya ww
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 2 года назад
watu wengi wa bid aa ukiwatizama kwa makini hawana akili nzuri
@fadhilimakore6142
@fadhilimakore6142 2 года назад
Nawewe pia tukikuchunguza akili yako pia sio nzur nenda kasome din vizur
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 года назад
@@fadhilimakore6142 wallahi. Waone tu hao.
@ahmadymuhina6546
@ahmadymuhina6546 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ما هو البدع
@abuanmarabubakar
@abuanmarabubakar 2 года назад
huyo mwanachuon muutamad katunga vitabu vingan, sio mwanachuon bali ni ngwiji la bidaa
@saidinammenje644
@saidinammenje644 2 года назад
Eti gwiji la bidaa Ebu kasome kasome kitabu chake kimoja tu kitakutosha kama macho unayo! Hapo utajua kama kama gwiji la bIdaa au gwiji wa sunna kitabu kinaitwa annusuusu swariha fil'aqiidati swahihah. acha kubwabwa
@abuanmarabubakar
@abuanmarabubakar 2 года назад
@@saidinammenje644 mwanazuoni hawk mpenda matar kamwe , pia hata hivyo vitabu vyake vinaongoza kwenye hizo bidaa zake
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 года назад
Gwiji haswa
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 2 года назад
@@abuanmarabubakar hawa jamaa nafikiri wameteleza,shekhe mkubwa alobakia ni wewe.
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 года назад
@@saidinammenje644 hapana mwanachuoni apo
@binmasoud6237
@binmasoud6237 2 года назад
Muutamad vitabu vyake tuambieni alivyotunga au kupeana sifa tu al alawy sheikh nani upuuzi mtupu
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Год назад
Vitabu vya dini havitungwi vinaandikwa unatunga hadithi na nyimbo boya ww
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 2 года назад
Wapuzi.
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
Aibu Kwa kakaangu kujiita jina tukufu la mtume Muhammad kisha akhlaaq ukakosa ukawaita maulamaa wengine wapuuzi,ni makosa sana, Allah akusamehe Ila si adabu ya kiislamu kuwatukana shurafaa wa wengine.
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 2 года назад
@@muhibbualii4580 Utukufu si jina wala kabila acha ujinga, ndio mukatukuza wata hadi kuwapa daraja wasizostahiki, ati (masharifu) ujinga mwingi na kutishana tuu wengine waingia kwenye shirki kwa ujinga huu.
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 2 года назад
@@muhibbualii4580 kama ujinga huu ndio uislamu pepo hakuna.
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
@@faisalmohamed727 Allah akuongoze kiwaheshimu wakubwa zako in Shaa Allah.
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
@@faisalmohamed727 iwapo unagawa wewe Pepo basi waingize wote motoni.
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 2 года назад
Wajinga hawa huwa hawazingatii kabla kupanua modomo yao.
@sharifukedaonlinetv8558
@sharifukedaonlinetv8558 Год назад
Mjinga mama yako aliekuzaa kabla akafikiria
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Год назад
@@sharifukedaonlinetv8558 Hahaha eti masharifu!!! masharifu mutakuwa nyinyi? masharifu ukwaju chama cga LGBT.
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Год назад
@@sharifukedaonlinetv8558 Wajua mamako alikuwa mpezi wangu kabla ya yeye kuamua kuwa Malaya? huenda wewe ni mwanaharamu wangu.
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 2 года назад
Wallah wewe ni mpuzi mkubwa wawajuwa wanachuoni au amekuridhisha wewe wacha upumbavu wako .
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 года назад
Usingekuwa kaafir ningekujib msalim san mmeo
Далее
TAKWANDAMA | SAYYID AHMAD AHMAD BAWADY (MWENYE BABA)
13:27
Qasida ~ Ahmad Ahmad Badawy (MWENYE BABA)
16:23
Просмотров 39 тыс.