Asante dada elimu kubwa sana tena wazimu ikimpanda ata muosha vyombo anapigwa juu mke kamkatalia kwa uchoyo asione mme kaangalia kushoto ofu kubwa atafaidi
Allaah akuhifadhi ukhty una maalumati sio hawa wanoleta vikemu vyao vya kipumbavu vya kuwadanganya wanadamu wenzao mfano kuchoma sindano na kuzuia uzazi