Тёмный

HUZUNI MKE WA MARCO ASHINDWA KUJIZUIA,MASTAA WALIBEBA JENEZA LA MARCO SHUGHULI YA KUAGA MWILI KAHAMA 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@mamaamina6088
@mamaamina6088 Месяц назад
Poleni sana mungu akutie nguvu kazi ya mungu haina makosa mungu ailaze roho yke mahali pema peponi
@hildamkongwa2156
@hildamkongwa2156 2 месяца назад
Pole dada inaumiza sana lakini mwombe mungu akutie nguvu nawenzio tuyalitukuta lakini tunamshukulu mungu kwakutupa nguvu ya kuendelea kulea watoto
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini 2 месяца назад
Mungu akafanyike faraja jamani...mtoto hata haelewi kitu.May he rest in eternal peace🙏 😭💔
@NancyMakena-w3l
@NancyMakena-w3l Месяц назад
Poleni sana mipango ya mungu
@RichadiIbaya
@RichadiIbaya 2 дня назад
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
@JuanNyuwa
@JuanNyuwa Месяц назад
Pole dada yangu mungu akutie nguvu
@LUCIATIKINA-l9i
@LUCIATIKINA-l9i 2 месяца назад
Polen San mungu amuweke marehem Mahal pema
@lavenderodhiambo4561
@lavenderodhiambo4561 2 месяца назад
this death has hit me on not to heal eazy eeishh God si sawa mungu wangu mbona machungu mno💔💔💔moyo inauma sana😢😢
@SmilingCardinal-dy9bq
@SmilingCardinal-dy9bq 2 месяца назад
Poleni Sana wanafamily siamini adi sasa
@songeza
@songeza 2 месяца назад
Poleni sana mtunzeni mtoto huyo wanakwaya msifanye kumwachia ndugu fanyeni ili mungu awape Amani
@JeskaMensa
@JeskaMensa 2 месяца назад
Nivizuri vile amezikwa leo baada ya mwiki kadhaa atakuwa amepunguza uchungu kidogo😭😭😭😭😭😭
@NellyOminde
@NellyOminde 2 месяца назад
poleni sana wanazabron na mungu awatie nguvu
@zainabukingwere9521
@zainabukingwere9521 2 месяца назад
Mungu akatoe faraja
@AngelarashidiRashidi
@AngelarashidiRashidi 2 месяца назад
Poleni sana wanafamilia Mungu awatie Nguvu😢😢
@NaftariMapunda
@NaftariMapunda 2 месяца назад
Tungekuwa jirani tungefika katika mazishi lakin na Amini kwa ROHO tuko pamoja Mungu awatie nguvu kwakipindi hiki kigumu
@KerenBosco
@KerenBosco 2 месяца назад
Polen sana ni kazi ya mungu
@joasrusabala2180
@joasrusabala2180 2 месяца назад
Masikini mtoto ameniumiza sanaa pore sana
@BeckynavyAnjii
@BeckynavyAnjii 2 месяца назад
Aki hii n kama Ile ya kiptum Kenya,aki niuchungu
@brendaokola3893
@brendaokola3893 2 месяца назад
Mungu awafariji
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 2 месяца назад
Jamani watoto bado wadogo,Mungu awatetee
@SaidaBabuu
@SaidaBabuu 2 месяца назад
Daah
@rajabuubwa7033
@rajabuubwa7033 2 месяца назад
Uwe pole sana dada
@LilianAlumasa
@LilianAlumasa 2 месяца назад
😭😭😭😭😭😭😭so sad
@IrineOsino
@IrineOsino 2 месяца назад
Pole sana dada
@PatriciaHamis-j8n
@PatriciaHamis-j8n 2 месяца назад
Mtunzeni huyo mtoto jamani wanakwaya
@ElizabethTruphena
@ElizabethTruphena 2 месяца назад
Poleni sana sana ndugu wapendwa😭
@SleepyBarn-go5lf
@SleepyBarn-go5lf 2 месяца назад
😢😢😢😢awe mwenyezi Mungu watie nguvu family hiyo 😢😢
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 2 месяца назад
Hiki kipindi uwa nikigumu sana 😢😢
@NeemaMollel-u8m
@NeemaMollel-u8m 2 месяца назад
Pole dada inauma ila MUNGU akutie nguvu
@KeflenTitus
@KeflenTitus 2 месяца назад
RIP jaman polen kwa musiba zabron singer
@HejJsj-hv5it
@HejJsj-hv5it 2 месяца назад
Pole sana dada ni uchungu mno
@JoviethGeorge
@JoviethGeorge 2 месяца назад
Eeh Mungu wangu wape faraja wafiwa wote😭
@HappinessMasala
@HappinessMasala 2 месяца назад
Poleni jamani Ni ngumu kupokea
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 2 месяца назад
Pole sana wandugu. Mungu awape faraja 😭😭
@FelisterOyaro-c3s
@FelisterOyaro-c3s 2 месяца назад
Pole sana kawa kumpoteza mpendwa wenu
@MaryWavinya-n2o
@MaryWavinya-n2o 2 месяца назад
Tulimpenda lakini mungu amempenda zaidi tutaonana wAkati wa mwisho so pumzika kwa amani
@zuhurasaid
@zuhurasaid 2 месяца назад
Kifo ni fumbo, apumzike kwa amani Marco
@lillianmoraa1304
@lillianmoraa1304 2 месяца назад
Nothing pains like death God give u strength to all his family
@StevenJohn-ks6mr
@StevenJohn-ks6mr 2 месяца назад
Mungu kwanini😢😢😢😢😢😢😢
@MaryWavinya-n2o
@MaryWavinya-n2o 2 месяца назад
Mungu afute iyo mke wa Marco machozi na amfariji.
