Тёмный

MANENO YA DOKTA SULE BAADA YA MTOTO WAKE KUOLEWA 

IQRAA TV
Подписаться 1 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

#IqraaTvTz #ImaniThabiti #Mawaidha #islamicchannel #maulidnabi

Опубликовано:

 

4 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@ramadhanikenga274
@ramadhanikenga274 6 месяцев назад
Siku hizi harusi za kiislam zimekua kama za kikiristo wanawake na wanaume wake sehemu moja hivi nyinyi mashek mambo kama haya kwa nini mnayafumbia macho wakati mnajua ni makosa
@mussahamisi1191
@mussahamisi1191 6 месяцев назад
Waisilamu tumefika pabaya sana harusi tunafanya kama za kikafiri tujiepushe kabisa na ALLAH atuongoze
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 7 месяцев назад
Ni sahahi kabisa naungana na wale wote wanatoa comments kuhusu kuchanganyika wanaume na wanawake,ndio dini yetu inavyotutaka sasa sisi tujitahidi tu kufuata tu tusiongeze yetu sisi. Ila sasa tumefanya kama ndio utamaduni na kila siku zikienda tunazidisha mambo. Mimi nikioa hao best mans wanasubiri msikitini nikienda kumuona mke wangu.
@elallymoussa2980
@elallymoussa2980 6 месяцев назад
Hawa Ndio wanaofanya mambo kama Haya kuonekana ya kawaida . Wakati ni Mila na taratibu zisizokuwa za kiislam
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 6 месяцев назад
ai haifai haya mambo yanayotendeka hapo dini hairuhusu mbo kaahaya nikudhalilisha dini hiiya kiislam haifai tumcheni Allah hii haifai tusizue vitu jamanii Allah atuongozehaifaiii
@Aminasaidmunyu
@Aminasaidmunyu 6 месяцев назад
Yaani wabongo mume kaa mkaona m comment mambo kama haya wacheni chuki
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 7 месяцев назад
Unatudhalilishia dini yetu we mzee
@athumanmziray448
@athumanmziray448 7 месяцев назад
Hizi sherehe ziko kinyume kabisa na mafundisho ya dini ya uislamu.
@raniahAbdul
@raniahAbdul 6 месяцев назад
Huyu shekhe wa bakwata hawajielewi hata kidogo
@mohammedhussein6748
@mohammedhussein6748 7 месяцев назад
Kheri ya harusi ila shida Sheikh hakuzingatia mkusanyiko WA wake na waume
@user-mw6bz5gs7s
@user-mw6bz5gs7s 7 месяцев назад
Mtihan huu juu ya mtihan
@lugnahnassor1504
@lugnahnassor1504 6 месяцев назад
Jamani kumkubusha ndio kunakotakiwa binadamu huteleza lkin mnatoa maneno makali haifai jmn
@fatumasalim3915
@fatumasalim3915 7 месяцев назад
Sheikhi wetu mbona ikawa hivyo ungetengeneza ukumbi pia mwali wetu angevaa nikhabu asionekane na wengine lkn alihamdulillah lkn ungefanya marambili kwa wanawake na wanaume shekh wetu lkn naomba msamaha kwa kukumbusha au furaha imezid
@KassimShora
@KassimShora Месяц назад
Sote ni wakossaji ya ALLAH tujalie tuwe ni wenye kutubu
@rashidsaid-sy1nr
@rashidsaid-sy1nr 6 месяцев назад
Dr sule we ni kioo kuwa Makin kwenye Mambo menge
@ochumediatz
@ochumediatz 4 месяца назад
Mashaallah
@ibrahimahmed3548
@ibrahimahmed3548 6 месяцев назад
Muogopeni Allah masheikh
@hashimuhakimu240
@hashimuhakimu240 7 месяцев назад
Kuvaa inkhabu sio lazima ilimrad uujue uisilam vzr
@user-cb5wf7ig9l
@user-cb5wf7ig9l День назад
Shehe mzima anafanya mambo sio
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 7 месяцев назад
Dr. sule ww n mtafiti wa mambo mengi, ila ss nikuombe kwa heshima zng zote, naomba utenge muda wa kutafiti hii sunna inayotangazwa na mawahabi km wanavyoitwa kw ikhlaasw kabbisa.Allaah akuwezeshe