@LeokadiaBoniphace
@LeokadiaBoniphace 2 месяца назад
Mungu akawe msimamizi kwenu
@NdukuWilson
@NdukuWilson 2 месяца назад
😢.😢😢
@JanethKato
@JanethKato 2 месяца назад
Mungu watiye nguvu😭😭😭😭😭
@lilymoshi7886
@lilymoshi7886 2 месяца назад
Dah nimeumia mnooo nilikuwa nikienda kufata cake mata nyingi namkuta na mke wake
@catherineokiru2799
@catherineokiru2799 2 месяца назад
Dunia dhiki😢😢
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 2 месяца назад
Sana
@HappyMbwambo-j7i
@HappyMbwambo-j7i 2 месяца назад
Polen sana
@AnnaMgema-q7u
@AnnaMgema-q7u 2 месяца назад
Masikini mtoto hata haelewi chochote 😢😢
@DaudMachenya
@DaudMachenya 2 месяца назад
Mungu akupe nguvu mjane wa marehem
@josephinemtei186
@josephinemtei186 2 месяца назад
😭😭😭😭😭
@AnnahMuchele
@AnnahMuchele 2 месяца назад
Farijika na mungu familia yake Mareham,kazi ya mungu haina makosa 😢
@meclinanyamwihura3748
@meclinanyamwihura3748 2 месяца назад
He, na I huzuni
@MERYPETER-r4w
@MERYPETER-r4w 2 месяца назад
jaman ili jambo lisikie kwa jilani tu lisi kkute
@Lydia-oy1cz
@Lydia-oy1cz 2 месяца назад
Mungu hawe pamoja nanyi katikati wakati uu mugumu💔💔
@chritinajuma5748
@chritinajuma5748 2 месяца назад
Mungu awe mfaliji wenu
@Ino-tk5xr
@Ino-tk5xr 2 месяца назад
Dah mtoto
@ModestyAli
@ModestyAli 2 месяца назад
😢😢😢😢😭😭
@MarryGodfrey-n1c
@MarryGodfrey-n1c 2 месяца назад
😭😭😭🙏🙏
@VanessaMct
@VanessaMct 2 месяца назад
😢😢😢😢
@sandramontehwafula1314
@sandramontehwafula1314 2 месяца назад
Mbona waneharakisha haya mazishi mtu anijibu plz?
@mkki5899
@mkki5899 2 месяца назад
In tanzania they bury their dead after 3 to 4 days
@ashuramtangi-lm8ey
@ashuramtangi-lm8ey 2 месяца назад
Hali yake xio nzuri mahi
@elizabethnzilani3372
@elizabethnzilani3372 2 месяца назад
Huku ni Tanzania hawaeki mtu sana
@vitalismarunda6760
@vitalismarunda6760 2 месяца назад
Kabisa aisee ni kuzidi tu kuwaumiza wafiwa​@@elizabethnzilani3372
@SmilingCardinal-dy9bq
@SmilingCardinal-dy9bq 2 месяца назад
Kwasababu tukimuona tunazidi kuhumia sana
@RahabWanyama-yi4qy
@RahabWanyama-yi4qy 2 месяца назад
Wue poleni
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 2 месяца назад
😭😭😭😭💔💔💔💔
@graceldahmwamburi6196
@graceldahmwamburi6196 2 месяца назад
Mungu kuwa mfariji katik familita hi kila dakika
@123rehema-q9h
@123rehema-q9h 2 месяца назад
Mungu akutie nguvu huu wakati Mugumu 🙏🙏🙏
@righitkileo
@righitkileo 2 месяца назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@LaityLala-b3y
@LaityLala-b3y 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭💒😔💒💒
@SmilingCardinal-dy9bq
@SmilingCardinal-dy9bq 2 месяца назад
😭😭😭
@JoviethGeorge
@JoviethGeorge 2 месяца назад
😭😭😭😭
Далее
ZABRON SINGERS - UKO SINGLE ? (Official Video)
3:45
MARCO JOSEPH - TOFAUTI (official video)4k
5:00
Просмотров 536 тыс.
Marco Joseph - Daktari (official video)4k
3:17
Просмотров 1,8 млн