@abubakarally3413
@abubakarally3413 7 месяцев назад
Fafanua Sunna gani ambayo unataka sure atafiti? ila sure sio mwanachuoni
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 7 месяцев назад
Sunnah gan
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 7 месяцев назад
@@abubakarally3413 Anazweza akajifunza ki2 kuhusu sunnah
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 7 месяцев назад
@@user-fq6iw1pb7q hawez akafata sunna ya sisi mawahabi wakat yeye mwenyewe amekamata usufi
@RehemaWere
@RehemaWere 5 месяцев назад
Silent followers, nimeingia kwa comment section 😂 😂😂
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 7 месяцев назад
Huyu jamaa amekua muharibifu sana wa dini huyu, kumbe alikazana kusoma bibilia zaidi akasahau kuusoma vyema mipaka ya uislam wake
@KhojaNasri
@KhojaNasri 6 месяцев назад
Ukisikia wanafki ndio nyinyi
@KhojaNasri
@KhojaNasri 6 месяцев назад
Baya moja lamtu unamtoa utu na thamani acha roho ya kichawi
@SirajuKhalidi-sz6gu
@SirajuKhalidi-sz6gu 5 месяцев назад
Asa kakosea wapi huyo nimhadhiri unamshutumu wewe ndo ulokamilika jaman
@sharifarashid942
@sharifarashid942 7 месяцев назад
Haufai wanawake na wanaume wapo sehem moja na wamejipamba wanaume wanaona mapambo ya wanawake ambao sio wake zao
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 7 месяцев назад
Kwaiyo kwenye shughuli kama hiyo watu wapake mikaa usoni! Acha ushamba mambo yameendelea saivi....acha uzinzi wa kutamani mwanamke asiye mke wako!
@fatmamajid7908
@fatmamajid7908 7 месяцев назад
@@tiffahdangote7548 haifai kwa mwanamke kudhihirisha mapambo yake, na hapo ilipaswa kuwatenganisha wanawake na wanaume. sikutegemea kwa shekhe kama huyo kufanya ujinga huo
@fatmamajid7908
@fatmamajid7908 7 месяцев назад
Tukimwita jahil tutaambiwa tumemkosea shekh, ila huo ni ujahil
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 7 месяцев назад
Awa masalafi wahuni tu hawa utackia haifai kwaiyo ni mwamba wao wanawataman wachen ujinga haifai nn
@princefeisla3692
@princefeisla3692 7 месяцев назад
​@@fatmamajid7908kwani uislam umekufundisha kuita wenzio majahil?kueni wazi na unaweza muita hivyo usiogope mtu muogope mungu maana anaeteleza huinuliwa hatukanwi upoo ama suudia iliwafundisha kutukana?
@salumsimai642
@salumsimai642 7 месяцев назад
Daaaah huuu ndio uelekeo wa dini sasaiv?
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 7 месяцев назад
Mnamkosoa watu kuchanganyika wakati Kuna wengine hapa mnacomment huku mmekaa na mahawara na mnaenda kwenye miziki na mnasikiliza Sasa Nini kiherehere 😂😂😂
@aminabalamamnyawasatz3385
@aminabalamamnyawasatz3385 7 месяцев назад
Lkn nikunyume na uisilamu
@rashid3562
@rashid3562 6 месяцев назад
Shehe sule ni shehe pesa tu
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 5 месяцев назад
Eti sule unajiingiza kwenye dini ya Allah na Mtume wake hiyo ni dini yako na tumbo lako na wasielewa wenzako
@ZubeirTahir-ep1tp
@ZubeirTahir-ep1tp 7 месяцев назад
Ningejua kua huyu Sheikh alikua na mwana kama huyu basi ningekimbilia kuja kumtaka mwanawe lakini kheri kubwa itapatikana kwa aliyemuoa.
@shabansaid2323
@shabansaid2323 7 месяцев назад
Amiyn amiyn amiyn
@fatumasalim3915
@fatumasalim3915 7 месяцев назад
Masha Allah ❤❤❤❤
@raniahAbdul
@raniahAbdul 6 месяцев назад
Mashaallah kwa kitu gani ? Amechanganya wanawake na wanaume ukumbi mmoja na watu wamenipamba hairuhusiwi. Kasome sura Al ahzab. Hiyo mashaallah itakuwa astaghafirullah
@AbdallahOmmar
@AbdallahOmmar 8 дней назад
,😅😅
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 6 месяцев назад
Sishangai ninayoyaona hapa yamuhusuyo dr sule!! Sasa naunganisha tu one + one = two .... Dini ya dr ni dini kama zilivyo dini xa wabongo wengi ILA kwa vile yeye ni muhadhir tulitegemea kuona kitu tofaut! Miaka zaid ya kumi nyuma nilibak kinywa waz kama ninavyoshangaa leo ! Nilfka nyumbani kwake kupga hodi anatoka mwanamke mkubwa mzima kichwa wazi!!! Kunisikiliza!!! Cjui mashkh wetu wengi ndvyo mulivyo!! Yote kw yote Dr mjanja tu wa mjini !!! Dini ya kutaftia hela!! Anatumia kipaji kuingiza hela na kupata umaarfu !! Dini hassa yke hassa anayejua ni muumba na yeye kama yeye!!!
@HassanHassan-fo8rw
@HassanHassan-fo8rw 5 месяцев назад
Alichokizungumza mwaipopo kuhusu huyu mtu niukweli kabisa
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 5 месяцев назад
Alisema nn mwaipopo?
@MahmoudAli-rs5mi
@MahmoudAli-rs5mi 5 месяцев назад
Biharusi naona anachati chini kwa chini vp kwema
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 7 месяцев назад
Wabongo wacheni fitna
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 месяцев назад
Mna tamaa sana wanaume mnaojiita waislam
@abuuabdillahsalafimhapa3839
@abuuabdillahsalafimhapa3839 7 месяцев назад
NDOWAZENU ZINA TOFAUTIGAN NA ZA WAKIRISTO
@heriabudu3207
@heriabudu3207 7 месяцев назад
Mtihani tumewacha ya Mtume na kufata akili zetu na utamaduni wetu😮
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 месяцев назад
Wapumbavu kabisa peleken tamaa zenu mbele mnazaliwa na WA awake mwanamke akifa mnamshika maungo yake na mikono kwenden huko na tamaa zenu hao mnaowaita makafiri ni wa Mungu pia kwani watu wako uchi tamaa TU ndio mmeweka mbele
@user-pr8rx5ss6w
@user-pr8rx5ss6w 7 месяцев назад
Vipizauko
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 месяцев назад
Kwani mko uchi
@adamaliali2206
@adamaliali2206 7 месяцев назад
Juu wa utafiti wako maslim ujuwe una haki za watu nyingi
@MudarisuMudarisu
@MudarisuMudarisu 7 месяцев назад
Mh Mh hay mamb yanatok wap
@user-lg1pc3gy6w
@user-lg1pc3gy6w 7 месяцев назад
Huo sio uislamu huo usela mnafundisha waislamu usela
@dullafarsiy1230
@dullafarsiy1230 7 месяцев назад
Mkushanyi huu unafaa ktk wsilam .?
@fatmamajid7908
@fatmamajid7908 7 месяцев назад
Hata nashangaa kwa kweli
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 7 месяцев назад
Haufai
@suleymanmohd3418
@suleymanmohd3418 7 месяцев назад
Kukusanyika kwenye mashindano ya qur an wanaume na wanawake na kwenye makongamano engine je inafaaa.....,!!!!?
@salimutwahiri3693
@salimutwahiri3693 7 месяцев назад
Unafaa ila kwa misingi ilioekwa na uislamu
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 6 месяцев назад
no big no
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 месяцев назад
Kwenye ndege au kwenye magari huwa mnatengwa tamaa TU kwendeni huko
Далее
DR.SULLE ALIVYO KATA CAKE PAMOJA NA MKE WAKE WA KENYA
31:33
NIKUMBATIE  UNITY CREW WAWAKOSHA WATU HOLINI
1:06
Просмотров 12 тыс.